Pleaae lissu siyo kiongozi kijana tafadhalini. Msilete usanii mnatuboa. Semeni mnataka kiongozi mwenye mawazo na style tofauti kama Lissu. Hapo tunawalewa sana
Kweli hii siyo Kenya kweli, kenya hakuna mambo ya ajabu kama Tz, raslimali za nchi zinatumiwa ovyo na wananchi hawachukui hatua, unaipendaje nchi yako wakati
Kama aliyosema ni SHIRU atayadema, Yaani mtu wa usalama salama akamwambie Dr.Slaa kuwa Rais Adam is anataka kumpa Mbowe hela za kununua uchaguzi, hivi mnadhani kila analofanya Rais lazima maafisa wa usalama wajue!? Huyu Mzee kuna muda huongea ukweli lkn kuna muda ni mropokaji sana.
Lakini jamani mbona mnatia kichefuchefu? Lissu miaka zaidi ya 56 ni kizazi kipya kweli? Acheni usahihi jamani. Kina Soka mtaeaitaje? Kina captain Ibrahim Traoure rais kijana duniani alichukua nchi akiwa na miaka 34 huyo mtasemaje?
Mzee slaa siyo kichaa je na pesa anazojonga Abdul mbona jeshi la polisi bado halijamkamata na kumuhoji pesa alizowapa akina wenje na wenzake anazipata wapi? Na anazigawa kwa maslahi gani? Tunataka jeshi la polisi limkamate huyo mtu anayeitwa Abdul
Nyuma ya mbowe kuna CCM na dola ccm wanampigania Mbowe kwa udi na uvumba aendelee kubakia madarakani ilitakiwa Mbowe ndiyo awe mlalamikaji sasa jeshi la polisi limeingilia ugomvi wa slaa na Mbowe hakika hii vita ni Lisuu na CCM na dola
Kama ni viongozi vijana basi Lissu siyo mmoja wao. Kiongozi mwenye maono tofauti yes nakubali. Kiongozi machachari yes nakubali lakini siyo kizazi kipya
Wewe nae Ni kichwa maji kabisa kwa yapi sasa alokosea huyo mzee!hamtaki kuwa munaambiwa ukweli kisa mpo juu ya SHERIA mungu atamtetea slaa na atawashinda tu,mnataka watu wa kuwasifia kwa Yale myafanyayo hata yakiwa mabaya mnataka watu Kama bashite awasifie ili mmpe cheyo.waacheni watu waongee kwa Uhuru acheni kuwaziba midomo kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi,ipo siku mtaaibika kwa kuwaonea mnaowatawala,futeni vyama vyote vya upinzani ili kibakie chama chenu tu mtawale milele Kama huyo kibaraka wenu mbowe anavyotaka atawale milele.ccm mnaua nchi kwa staili hiyo
Mlalamikaji ni nani? Mbowe, police au jamhuri? Kama mbowe hakanushi hiyo tuhuma wala hajaenda mahakani kumshitaki slaa police wanahusika vipi na hilo swala? Tena la kisiasa ndani ya chama? Na halina hata harufu ya uvunjifu wa Amani? Kuna nini Nyuma yake? 😮
Hakunaubabaishaji hapa. Watanzania si wajinga. Akatoe ushirikiano police. Tuhuma alizotoa dhidi ya viongozi na vyombo vya usalama kubwa. Hii nchi ina sheria zake
Huyo mzee kazeeka saana..atulie afe vizuri
Oyo Mzee abanwe mpaka amtaje alie mwambia kama aliambiwa basi ana mjuwa amtaje maama ana uzibitiaho Kwa Alie mwambia
Wagalatia kazi mnayo
Uko vema kabisa Dr
Lissu siyo kikazi kipya siyo gen Z.
Wamepishana umri.kidogo sana na mbowe. Kama ni shule walisoma primary wote.
Uongo au ukweli vitajulikana mapema sana kumhukum DR
Ahaaaaa!
Pleaae lissu siyo kiongozi kijana tafadhalini. Msilete usanii mnatuboa.
Semeni mnataka kiongozi mwenye mawazo na style tofauti kama Lissu. Hapo tunawalewa sana
Slaa kiherehere.Kuongea umbea tu na kuichafua serikali😅
Hakuna serikali Duniani inabipiwa,ukibipu tu wanakupigia.Naipenda nchi yangu Tanzania na viongozi wake wote hii sio Kenya.Maendekeo yasonge mbele
Upo sahihi ndugu
Kweli hii siyo Kenya kweli, kenya hakuna mambo ya ajabu kama Tz, raslimali za nchi zinatumiwa ovyo na wananchi hawachukui hatua, unaipendaje nchi yako wakati
Mungu baba naomba .umuangamize lisu nakumpatia nafasi hiiyo mboe sababu yakulinda amani ya nchi
Huyo mungu unaemuomba atakuwa ni shetani sio mungu wa kweli
Fact katisa OSCAR@@OscarKasalile
Huyu Mzee SI mropokaji ana slogan yake no research no right to speak,serikali hapa itaaibika 2:04
Mimi nashangaa kuwa amuachie, kuacha inatokea kwenye baada ya kura, mnasema Mbowe mzee, Lussu na Mbowe wanatofatiana umri gani!?
Kama aliyosema ni SHIRU atayadema, Yaani mtu wa usalama salama akamwambie Dr.Slaa kuwa Rais Adam is anataka kumpa Mbowe hela za kununua uchaguzi, hivi mnadhani kila analofanya Rais lazima maafisa wa usalama wajue!? Huyu Mzee kuna muda huongea ukweli lkn kuna muda ni mropokaji sana.
Tatizo mnamaneno mengi mno
Mungu akusaidie baba
weka sauti na maneno yake mwenyewe!!!!!wacha kusoma!!!
Mzee kayataka kuingilia yasiyomhusu
Achauongo mwandishi uyo mzee kasema mbowe kapewa pesa na mama samia zakampeni yake mdomo umemponza atoe ushahidi
Dr. Babamgu achana na Chadema vigogo watatu hao walikusaliti 2015 uwaache wapambane Uhai wa Chadema uliishia 2015 achana hiyo nuksi Linda Roho yako
Tatizo liko wapi naaende tu akawataje hao maafisa usalama
Lakini jamani mbona mnatia kichefuchefu? Lissu miaka zaidi ya 56 ni kizazi kipya kweli?
Acheni usahihi jamani. Kina Soka mtaeaitaje? Kina captain Ibrahim Traoure rais kijana duniani alichukua nchi akiwa na miaka 34 huyo mtasemaje?
Wewe najua unamzid lisu miaka 2 tu ,,,hivyo lisu ni mdogo wako
Mzee slaa siyo kichaa je na pesa anazojonga Abdul mbona jeshi la polisi bado halijamkamata na kumuhoji pesa alizowapa akina wenje na wenzake anazipata wapi? Na anazigawa kwa maslahi gani? Tunataka jeshi la polisi limkamate huyo mtu anayeitwa Abdul
Sijaona, kosa
Hapoccm Wana muogopa lisu pia wanaingilia uchaguzi usio wahusu
Nyuma ya mbowe kuna CCM na dola ccm wanampigania Mbowe kwa udi na uvumba aendelee kubakia madarakani ilitakiwa Mbowe ndiyo awe mlalamikaji sasa jeshi la polisi limeingilia ugomvi wa slaa na Mbowe hakika hii vita ni Lisuu na CCM na dola
Kwani slaa bado balozi?
Laana ya kanisa bado inamsumbua.
Kama ni viongozi vijana basi Lissu siyo mmoja wao.
Kiongozi mwenye maono tofauti yes nakubali. Kiongozi machachari yes nakubali lakini siyo kizazi kipya
Unamzid miaka 2 tu lisu, hivyo lisu ni kama mdogo wako tu
Nabado hayayalikua maono ya jpm
Slaa naye ni mropokaji asiyejielewa. Weka ndani hadi ajibu tuhuma na ushahidi
Mtumwa wewe , jikomboe kifkra
Wewe nae Ni kichwa maji kabisa kwa yapi sasa alokosea huyo mzee!hamtaki kuwa munaambiwa ukweli kisa mpo juu ya SHERIA mungu atamtetea slaa na atawashinda tu,mnataka watu wa kuwasifia kwa Yale myafanyayo hata yakiwa mabaya mnataka watu Kama bashite awasifie ili mmpe cheyo.waacheni watu waongee kwa Uhuru acheni kuwaziba midomo kwa kuwakamata na kuwafungulia kesi,ipo siku mtaaibika kwa kuwaonea mnaowatawala,futeni vyama vyote vya upinzani ili kibakie chama chenu tu mtawale milele Kama huyo kibaraka wenu mbowe anavyotaka atawale milele.ccm mnaua nchi kwa staili hiyo
Silaa ni msaliti. Kaombe tena ubalozi ulaya. Huna maana yeyote.
Dr slaa alisha jiuzuru siasa imekuwaje tena?
Kaa kimya
Wajinga ni wengi nchi hii, unamzodoaje Dr silaa, acheni ujinga mngefanya anachofanya huyu mzee angekaa kimya, bahati mbaya nchi Ina vijana wa hovyo
Huyu Slaa inatakiwa anyamazishwe. Asilete mdomo wa uchochezi.
Kamata na sukuma ndani
Usalama wa taifa mefanya vizuri kumkamata uyo mzee muongo san. Namaneno yake yaleta asari kwa taifa . Wekeni jela tu
Thibitisha uongo wake je hizo pesa anazozigawa Abdul una ushahidi nazo zimetoka wapi? Na kwa maslahi ya nani?
Slaa ni kibaka
Lisu hawezi kumshinda mbowe na ushindi hauko mitandaoni baada ya week mbili wote mtakaa kimya
Na ndiyo mnavyotaka Wana CCM wote huyo Mbowe ni kibaraka wenu
Mlalamikaji ni nani? Mbowe, police au jamhuri? Kama mbowe hakanushi hiyo tuhuma wala hajaenda mahakani kumshitaki slaa police wanahusika vipi na hilo swala? Tena la kisiasa ndani ya chama? Na halina hata harufu ya uvunjifu wa Amani? Kuna nini Nyuma yake? 😮
Shida hapo kusema mbowe amepewa hela za kampeni na kiongozi wa nchi
Saafii sana watu waongo kama Dr. Slaa inabidi wakamatwe mapeema ili awataje hao maafisa usalama waliomwambia.
Slaa ni giniaz
Mtu wa mungu atashinda na tuko pamoja
Huyu mzeevni mchovu na aachie wajukuu jukwaa zake. Aache kubwata bwata
Nyie binaadam kwani kawakosea nini? Pbaba
Wa watu
Wabongo mnachuki bila sababu ama kweli wajinga tupe sasa akikamatwa mwenzangu namie unafaida gani?
MUNGU MKUU AWASAIDIYE KWA YOTE DKT SILAHA. AMEN.
Slabyuko sawa
Mzee ni msema ovyo wacha ashikwe anamdomo sana hana heshima
Hujui kitu wewe ,wewe kazi Yako kubeba mimba tupekee
Mbona abdul na samia hawajakamatwa kutowa rushwa chadema mbona wamekabizi misitu na bandari kwa waarabu na kufukuza wamasi kwanini wasikamatwe
Kaka una ushaidi unayoyaongea
Kamata kamata himeanza tena kea sababu halikuwa mtu wa magu
We mzee uoni aibu kusema uongo
Hakunaubabaishaji hapa. Watanzania si wajinga. Akatoe ushirikiano police. Tuhuma alizotoa dhidi ya viongozi na vyombo vya usalama kubwa. Hii nchi ina sheria zake
Ulichokisema ni sawa kabisa ila usitukane Watanzania kuwa ni wajinga.
Hajasema hivyo umesema wewe@@AngelusAngelus-i7k
Huyu mzee ni saa mbovu! Amekosa cheo amebakia kuhaha kwa maneno ya uongo! CCM hawamtaki CHADEMA hawamtaki! Opportunist huyo!
Huyu Mzee anaropoka sana kwa kivuli cha kuwa ni mwana siasa
Akamatwetu mjinga huyu Hana kaba