MUNGU ALISEMA UKIWA LOFA USIENDE KANISANI| MUNGU AMEANDAA MAZINGIRA YA UTAJIRI, UMASIKINI NI UZEMBE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 58

  • @allahisone6386
    @allahisone6386 3 місяці тому +9

    ALHAMDULILLAH
    MUUMBA WANGU
    NIFISHE KWENYE UISLAM

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 2 місяці тому +2

    Mungu amrehemu huyu

  • @rajabomary5280
    @rajabomary5280 2 місяці тому

    Huyu Mzee anaongea Ukweli Mtupu hapindishi pindishi ndio maana watu wengi wanamchukia

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 3 місяці тому +2

    Yup sawa huyo😊

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 3 місяці тому +1

    Nampenda mzee wa upako huwa hapindishi maneno.

  • @AmbokileIbrahim
    @AmbokileIbrahim 3 місяці тому +1

    Bora umpende mungu ,soma

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 3 місяці тому +3

    Ni kumdharau mungu kwenda kanisani mikono mitupu. Ukikosa hela peleka hata mahindi.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 3 місяці тому

      Ulishawahi kwenda kwa mganga bila kitu, hahah, tusindharau Mungu

  • @omarimhd7716
    @omarimhd7716 2 місяці тому

    Baba levooo

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 3 місяці тому +4

    Yesu Ali waambia wanafunzi wake nendeni mkaihubiri injili mkisema ufalume wa mbinguni ume karibia pozeni wagonjwa fufueni wafu takaseni wenye ukoma toeni pepo". Mme pata bure toeni bure. Msichukue dhahabu Wala fedha Wala mapesa mishipini mwenu ,, soma mathayo sura10:7-15

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 місяці тому

      😅😅

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 3 місяці тому

      Soma biblia uelewe, bila sadaka huduma itaenda wapi, ujue hata Yesu alikuwa akipokea sadaka, unajua nani alikuwa anazipiga?Mr Yuda, usichomoe kaandiko kamoja tu tumia na akil yako, sema kuuza muujiza ni kosa kibiblia

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 3 місяці тому

      Halaf ulishawah kwenda kwa mganga bila kitu, kama hapana hujawah na haiwezekan basi usimdharau Mungu

    • @MichaelNgowi-nc3vn
      @MichaelNgowi-nc3vn 3 місяці тому

      @@goldmansun5859 Bado huijui Imani na upo nyuma sana kiimani ivo watu kama nyie mna hitaji msaada wa ziada kumtambua mungu ipasavyo

    • @bestkatunzi2824
      @bestkatunzi2824 2 місяці тому

      ua-cam.com/users/shortsMFPs9z5RQ9U?feature=share

  • @JoramSimion
    @JoramSimion Місяць тому

    Dada za kàzi naomba namba yako tuongee

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 3 місяці тому +3

    MCHUNGAJI LUSEKERO YUKO SAWA UNAENDA KANISANI UKIWA LOFA TATIZO WATU WENGI HAWAPENDI KUWAAMBIA UKWELI

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 3 місяці тому

    Ni sawa huwezi kwenda kwa Mungu mikono mitupu.

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 3 місяці тому

    Dah!

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 місяці тому

    Yupo sawa kabisa tumifunikwa gunia kichwani mungu alimuumba mtu na kumpa utajili hapo kuna shida mtu akiwa maskini hiyo ni ahadi ya mungu imagine madini mashamba bahari mafuta gas nk mungu aliweka kutusaidia ila binadamu ndio anayesababisha shida yote hii.

    • @andrewmhagama9816
      @andrewmhagama9816 3 місяці тому

      Ndugu Mungu anaposema utajiri anamaana ya Mtu mwenye neno la kweli .Ata ukipewa vitu vyote alafu ukakosa ufalme wa Mungu si umejisumbukia nafsi yako?
      Watumishi wa sasa ndio mafarisayo wa kipindi cha Yesu. Neno limefunguliwa kwa wao limefungwa hawaelewi.

  • @Zenny89
    @Zenny89 3 місяці тому

    Hawa Wezi tuu wanajifanya watumishi wa Mungu

  • @ombenimbise9293
    @ombenimbise9293 3 місяці тому +1

    Tutaona na kusikia mengi hizi nyakati, huku Lusekelo huku mwamposa. Kazi ipo .

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 3 місяці тому +1

    Mpuuzi tu huyu! kwahiyo kama mtu ni maskini hafai kuingia kanisani. Masikini si ndio aingie kanisani aombe mungu akafanye kazi ili afanikiwe?

    • @robertmodestmushema1297
      @robertmodestmushema1297 3 місяці тому +1

      Kwahiyo tuelewe lipi kwenye hoja yako! Maskini akaombe au akafanye kazi?

    • @noahchepe8036
      @noahchepe8036 3 місяці тому

      @@robertmodestmushema1297 elewa vyovyote uelewavyo maana maelezo yangu yako wazi kabs

    • @healinggospeltz4762
      @healinggospeltz4762 3 місяці тому

      😂 wew kwel ndio mpumbavu

    • @rajabomary5280
      @rajabomary5280 2 місяці тому

      Sio Mpuuzi tatiz lenu mnataka kudanganywa ila huyu mzee kwenye NO ni NO na kwenye YES ni YES

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c 3 місяці тому

    Duuuuh mwisho wa siku tutatozwa mbaka pumzi tunayovuta zama za manabii wa uwongo ndio hizii someni vitabu vya dini sio maji mafuta jamanii

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 3 місяці тому

    Kutoza muumini ili kumuona Mchungaji, Nabii ni utapeli, wizi

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 місяці тому +1

    DAAAHHH, YANI MTU ANAONGEA BILA HATA USHAHIDI KUTOKA KWENYE HUCHO KITABU ANACHOKIAMINI.. SIASA KWENYE DINI.. WATU WAZIMA WAMEKAA WANAITIKIA, WAKITOKA HAPO HAWAFANYI HATA UCHUNGUZI WAO BINAFSI, NDO IMEISHA IYOOO... MUNGU TUONGOZE WAJA WAKO 🤲🤲🤲

  • @RaphaelKaswahili
    @RaphaelKaswahili 3 місяці тому +1

    Kumsikiliza huyu ni sawa na kuvaa kondomu iliyotumika 😅😅 yaani ni uchafu kama uchafu mwingine

  • @NaimaSuleiman-c6b
    @NaimaSuleiman-c6b 3 місяці тому

    🤔 Dunia ina matokeo yaajabu.Wakati wa Kuomba,Nusura ya Mungu wa Mbinguni,ni huu sasa.Tukizembea ndio.Tusubiri Majanga ya Kutengezwa...👈

  • @universaldesign4295
    @universaldesign4295 3 місяці тому

    Amejibu in very political way, safi kabsa...

  • @festofeisag392
    @festofeisag392 3 місяці тому

    Nmeingiza kitu

  • @mnyampaa_kisasa
    @mnyampaa_kisasa 3 місяці тому

    mzee wa upako kiukweli ana knowledge sana na neno la Mungu ila tu kauli zake anavyoongea anaongea kinamna flani watu wanaona wanatukanwa😀😀😀😀...halafu sisi masikini tunatakaga sana huruma

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 3 місяці тому +1

    Wachungaji wezi tu hao wanataka sadaka tu

  • @franklinjoseph5487
    @franklinjoseph5487 3 місяці тому

    Nyinyi wote mnaitajika kisi

  • @sorwasoudy6256
    @sorwasoudy6256 3 місяці тому

    Hamna kitu apa,,anapotosha t.

  • @RausuliKingazi
    @RausuliKingazi 3 місяці тому

    Duh siku za mwisho

  • @RehemaAbdalla-m9q
    @RehemaAbdalla-m9q 3 місяці тому +2

    Jamani Adela malofa tusimuabudu MUNGU? Kisa hatuna pesa Tobaasa

  • @evaristkobelo3936
    @evaristkobelo3936 3 місяці тому

    Kanisani ni mahali pakujifunza njooni tujifunze

  • @osmanhajj3059
    @osmanhajj3059 3 місяці тому +1

    Uislamu raha karibunii

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 місяці тому

    Lusekelo umepata pesa kidogo moyo wako umesha badilika , usidharau watu maskini, ni watu wa Mungu.
    Mungu hakusema marofa hayo ni maneno yako. Mungu alisema tusiingie nyumbani mwake mikono mitupu.
    Maana yake Kutoa ni Ibada.
    Mungu asinge sema hilo neno watu tungetumia hiari kwenda na kitu au la. Sasa umeweka dhana kwamba hilo neno lina wahusu malofa hapana siyo tafsiri sahihi ya hilo neno.

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 3 місяці тому

    Kwani yeye huyo MZEE LUSEKELO ni tajiri ? --- Mzee LUSEKELO acha kupptosha watu ---- unadanda danda tu.Hicho unachokizungumza,kinakubaliana na maandiko ? --- " Mungu hahitaji visaidizi --- " umefirisika kiroho mzee "

    • @BenjaminChakwe
      @BenjaminChakwe 3 місяці тому

      We chura kweli we kwa akiri zako huyo ni masikini tuulize sisi tunaemjua hadi nyumba zake

  • @stewartmgallah
    @stewartmgallah 3 місяці тому

    Tufanye hiviii yeye aachane na sadaka za kanisa alafu atafute utajiri na asipopata asirudi kanisani

  • @MosesShileka
    @MosesShileka 2 місяці тому

    M

  • @MichaelNgowi-nc3vn
    @MichaelNgowi-nc3vn 3 місяці тому

    Hamna kitu apo siwezi kupoteza muda kumsikiliza pumba uyu

  • @PrinceMgambwa-h7r
    @PrinceMgambwa-h7r 3 місяці тому

    Wakala wa mizimu na uchawi ndiyo huyu anajiita chufu

  • @nduwayoplacide3174
    @nduwayoplacide3174 3 місяці тому +2

    These so called men of God ni wale waliosemwa kwenye Bible ambao watakuja siku za mwisho wa dunia

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 3 місяці тому

      Bahati mabaya kwa dhambi uluzonazo huna jicho la kimungu kujua hilo😂😂😂