Mch Moses Magembe - KITABU CHA DANIEL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 лип 2022
  • Ibada ya Jumapili asubuhi Tarehe 22.07.2022 katika kanisa la Gospel Campaign Centre TAG majumba sita Ukonga - Dar es salaam chini ya Mchungaji Moses Magembe.
    UJUMBE: KITABU CHA DANIEL
    ANDIKO: UFUNUO 1 : 7
    MNENAJI: MCH. MOSES MAGEMBE
    TAREHE: 24.07.2022

КОМЕНТАРІ • 44

  • @user-if1pz4nm4u
    @user-if1pz4nm4u 10 місяців тому +3

    Kuhubiri injili mpaka kwa umri uliyo nao mch Magembe lazima Mungu hawe na wewe tu. Wazee wetu kwa umri kama wewe mtu wa Mungu nguvu hawana kabisa ila wewe nguvu 💪unazo kabisaaaaaa sauti ndiyo hiyo kubwa kabisa👍, yaani Mungu akubariki mchugaji 🙏

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 Рік тому +3

    MUNGU hatetewi nakubali kabisa yeye ni alfa na omega huwezi kumtetea aliyekuzidi,bali yeye akutetee wewe,..Amina

  • @amosbenard6657
    @amosbenard6657 Рік тому +3

    Ninaomba nitoe ushuhuda nimepona ukimwi kupitia Mzee magembe

    • @rahelhango9236
      @rahelhango9236 Рік тому

      MUNGU mkubwa

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 7 місяців тому

      Amina sana lakini just mponyaji ni YESU usije ukambeba mtumishi kama ndiye mponya

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 8 місяців тому +1

    OHH MY GO
    shetani na wivu anaharibu mitambo kwelikweli
    HUBIRIIII👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
    Tutapambana vivyo hivyoo. Kushikanishaa maneno. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @user-si7ri9rb2f
    @user-si7ri9rb2f 9 місяців тому

    Barikiwa Muchungaji nakupenda sana Baba.

  • @nasmamponde5737
    @nasmamponde5737 Рік тому +4

    Baba yangu Mungu akutunze Sana nikirudi nikukute nikueleze unisaidie kulifikia kusudi la Mungu

  • @adamsonkyando682
    @adamsonkyando682 Рік тому +3

    Mungu akupe siku nyingi mtumishi ueleze kweli ya Mungu ilio nyoooka

  • @jeromembekalo216
    @jeromembekalo216 8 місяців тому

    Amen , ubarikiwe mzee wangu

  • @muyobokethomas3785
    @muyobokethomas3785 11 місяців тому

    Asanti kwa Neno la Mungu

  • @suleimanissa395
    @suleimanissa395 Рік тому +1

    Mungu akutunze uendelee kuisema kweli

  • @YohanaSalvatory
    @YohanaSalvatory 3 місяці тому

    Amina

  • @mrdirpboi7093
    @mrdirpboi7093 4 місяці тому

    Amen amen amen amen.

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth Рік тому +2

    Amen Bwana azidi kukupaka mafuta Mtumishi wake.

  • @devothawnchilaus9378
    @devothawnchilaus9378 Рік тому +1

    Asante baba mchungaji kupitia kitabu chaufunuo nimeweza kujifunza mengi ususa ni nyakati tulizo nazo na nyakati zijazo Mungu akubaliki sana akuongezee umri uku ukipanda viwango vya utumishi

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Рік тому +1

    EEE Mungu tulindie huyu Mtumishi

  • @matayopetro6499
    @matayopetro6499 Рік тому +1

    Somo zuri baba ninabarikiwa

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 7 місяців тому

    Huyu pastor hata ni comediani

  • @enockimani2879
    @enockimani2879 Рік тому +1

    Amina Babangu

  • @nicoraulency7185
    @nicoraulency7185 Рік тому +1

    Amina baba mchungaji

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 7 місяців тому

    Wajua sauti kubwa huwa watu wanadhania kwamba Mungu Yuko pamoja nao Japan's ndugu hata manabii wabaali walifanya ivo

  • @nasmamponde5737
    @nasmamponde5737 Рік тому +1

    Tuko pamoja baba

  • @favourincrease4951.
    @favourincrease4951. Рік тому +2

    This is very powerful

  • @subilagakabuje3907
    @subilagakabuje3907 Рік тому

    Aminaaaa baba
    Mungu akutumie zaidi kwa kizazi hiki

  • @rahelhango9236
    @rahelhango9236 Рік тому

    Ameen Baba fundisha kweli yote

  • @ennylufuke1653
    @ennylufuke1653 Рік тому

    Tupo Pamoja ubarikiwe mtumishi

  • @bernarderadi4410
    @bernarderadi4410 Рік тому

    Tengenezeni mitambo Vizuri mtumishi

  • @johnbahati478
    @johnbahati478 Рік тому

    Somo zuri,mwalimu mzuri

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 Рік тому

    Mzee unaongelea kitabu kimoja au viwili

  • @josephatjohn980
    @josephatjohn980 Рік тому +2

    Nabalikiwa, mtumishi Mwenyezi Mungu akutie nguvu kwenye utumishi wako.

  • @hermansarwat881
    @hermansarwat881 Рік тому

    Barikiw baba lin utakuwa mkoa manyat

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 Рік тому

    Amen

  • @alenivyombo1919
    @alenivyombo1919 Рік тому

    🙏

  • @thomsimon7881
    @thomsimon7881 Рік тому +2

    Mimi ni msabato ila huwa nakufatilia mtumishi nimefurahi sana kuona unafundisha hivyo vitabu maana wakristo wengi wa jumapili hawana Habar na vitabu hivyo, Mungu akubariki sana.

    • @janetsemahimbo8083
      @janetsemahimbo8083 Рік тому

      Sio kweli. Tumafunfishwa na kuvisoma sana. Sasa utajuaje kama husali Jumapili. Pia acha kuhukumu. Siku Ile ya hukumu ndio Yesu atakapohukumu kila mtu na alivyotenda. Hivyo wewe unayesali jmosi na anayesali jpili wote tutakuwa mbele za Mungu.

  • @cornelgwarda3849
    @cornelgwarda3849 Рік тому

    Tupo pamoja

  • @thomsimon7881
    @thomsimon7881 Рік тому +1

    Miongoni mwa waprotestant wasemakweli walobakia

  • @meshackntoga1566
    @meshackntoga1566 Рік тому

    Mungu Ni Mwemaa, SAFI SANA Mtumishi wa Mungu,,,

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 7 місяців тому

    Umesema vizuri kwamba utasema kitabu cha ufunuo na Daniel utuambie lakini hata huhubiri hayo hakika MTU yeyote asiposikiza wakina Francis ndacha na onyango hakika hawawez ona mbigu hakika

  • @Mobi-ro8kd
    @Mobi-ro8kd Місяць тому

    Shida ya vidio zenu hakuna moja haikuwagi Iko sawa zote ni itilafu tupu