UFUGAJI WA NGURUWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
    Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.

КОМЕНТАРІ • 18

  • @kimongemalyawere
    @kimongemalyawere 6 місяців тому

    Hongera sana mama. Mimi naitwa Magreth Kimonge naomba kujiunga nanyi wafugaji wenzangu

  • @scholasticamchokopa6515
    @scholasticamchokopa6515 5 місяців тому +1

    Tunashukuru kwa somo nzr, Ila Sasa najiuliza chakula hiko mfano 4,000 kwa CK Ina maana kwa mwezi 120,000 Sasa kwa miez 7 ili umuuze inakuja Kama 840,000 inapita hata Bei ya Nguruwe ukimuuza, ,, nielekeze vzr hapo kipenz labda sijaelewa vzr

  • @wanyonyijoseph2052
    @wanyonyijoseph2052 6 місяців тому

    Kazi nzuri sana. Hongerq

  • @lucasluvanda2250
    @lucasluvanda2250 5 місяців тому

    Tunawashukuru sana kwa elimu mnayotupatia hasa kutokana na uzoefu ila tatizo la nchi hii hatuna wataalamu compitent wanaoweza kutusaidia katiks mazingira yetu

  • @maliselimsoka7062
    @maliselimsoka7062 6 місяців тому

    Hengereni Sana mama, nyie mnapatikana wapi ? Na mawasiliano yenu

  • @frankyeye
    @frankyeye 7 місяців тому

    Hongera san mama

  • @agripinamatinya3436
    @agripinamatinya3436 7 місяців тому

    Hongera sana mama

  • @simonrusigwa3024
    @simonrusigwa3024 6 місяців тому

    Ahsante sana mama

  • @audifansisafari5587
    @audifansisafari5587 7 місяців тому

    KAZI nzuri

  • @ConfusedBeachHammock-hq8fr
    @ConfusedBeachHammock-hq8fr 5 місяців тому

    Uko sawa niurize
    Hivi nipozi kwa watoto inaweka urefu gani kwanzia chini

  • @PetroLogani
    @PetroLogani Місяць тому

    Kiukweli kukisha high bride ni kipengele Sanaa..... Ni galama uko kwa wambulu hawana kulisha mnyama wala hawana time ya kuchanja wao wanafuga kama kuku wakienyeji utamwambia afuge high bride kununua mbegu tuu ni kisanga chakula ni ada ya mtoto shule unategemea ataweza vip
    Hapa kila mtu apambane n part yake
    Mimi nimefugA local kwa makombo wanaweza kukupa mtaji ila tuuu ukuaji wao ni wachini na local ndio wanakupa mtaji
    Na hawa local kanyaga twende 😂😂😂 hawa high bride ni lazima jicho liwe wazi laa sivyo hawatakuwa na tofauti na local kwa ukuaji
    Kama upending nguruwe unapenda pesa yake fuga local unalisha chochote ilaa watakuchukua mda kukupa matokeo high bride matoke chanya ilaa uache kazi ufanye kazi
    Sio uchukue kijana tuu umpeleke shambani Leo kesho tiali umemuamini unamuacha mwenyewe utoboi ukitAka kufuga kwa tija usimame mwenyewe MKE/Mme au mwanao na awe na mapenzi na nguruwe

  • @kimongemalyawere
    @kimongemalyawere 6 місяців тому

    Kweli kabisa mama kuanguka kupo sana .Jamani tusaiduane mwongozo

    • @CreshaRevelian-wb6ky
      @CreshaRevelian-wb6ky 5 місяців тому

      Mama wewe ni mentor wetu unafunguka kwel ila chakula Cha concentrate mbona husemi mama angu kama vile dodoki, cowardice nurscience nk

  • @SamwelBupilipili
    @SamwelBupilipili 3 місяці тому

    Hata Mimi hapo nashidwa kuerewa 3600 ni hesabu kubwa nihara kwa mfungaji 30:04

  • @ConfusedBeachHammock-hq8fr
    @ConfusedBeachHammock-hq8fr 5 місяців тому

    Dawa nazo hazihusiki(?)

  • @nerrykawonga347
    @nerrykawonga347 6 місяців тому

    Mkowapi mama

  • @Juliana-fx8tr
    @Juliana-fx8tr 4 місяці тому

    Mayofali yamejengewa ya nchi ngapi

  • @user-zy4rr9iv3m
    @user-zy4rr9iv3m 4 місяці тому

    Sio kilo 4000 amesema mlo 4 kwa ck kg 12 sikiliza vizuri