PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Tunashukuru nyote mliopenda maudhui haya, usisite kushare Link ya Maudhui haya kwa wengine ili wapate kuelimika zaidi
Nilichowapendeya mnazo camera safi pamoja na hivyo vipaza sauti aise mmehuwa kinyama
Jamaa anajua
Mtangazaji mkali Sana,KAZI Nzuri Sana,cool,logic ... Big up mtangazaji na crown media 🎉🎉🎉🎉
Nawapongeza kwa kipindi kizuri sana kwa mafunzo ili kuleta ustawi kwa kizazi hiki;naomba unisaidie mawasiliano na huyu jamaa ni muhimu tafadhari naomba sana.
Naweza pata contact number ya huyo brother? Please!
Hizi ndo mambo tunataka sio habar nani bwanawake nani kaachana na nani kaolewa na takatka sjui kuchafua hal ya hewa... fantastic
Kabisa nduguyangu mimi huwa napenda sana content hizi 💪
Tanzania bila umbea inawezekana
Tatizo letu tunapenda kulaumu serikali wkt cc wenyewe hatuna jitihada ya maendeleo(siyo wote) lkn wengi wetu. Nawasifia sana hawa jamaa zetu nao pia siyo lkn % kubwa wakiachiwa mali na wazazi wao maendeleo ya kuendeleza ni makubwa. Njoo kwetu( hapa pia nasema siyo wote lkn % ndogo ndiyo wanajiendeleza vizuri) tutaachiwa mali na wazee baada ya miaka mitatu tayari mali zimeishia kwa mademu magari starehe end of the day tutaanza kulaumu serikali na mambo mengine ya kijingajinga.
@@herculesthepower1544 mimi naamini kabisa vijana tukiacha kukimbilia mijini na kujifanya sijui wamachinga tukijikita kwenye kilimo na Ufugaji tukiwa na malengo kabisa tunatoboa vizur
Mawasiliano hamjatupa
Nimependa sana mmmmno.
Please crown media mulete vipindi kma hivi. Vya jamii sio wengine wanaleta shaluwadu. Mara kungwi. This is motivation development ni society respect . Haya jamii elimu hizi
Kabisa yaan una weza angalia ata na wazazi wako...!!
Maashaallaah God bless
Ujalazimishwa kuangalia wew kulinji
yan sio lazima kusema media nyingne ili kusifia media nyingne. ukiona kipindi hakikufai ujue hakikuandaliwa kwaajili yako ila kuna mtu anapenda
😂😂et kungwi
Msela sana huyu jamaa. Easy going Boss. Ukifanya nao kazi hao inakua simple. Hapo ofisini kwake kuna Quotes za kisela sela😅😅
MashaAllah tabaraka Rahman, kiswahili kwenda mbele haweki English hata kidogo, wangekuwa hao wajinga wengine ,mwaka tu nje atia English, kuwa wakujivunia lugha yetu kiswahili,Allah akubariki twashukuru kwa elimu ya maendeleo
Hana ulimbukeni anajua anachokiongea kitatusaidia wengi tusojua lugha
Haya ndio mahojiano ambayo ukiyasikiliza unapata kitu chakujifunza . Hongera mtangazaji
TEMIDAYO .. Utulivu Mkubwa Maswali Mazuri 🔥💪
Hilo gari ukikutana nalo njiani kaaa mbali huyo ni mbogo kweli mwamba yupo seriously syo mgen kwangu😂😂😂😂 #mullar weeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Utakuwa unapishana nalo sana mzee, huyo hanaga mwendo mdogo
Da yaani gafla nikamuona Pep guadiola😅😅😅 big up sana crown media kila kitu kiko very good quality
😂
Mtangazaji upo vizuri sana na unauliza maswali yenye tija na msingi, hongera sana kaka. Tungeomba kupata vipindi kama hivi hata kwa mwezi au wiki mara moja tunajifunza mengi hapa
Kwa mara ya kwanza nacooment kwenye mahojia UA-cam, Mtangazi anajua kuhoji, nimependa swali alilofungulia kipindi, Kwa Wenye akili Ni swali gumu sana
Kweli me too
Mtangazaji kaenda shule big up sana
Good job.. hii ndo nguvu inahitajika kwa Diaspora ya Kitanzania kuiga.. big up
I am happy to see a Tz citizen young. Educated. Studied abroad. But decided to come back home to invest at home. And empower the local people.
You are one example that young Tz people need to learn this
😢kwa Nini usitumie kiswahili Ili ueleweke na Watanzania wengi Zaidi?
Anaonekana ana mawazo chanya sana, ana utulivu wa akili na anaelewa maisha ya kitanzania!
Huyu jamaa safi sana na niwakuingwa sio wasomi wetu wakipata Hela wanafungua mabaa ya pombe na kuharibu nguvu kazi ya taifa
hahahahaha huyu jamaa watatoa wapi pombe wasomi wetu wasipofungua Bar??
Mungu ibariki Tanzania yetu,na azidi kubariki pia vizazi vyetu.Amen
Huyu ndio mtangazaji ana stahili kufanya mahojiano kama haya
Kweli kabisa
Kaeni hivyo hivyo crown media msije kuwa machawa amen.
Nimependa sana haya maongezi. Ninapenda ufugaji . Nitakutafuta. Shukrani sana.
Hongera sana crown tv, hv ndio vpindi Bora vyenye manufaa kwauma, sio michawatu wanaongea upuuzi. Mala ICU, mala masham sham upuuzi tupu, pigeni kazi vjana
Mwandishi jitahidi kumwachia mwandishi akamilishe majibu mathalani swali la mbegu walizoagiza kutoka nje ameanza kutaja ukamhamisha. Hata hivyo kwa kiasi kikubwa uko vizuri.
Ni kweli #HapaNiNyumbani aise noooooma. Nimeipenda makala hii
Safi sana Crown Media. Ki ukweli mmefanya interview bomba sana.
Hiyo Familia Toka Babu ni watu kazi..wapo smart sana..lipo la kujifinza
Mahojiano ya juu sana haya mic zinachuja saut vizur pia mwamba anahoj vizur sana
Quality ya Video 🔥🔥🔥 na content
Hii Interview inanifanya nipate fikra tofauti kabisa katika upambanaji wangu. Ahsanteni Crown Media
Hongera sana kwa uwekezaji mkubwa ulioufanya. Mungu azidi Kukutangulia🙏Pia mtangazaji Ubarikiwe
This is a good thing to hear and to learn as well.Big up
Hongera sana kaka Kuna jambo kubwa la kujifunza hapa kwa vijana pia wa Tanzania wote
Jitaidi sana kuleta maudhui kama haya inaleta hamasa safi sana crown media
Ongereni kwa kazi nzuri mnazofanya
Crown ❤🔥🔥🔥🔥
Crown 👑
Mko vzr
craun media, safi. sana.jikiteni kTka mambo mazri kamahaya,kuwenitofauti na wenzenu tumewachoka
Brother Mulla jaribu pia SUA walikuwa na mbegu bora sana ya ng'ombe wa nyama.
kazi nzuri ALLAH bless you this is what we need
Noma sana 🎉🎉🎉
nice job big up crown
Postive and Inspiring, natamani sana kukutana na Mr Richard Phillips wa Iringa nijifunze nadhani hawa ndo Giants wa Ufugaji Ng'ombe na Farasi Tanzania.❤
Crown hapa ni nyumbani❤❤❤❤
Nice job
Mtanagazaji , upewe maua yako best interview ever big up bro
Asante mtandazaji kutuletea mtu mwenywe maon kwenye Tanzania yetu
Navutiwa sana na podcasts kama hizi.. Crow Media mmejua kunikuna roho haswa.. Mungu awatunze sana hao wengine yyte yawapate😅
Nahitaji number na email address ya huyo Mfugaji
Quality Voice & video.. 🔥🔥🔥🔥
Hapa ni nyumbani ❤❤❤❤
Hapa ni nyumbani Crown media 👑 wote tunawapenda
Kazi nzuri mkuu
Kazi nzuri sana , vijana sisi tujifunze kuwekeza katika sector ya kilimo na ufugaji
Nakuunga mkono
Everything is quality
Hongera sana sana My Son Mulla. Move forward we need Young Boy s like you because foolish young are Many in the world. Well-done job.
Nzuri sana , interview yakiwango imeenda shule, tatizo hatujapata mawasiliano ya uyo jamaa wengine tupo mbali
Hapa ni nyumbani napenda sana kilimo
hi elimu nimeipenda Sanaa crown 👑 👏👏👏
This was highly informative
Makala muruwa kabisa! Hongereni Crown Media
Mmeleta mageuzi kwel katika tasinia hii nawapa mwaka mmoja mtakuwa top ya TV zote za hapa tz
Big up crown 👑 media
Ata sikujua @temidayo yupo crown,,,,excellent work.tunategemea kuona zaidi vipindi bora kama hivi
Big up 🎉
Safi sana, kuna soko kubwa sana la nyama quality hapa hapa Bongo, watalii zote wanakula nyama kutoka nje.
Temidayo 🎉🎉🎉
Themidayo! You're the Best....Good Interview..👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Na mi Pia Ni Remy mzaliwea wa Buyenzi Kwa sasa nipo Egypt Cairo, Nimefirai kuskia Brother amezaliwa December 1991 kama mimi. much love bro.
😂😂😂😂
Sasa ww mpka sasa umeekeza ktk nn😅
Egypt ya Bunyokwa...😂
Urudi na wewe uwekeze mkuu
@@mvullamanasembona huendani naunayo yafanya 😢
This is a profitable interview , nice , keep it up ,
❤❤❤❤so good
This is nice, bring things like this, motivational
Kipindi Bora kabisa cha maendeleo na uchumi,hongera sana muundaaji na team yako yote...
I love this kind of content ❤
Kazi nzuri sana
Hongera sana
Safi sana Crown media ama kweli Hapa ni nyumban#
Crown mko vzr Sana
Very good 👍 👏 👌
Crown ahsante sana kwa content nzuri nyie sio kama wale wengine habari hiyohiyo wiki nzima
Safi sana 🎉🎉
New millard ayo
Huyu ni zaidi ya milardayo
MashaAllah Mr Naweed, Allah akufanyie wepesi in shaa Allah, umeni impress
Hongera sana wawelezaji kuwa waaminifu na serikali pia hongera
Thanks mr Naweed best interview 👌
jamaa kavaa under armour. he is one serious dude
Nakubali
Makala kali , na kamera njo uniseme sasa cool
Mambo ya Msingi kabisa.....❤
Aiseeeeeeeeeee.. This is Tanzania we want
Good job yaani
Crown média ❤
Hapa ninyumbani. Hongera kwa mahojiano mazuri
Daah aloo hii Ni level nyingine saana🎉
Crown be blessed mungu azidi wabariki❤
Safi sana. Kipindi kizuri. Hongera kaka yangu kwa uwekezaji.
Kaka Huyu nimempenda Sana kasoma nje ila wangekuwa wenzangu na mimi wanaulizwa kwa kiswahili wanajibu kizungu ooo uknow I'm ... Hawa ndio watu tunaotaka kuwasikiliza watu kama sisi Wana Mali na hawajisikii wasaniii shida tuu
Ni kweli kbs angeongea kimombo kitupu na kujifanya kiswahili akijui na utajiri alojaliwa
Keep on sharing stuff like this.
Hongerèni crown sio wengine wanaleta vipind vya kipuuz
Mungu akusaidie akubarikie akuzidishie ufanikiwe zaidi Yaaaaaarabi Ameeeeeen
Nimemkubali sana huyu mwamba hakika crown wako vizuri sio kama wale wanashindana kuvaa minyororo shingoni.Crown noooma
Mtangazaji ur the best
Baharia kajipanga🤔 sana.. Big up bro.. uko vizuri💯👍👍
Crown 👑 madini tu
My next president mungu akulinde
CrownMediaTZ nawaona mbali Sana baada ya mda mfupi tu🔥🔥