Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
MPINA AJIBU WABUNGE WALIOSEMA WATAKWENDA KUMSHTAKI KWENYE VIKAO NEC "CCM SIO PANGO LA WALANGUZI"
- Додати в
- Мій плейлист
- Переглянути пізніше
- Поділитися
Поділитися
Вставка
Розмір відео:
- Опубліковано 29 чер 2024
КОМЕНТАРІ • 302
Наступне
Автоматичне відтворення
DKT. BASHIRU AMJIA JUU TABASAMU KISA MPINA, "NI MTETEZI WA WANYONGE, WABUNGE WAZALENDO TUKO WACHACHEUhondo TV
Переглядів 101 тис.
INAUMIZA “MKE WANGU NA WATOTO WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA, NIMEWEKEWA SUMU NIFE”Millard Ayo
Переглядів 143 тис.
രാഹുലിന് അറസ്റ്റ് പേടിയിൽ വിഭ്രാന്തി | ABC MALAYALAM NEWS | ABC TALKS| 03-08-24 |ABC Malayalam News
Переглядів 164 тис.
Стрибки у висоту: ФІНАЛ, ПРЯМА ТРАНСЛЯЦІЯ / Олімпіада-2024, дві українки: Магучіх, ГеращенкоСуспільне Спорт
Переглядів 622 тис.
Алексей Щербаков разнес ВДВшниковBody Mania
Переглядів 7 млн
Ядерное озеро #ссср #россия #пермьПослезавтра
Переглядів 3,5 млн
ВАТАЖОК Коростишівської банди та його дружина - хто вони такі?ТСН
Переглядів 1,1 млн
MBOWE,CHALAMILA,MCHUNGAJI KIMARO WANENA HAYA MSIBANI /BABA MZAZI WA HALIMA MDEE AFUNGUKAJAMBO TV
Переглядів 51 тис.
ഇറാൻ എന്തുചെയ്യും ? | അഡ്വ. ജയശങ്കർ സംസാരിക്കുന്നു | ABC MALAYALAM NEWS | JAYASANKAR VIEWABC Malayalam News
Переглядів 284 тис.
Mpina Aunguruma Baada ya Kusimamishwa Bunge, Asema Yupo Imara. Aahidi Kwenda Mahakamni Kudai HakiThe Chanzo
Переглядів 35 тис.
മുല്ലപ്പെരിയാറിലെ ആശങ്ക മാറ്റും: സുരേഷ് ഗോപി തനി തങ്കമാണ് l Mullaperiyar Suresh GopiMarunadan Malayali
Переглядів 1 млн
WAKILI MWABUKUSI AMPASUA TENA SPIKA TULIA KISA MBUNGE MPINA //AUKATAA UNYONGE LIVEBaharia TV
Переглядів 38 тис.
MPINA amjibu MUSUKUMA kuhusu kumchongea CCM, asema watakuwa na kibalua kizitoHabari Digital
Переглядів 25 тис.
A-Z Afunguka Binti Anayedaiwa Kulawitiwa na Aliyekuwa RC Simiyu, LHRC Yaingilia KatiWAKILI TV
Переглядів 134 тис.
'KILA MMOJA ALITAKA MWENZAKE ANASE KWENYE MTENGO, GAMONDI ALITAKA SIMBA WASHAMBULIE KWA IDADI KUBWA'Millard Ayo
Переглядів 2,3 тис.
EXCLUSIVE:MJUE LUHAGA MPINA MBUNGE MZALENDO ANAYEWASHAMBULIA MAWAZIRI na KUIKOSOA SERIKALI BILA UOGASAN TZ MEDIA
Переглядів 108 тис.
"СВО” довела РОССИЮ! УРА-патриоты ПРИУНЫЛИ! Гражданская оборона 2024 - 30 полный выпускТелеканал ICTV
Переглядів 1 млн
Это реально работает?!БРУНО
Переглядів 4,2 млн
Арестович: Операция ВСУ в Курской области. @A.ShelestAlexey Arestovych
Переглядів 2,2 млн
Стрибки у висоту: ФІНАЛ, ПРЯМА ТРАНСЛЯЦІЯ / Олімпіада-2024, дві українки: Магучіх, ГеращенкоСуспільне Спорт
Переглядів 622 тис.
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصيرOne More Arabic
Переглядів 37 млн
😳 Все русские уже знают итальянский?🇮🇹Super Italiano
Переглядів 2,3 млн
❓А кого бы выбрал ты?! (👩🏻Мисс Делайт vs 🐱Кетнеп 💏🏻Родители)Ной Анимация
Переглядів 3,8 млн
Лебедев - большой разговор / вДудьвДудь
Переглядів 18 млн
Wangapi tumeanza kupata mawazo ya Kenya?
Gonga like twende sawa
😂😂😂😂
❤
😂😂😂😂😂😂
Mawazo ya Kenya ya kipuuzi ingia barabarani uone
Daaaaaah bongo ni hatari sana
Wanaosema Mh Mpina ni nuru ya waishio gizani tujuane hapa.
Mpina tunakukubalia sana mungu atakufanyia wepes
Pole sana lazima upigwe mawe kwasababu msema ukweli
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Msukuma mmoja hivi mwenye akili nyingi sana
Waongo waliungana kumuadhibu mkweli😢
Namkubari sana mpina
Ukweli nilishangaa sana.Mimi ni MNEC nitakwenda nitasema hili.Wabunge Hawa ukweli walifanya vibaya sana.Na c utaratibu.Hawajui wajibu wao kama wabunge.Msitishe watu kusema ukweli
Tuko pamoja Mh Mpina, Wabunge wengi ni vilaza hawajui ht wajibu wao Bungeni
CCM HAWATAKI MTU ANAYE ONGEA UKWELI 😂😂😂😂😂
Jaman jaman jaman. Eee MUNGU tusaidie, maana sisi wengine tunaishi kwa neema yako
True
Wewe kama mwananchi unasemaje? Nchi inaibiwa watu wako bize kubishana simba na yanga
Mwizi yeyote ukimnyooshea kidole kwa sababu ya wizi aliofanya lazima akasirike na kutafuta mbinu ya kukunyamazisha.
@@MariagorethPetero kwahiyo nyie watanzania mnashabikia wezi
MPINA ni Mzalendo kweli kweli. Kila silaha itakayofanyika juu yako HAITAFANIKIWA. ISAYA 54:17, usiogope
Hongera sana Mpina wenye akili tunakuelewa!
MIMI NAWASHANGAA SANA KWA NINI MSIANZISHE CHAMA CHENU MTAPATAWATU WENGI SANA KUSHINDA CCM
Jamaa anahoja asikilizwe
Tatizo mpina umesema ukweli kwani ujui kama ccm wanapenda uhongoo ila usijali wakikufukuza njoo chadema kwani nini
BORA AANZISHE CHAMA CHAKE HAO CDM NDIO WALEWALE TU NGOJA WAPATE NAFAC UONE TENA BORA NA CCM
@@user-hd5bg8qw1bZito ameanzisha chake mkamtelekeza
Aje chadema sisi tunamchkua msigwa usajili kama wa mutale simba
Aje chadema??!! Wao ndo kabisaaa!!! Ukisema ukweli unaitwa msaliti dah!!
Na awezi kwenda chadema yeye xo mjinga Bora haunde chama chake.
We love you Mpina...
Ukiona hivyo huyo BASHE hakufanya yeye kama waziri bali alipewa maagizo kutoka juu.
Kwel
Umeongea point sana ,nakupa hongera.
Umeongea akili ya wenye akili na huyu angenyamaza KUSUBIRI muda useme ,asijitose kwenye bahari isiyo na nanga 😢
Fact KABISA...waazishe chama sisi tutawapa kura
Makonda
Mpina
Kaliman
Lukuv
Gwajima
Tunawapa kura chap
Kabisaaa
Bashe kalindwa Kwa nguvu saana
kaka pina umenifanya nianze kufikiri kutafuta mbadala wa chama changu. hongera sana wewe ni Kwa uwajibikaji mzuri wa Afya ya taifa letu😊
I'm grateful to hea that....keep going sir.
WATANZANIA HAWA WABUNGE WASIRUDI TENA
Watu weng hawajui sheria , mpina upo sawaaa
Uko sawa mh.mpina the message sent and the delivery.
Msema kweli hii nnchi anachafuliwa sana Mpina tupambanie
MPINA UPO VZR SANA BUNGE LETU UCHAWA MWINGI ENDELEA KUIPAMBANIA NCHI NA WANANCHI WENYE AKILI TUNAKUELEWA SIKU ZOTE UKWELI HUWA UNAUMA
Mpina stand firm
❤❤❤❤mungu akulinde
Tulia anajipendekeza kwà samia sana badala aisimamie serekali kwào hamna hata barabara ana KAZI ya kumfungia mpina
Tena toka pale round about hadi kwao pale vumbi kokoto tupu yaani hadi atamaliza muda hakumbuki kwao.sifa zote kakimbilia kugawa boda boda tu Mbeya mjin jimboni kwake hakuna kitu,hata sifa wanazompa sijui ni ipi
AWA WABUNGE WAMEJISAHAU KAMA WALIFANYIWA KAMPENI NA JPM KWA UTAMU WA MADARAKA WASIRUDI TENA BUNGENI
One Man Army (OMA).
Ukiongea ukweli hapa kwa baadhi ya mafala walio wengi Tanzania hawataki matokeo yake ni kujaribu kumzuia msema mkweli
Namuona chuma kwa mbaliiiii mzalendo Mungu akulinde
Bashe ni hamna kitu nikiongea hivi Nina sababu za msingi kwenye vyama vya msingi Kuna wizi sio kidgo na yuko kimya
Nakukubari Sana Mpina Mungu akulinde
ipo cku atakuja magufuli mwingne watakuja kunyea debe
Usiwe na wasi wasi tuko na wewe na wapiga Kula wako tutakikisha unarudi bungeni Kwa kishindo na bado siku unarudi bungeni tutakusindikiza
Daaaah tunako elekea ni kenya kabisaa, kuna hatua tutafika tutachokaa , hongera kwa kupambana kamanda
Nawakumbusha tu chama anachotoka huyu mwamba badiliahen maamuz mapema sana itawaghalim mno ushauri lakin SPIKA pia bashe jitafakari kaka
Mtafanya nini,vyombo vya ulinzi vipo imara
Mpina kiboko!!!!Ngosha getegete!!!
Daaaa pole Sana,lakini ubaki tu CCM.
Shida jamii imeshiba sana amapiano vichwani bro kiasi unajikuta unapambana pekeako jifikilie jamii iachana na wakina amapiano wakamsikiliza DIZASTA VINA nini kingetokea naamini tungesapoti unachokifanya sana
My role model
Dah nuru itang'aa hv punde mungu yuko pamoja nawe na mamilion ya watz nko pamoja!!
VIVA KOMREDI MPINA....HILO NI GENGE LA WABUNGE WALA RUSHWA NA UFISADI....TUNAWAAMBIA....WATANZANIA SIO WAJINGA!
MILLARD BONGE LA MNAFKI
WABUNGE WAMAGUFULI AWATORUDI TENA
asante sana mpina wabunge ni. Wanguzi sio wabunge wa wananchi masikini ni wabunge wa. Wenu ni simba sauti ya wanyonge
Nakukubali sana kaka hawajielewe hawo wavunia tumbo
KINAMAKONDA KINABASHILU ALI KINA SABAYA KINA MPINA MNAFANYA NINI HUKO CCM TOKENI AZISHENI CHAMA AU KIPENI NGUVU CHAMA KIMOJA KIWE NA USHINDANI MKUBWA TUITOE CCM
Kama niwazavyo
Duu hili wazo nililiwaza tangia asubuhi kamq ulikuwepo
@@SarahRajah kweli ndugu yangu CCM awanamvuto WATANZANIA wanamvuto na watu awa
Usikubali kujiuzilu mzee wangu yaani mpaka wasemeee!!Bashe ni muongo sana hata ukimwangalia materials and formally
Tanzania tunashabikia ujinga
@christinakomba689 haya ww shabikia ujanja
1:13 @@christinakomba689
Bashe ni muongo !!Mpina kasema ukweli Ila ni kawaida waovu kuteteana🤮🤮🤮🤮
Safi sana mpina
Huyu jamaa ni kichwa tunao wachache sana wengine waliobaki wote ni ndio mzee
Pole sana Mungu akutangulie ndio Tanzania yetu ukisema ukweli unachukiwa
Xnaaaa bro mpina simama imara shetani yuko kazini wanaleta stress zao ndani ya bunge wapeleke kule
Safiiii mpina
MIMI NINAUAKIKA WATU HAWA SITA SABA WANAITOA CCM MADARAKANI
WATANZANIA TUAMKE HAWA WABUNGE TULIWACHAGUA KWA SABABU YA JPM TUAKIKISHE AWALUDI TENA BUNGENI AWA MAKUMA
Nimekulewa sana broo,kwa kweli walibebwa na jina la jpm
😢khaaaaa eti makuma tusilingine ulikosa
@@marcynhumbi3534Muazime kama utakuwa nalo😂
Hawafai
Nani alikwambia kura zako zilihesabiwa ? Hahaha haya
Haya maoni 2 yanamajibu mh mpina uko juu
Huyu inatakiwa kila mahali awe anakundi la watu wanamshangilia, ila mambwa wamelala tu usingizini.
Vita ya sukari bado mbichi..wabunge wa ccm wote ni wa ndioo inatokana na kwamba ,huu Ni mwishoo.wapo ambao wanaogopa hawatarudi..Sasa wanajikomba ili kwenye gwaride la u haguzi wasiachwe..Mpina nakuunga Mkono saana .Kuna kitu kimejificha nyuma ya uagizaji sukari
Toka huko ccm watakumaliza blo
Sasa usisome sana basi boss , hoja zote clean kabisa
kwa mfano raisi awe MAKONDA makamu awe MPINA waziri mkuu mwambukusi pata picha 2025 hiyo serekali itakuaje please REPLY
Nilidhani kuwa MPINA YUPO 100% Correct ila Sasa naanza kuelewa kumbe there is something behind we have to be careful
Spika na bunge hawakumtendea haki Mpina, kaka simama na ukweli watanzania tunakuelewa sana
Andazi na WA wa Bora nini 😂
kwel hakukua kikao cha ccm
Namkubali sana luhaga mpina
Adaaa mkutano kila mkoaa tutembee naww
Jamani Mpina unaeleweka vizur mno yatawarudia wao watadhalilika
Mpina piga kazi kama msema kweri ni mtenda zambi basi hata waendao kanisani kumutukuza mungu kwa haki na kweri na wao hawataenda mbinguni ira kama msema ukweri na haki kama mpina basi hawa wabunge wajitasimini sana majimboni kwao 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Amna msukuma mjinga hata mmoja piga Kaz mwanone
Kabsa
Nenda Chadema tu ukaungane Lissu huna ishu
Ila tulia bhana
Ok sawa asilimia zote 100/ kwahoja zako mh Pina tunaka wazalendo kamama wewe sio wapiga diri 2025 tunawasubiri watukute
Ipo siku mawe yataongea kwa jina la Yesu
Mtu ukikaa kimya huwezi kupungukiwa na zaidi utabarikiwa tu.
Acha nidhamu ya uoga kukaa kimya afu muendelee kupiga sio
Kwani wananchi walikuchagua ili uwe bubu bungeni?
USIOGOPE kuachwa na CHAMA ,Ogopa kuachwa na MUNGU
Hebu muwashauri hao wap..z wawe wanapita na mtandaoni kujua wananchi wao wanasema nini through comments afu wachukulie positively then wajitathimini kwa uongozi mbovu na maamuzi yao mabovu, wanatukwaza sana sisi wapenzi wa ccm. Mbunge kama mpima ni wa kuungwa mkono kabisa vinginevyo mnatufanya kuwa na mashaka na ccm ambayo tunaiamini kuwa ndiyo yenye viongozi bora wengi, kama vile Majariwa, Makonda, Mpina na wengi wengi. Kuna shida kubwa sio bure.
Mpina akili kubwa na mzalendo wa kweli
Naomba contact za miladayo
nenda mwenywewe kenya
Mpina oyeeeeee
Mpina kaza baba uku vizuri
Daaa ,
MPINA CHADEMA, MSIGWA CCM.. ngoma draw
HWA CCM NA HUYU MAMA WANAMADILI YAO WATANZANIA TUAMKE
@ kingbuddah yatajeee!!!!!!
.MPINA BINGWA NAKUPENDA ENDELEA KUPATA DHAWABU TOKA KWA MUNGU
😂apa naona Mpina Chadema na msigwa CCM 😅
MPNA WATANZANIA WANAKUPENDENI SANAA NYINYI . MKITOKA CCM WOTE WATAKUFUATENI NYINYI C CCM
Mpina ulitakuwa uunge mkono kila jambo hata kama halifai maana tumekulia mazoea hayo mpina! Kawaida ya mbunge ni kupigia makofi kila jambo liwe zuri au baya lazima uunge mkono
Halafu tuna akina Msigwa humu wanajiunga na hili pango la majambazi
Mimi nimemuelewa mpina sasa hawa wabunge vichwa vyao vikoje
Wananchi tupo na Wewe hata uende upinzani tutasimama na wewe
Nimegundua kuwa hata mafisadi majambazi, na majizi yote yanalindwa 😢
Tumalizanenao.25.wasiruditena.siokulalamikia.mitandaoni.box.lakula.ndio.jibu
Akilinyingi sana
Unda chama chako nitakupa kura yangu achana na wasio kubali kukosolewa kwa mabaya watendayo kwa Wananchi kifupi wanajali matumbo yao sio hali ya Wananchi wa chini.
Hivi hawa wabunge mnaendaga kufanya nini kwenye mikutano yao au mnakwendaa kumuona daimond
Kinyago kimechongwa na ccm hiki anahama CHAMA huyo
Mimi mamsapoti mpina
Siyo rahisi kiivyo ccm wajanja hawatatengeneza mtu mwenyenguvu upinzani kama mpina
Kwa maslai ya nchi arudi bungeni
Mungu akusimamie