WAKILI MWABUKUSI AMPASUA TENA SPIKA TULIA KISA MBUNGE MPINA //AUKATAA UNYONGE LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 68

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 Місяць тому +11

    Akili nyingi kiongoz wangu njoo mbea uchukue fomu lazima upite

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Місяць тому +5

    Chuki binafsi, mpina yupo vizuri mungu atamlinda

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu Місяць тому +5

    Akili kubwa sana jembe Safi

  • @Dominaevance
    @Dominaevance 23 дні тому +2

    Hapo Mwisho wakili Mwabukusi kahitimisha Kwa hisia Sana, too emotional

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Місяць тому +3

    Asante mwabukusi. You are among the best few. Ukiongea i pay attention. Na unaeleweka clearly

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 12 днів тому

    Nakuombea sana baba , Mungu wa mbinguni akulinde baba . Wapo wachache wanaoweza kujitolea kwa kiasi hiki hasa kwa dunia ya leo.

  • @AbrahamSamwel-i2r
    @AbrahamSamwel-i2r 15 днів тому

    Mwabukusi Mungu akutumie na akutunze zaidi kwa ajili ya Watanzania wote

  • @davidchiduo219
    @davidchiduo219 Місяць тому +4

    Mungu Ni Mwema Wakati Wote

  • @mchungajimpigauzitv5703
    @mchungajimpigauzitv5703 13 днів тому

    Yesu awabalik tayali sukali imeshuka kutoka 5000 Sasa Shilingi 2500

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Місяць тому +2

    Wakina mwakabusi.Tanzania.inawategemea.kwanini usisimame kati.ya spika na mpina usipende kusimama.upande moja mwakabusi Mungu.alikuamini funguka saizi.kipindi.tulichonacho dunia imesaini ushoga tulipo.sipo.uangaliage na upande wa.kwanza.wa Mungu

  • @nestor384
    @nestor384 Місяць тому +1

    Akili nyingi sana Boss Mwenyezi akuinue na amshindie Luhaga Jelson Mpina dhidi ya udhalimu

  • @charlestesha4202
    @charlestesha4202 13 днів тому +1

    Broo ww unajua ila hii nchi wanaojua Hupigwa vita sana

  • @OmarAmran-t7k
    @OmarAmran-t7k 8 днів тому

    Mwabukusi gombea uraisi ila hamia CCM wewe ni genius

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo 5 днів тому

      Mtu mmoja aliwahi kusema, kwa ccm hata akijiunga malaika, lazima abadilike na kuwa shetani.

  • @AmbakisyeMbwaga
    @AmbakisyeMbwaga 16 днів тому +1

    Mungu akupe miaka mia wewe mwamba

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 Місяць тому

    Safi sana mh Mpina kaonewa kwa kweli
    Tumesikia bunge LIVE kuna uonevu
    Bunge la hovyo

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Місяць тому +2

    Hiki kichwa tunakihitaji bungeni haraka sana... atamsaidia Rais kufikiri (hata Rais akitoka chama tofauti na chake).

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 27 днів тому

      Baba katiba ndio kilaki2 uyuu ata akinda bungeni wa mtia mabilionsiii tatizo katiba baba

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 13 днів тому +1

    Hivi kama kazi ya bunge ni kutunga Sheria, wabunge wetu basi ilitakiwa tuwe tunachagua watu wenye idea za sheria

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 12 днів тому

      Hakika maana wakienda wasutaji kama Mnau-----. Ni bora mwambukusu mmoja au Madereka Kuliko wabunge Mia wa Tz, namaanisha nini , wabunge wa Sasa hawapobkwa ajili YA maslahi ya watu wao Bali Kwa maslahi Yao binafsi , Na wale wabunge wenye uzalendo wa kweli wanakandamizwa Na wenzao ambao wanaogopa kupoteza Kwa kuwa wakiwa wa kweli kamati haitawateuwa , Jamani Kwa nini Sisi wananchi wasiwe wanatauchia tumpate tunamtaka Kuliko kamati kuu kutuletea Jina?? For sure kama hatuwezi kusema Basi tuwaombee Hawa baba zetu Na Kaka zetu waliojikana Kwa ajili yetu Mungu awaepushe Na mikono YA maharamia

    • @OmarAmran-t7k
      @OmarAmran-t7k 8 днів тому

      Na wawe na akili

    • @OmarAmran-t7k
      @OmarAmran-t7k 8 днів тому

      Kwanini wasichague ma TO kila mwaka wanamaliza chuo kusugua benchi

  • @user-uz3zp1kw1h
    @user-uz3zp1kw1h Місяць тому

    endelea na moyo huo kiongozi tuko pamoja kwa harakati za kitaifa 🙏

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 2 дні тому

    😂😂😂Nakupendeaga hapo tu kaka😂😂😂

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 Місяць тому

    Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, Msumbiji, Kongo sukari iko chini…

  • @user-rb2gu2qm8r
    @user-rb2gu2qm8r 18 днів тому +1

    Sawa Mimi nimekuelewa

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 8 днів тому

    Asee huyu mh wala sijuii kwa nn kila wakati naweka bandle nifukue speech zake

  • @fxmeddy9567
    @fxmeddy9567 17 днів тому +1

    Duuh huyu jamaa ana akili nyingi sana

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 Місяць тому +3

    Mpina kaonewa..

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 9 днів тому +1

    Speaker alikosea sana alivyomufukuza mbunge Mpina bungeni. Mpina alipotoza kitu gani? Katowa ushahidi kama alivyoagiza. Badała yake hata ushahidi haukuangaliwa. Alimufukuza, Mpina kwa dharau na kudai, kamudharau. Heshima haipewi bure, you have to earn it. Alilomufanyia Mpina watanzania wapenda haki kwa wote wamemuona speaker ha simami na sheria, zaidi ya kutumia cheo chałkę vibaya. Na wabunge bungeni wasio elewa wanapiga męża. Shameful! Tumeona kabisa Mpina kaonewa. Kwa sasa Bashe anajaribu kujitetea kwa campaign za speech za uwongo mtupu. Shida za wakulima zimefagiliwa uvunguni.

  • @ErickAlipipi
    @ErickAlipipi 17 днів тому +1

    Wabunge wt nichawa bwn

  • @johnjulius3092
    @johnjulius3092 День тому

    Mkuu huogopi kutekwa na manyang'au watoa roho za watu

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Місяць тому

    Kaka kunawatu wanarohoo ngumu mpka unashangaa nakujiuliza wanahisa namungu.Lakini ukiwakuta kanisani utasema hwa ndio wanapaa kwambawa zao mbinguni.Tuishi kwakuomba sana.

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 9 днів тому

    Mwabukusi ni watu kama nyinyi musio chumia tumbo, ndiyo munaweza kuiokowa Tanganyika kutoka kwa cartels, kwa faida ya watanzania wote. Watanzania tumejaa woga,Rais Magufuli Aliuliżą KATUROGA NANI? Tunaonewa na kuzibwa midomo waziwazi na bado tunapiga makofi. UJINGA GANI HUU?

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 15 днів тому

    😂😂😂mpe uyo.ajitambue😂😂.we uwe rais bwana walai tunatoboa watanzania.bashe anababaisha tu lakin mpinda atamueka sawa😂😂

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Місяць тому +4

    jamani tutasema Sana, lakini amna kitakacho fanyika, la mhimu nikuingia msituni.

    • @user-jc8el6je5e
      @user-jc8el6je5e Місяць тому

      Msitu gani Tanzania.

    • @neemamasimba2981
      @neemamasimba2981 12 днів тому

      Sio lazima msituni ,katiba yetu IPO wazi ,bararani Ni haki yetu Kwa mujibu wa katiba Na sheria YA Tz ,ukiona wanakataa ujue wameficha ufisadi mkubwa Kuliko Deni la taifa

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is Місяць тому

    Bunge dhaifu huzaa maamuzi yasiyofaa

  • @Dominaevance
    @Dominaevance 23 дні тому

    Alichofanyiwa Mpina ni Uonevu WA hadharani hata sis tusionauelewa na sheria Unaona Mapema tu, Spika anatumika kulihujumu Taifa, Kwa nn Spika ajikite kwenye Hoja za Mpina anakimbilia Kumfukuza kwenye vikao vya Bunge Inauma Sana

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 Місяць тому +1

    KWENYE HILI TUKO PAMOJA

  • @YahayaKishakwi
    @YahayaKishakwi Місяць тому +1

    Ujawi kuongea ujinga sema unao wambia

  • @ErickAlipipi
    @ErickAlipipi 17 днів тому +3

    Mpina kaonewa tusemeee wakili

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 15 днів тому

    Nimaneno ya kuigwa

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 Місяць тому

    Wabunge wote ni machwa

  • @user-tn5ym5gd6s
    @user-tn5ym5gd6s Місяць тому

    Good 👍

  • @hassanhussein-ow7qh
    @hassanhussein-ow7qh 18 днів тому

    Kifunde kile kibibi cha Mbeya kama kina utapia mlo

  • @MatesoMatanga-bs3bt
    @MatesoMatanga-bs3bt Місяць тому

    Safi sana

  • @user-rh9bo3kh2g
    @user-rh9bo3kh2g Місяць тому

    Tuko nyuma yake kweli kweli

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 Місяць тому

    Yakwakp yamekushinda unamsemea mpina .Usiwe mshabiki asiyejua lolote.kosa la mpina nikudharau kiti cha spika .kosa la mpina nikupeleka ushaidi kwa spika alafu kuita vyombo vyahabari kusema ushaidi wote aliopeleka kwa spika .Hata mtu asiyesomea sheria anajua kosa la mpina

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 Місяць тому +1

    Bashe ni mpigaji tu..

  • @timothymwalongo7028
    @timothymwalongo7028 Місяць тому

    Me naona shida ni katiba 2 ila Kama ww wakil msaidie kulud bungeni mpina

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 20 днів тому

      Anzisha wewe kumsaidia yeye Mwabukusi katolea ufafanuzi wa kisheria njinsi anavyo elewa yeye Sasa wewe ndiye unatakiea kwenda kumrudisha bungrni!

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 Місяць тому +1

    Mwamba

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 Місяць тому +1

    Spika ni kichwa maji.

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 Місяць тому

    Wew uligraduate vyema, na sio spika sijui ulipataje phd?

    • @jayzeem14
      @jayzeem14 Місяць тому

      Spika msomi na ana akili sana huyu Mheshimiwa kwa usomi ni msomi tafuta hoja nyingine!

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Місяць тому

    Mawakili kwa nini hamwendi Mahakamani kutafuta tafsiri?

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 14 днів тому

    😅

  • @charlesphilipo3533
    @charlesphilipo3533 Місяць тому

    Wewe mwenyewe umenyoshewa kidole kwa kukosa maadili hivi unatetea nini???Hawa wasomi WA nchi hii wanaumwa ugonjwa gani ????

  • @HashimYahaya-hd3zm
    @HashimYahaya-hd3zm Місяць тому

    Mh

  • @user-wu2du6jy5c
    @user-wu2du6jy5c Місяць тому

    Tulia piga kazi achana na wanasiasa

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 27 днів тому

      Kaz anakauka msema kwelii ana tolewa bunge Sasa ndio kazi iyoo watu wasiongee wezii sio

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 Місяць тому

    Asante mwabukusi. You are among the best few. Ukiongea i pay attention. Na unaeleweka clearly