MAISHA NA HISTORIA YA SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 бер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 330

  • @SalmaSalum-qw8yo
    @SalmaSalum-qw8yo 3 місяці тому +60

    Kwenye asilimia 100 ya elimu ya dini nilionayo basi 85 imetoka katika maneno ya othman maalim allah akuhifadhi na akupe qauli thabit inshaallah atupe mwisho mwena

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 3 місяці тому +32

    Sio Zanzibar tu... Tanzania nzima inakupenda... Allah akuhifadhi sheikh wetu kipenzi...akuzidishie kila la kheri...
    Allahummah baarik

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 3 місяці тому +28

    Mash Allah kipenzi changu Shekhe Osman Maalim ni moja wapo ya Mashekhe ninao wapenda . Allah akuhifadhi.

  • @shamte9musicofficial126
    @shamte9musicofficial126 2 місяці тому +2

    Allah umpe maisha marefu na umbashirie pepo ya darja ya juu Sana.

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV 3 місяці тому +59

    Masha Allah Alfatah katika siku zote lakini leo nawapongeza saana kwa kumueka Sheikh Wang Othman Maalim,,kipenz chang,,huwa nafaidika saaana kupitia yeye
    Naitwa Ahmed kutoka Kenya Malindi....team yote Alfatah Allah awajaze...🙏🙏🙏

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 3 місяці тому +2

      Allahuma Amin

    • @harthaseif5497
      @harthaseif5497 2 місяці тому +1

      Mashallaah shekh wetu tunampenda sanaa mashallaah allaah akujaliee pepoyake yarab akukutanishe namtume wetu muhamad SAW mashallaah

    • @mohamedkalme5075
      @mohamedkalme5075 2 місяці тому +1

  • @massudidadi679
    @massudidadi679 3 місяці тому +22

    Tunakupenda kwa ajili ya Allah
    Shekh wetu kwa hakika usiondoke tena znz mpaka mwisho wa Maisha yako Allah akupe umre mrefu wenye manufaa

  • @SalmaSalum-qw8yo
    @SalmaSalum-qw8yo 3 місяці тому +13

    Nilimjua sheikh kupitia redio zanzibar kwenye visa vyake alivyokua anatoa mwezi wa ramadhani visa vya mitume na qisa nilichokua nakupenda sana ni qisa cha nabii yussuf

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 місяці тому +23

    Mashaallah leo mimi nimefurahi sana kujua historia ya shekhe Othman Maalim nilikua natamani kusikia historia yake Allah akupeni kila la duniani na akhera

  • @rahmahamidu9319
    @rahmahamidu9319 3 місяці тому +18

    Mashallah kipenz cha watu shekh wetu mungu amjaalie kila la kheri

  • @hadijagere
    @hadijagere 3 місяці тому +18

    Shekh wengi tume ipenda dini kwasababu umekuwa ukifundisha kwa hekma na busara yani mtu asipo kuelewa wewe basi tena Allah akupe umri mrefu wenye manufaa tuna hitaji watu kama nyinyi Allah akuongezee elimu na aiweke nuru aongeze ufaham kwenye kila lakheri akuwekee baraka ❤

  • @naimachiza3939
    @naimachiza3939 3 місяці тому +3

    Kipenzi cha Watanzania Nzima ❤❤❤Tunaomba Serekali ikupee Uraiya Kabisa Upate Passport ya Tanzania ❤❤❤

  • @user-zt3nj5yj2j
    @user-zt3nj5yj2j 3 місяці тому +4

    Mashaallah hakika shekh Allah akupe mwisho mwema ww ndio mwalim wangu bila napokusikiliza uwa nakuelewa moja kwa moja nakupata utulivu wa nafsi nasijawai kuchoka kuludia elimu yako

  • @abalkib2866
    @abalkib2866 3 місяці тому +7

    Maasha-Allah sheikh Othman Allah akupe pepo kwa rehma zake insha-Allah.

  • @samiaahmad6182
    @samiaahmad6182 3 місяці тому +14

    Ma Shaa Allah ..Umejaaliwa Ilmu..busara..heshma..adabu..uskivu .mara nyingi au zote unajishusha chini kabisa kwa kumuogopa Mola wako mlezi....nahali yakuwa umejaaliwa neema ya ilmu na neema ya kueleweka na kuvutia unapotupatia ilmuu.. pasina na majigambo(majivuno) kwa kujiona mimi ndio mimi..
    Nakuombea na kujiombe nafsi yangu na umma wa kiislam Mwenyezi Mungu atupe furaha ya Dunia na kesho Akhera yenye kumpendeza Mola wetu..ameen..ameen Allah humma ameen
    Allah Ibarik

  • @khalidahmed6900
    @khalidahmed6900 3 місяці тому +20

    Allah amuhifadhi Sheikh wetu na amzidishie kheri na baraka katika Elimu yake.

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 3 місяці тому +7

    Mm natoka mombasa kenya hua kila siku mpka nisikilizee mawaidha yko allah akuifahdhi na akuzidihie ilmu uzidi kutuilimisha nimepata faida kubwa sana kwako natamani niwekaribu nawe sazote I WISH WAS IN ZANZIBAR❤❤❤❤❤

  • @slowclimbertothetop4572
    @slowclimbertothetop4572 3 місяці тому +7

    Maashallah walitoka watatu kuja TZ yaani Ali, Omar na Othman. Majina yote ya masahaba wa bwana mtume S.A.W

  • @hanifahnabakiibi6929
    @hanifahnabakiibi6929 3 місяці тому +4

    JazaakAllahu khair sheikh Othman. We appreciate your teaching. Team Uganda 🇺🇬 😊

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 3 місяці тому +10

    Mashaallah shekhe othman maalim mungu akuzidishie umri mrefu wenye mafanikio kheri nyingi na Baraka 🙏 🙏 amin ishaallah. Natamani pia mimi mtoto wangu awe ka wewe ishaallah ❤❤❤asante kwa historia yako nzuri😊

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 3 місяці тому +6

    Mashaallah Mashaallah nakupenda kwajili ya Allah Allah akuhifadhi...tunafaidika sana na mawaidha yako yanatubadilisha allah akulipe kheri

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 3 місяці тому +6

    Masha-Allah. Allah Akuzidishie Umri , Na Akujaze Kula la Kheir ! 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪 Ni Sheikh ni nae mpenda sana ! .na masheikh wote vile vile na wapenda wote. Allah ! Atawalipa kula la kheir. 🙏🙏🙏

  • @emmanuelahmedbyona2353
    @emmanuelahmedbyona2353 3 місяці тому +1

    Othmaan Maalim kwangu ni mwokozi😢 nilikua musharati, mwongo... nilikua kama umbwa mpaka nikaachwa na mke wangu. Sijui ilikuaje niskie mawaidha yake ya " Mali na Dunia" from that day nili badirika kua muisilamu, nikawa mtu sio umbwa tena. Na pia kila siku jua nakufwatilia kama umbwa yako Sheikh😢 hakuna kipindi kitanipitaka. Hekima na heshima naitosha kwako😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @hamisisamuli6055
    @hamisisamuli6055 3 місяці тому +3

    MaShaAllah, Allah Akuhifadhi Sheikh Wetu Tunajifunza Mengi kutoka kwako.

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 3 місяці тому +7

    ما شاء الله شيخنا نحن نحبك كثيرا 😍

  • @mutaladjasmini4815
    @mutaladjasmini4815 3 місяці тому +4

    Masha Allah Masha Allah sheikh wetu Allah mpe umri mrefu wenye kheri na barka tele ili tuzidi ilimika

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 3 місяці тому +4

    *Allahumma baarik sheikh kwa mawaidha zote ulizotufundisha tumefaidika mno. Jazaa yako kwa Allah. Na daima matani yako / comedy ndiyo huzidisha ladha kwa mawaidha yako.😂😂😂 Shukran sana* 💞

  • @ahmadimahmoud9014
    @ahmadimahmoud9014 3 місяці тому +2

    Shukran kwake mwalim wetu kwa yote unayo tufunza sisi ni wanafunzi wake kutoka Congo drc goma

  • @guyogalora-gl2lu
    @guyogalora-gl2lu Місяць тому

    Mashaallah barak Allahu feek sheikh wetu mpendwa otham maalim

  • @abdikanzu5261
    @abdikanzu5261 3 місяці тому +6

    Allah akujaalie umri mrefu wenye siha na amali njema, ili uweze kutuelimisha na kuwafundisha tuliokuwa hatujui

  • @user-zi3iu3es5i
    @user-zi3iu3es5i 6 днів тому

    ALLAH amjaalie sheikh Othman maalim...ampe kila lenye heri

  • @hatujuanisalum9354
    @hatujuanisalum9354 3 місяці тому +1

    Mimi nashindwa nimepata kigugumizi kuona historia ya ya huyu baba,nampenda kwa ajili ya Allah simu yangu imejaa maneno yake yake sauti mawaidha mafunzo matamu murua ya visa vya mitume yote hayachoshi kuyasikiliza nimejua mengi kupitia mawaidha yake .nashindwa kuelezea Allah ampe umri mrefu azidi kutuelimisha azidi kuelimisha sisi na vizazi vyetu vijavyo. Mimi dada yako. Nakupenda kwa ajili ya Allah.

  • @user-to3ys2gv1s
    @user-to3ys2gv1s 2 місяці тому

    MashaAllah kaka Sheikh Othman maalimu Mola akupe umri

  • @muskhaj1230
    @muskhaj1230 3 місяці тому +5

    Mashallah SHEIKH RASHID KWA KUMLETA MWALIM WETU SHEIKH WETU HATA WW NI MWALIM WAKO.
    KUNA SIKU ULINISABABISHA NIJE MSIKITINI NILISIKIA SAUTI YA SHEIKH OTHMAN MAALIM KUMBE KUJA UPO WEWE SHEIKH RASHID SALIM
    MASHALLAH ALLAH AKULIPENI KHERI.

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy 3 місяці тому +3

    Maasha allah shelhe wangu nataman sikumoj tukutan nitafurah zaid nampenda shekhe othuman najifunz mambo meng kupitia mawaidha yake allah akuhifadhi

  • @idrisjumadarusi3037
    @idrisjumadarusi3037 3 місяці тому +1

    Masha Allah Sheikh ama kwa hakika chema hujiuza...Allah atuzidishie na atujaalie Kila kheir yake ...Amin

  • @user-ck8ln8ed4z
    @user-ck8ln8ed4z 2 місяці тому

    Mashallah Allah atuekee sheikh wetu inshallah

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 місяці тому +4

    Katika masheli nawapendao Tanzania yy ndio namba moja Allah amuhifadhi na kila shari za watu wabaya

  • @khadijaali-gm4yw
    @khadijaali-gm4yw Місяць тому

    Mashaallh Allah akupe kila la kheri sheikh wetu kipenzi

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 3 місяці тому +5

    Kama shekhe Othman maalim nikimsikia roho yangu inasuzika mashaallh nani nampenda

  • @user-sf3ym8pk6h
    @user-sf3ym8pk6h 3 місяці тому +2

    Tafadhali Sheikh, umetueleza juu ya wazazi wako na ndugu zako na tumefaidika sana but pia tueleze juu ya familia yako, yaani mke (au wake) na watoto wako

  • @abdullahamoody1002
    @abdullahamoody1002 3 місяці тому +1

    Alhamdullillah nimejifunza mengi kuhusu othman mwalim na uisikize mpaka mwisho utafaidika naomba masheikh wote wajitahidi kuheshimiane kupate kuwa adhabu nasisi tufaidike ameeeen yarabeel alameeeen

  • @nzabahabwanimanaaisha9923
    @nzabahabwanimanaaisha9923 3 місяці тому +3

    A A W W Othuman Maalim sauti yoko ukisoma Qor an roho yangu inapata uturivu nakupenda kwa ajiri ya Allah.Aisha kutoka Rwanda ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @ummohammed8380
      @ummohammed8380 3 місяці тому

      Asallam aleikum ndugu yangu usiifupishe hii Usiandike kwa kifupi
      Kwenye salam kuna jina la Mungu haifai kukatishwa

    • @1nesoch
      @1nesoch 3 місяці тому

      ​@@ummohammed8380
      Allah atusaheme makosa tunayofanya bila kujuwa ao kwa kusahau.
      Allahuma Amin.

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 3 місяці тому +5

    Masha ALLAH Tabarakallah ❤ ♥❤.ALLAH akuhifadh sheikh wetu kipenz 4rm Kenya 🇰🇪

    • @kimarumarwa3464
      @kimarumarwa3464 3 місяці тому

      Zanzibar ni Makka ndogo tangu zamani,

    • @aishakinia4957
      @aishakinia4957 3 місяці тому

      Amiin Yaraab nimeenukia na mawaidha ya sheikh othman maalim Allah ampe umri mrefu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 місяці тому


      😅AL-KAABA IPO? 😅

    • @SakinaSakinat-qd9rs
      @SakinaSakinat-qd9rs 2 місяці тому

      ​@@aishakinia4957.. Amiin Amiin Amiin my dada

  • @katore1982
    @katore1982 3 місяці тому +1

    TabarakaAllah fii nimyenyekevu kujibu maswali Allah azidi kukujaaliya Elmu utufunze dini yetu Islam

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 3 місяці тому +5

    Alhamdulilah. Watu wa Unguja na Pemba wamekuvuliya kofiya na ushakuwa mtu wa hapo Unguja mpaka ucheshi wako na lafdhi ya lugha yako tunaipenda. Mashaallah

  • @AliAlizo-hy8fp
    @AliAlizo-hy8fp 2 місяці тому

    Masha'allah sheikh othman maalim kumbuka kurudi kenya

  • @user-ez4df7qg2f
    @user-ez4df7qg2f 3 місяці тому +1

    Allah akujalie maisha mema duniani na akhera inshallah babuu uthman Maalim .Much love from wajukuu zako upande huu wa kwale

  • @mikidadibandu3998
    @mikidadibandu3998 3 місяці тому

    Nikimwacha dr sule hakika othuman maalimu ana hekima sana hata wakristo upenda kumsikiliza mungu ampe afya njema amina

  • @user-md5od3xm2g
    @user-md5od3xm2g 3 місяці тому +4

    Mashallah Allah akuhifadhi shekhe wetu

  • @apexmombasa6809
    @apexmombasa6809 Місяць тому

    Ma sha Allah ya sheik Othman Malim

  • @user-qh9jj5xz3p
    @user-qh9jj5xz3p Місяць тому

    Masha Allah tabarakallah, mungu akuzidishie 🎉🎉🎉

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 3 місяці тому +2

    Mashaallah masjid konzi Jamiii inakufahamu Sana sheikh othman maalim Allah akupe umri mrefu. Cha ajabu sijawahii kusikia ukiongea kwa ukali upole na ukarimu ndio miongoni mwa sifa zako. Twakupenda kwa ajili ya ALLAH

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 місяці тому +1

      Naaam...Amerithi kutoka kwa babake!

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 місяці тому


      💯%🤝

  • @DaudaBilikesi
    @DaudaBilikesi 3 місяці тому +2

    Ni Sheikh mzuri na Mwalimu aliyetimia.Amejaaliwa mvuto wa kusikilizwa na kutochosha masikio ya wasikilizaji wake.Hakika ni mjuzi aliyejaaliwa karama njema ya kufikisha.Allah amhifadhi na kumpanua zaidi ili Ummah uendelee kumfaidi na yeye anufaike pia,Biidhnillah.

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r 3 місяці тому

    Maa Shaa Allah Sheikh Othman Allah azidi kukuhifadhi kwa ajili yangu na wengine
    Allahumma Aamiyn

  • @DON_CARE
    @DON_CARE 3 місяці тому +1

    Nakupenda sana sheikh othmaan maalim kutoka moyoni 🤝😊

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 3 місяці тому +1

    MashaAllah mm hua najua katokea sehemu ya mjini kumbe katoka Digo ....Mola akuhifadhi sheikh wetu

  • @ZubedaMgalla-tn1df
    @ZubedaMgalla-tn1df 3 місяці тому +1

    Maa shaaa ALLAH kazi nzuri walimu zetu...MOLA AWAHIFADHI KWA KAZI KUBWA MUNAYOIFANYA amin

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k 2 місяці тому

    Mansha allah allah akuifadhi mimi napenda elimu yako

  • @user-fc4vl8zi4r
    @user-fc4vl8zi4r 3 місяці тому +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah sheikhe wetu nakupenda sana sana kwa ajili ya Allah Allah akuhifadhi akujaliye umri wenye afya akuzidishie elimu zaidi akujaliye uwe miongoni wa waja wake walioridhiwa

  • @user-ey9vf2xo6l
    @user-ey9vf2xo6l 3 місяці тому +5

    Maa shaa Allah baraaka Allah fika masheikh wetu Allah awalipe kila lenye kher nanyi

  • @user-me6gv6tm8h
    @user-me6gv6tm8h 3 місяці тому +1

    Mashaallah mashaallah tabarakallahu may❤Allah bless him and happiness umuri tawilli.Allahu ma amini thuma amini

  • @habibiddy8096
    @habibiddy8096 3 місяці тому +2

    MashaAllah hii ni miongoni mwa UA-cam channel ambayo hujutii kuitazama Allah akujaalie heri na aikuze zaidi na zaidi ifike mbali

  • @rukiashinen7634
    @rukiashinen7634 3 місяці тому

    MaashaAllah Allah akuhifadhi sheikh wetu...Alhamdulillah kwa ilmu tunayopata kwako

  • @safinajuma7310
    @safinajuma7310 3 місяці тому

    Mashalla barakallahu fii kum wallah nakupenda shekh kwa ajili ya Allah nafurahi sana unapotaja markit shukran sana jazakallah kheyr Allah akupe umri mrefu wa ibada

  • @rashiddzambo7789
    @rashiddzambo7789 3 місяці тому

    May Allah accept your deeds sheikh. You have done a lot, we have learnt a lot your exemplary behaviour. May Allah bless you more and more!

  • @saumujumanne8866
    @saumujumanne8866 3 місяці тому

    MashaAllah, Sheikh Othman Maalim, my best sheikh, Mwenyezi Mungu akujaalie umri mrefu, afya njema, baraka na mafanikio tele ili tuendelee kufaidika na ilmu yako

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 3 місяці тому

    Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri shekhe

  • @jichokodoabdullatifabdi3995
    @jichokodoabdullatifabdi3995 3 місяці тому

    Masha Allahukana Laahawulla qoywat illa billah jazakallahu kheir'na sheikh Othman na Mwenyezi Mungu atujalie sote kheir ya dunia na ya kesho akhera.

  • @lamuchidon7643
    @lamuchidon7643 2 місяці тому

    Asalaam aleikum Mungu amjaze kheri sheikh langu othman maalim. Nakumbuka siku nilipokutana na sheikh Othman maalim Mombasa kenya.nikamuuliza sheikh anipe nasaha mm kama kijana basi nasaha alonipa ni same haya maneno asemayo hapa. Masha Allah 😊 Mungu akujaze kheri

  • @alhilaltvonline
    @alhilaltvonline 3 місяці тому

    MaashaaAllah. Ahsante sheikh Rashid kwa kutuwekea Sheikh wetu.,....

  • @zenarajab5104
    @zenarajab5104 3 місяці тому

    Maa sha Allah tabaaraka llahu, shekhe unanipa faraja sana kwa darsa zako najifunza mengi awali sikuyajuwa Alhamdulillah mungu akujaalie maisha marefu yenye mwisho mwema ❤

  • @Athmanobo
    @Athmanobo 3 місяці тому +1

    Mashallah ustadh osman amenisomesha Islamic teachers training college mikindani mombasa Allah (sw) amuhifadhi.

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 2 місяці тому

    Masha Allah mtu na mwanafunz wke nawapenda sna

  • @halimaomari3415
    @halimaomari3415 3 місяці тому

    Mashaa Allah Mashaa Allah,sheikh wetu ndugietu kutoka kenya mola akuzidishie umri uziidi kutuelimisha Raha kukusikia ukijielezea umewatia moyo vijana wengi sana

  • @bwengyeashraf5081
    @bwengyeashraf5081 3 місяці тому +2

    Huyu ni sheikh wangu
    حفظه الله

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 2 місяці тому

    Masha Allah Sheikh Othman Maalim mola akuzidishie kheri

  • @mahershadhil2493
    @mahershadhil2493 2 місяці тому

    Salafy wanaumia san kukuona sheikh upo katik ubora na kazi ya kushajihisha watu waendelea kukazania kusoma san sira za mtume SAW nakupenda sana

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 3 місяці тому

    Ma Shaa Allah...Allah akujaalie umr tawiil sheikh Othman Maalim

  • @fatmamohammed9933
    @fatmamohammed9933 3 місяці тому

    Mashallah Mashallah yaani nimefurahi sana kujua historia ya sheikh othman Maalim Allah azidi kumpa umri mrefu mwenye furaha na imani kubwa na ampe afya azidi kuweza kutuelimisha na ampe pepo ❤❤❤❤😊😊

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 3 місяці тому

    MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER SHEIKH WETU ALLAH AKUJAALIE KHER DUNIANI NA AKHER NA SS ALLAH ATUJAALIE TUWE MIONGONI MWA WAJA WEMA NA MWISHO MWEMA INSHALLAH

  • @SaidNassor-xj6yp
    @SaidNassor-xj6yp 3 місяці тому

    Mashallah allah Al Fatah kwa history nzr ya sheikh Othman maalim.

  • @halimandune7317
    @halimandune7317 3 місяці тому

    MashaAllah Sheikh Allah akuifadhi na akuzidishie elimu tufaidike.

  • @hamisisaid-zz2ye
    @hamisisaid-zz2ye 3 місяці тому

    Mwenyezi Mungu amuhifadhi sheikh wetu Othman maalim kwa kazi kubwa anayoifanya tunaomba pia aje sehemu za Tanariver county Kenya

  • @user-hz8uw4oe2d
    @user-hz8uw4oe2d 3 місяці тому

    Mashallah mashallah kwa ajili ya Allah tunakupenda sana Mwenyez Mungu akujaalie afya njema yny kheri nawe

  • @YassirMohammed-if2jo
    @YassirMohammed-if2jo 3 місяці тому

    Mashallah Allah amzidishie umri mrefu sh othman maalim

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 місяці тому

    Masha Allah. Mwenyezi Mungu akulinde na akupe umri mrefu insha Allah ❤

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 місяці тому

    MashaAllahu al imam Sheikh Othman Maalim na Sheikh Rashid 🎉❤

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 3 місяці тому

    Jazzakllah kheir

  • @saiddaud3855
    @saiddaud3855 3 місяці тому

    Mashaallah sheikh wetu Othman Allah amuhifadhi

  • @SakinaSakinat-qd9rs
    @SakinaSakinat-qd9rs 2 місяці тому

    Maa shaa Allah tabaraka Allah sheikh Othman maalim ❤

  • @user-or8xv5bp1b
    @user-or8xv5bp1b 3 місяці тому

    ALLAH (S.w)akuweke sheikh wetu akupe afya njema na nguvu na sifa tunajifunza mengi tunaelimika na mengi kupitia vipindi vyako,mawaidha yako na Elimu yako

  • @user-jb3uq6jg5f
    @user-jb3uq6jg5f 3 місяці тому

    Mimi nampeda sheikh othman nikimsikiliza namuelewa sana na najifunza mengi pia kupitia yeye mungu amlipe heri na anasaidia kunibadilisha sana katika mapito yangu na uelewa juu ya dini amii yarabi

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 3 місяці тому

    Mashalla namkubal sana shehe othman maalim mwenyezi mungu amfanyie wepesi ktk maisha yako yake ❤

  • @kabulamalima5179
    @kabulamalima5179 3 місяці тому

    Tunakupenda sana Sheikh Othman Maalim Allah akuweke inshaalah. Akupe afya njema, imri mrefu

  • @user-jv9jp5hi9q
    @user-jv9jp5hi9q 3 місяці тому

    Allah akuilhifadhi sheikh wetu kipenzi... akuzidishie kila la kheri....Allhummah baarik

  • @hassanachunis1166
    @hassanachunis1166 3 місяці тому

    MASHALLAH ALLAH IBARIQ

  • @FabianTebeka
    @FabianTebeka 3 місяці тому +1

    ALLAH akupe maisha na atupe kauli thabiti

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 3 місяці тому

    Mashaallah Sh, Othman una historia mzuri Alhamdulillah

  • @user-jy2lo6gl9u
    @user-jy2lo6gl9u 3 місяці тому

    Maa shaa allaah,shekh langu nakupenda kwa ajili ya allaah

  • @saidiomar6642
    @saidiomar6642 3 місяці тому

    Mashallah sheikh wetu