WAYAHUDI NI MAKAFIRI WALIOPEWA KITABU// SHEIKH OTHMAN MAALIM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Waliazimia kumuua MTUME tokea siku hizo

КОМЕНТАРІ • 37

  • @user-nq5bn1qu2g
    @user-nq5bn1qu2g 9 місяців тому +7

    Masha Allah sheikh wetu Allah akupe umri mrefu wa kuzidi kutuilimisha

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 9 місяців тому +4

    MASHA ALLAH 💚💚💚

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 9 місяців тому +3

    Shehe Allah akujaze her na akuingize peponi

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 місяці тому

    Allah humma mamiin shukran sheikh jazzaka Allah khery

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 9 місяців тому +8

    Shekhe wangu Allah akulipe kher inshallah, Duniani na kesho akhera, Nakupenda kwaajili ya Allah 🙏Allah akupe umri mrefu na Afya NJEMA shekhe Othman Maalim 👏

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm 9 місяців тому

      🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻❤❤❤❤❤

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm 9 місяців тому +1

      Napenda anavyosoma quru ani❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm 9 місяців тому

      Hichi nikitab hakina shak nahic raha🥰🥰🥰

  • @MustafshukriTamuje-hv6bz
    @MustafshukriTamuje-hv6bz 9 місяців тому +3

    🎉Masha Allah

  • @user-em3hx8wv4u
    @user-em3hx8wv4u 6 місяців тому

    Mwenyezimungu akulipe wema na sisi wasikilizaji

  • @aishamwachi7854
    @aishamwachi7854 9 місяців тому +1

    Shukran shekhe,,Allah akujalie kila la khery na uzidi kutuelimisha inshaallah,,,,kuhusu hii sala je kama uko nyumbn pk yako napia ukiwa mwanamke inasaliwaje

  • @KarenzoKhalidiIbnSaidi
    @KarenzoKhalidiIbnSaidi 9 місяців тому +2

    Allah akuzishieni elimu na alipe jana

  • @umahmed8273
    @umahmed8273 7 місяців тому

    SubhanaLlah AllahuAkbar

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 9 місяців тому +2

    Allah akbar

  • @RashidSalum-sw7pc
    @RashidSalum-sw7pc 3 місяці тому

    amen

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 9 місяців тому +1

    Shehe mm binafsi loo inanimate sana siku ukifariki

  • @LucyMashinga-ns8pj
    @LucyMashinga-ns8pj 8 місяців тому

    Shee pw

  • @AsmaHoney-jy8fg
    @AsmaHoney-jy8fg 9 місяців тому +4

    Shekh uliwahi kuniombea dua mwanangu ukampa jina mariam ulikuwa na juma mmanga sio mchezo yuko vizuri kiafya ya akili muelewa mno dua zako zilikubaliwa Allah akbariki sana kigamboni dar es salaam

  • @Putin331
    @Putin331 8 місяців тому +1

    Mashallah sauti nzuri. Inshallah siku moja Allah anijaalie na mimi niwe miongoni mwa wasomi wakiislamu

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 9 місяців тому +1

    Tizama leo zanzibar
    Hospital zinajengwa
    Madawa yanaletwa
    CLINC Mashamba
    Majumba yaloanguka
    Barabara kotoka Airport
    Magari ya kuzima moto
    Ambulance
    Bado hamna shukurani
    Mfanyiwe nini hata mukinai

  • @aliseif2691
    @aliseif2691 9 місяців тому +1

    Israil 🐖🦧

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 9 місяців тому +1

    Hizo hadisi unazozema kwa sasa
    Umuhimu kupinga maYahudi kuwau wa Palestin wa Islam7 na wa kristo
    Ma Yahudi hwamini ukrito wala uislamu
    Kwa nini mnaogopa kuandamanleo mnashindwa na South Africa ambao sio waiSLAMU
    MANENO YENU YA UNAF8K HAYANA FAIDA
    KESHO MUTAMJIBU ALLAH
    MUNALINDA MASLAH NA VEO VENU
    MUNAOGOPA NINI
    SEMENI UKWELI

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 9 місяців тому +1

      Nawewe inakuhusu apa sema tutamjibu allah nini

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 8 місяців тому

    Lkn wayahud walisha sio wle wavamizi wa palestine 🇵🇸 wle ni watu wametoka Germany 🇩🇪 pia wmekataa kufanya DNA sababu wnajijua sio wayahud oG😢

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 9 місяців тому +1

    Ongelea pia mauaji yanayofanywa na waarabu darfur Sudan dhidi ya ndugu zetu waafrika weus

    • @user-pc8wo1hh9l
      @user-pc8wo1hh9l 9 місяців тому

      Usichanganye Mambo Bila Kuwa na Elimu yoyote. Watu wote wanaoishi Sudan ni Waafrika. Sudan Ni taifa kubwa na kuna Mchanganyiko wa makabila mbalimbali sawa na Nchi yeyote katika Dunia. Kaskazini mwa Sudan kuna Waislamu wengi zaidi ya Kusini. Ukristo umeenea sana Kusini mwa Sudan. Vita baina ya Kusini na Kaskazini inahusiana na Ardhi na siyo Dini. Wananchi wa Kusini walidai Kuigawa Sudan ili sehemu wanayoishi itengane na Kaskazini na ijitawale. Kwa kifupi walitaka Sudan igawanywe. Sasa kwa nini unamwuuliza Sheikh Maalim aelezee Siasa? Sheikh wetu anaelezea Historia ya Mayahudi na Waislamu katika wakati wa Mtume alipokuwa Madina na wewe unataka Sheikh aelezee Vita vya hivi karibuni vinavyohusiana na Siasa. Mbona Unachanganya Mambo?. Uislamu haufundishi Ubaguzi wa Rangi. Uislamu ni Dini ile ile ya Nabii Isa (Yesu), Musa na Mitume wengineo waliotangulia. Usichuklue habari hovyo hovyo katika Mitandao bila utafiti au Uchambuzi. Ndugu lazima tusome sana. Wananchi wa Sudan ni Waafrika na wote ni watu wenye Rangi mbalimbali pia. Mwenyeezi Mungu ameumba Rangi mbalimbali katika kila kitu na siyo binaadamu tu peke yake. Mimea, Wanyama, Na hata sehemu za ardhi. Tofauti ya rangi ni marembo ya dunia. Na watu wameumbwa tofauti ili wapate kujuana na kutambuana. Huyu Mchina, Huyu Mwarabu, Huyu Mwafrika, Huyu Mzungu na hivyo hivyo Kila mfano. Hakuna aliye bora mbele ya Mwenyeezi Mungu isipokuwa kwa Kumcha Mungu tu. Watu wote ni sawa sawa. Kwa hiyo usisikilize watu wapuzi wasiokuwa na elimu. Kuruani na Hadithi za Mtume Mohamad zimeelezea habari hizi vizuri sana kwa hiyo usome vitabu hivi. Maneno ya Fitina yana hatari sana.

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 9 місяців тому

      @@user-pc8wo1hh9l we mpumbav kabisa, mi naongelea mauaji yanayofanywa na waarabu darfur Sudan dhidi ya ndugu zetu waafrika weus, wewe unaleta dini zako hapa!!!! Kwan hao waafrika weus wa darfur sio waislam? Halafu wap mi nmeongelea mambo ya kugawanyika kwa Sudan? Shenzi kabisa wewe

    • @jamesmwangi9153
      @jamesmwangi9153 9 місяців тому

      Fungua channel yako then ongelelea kuhusu Sudan tukuskiza

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 9 місяців тому

      @@jamesmwangi9153 wewe ni walewale watumwa

  • @ShomiKalunde-zb8gx
    @ShomiKalunde-zb8gx 9 місяців тому +1

    Allah akbar