HAUTAAIBIKA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Kuna wakati shetani anakupitisha kwenye hali ngumu sana,na lengo lake kubwa sio wewe bali mlengwa ni Yesu unayemtumikia.Anataka ufike mahali ambapo utaona kuwa kumtumikia Mungu hakuna faida.Neno la Mungu linasema shetani ni muongo,na tena baba wa huo.
Wakati akitaka akuaibishe,Mungu hukuheshimisha,akitaka ukate tamaa na usione tena njia mbele,Mungu hukuhuisha.Safari ya wokovu tunaiendeleza na kamwe hatutarudi nyuma.
Karibu ujifunze somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando namna ya kuzitambua mbinu za shetani na jinsi ya kutoka katika njia na mitego yake.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our UA-cam: www.youtube.co....
MUNGU wa rehema akutunze kwa jili ya mafunzisho yako yanaupoza moyo wngu kwa hili neno...Unaninua sana kimani❤🙏
Unafafanua vizuri neno la Mungu .. Mungu azidi kukuinua mtumishi
I will not be ashamed in my life....
Sitaaibika kwa Jina la yesu Amen 🙏
SITAHAIBIKA KWA JINA LA YESU AMEN 🙏
I really love your teachings and sermons always watching from Kenya ,,may God continue blessing you 🙏🙏
Mchungaji nakuelewa sana
Sitaabika kwa jina la yesu wataabika wao
I love your preaching's.
There is so much truth in each and every sermon.
I will be forever greatfull.
Amen nimebalikiwa sana na ili somo.
Ni kweli aise Mtumishi
Hapo ni kweli mchungaji
Mungu aendelee kukutunza mtumishi.
Am so blessed pastor 🙏. I reside in Kenya 🇰🇪. But I have been following the sermons online. I request for prayer for my husband, my children and my job.I look forward to hearing from God.God bless your ministry.
Mungu Baba unirehemu mimi kudhani hufanyi kitu. Asante Yesu Kristo ungali ukiandika nipe subira na Roho Mtakatifu anisaidie nitulie tu huku washitaki wangu wakiaibika kiwango cha mafarisayo na waandishi. Mimi sitataharika wala kufadhaika wala kuaibika. Asante Pastor Kyando na wote watendao kazi nawe mabarikiwe na mtumiziwe haja ya mioyo yenu.
Kwenye madhaifu tuombeane
Mungu akubaliki mtumishi
I love the translater she must have schooled in Kenya. Soft English and easy to understand with no jargons. Congratulations
Sitaibika maishani mwangu na familia katika jina la yesu Christ.
Hakika we Baba nakupenda mpaka sijielew nataman nikuone mafundisho yako yananiingia Sana
Amina. Sitaaibika mimi na familia yangu kwa jina la Yesu.
Mungu naomba neema ya kusamehe na kuachilia
I shall not be put to shame in Jesus name
YESU KRISTO ni Baba na rafiki mzuri sana nakupenda sana Bwana wangu, , Barikiwa sana Mtumishi wa BWANA 🙏
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Watching from Arusha
Am so blessed
MUNGU AZIDI KUKUTUMIA MTUMISHI WAKE
Nakuelewa sana mtumishi hakika wewe ni mwalimu mzuri kwangu kiwango changu cha imani kinakua
Ohoooo Yes, halleluyah🙏 Yesu bado anaandika kwa ajili yangu..wakati unakuja sitawaona Tena🙇🙇🙇
Mambo
Mungu najua mm c mkamilifu unisamehe dhambi zangu unifunike n damu yako kwa ajili ya Neema yako.barikiwa mtumishi
Ee Bwana uandae meza yangu machoni pa watesi.wangu.
Mungu ni mwaminifu sintaabika kwa jina la Yesu Amen🙏🙏
I will not be ashamed in my life and family in Jesus Christ name.
Ahsante sana mchungaji toka nikujue miezi mitatu ulio pita umekua wa msada kwangu
Amen amen amen
Ameen 🙏 🙏🙏 Asante kwa mafunuo Aya, sitaaibika katika jina la Yesu
Sijui la kusema eh Mungu unirehemu.nijifunze vyema kuwa ni wewe unaandika yote
Jambo mgumu kweli lakini utawezesha.
ahsante Yesu kwa ukombozi wako katika Manisha yangu
Sitaaibika nimepokea na umekuwa kwangu amin
Nikweli mtumishi wa
Mungu🙏🙏🙏 ubarikiwe nikusamehe tu ili yaendelee kuandikwa
YESU ANAFANYA NJIA PASIPO NA NJIA.
Amen baba.mungu azindi kukuinua ulishe koondoo wako
You are good teacher
Be blessed mtumishi
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu ,hakika ww n mpakwa mafuta
Niko kenya natembelewa na nyoka mwilini nahisi tu...mwili wangu unanona na siku moja kesho nakonda... nimeskiza neno nalia tu sijui chanzo lakini ni mahangaiko sina namna ya kufika tzd
Yeeeee nimetambua kwanini wananidharau nitasimama na Bwana mpaka mwisho..SITAHAIBIKA
Neema ya Mungu ni kubwa 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏
Amen mtumishi barikiwa Sana
Zile aibu mwisho mda huu .SITAAIBIKA KWAJINA LA YESU KRISTO.KUDHARAULIKA MWISHO SAAHII IN JESUS NAME 🙏🏻
Baba wa Mbinguni uzidi kunipa neema ya kusamehe na kuachilia.
Amen ubarikiwe kwa somo nzuri
Listening and watching from Kenya Diani beach
Amen mtumishi akika unasema n mimi 😭😭
Amina.Mungu akubariki Mtumishi
Nimebarikiwa sana naomba NEEMA inibebe
ASANTE kwa somo zuri
I have learned a lot may God bless you man of God
Aaaamen barikiwa kamanda lindoni
Sitaabika kwa jina la yesu
Ameeen Ameeen Sitaaibika🙏🏽
Barikiwa sana Mtumishi
Amen,sitaabika kamwe
Ameen Naisubiri hiyo siku
Kwa jina la yesu sitahaibikaa
Amen I am blessed
Amen🙏 Ubarikiwe Sana Mtumishi ur Gifted 🙌
watching from Manyonii
barikiwa sana baba
Good teachings .May God bless you
So powerful
Amen Amen hakika Sintoaibika tena
AMINA Sihaibika milele
Amenii 🖐️
Ameni🙏🙏
Amen 🙏🏿
Nimejifunza kudeel na wa kwanza habari yyte mbaya inayonijia natafuta chanzo chake kwanza
Amina
Hata ikitokea tumeaibika hatumpi utukufu shetan kwa kulalamika tuna bali tunamtukuza MUNGU yeye alie tupenda nakutuwazia meme
🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙇🏻♀️🙏
Haleluyah!!!! Amen 🙌🏾 Amen🙌🏾
Thanks rrrrrr57r6rrrrrrr r. Noc. Okkkk kkkkkkk. Kk kk. KkkIkumbarr66rr k8mxkknknkiioxk.
Yees
Ameen
Sitaaibika katika jina la yesu amen 🙏🙏
Staaibika kwa jina la Yesu
sitaaibika katika jina la yesu... Amen
Hatutoayibika kwa Jina la Yesu Christ Amen Amen 🙏🙌👏❤
Siaibika kwa jina la yesu.Amen
Sitaaibika kwa jina la yesu
Amen kwanzia leo nitamngoja Bwana Yesu aandike 🤐🤐
Amen
Naamini yesu bado anaandika kwa kidole chake.
Sitaaibika kwa jina la YESU AMEN🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Sitaaibika kwa jina la yesu
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen