NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2021
  • Zaburi 74:20
    [20]Ulitafakari agano;
    Maana mahali penye giza katika nchi
    Pamejaa makao ya ukatili.
    Anaongelea eneo(location) katika nchi(ardhi) ambapo mambo yanayotendeka hapo ni ya ukatili,kama mambo hayo yanatendeka ina maana wapo wanaoyatenda hayo na wanakaa juu ya nchi.
    Uchawi upo,wachawi wapo..na hawa watu wanaweza kuwa mtaani kwako na usiwajue ila ukabaki unajua kuna vitendo vya uchawi vinavyotendeka mtaani kwako.Hawa watu hufanya kazi kwa kujificha sana na ndio maana mchawi anaweza kukuroga ukashindwa kutembea na asubuhi ndio akawa mtu wa kwanza kuja kukusaidia.
    Wakati Mungu anamtuma Musa kwenda kuwatoa waisraeli Misri alimpa pia ishara za kufanya ili Farao aamini kuwa ni Mungu aliyemtuma,na mojawapo ya ishara hizo ni kuangusha fimbo na kugeuka nyoka.Baada ya Musa kwenda kwa Farao akafanya hivyo kama Mungu alivyomuagiza,lakini Farao naye akawaita wachawi na waganga wake nao wakaangusha fimbo zao chini na zikageuka kuwa nyoka.Maandiko yanasema kuwa nyoka wa Musa akawameza wale nyoka wote wa wachawi.Ndani ya nyoka mmoja Mungu aliweka uwezo wa kuwameza nyoka wengi.Ndani yako kuna uwezo ambao Mungu ameuweka,ukiuangalia unaweza ukajiona kuwa una uwezo mdogo bila kujua kuwa kwa uwezo huo unaweza kutenda mambo makubwa sana kuliko fahamu za wanadamu zinavyofikiri.
    UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
    Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
    Like our Facebook: / therealityof. .
    Follow our Instagram: / realityofch. .
    Subscribe our UA-cam: ua-cam.com/channels/67L.html...
    Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
    and Subscribe Pastor Sunbella Kyando UA-cam
    / @pastorsunbellakyando

КОМЕНТАРІ • 125

  • @danstonecool1734
    @danstonecool1734 2 роки тому +9

    tangu nianze kufuatilia mahubirii from reality church maisha yangu yamebadilika kwa wema sawa sawa na maombiii

  • @mariathomas4850
    @mariathomas4850 2 роки тому +4

    Mungu akubariki pastor Sunbella,nami napokea kwa jina la Yesu!

  • @moseskimaro7430
    @moseskimaro7430 2 роки тому +2

    Wisdom at peak. You are a blessing to this generation . I desire your Grace Sir

  • @neemashabani5860
    @neemashabani5860 Рік тому +1

    MUNGU nikonboe kupitia madhabah hii ameen

  • @El9a
    @El9a 2 роки тому +6

    Somo tamu halichoshi kusikiliza... Nimebarikiwa na maarifa ya Neno la Mungu🙏

  • @AdelaKauki
    @AdelaKauki 4 місяці тому

    Nabarikiwa ila upande wa mkono wa kushoto hauko vizuri.Naomba maombi.

  • @sethkambaza5946
    @sethkambaza5946 7 місяців тому

    Amen

  • @breakingnewstz8396
    @breakingnewstz8396 3 місяці тому

    Amen 🙏🙏

  • @halmakalage4566
    @halmakalage4566 2 роки тому +1

    Nmejifunza kitu Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu

  • @danstonecool1734
    @danstonecool1734 2 роки тому +4

    tuned from kenya

  • @chantalmwipata8820
    @chantalmwipata8820 2 роки тому +7

    Mimi niko canada 🇨🇦 I am touched up by your messages

  • @ezekieljob8679
    @ezekieljob8679 2 роки тому +6

    Roho mtakatifu nakusihi usinipte Bwana nijaze maarifa yako ndani yangu

  • @pastordrmathewmaholla8789
    @pastordrmathewmaholla8789 2 роки тому +9

    Pastor Sunbella am so proud of you. Roho mtakatifu anakutumia sanaa, Mungu akubariki sanaa napata maarifa yakunivusha sanaa in many circumstances.... Utukufu kwa Bwana Yesu...

  • @truthforthelastgenerationt6920
    @truthforthelastgenerationt6920 2 роки тому +3

    Amina nafuatilia kutoka Kenya barikiwa mtumishi

  • @edinashaurishauri5223
    @edinashaurishauri5223 2 роки тому +1

    Barkiwa Sana mtumish kwa fundisho zur

  • @karolshirima8935
    @karolshirima8935 2 роки тому +3

    Ninachojua Mungu niliyenaye ni mkuu kuliko wachawi....waungane wachawi wote Tanzania au Africa...maadamu ninaye Yesu...ni sisimizi tu hao

    • @olivermfinanga9387
      @olivermfinanga9387 4 місяці тому

      @karolshirima8935 nilikuw na ufahamu kam wako Ila kilichonipat n huzun 😂😂upande wa giza wanamaarifa afu pia wanatumia kanuni zle zle ambzo Mungu alizitoa so n laxm uwe smart ili kuweza kudeal nao

  • @ArumeruMlili
    @ArumeruMlili 7 місяців тому

    barikiwa sana pastor!!!

  • @farajimgonja8042
    @farajimgonja8042 2 роки тому +2

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU nakufuatilia sana Baba una wanafunzi wengi sana online

  • @loycekatorogo828
    @loycekatorogo828 2 роки тому +1

    Amina

  • @jaelmudoga2542
    @jaelmudoga2542 2 роки тому +4

    I'm learning alot through this channel. We bless the name of the Lord.

  • @frankmshana1331
    @frankmshana1331 2 роки тому +1

    GOD BLESS YOUR

  • @elizabethkivuruga5351
    @elizabethkivuruga5351 2 роки тому +2

    Pastor naelewa mno!!unakarama ya ualimu endelea kutumika na Ubarikiwe mno!!

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому

    Mungu nikumbuke nami

  • @danstonecool1734
    @danstonecool1734 2 роки тому +3

    nikumbuke kwa maombi pia uchumi wangu watawachia in jesus name

  • @sesiliabahath4806
    @sesiliabahath4806 Рік тому

    Pastor Leo natoa Kwa sadak kwajina layesuu naamin nitafanikiwaa amen

  • @annadaffi1273
    @annadaffi1273 2 роки тому +5

    Yaani baba, sijawahi kuchoka kusikiliza masomo yako🙌
    Asante kwa powerful message🙌
    Mwenyewezi Mungu azidi kukutunza🙏

    • @faridajohn9231
      @faridajohn9231 2 роки тому

      Amina BWANA YESU nirehem na kunisaidia

  • @patriciakanote5465
    @patriciakanote5465 2 роки тому +1

    Namtukuza mungu kwa ajili yako mtumishi hakika nimepata kujifunza kitu.

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 2 роки тому

    Kukupenda Dad Sanbella kyando.tu ndo najuwa...toka nmekujua sijawai choka kukufatilia on line....Niko nakusubir ukienda Dom..tu.nakujaa..wallah!barikiwa Sana pastor Sanbella kyando 🙏🙏

  • @barmedastv
    @barmedastv 2 роки тому

    Asante sana unafundisha vizuri sana imekuwa destuli silali bila kukusikiliza najifunza

  • @andrewmukuru6357
    @andrewmukuru6357 2 місяці тому

    YESU ni BWANA!!!!!

  • @tupokengwala2027
    @tupokengwala2027 2 роки тому

    Asante Bwana Yesu kwa jinsi unavyomtumia mtumishi wako kutufundisha.

  • @neemashabani5860
    @neemashabani5860 Рік тому +1

    Najiungamanisha na madhabah hii

  • @SecretglowbymsBecky
    @SecretglowbymsBecky 2 роки тому +1

    Muendelezo wa hili somo 🙏🏽 Mungu akubariki pastor Sunbella

  • @julietmboya3021
    @julietmboya3021 2 роки тому

    May God continue blessing you Mtumishi wa Mungu,

  • @leytcastle9402
    @leytcastle9402 2 роки тому +2

    Huna Mungu huna shetani haki nmecheka 🤣🤣 Tunashukuru sana kwa Somo tukutane kesho kanisani

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 роки тому

    Ni usiku Niko chumbani usingizi imekosa watoto wangu wanajirusha rusha ,siku nyingine nakuta wa kiume amegeuzwa,Asante Sana nimejifunza kitu, muombee na familia yangu,najisikia kuokoka!

  • @davidndungukihara1589
    @davidndungukihara1589 2 роки тому +1

    Amen 🙏
    I bless the name of the Lord God Almighty. Thank you Lord for the my redeemer and Saviour Jesus Christ and your Holy Spirit one God forever and ever 🙏
    Thanks for your servant. Bless and keep him safe in Jesus name 🙏

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 2 роки тому +1

    Nabarikiwa Sana mchungaji

  • @beatricemwaura786
    @beatricemwaura786 2 роки тому

    Powerful preaching and teachings , am learning something

  • @josephinshana4653
    @josephinshana4653 2 роки тому +1

    Ninaamin utumishi ulionao,Ni really!!!

  • @lucyngoje1546
    @lucyngoje1546 2 роки тому +1

    Muendelezo wa somo pastor

  • @mercynanjala6053
    @mercynanjala6053 Рік тому

    Amen from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mauricekipchemboi9656
    @mauricekipchemboi9656 Рік тому

    waaaa waaa ufunuo wa ajabu ...
    napenda sana....

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana 2 роки тому +1

    Jesus is lord amen

  • @eliethaudax9360
    @eliethaudax9360 2 роки тому +1

    Thank you so much dady🙏🏻Mungu akutunze

  • @neemashabani5860
    @neemashabani5860 Рік тому

    Mtumishi mimi nakukuelewa amen

  • @paulineonkoba5792
    @paulineonkoba5792 Рік тому

    Very insightful

  • @merinachillonwa6646
    @merinachillonwa6646 Рік тому

    God Bless you

  • @Nahomi_Laurenne
    @Nahomi_Laurenne Рік тому

    Amen Amen 🙏

  • @irenesilas2614
    @irenesilas2614 2 роки тому

    Shaloom pastor! Mungu aendelee kukutumia...

  • @frankmshana1331
    @frankmshana1331 2 роки тому

    Songa mbeleeeee dadyy

  • @meshackmanofgod8151
    @meshackmanofgod8151 2 роки тому +1

    Mtumishi Mimi napatikana morogoro nidreva wa mabasi makubwa nakuelewagasanaaaaaa haisee nafunguka kupitiawewe

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 2 роки тому

    Always a blessing to be here

  • @elizabethwilliam520
    @elizabethwilliam520 2 роки тому +1

    Thanks alot Man of God ,it have much blessed teaching

  • @friedamkiramweni9500
    @friedamkiramweni9500 2 роки тому

    Asante Yesu kwa somo hili. Nijalie kujifunza na uelewa zaidi.

  • @florencekwamboka9717
    @florencekwamboka9717 Рік тому

    Amen 🙏

  • @linetayuma202
    @linetayuma202 2 роки тому +1

    Amen🙏🙏🙏👏👏🇰🇪

  • @Miriam84Akizimana
    @Miriam84Akizimana 2 роки тому +1

    The bible says my people are perished for the lack of knowledge.

  • @marymasanja1564
    @marymasanja1564 2 роки тому

    Nimebarikiwa na hili somo nakufatilia muendelezo wake mtumishi.

  • @gaudinamosnchobe4909
    @gaudinamosnchobe4909 2 роки тому

    Nakupenda Sana mtumishi wa mungu

  • @rahelmunuo1415
    @rahelmunuo1415 2 роки тому

    Asante sana kwa hili Somo lenye ufunguo mkubwa

  • @peterngulili7301
    @peterngulili7301 2 роки тому

    Haleluya Amina

  • @muhanika77
    @muhanika77 2 роки тому

    mtumishi na mimi nataka kuachana na waganga ila naogopa madhara yake ya kushughulikiwa au kuandamwa maisha yangu....nashukuru wa neno hili...

    • @mutuadickson7120
      @mutuadickson7120 4 місяці тому

      Usiogope Mungu ni kila kitu kwenye maisha yetu

  • @tumpedaudi6681
    @tumpedaudi6681 2 роки тому

    MUNGU AKUBARIKI SANA MTUMISHI

  • @danielbasila7555
    @danielbasila7555 2 роки тому

    Amen my mentor

  • @rehemakilibwa714
    @rehemakilibwa714 2 роки тому

    Asante kwa kuachilia maarifa

  • @olgerahendera9807
    @olgerahendera9807 2 роки тому

    Always blessed when hearing your teachings ,be blessed 🙏🙏🙏

  • @anthonymoligi1352
    @anthonymoligi1352 2 роки тому

    Amen Ndugu yangu.

  • @gilbertwanje
    @gilbertwanje 2 роки тому +2

    Ameni, nabarikiwa sana sana nikiwa Kenya🇰🇪

    • @danstonecool1734
      @danstonecool1734 2 роки тому +2

      Gilbert you will be blesssed

    • @gilbertwanje
      @gilbertwanje 2 роки тому

      Amen

    • @christinesavai884
      @christinesavai884 2 роки тому

      Unatumaje sadaka yako kutoka kenya to Tanzania maelezo tafadhali

    • @joycemaige6838
      @joycemaige6838 2 роки тому

      @@christinesavai884 tumia hiyo namba kuwa Chek whatsapp utapewa maelekezo mpedwa

    • @joycemaige6838
      @joycemaige6838 2 роки тому +1

      @@christinesavai884 kutumia hizo namba zao hapo juu kwenye iyo video utapewa njia zote

  • @gilbertbada8385
    @gilbertbada8385 2 роки тому

    Powerful

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 Рік тому

    Ameeeeeeeeeen

  • @danielbasila7555
    @danielbasila7555 2 роки тому

    Powerful word

  • @naomikalinga3042
    @naomikalinga3042 2 роки тому

    Amen amen

  • @suzansuzzan5344
    @suzansuzzan5344 2 роки тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️

  • @georgebugangazpoa4975
    @georgebugangazpoa4975 2 роки тому

    AMEN

  • @gemalucas5863
    @gemalucas5863 2 роки тому +2

    Plz mwendelezo hamjaweka wa hili somo

  • @chihiyofesto6286
    @chihiyofesto6286 2 роки тому

    Ameni babaa

  • @zawadielgasper8804
    @zawadielgasper8804 10 місяців тому

    Pastrer jamani Mimi namfuatilia mafundisho jamani ni siku TU ya tati ila du mafungiliwa sanaa

  • @dianaobadia6107
    @dianaobadia6107 2 роки тому +1

    Amen nakufuatilia Baba

    • @issackwillium7246
      @issackwillium7246 2 роки тому

      Dear Man of God,
      Mm kama wengine ni mfuatiliaji, na mafundisho haya yananisaidia sana, natamani siku moja nipate nafasi ya kuabudu nanyi. UA-cam humu tupo pamoja. Wekeni humu kwa ajili yetu tuliombali.
      Mungu awabariki na kuwatunza
      Amina.
      Rgrds
      Isaac Mathayo

  • @godwinmamkwe9825
    @godwinmamkwe9825 2 роки тому

    Mungu anikomboe kupitia Nadhabahu hii.
    Nilipata usingizi alasiri ya leo jumapili sebuleni,niliota kuwa kuna mtu anakata ndizi kwenye shamba langu hapa nyumbani,mara nikaota nikitoka chubani ili nimchungulie kwa sieiahani.Nilikutana nae,mwanamke amekaa kwenye kigoda uchi mtupu,ana chata ya tatuu ya nyota ubavuni mwake, anachobga kiazi alichonionesha amekichimbua shambani mwangu.
    Niliona yuko pia na kijana.Nilijitahidi kumtoroka ili nikawaite majirani ila nilipotoka nje kuelekea nje ya boma langu yule kijana alinishtukia ninachotaka kukifanya akaanza kunidhibiti.Alikuwa na nguvu za ajabu kwani nilichukua ubao nikaanza kumpiga nao kwa nguvu kubwa kichwani hadi nikamjeruhi ila aliendelea kunibana hasa vidole vya mkono mmoja akaving"ata kama vile anavinyonya damu hadi nikaishiwa nguvu.
    Nilishtuka usingizini nikaanza kutafakari hadi sasa namwomba Mungu anilinde na kunipatia ushindi dhidi ya nguvu hizo.
    Nimekuwa natafakari hadi sasa sijaweza kuhisi atakuwa ni nani.Jirani au ni kutoka wapi.
    Naombeni maombi yenu watumishi wa Mungu na mlioko kwenye hii huduma.

  • @hwenys
    @hwenys Рік тому

    JESUS REIGNS, ASANTE YESU

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 2 роки тому

    👏

  • @jeanbaptiste5512
    @jeanbaptiste5512 2 роки тому

    Mweshimiwa Mchungaji MUNGU Akurefushie siku za kuishi ukiendelea na kazi yake ipasavyo. Hakika nimepata musada kupitia somo hili. Lakini baba tafadhali nipe fursa tuzungumze baba tafadhali. Nilisha tuma ujumbe kwa ile namba lakini naona bado tafadhali nipokee.

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 2 роки тому

    Ameeeen

  • @heleminaamani5810
    @heleminaamani5810 2 роки тому

    Naomba huduma

  • @lucyshedrack189
    @lucyshedrack189 Рік тому

    Nimejifunza kitu hapa Mungu akutunze mtumishi

  • @jeriahbarongo4219
    @jeriahbarongo4219 2 роки тому +1

    Mamangu siku sote huniambia mweshimu tena mwogope mchawi nimeamini maana nawajua watesi wangu hao wachawi ni watu wangu wa karibu sana ombi langu nikujazwa na roho mtakatifu ili niweze kuyashinda haya majaribu

  • @gretagonga2966
    @gretagonga2966 2 роки тому +1

    Natafakari kitu
    Kwanini Mungu hakumponya Mussa kigugumizi hadi amtuma Aruni aende nae?

  • @andrewmwasomola6161
    @andrewmwasomola6161 2 роки тому

    Natamani kujua mahali kanisa. Hili lipo

  • @mutegiezekiel3827
    @mutegiezekiel3827 2 роки тому

    Pastor umeogelelea kuusu kufukuzwa na kitu dotoni alafu mwisho unapaa juu....halo sijaelewa hiyo do to pls

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Mchungaji ameshiba hasa

  • @pastordrmathewmaholla8789
    @pastordrmathewmaholla8789 2 роки тому

    Samahan mwendelezo wa hili somo uko wap..

    • @realityofchristchurch
      @realityofchristchurch  2 роки тому +1

      Somo litaendelea sehemu ya pili, likiwa tayari tutaliweka UA-cam.Karibu sana.

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 2 роки тому

    ECCLESIASTES 10:19....but money answerth all things
    All traps failed to catch Jesus Christ but when Chief of Priests gave 30 silver coins (money) to Judas they succeed (Mathew 16:15)
    Abraham the Father of Faith when he was in lack and want, this means he had no money for buying food (when there is famine we can buy from far countries) his wife Sarah was taken because she told kings Abraham is her brother in order to get favour Genesis: 12:16, 20:2, 26:6-11.
    A rich man got miracle because he gave to people and built a synagogue Luke 7:5.
    Next an altar of blessings built by Abraham Genesis 12, Galatians 3:13......In the mighty Name of Jesus Christ....

  • @alisalimnzagu4091
    @alisalimnzagu4091 2 роки тому

    Urongo mtupu huo Biashara hiyo mchangieni azidi kutajirika.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Ni semina au mahubiri??mbona mtumishi hatumii Biblia anatumia Tablet jamani??

    • @dastanmboera8445
      @dastanmboera8445 2 роки тому

      Elewa technolojia hiyo Bibla imewekwa humo kwenye tablet ndio Ile hajakosea

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      @@dastanmboera8445 hee kweli wewe umetekwa na shetani,aliyekwambia Biblia Takatifu imekosewa ni nani?naona unamsindikiza Ant Christo wewe,pole saana,na Mzungu hatumii tablet madhabahuni sembuse black huyo

    • @GloriousRestorationTV
      @GloriousRestorationTV 2 роки тому

      @@trophywilson7211
      Kwani mzungu yeye si mtu???? Unaongea nn sasa ww

    • @happynesssanga9729
      @happynesssanga9729 2 роки тому +1

      Napend San mafndisho yako mtumishi wa MUNGU

    • @christermlewa8471
      @christermlewa8471 9 місяців тому

      Mchawi mwingine huyu,sisi tunaamini hiyo biblia ipo kwenye tablet Sasa hivi Dunia ipo kiganjani tembelea na biblia Yako kama huna Imani huna tu

  • @joycesanga6951
    @joycesanga6951 2 роки тому

    Amina

  • @gwimilajames1167
    @gwimilajames1167 2 роки тому +1

    Amen

  • @mhamdahmd7758
    @mhamdahmd7758 2 роки тому +1

    Amen

  • @serahrobath7685
    @serahrobath7685 2 роки тому

    Amina

  • @samuelpmathew4266
    @samuelpmathew4266 2 роки тому

    Amen