WACHUNGAJI WAPIGWA NA BUTWAA KANISANI😱😱😱 WASHALLOM AWAPA DAWAH 😆

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • ‪@StraightPathDawah‬ Tunajitahidi kufikisha ujumbe wa Uislamu hadi mashinani. tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.

КОМЕНТАРІ • 345

  • @StraightPathDawah
    @StraightPathDawah  9 місяців тому +30

    We are working on the audio, stay 😎

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 9 місяців тому +25

    I love wa shalom's passion for islam. May Allah swt increase him in beneficial knowledge.

  • @jakayajakab
    @jakayajakab 9 місяців тому +34

    Sauti Iko sawa. Zanzibar mwanakwerekwe tunawapata vizur ni mdau mkubwa wa chanel hii clip zote naweza sema nimeziangalia ahsante sana straightpathdawah

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 9 місяців тому +15

    Leo hii ni Moto, Allah awaongoze kwa dini ya haki Uisilamu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 9 місяців тому

      Una uhakika ni ya Haki??mtu akichoka uisilamu mnampiga vita ina haki kweli??au haki huijui??

    • @sophiakassim6979
      @sophiakassim6979 9 місяців тому

      💯 true

    • @sophiakassim6979
      @sophiakassim6979 9 місяців тому +1

      Uliyoyalalamikia ni vitendo vya watu but the religion is the fact one

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 9 місяців тому +5

    Hapa sheikh Ramadhan Allah akuinue zaidi na kukuhifadhi na awaongoze ndugu zetu

  • @hasahm1995
    @hasahm1995 9 місяців тому +13

    Alhamdhulilah......ujumbe umefika......Allah atuongoze zote kwa njia ya Haki, njia yake ya uislalamu, na awalipe juhudi zenu siku ya malipo......amiin

  • @hanifahkhamiss8485
    @hanifahkhamiss8485 9 місяців тому +9

    😂😂😂sadaka kwnza mingine baadae....shukrani Allah kwa kunipa neema ya uislam 🙏🙏

  • @alinurharun8468
    @alinurharun8468 9 місяців тому +11

    True must be told great work sheikh Ramathan May Almighty Allah bless you

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 9 місяців тому +4

    Asalam alaykum shekh wetu tunawapata tukiwa Saudi Arabia

  • @modyismael3653
    @modyismael3653 9 місяців тому +5

    Mashaallah wakorino wamejifunza kitu kutoka kwa waisilamu.naomba mwenyezi Mungu awaongoze waone mwangaza.

  • @user-hu3uw4pd7y
    @user-hu3uw4pd7y 6 місяців тому

    Allah akueke akupe afya na uzima wallah unafanya kazi kubwa sheikh Ramadhani inshallah atakulipa mema

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 9 місяців тому +10

    Allah awape nguvu zaidi kwa kuwatoa watu kwenye kiza na kuwapeleka kwenye Nuru

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 9 місяців тому +4

    ALLAH ajaali siku moja wasilim na waifuate haki.

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 9 місяців тому +3

    Weka mkono wako mfukoni tutoe sadaka” hio,Mazinge wa Kenya Manshaallah

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh 9 місяців тому +6

    Alhamdulillah Rabbil Allamin, Allah Akbar, nimefurahi nimeshukuru sana kwa juhudi zenu wahadhiri wetu, juhudi zenu Allah awalipe heri ya dunia awajaalie elim,busara na hekma

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 9 місяців тому +5

    😂😂 MashaAllah tabaraqaAllah mafundisho Yako sawa hawa watu ni wazur ALLAH awaongoze wasilim

  • @mohdamin4073
    @mohdamin4073 9 місяців тому +3

    Mashaa Allah inakuwa nakufatiliaa sn ustadhi Ramadhan hakika huku Zanzibar tunakupenda sn

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 9 місяців тому +8

    Natazama nikiwa Riyadh, Saudi Arabia. Nimefurahi kusikia ndugu zetu wa Runyenjes😊 wakiongea Kiembu kwa kuwa nisomea Sec.Kangaru na kwetu ni Ukambani. Waembu walitukaribisha tukaishi nao kwa wema sana hata nikajua kuongea Ki Embu.

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 9 місяців тому +3

    Ma sha Allah

  • @abdikarim324
    @abdikarim324 9 місяців тому +4

    Sauti Iko sawa sasa,

  • @pwezapwezafelix7222
    @pwezapwezafelix7222 9 місяців тому +3

    Nawapata vizuri kabisa nikiwa mozambiki🇲🇿🇲🇿🇲🇿 kanzu halinaga shida ukilizoea halinaga shida ue kazini popote fresh tu

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt Місяць тому

    Nitafurah.Allaj.wetu.wauruma..awAjaalie.uislam.lnshaAllah

  • @saudahassan3804
    @saudahassan3804 9 місяців тому +5

    Mashallah kwa kazi yenu mnayoifanya, Allah awajalie mema filiduniya wa akhera

  • @Aisha-qx7kz
    @Aisha-qx7kz 9 місяців тому +2

    Alhamdulillahi Allah akuhifadhi shekh ramadhan uzidi kutangaza dini ya haki uislamu

  • @user-tn5ny2vc7h
    @user-tn5ny2vc7h 9 місяців тому +4

    ASALAMU ALEIKUM ustadh RAMADAN naku salamia sana alafu kuna rafiki yako ina itwa Adan ana ku salamia

  • @saidsalim2386
    @saidsalim2386 Місяць тому

    Ustadh Ramadhani, hongera saana, zidisha kupeleka daawah mpk makanisani ndani ndani kabisa hata tukipata tena clip ingine hilo kanisa limegeuzwa mskiti, keep it up!

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 9 місяців тому +1

    Mungu atupe upendo kama huu wakenya na watanzania tunapata nafasi ya kuelimishana kuhusu mambo ya mwenyezi mungu dua yangu ni kuwaombea walimu wetu mungu awalipe yalio mema

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 9 місяців тому +2

    Hustadhi ramadhani nawapenda kwaajili ya Allah kwakuzidi kutangaza uslam Allah awahifadhi na hasadi nakila mabalaa ya ulimwengu

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 9 місяців тому +4

    Maashaa Allah.. 💖
    Sheikh Ramadhani Allah akulipe kila la Kheri.

  • @abubakarwazir5572
    @abubakarwazir5572 9 місяців тому +3

    MASHALLAH, wataelewa tuh mdogo mdogo

  • @JumaNsembo
    @JumaNsembo 4 місяці тому

    Shee mungu akulinde Kwak kazi nzuli ya kuwalingania watu kiu kweki wanapotea sana

  • @yusufmahdi8921
    @yusufmahdi8921 9 місяців тому +3

    Mansha Allah sheekh

  • @ashrafbunu2371
    @ashrafbunu2371 9 місяців тому +2

    MashaAllah Abdulqarim Allah akuhifadhi akuelemishe zaidi ili uwafahamishe wengi

  • @bashirchichi4351
    @bashirchichi4351 9 місяців тому +1

    ALLAH AWAONGOZE KWENYE DINI YA HAKI MA SHA ALLAH kutoka riyadh Saudi Arabia 🇸🇦

  • @omaryissagumbi5242
    @omaryissagumbi5242 9 місяців тому +3

    Waisilam ndo watu wanaoongozwa naroho mtakatifu kutoka arabuni waefeso 1...13 watu woote naombeni tuwe waislam tuu tutabarikiwa naallahu mungu weetu mmoja hakuna atakaekubaliwa namungu kamasi mwisilim tuseme amini amini amini yarablaamini. Inshaallahu

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 9 місяців тому +2

    Allah awasimamie InshaAllah kwa uwezo wake dini ya haki ni uwisilamu tu hakuna dini nyengine zaidi yake ❤

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 9 місяців тому +2

    Mashallah tabaraka Rakhman shehe wetu nakufatilia nikiwa abu dhabi ❤❤❤

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 9 місяців тому +2

    Allah akulinde akhy Ramadhani....
    Na Allah awape rehma wooote wanakusikiza na wanakuelewa.

  • @mokitaa8750
    @mokitaa8750 9 місяців тому +1

    MASHAALLAH ALLAH MTUKUFU ATUTILIE NGUVU KATIKA UISLAMU WETU INSHAALLAH

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 9 місяців тому +2

    Hata kwa hayo yote sadaka lazima itoke. 😂😂😂😂 MashaAllah kwa kazi nzuri Ramadhan na mwenzio.

  • @user-zv4sx9iv8z
    @user-zv4sx9iv8z 7 місяців тому

    Assalam alaykum warahmatulullah wabarkatu, tupo pamoja tokea Lubumbashi Wantashi DRC CONGO, Allah akulipe cheikh

  • @abduljaffer
    @abduljaffer 9 місяців тому +2

    Mlipaji na mwingozaji ni Allah.. Allah awaongoze kwa njia ya haki nayo ayah itatimia .. mtawaona wakiingia kwa makundi makundi ❤

  • @user-ci1sv3ij7q
    @user-ci1sv3ij7q 9 місяців тому +4

    MashaAllah sheikh Ramadan na Abdulkarim❤❤

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 9 місяців тому +9

    Mimi ni muislamu, nasimama kiukweli, ata kazini, dhuruma sipendi. Siida sirata.

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 9 місяців тому +4

    MashaAllah

  • @abdallahmwanga5792
    @abdallahmwanga5792 9 місяців тому +3

    Aisee,Ramadhani,Mungu akuongoze vema ktk maisha yako,na akujalie kauli thabiti...ameen...

  • @StraightPathDawah
    @StraightPathDawah  9 місяців тому +23

    Kama sauti iko sawa tafadhali comment

  • @shikoke4100
    @shikoke4100 8 місяців тому +2

    The sound is clear and tune ..mashaAllah May Allah strengthen us all and guide us to the strainght path ..inshaAllah

  • @user-rq8qn5pn1l
    @user-rq8qn5pn1l 9 місяців тому +3

    Mashallah sheikh,may Allah bless you and protect you,good job,watu inafaa wajue ukweli Mashallah

  • @fugichguyo9887
    @fugichguyo9887 9 місяців тому +1

    Jazakallah kheir,,naomba Allah S.W atupe sote Jannatul Firdhous Amiiin ya Rabb

  • @alyumar4657
    @alyumar4657 9 місяців тому +2

    Mungu awalipe kila la kheri nduguzetu Ameen thuma Ameen

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q 9 місяців тому +2

    Maashaallah Allah awalipe mashekhe wetu inshaallah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 9 місяців тому +5

    Yaaaani leo Muhammad kaubiliwa ❤ kwa church.

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 9 місяців тому +2

      So kanisa ilo tu ndo wakwanza ila Dunia nzima Kwass wanaufatilia na kuusoma Uislamu. Alhamdulillah ☝️

  • @hanifajuma6121
    @hanifajuma6121 9 місяців тому +2

    Masha Allah sheikh Ramadhan na wenzako, Allah awape nguvu na afya njema Ameen

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 9 місяців тому +2

    Barakallah sheikh,kwa Daawah

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 9 місяців тому +1

    MashaAllaah hata wakisilimuuh watakuwa wahubirii kuwa dini ya kiislamuh ndio dini na kukata za maovuu..badaalaaa ya church Itakuwa msikiti….mwenyezimngu Atawaongowaa wajuwee dini sahib…..

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 9 місяців тому +1

    Maashallah brother

  • @omarmwajao222
    @omarmwajao222 9 місяців тому +2

    Iko sawa sasa

  • @user-mm7tx5kf1d
    @user-mm7tx5kf1d 22 дні тому +1

    allah hatomwazibu mtu yoyote siku ya kiama mpaka huku duniani amfikishie ujumbe ujumbe na huo ndiyo ujumbe

  • @BASHIR-IBRAHIM
    @BASHIR-IBRAHIM 9 місяців тому +5

    Masha Allah keep spreading the word of God

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 9 місяців тому +2

    MashaAllah, kwakweli mlipo tunatamani tuwepo. Allah atuongoze

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 9 місяців тому +2

    Nomefurahi sana shekh Allah awalipe na wachungaji Allah awaongoze

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 9 місяців тому +1

    Mashekh zetu Allah awape nguvu na hekima muweze kueneza neno la Allah

  • @ashrafbunu2371
    @ashrafbunu2371 9 місяців тому +1

    MashaAllah 🇸🇦 tunawapata loud and clear straight path tv

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 9 місяців тому +1

    asalam aleykum walahi mna jitahidi daawa kanisani mungu awalipe, ndugu wetu mashaalah amenura anaonekana nuur kwa uso wake mashaalah mwenyezi mungu amuongoze na amkinge kwa sheytan rajiim, asiitwe washalom badala ya washalom afadhali wasalaam pia ni maana moja.

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 9 місяців тому +4

    ❤Mashaa Mashaa ALLAH ❤

  • @uthmanspartar2402
    @uthmanspartar2402 9 місяців тому +3

    May Allah give you strength Abdikarim.

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 9 місяців тому +1

    Mashallah sheikh Ramadhan Allah akuzidishie hekma Na akulinde Na hasad

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 9 місяців тому +4

    Washalom anajua kuweka mambo Sawa. 😊

  • @khamisoothman5294
    @khamisoothman5294 9 місяців тому +1

    Mashaa Allah mabrouk jazak Allah khair

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608 9 місяців тому +4

    Mashaallah ❤

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk 9 місяців тому +1

    Maa shaa Allah nyote muko humble sana Allah awaongoze wakristo watamke shahada
    Aamiin yaa Rabb Al 'alamiin

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 9 місяців тому

      Wakristo hawawezi kutoa shahada kwani Allah tunamjua ni nani na haiwezekani kwani Mkristo haabudu dini Tuna Mwabudu Mungu wa kweli alie hai anae kataza kuabudu miungu na kutenda machukizo kama uongo ,ufisadi ,husuda chuki ,hasira ,masengenyo ,kufirana ,kuzini ,ushoga ,kuoa wanawake wawili , uchawi yaani ushirikina kwa njia yeyote Leo waganga wengi ndio wanatoka huko Daah msiba mkubwa,soma 1Thitheo 1:8-10 utaona mahali ulipo halafu uniambie eti utaenda peponi weee!!!!Soma na 1wakorintho 6;9-11 utajitazama hapo kwani Neno la kweli la Mungu liko ndani ya Biblia Tubuni na kuiamini injili YESU anarudi.

  • @MohamedAhmed-ns5mi
    @MohamedAhmed-ns5mi 9 місяців тому +2

    Mashallaha

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 9 місяців тому +2

    Sauti ipo vizuri

  • @qhatramohamed7006
    @qhatramohamed7006 9 місяців тому +1

    Mashaa-Allah Allah awahifadhi wahadhiri wetu azidi kumpa ilmu dungu yetu katika imaan ❤

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 9 місяців тому +1

    masha Allah abdul karim mungu awabariki

  • @StraightPathDawah
    @StraightPathDawah  9 місяців тому +9

    Sauti IPO sasa kuweni na subra

  • @badrudindaud1087
    @badrudindaud1087 9 місяців тому +1

    Ma shaa Allah tabarakallah

  • @alinuribrahim4216
    @alinuribrahim4216 9 місяців тому +2

    MashaAllah shiekh

  • @PeterObiri-wj1iz
    @PeterObiri-wj1iz 9 місяців тому +1

    Yesu sio mtume pekee ila mwana wa Mungu wa kipekee, mwokozi wetu na ndiye njia ya uzima wa milele🙏 wengine ndio mitume au manabii tu ila Yesu ni mwana wa Mungu pekeake.

    • @user-zw3vv6kk8n
      @user-zw3vv6kk8n 8 місяців тому +1

      Ww dinigani 😂😂😂

    • @user-zw3vv6kk8n
      @user-zw3vv6kk8n 8 місяців тому +1

      Wapibibilia imesema yesuni mwanawamungu au wapiyesu kasema mm nimtoto wamungu😂😂😂

    • @MohammedMo-ew7el
      @MohammedMo-ew7el 7 місяців тому

      Pole ata wakristo wengi washajua kua yesu sie mwana wa Mungu ni nabii km manabii wengine

    • @MohammedMo-ew7el
      @MohammedMo-ew7el 7 місяців тому

      Soma biblia mwenyewe ndugu usisubiri mapasta wakusomee wao wako kz na wanaijua ukweli uko wapi

  • @TwalibuSalimu
    @TwalibuSalimu 5 місяців тому

    Naomba muungano huu tujenge kitu kimoja Mama yetu kiongongozi wetu kijana aliozaliwa namzazazi mwema

  • @user-qm4qd8yk2x
    @user-qm4qd8yk2x 8 місяців тому

    Alhamdulillah kwa sasa iko sawa

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu5778 9 місяців тому +3

    Allah Akbar ❤

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 8 місяців тому

    Abdul Karim Allah akuogezee ufuguke Imani ya kislam ufe ukiwa muislam

  • @hassadube225
    @hassadube225 9 місяців тому +2

    Mash Allah ❤❤❤

  • @hamishatibu1007
    @hamishatibu1007 8 місяців тому

    Shekh Ramadhan Allah akupe daraja la.juu zaid

  • @ibrahimmohd6859
    @ibrahimmohd6859 5 місяців тому

    Nimeipenda hii ,mwanzoni ilikua vurugu mechi huelewi 😊
    Unajadili nao kwa sauti ya utulivu (wataelewa tuu)

  • @feisalhanad7896
    @feisalhanad7896 9 місяців тому +2

    Nimefurahi sana kuwatembelea wenzetu🙏🙏
    Bro Ramadhan na Abdulkareem mjaribu vipindi kama hizi kwa wingi if possible...Allah awalinde❤

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 9 місяців тому +1

    Mashallah iko sawa Sai Sauti Mashekh zetu❤

  • @fatumaali2493
    @fatumaali2493 9 місяців тому

    Mashaalah sheikh Ramadhani, napenda unavyofanya daawa kwa njia ya unyenyekevu na urafiki,Allah akuzidishie barka zake

  • @mifunga3414
    @mifunga3414 9 місяців тому +1

    😂😂😂😂❤❤ Subhanallah Allahuakbar Allahamdulillah Mwez Mungu awafungue in shallah

  • @user-cr6hk8mo3x
    @user-cr6hk8mo3x 8 місяців тому

    Masha-ALLAH Jazaaka lahu hair sheikh Ramadhan kwa kazi yako nzuri

  • @user-yu2oi1pg3x
    @user-yu2oi1pg3x 8 місяців тому

    Sheekh masha Allah

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt Місяць тому

    MashaAllahKikaoKizuri.mpakaMachozijamen

  • @hamzamwaya463
    @hamzamwaya463 9 місяців тому +1

    Barakallahu fiykum, Allah akuhifadhi na awaongoze hao wenyeji wenu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 9 місяців тому +1

    Mashalla Allah

  • @saidsobongo912
    @saidsobongo912 9 місяців тому +1

    Nakupata nikwa African kusini from zanzibar unaendesha vzr bila kelele

  • @FarhiaAbdilahi-r5z
    @FarhiaAbdilahi-r5z Місяць тому

    Mashalah Leo moto mato shugran shekh yetu❤

  • @user-ro5fk1yu2v
    @user-ro5fk1yu2v 9 місяців тому +2

    MashaAllah ALLAHU AKBAR alhamdulillah ❤❤

  • @zaituniibrahim1724
    @zaituniibrahim1724 9 місяців тому

    ❤❤❤❤Mashallah hawa wenzetu ni wakarimu wenye upendo may Allah guide them to the straight path