Mbona waisilamu wanaenda Makkah na kuzunguka msikiti huo wakristo wauliza kiwanja cha waka moto

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 3 місяці тому +4

    Mashallah sheikh salim Allah awahifadhi nyote na awalipe pepo

  • @samxx411
    @samxx411 3 місяці тому +6

    Sheikh Salim unasema kweli kabisa...Allah akuongoze

  • @dibasora6481
    @dibasora6481 3 місяці тому +5

    Alhamdulillah Kwa mafunzo masheikh wetu

  • @gakobwaadija7949
    @gakobwaadija7949 3 місяці тому +5

    ماشاءالله تبارك الله

  • @user-xh6mt8xj9d
    @user-xh6mt8xj9d 3 місяці тому +7

    Mwenye kupoteza muda muondoe haraka mwalimu wangu anatupitezea mb zetu tunotaka kusoma tupo wengi.

  • @rayyanmuhammad217
    @rayyanmuhammad217 3 місяці тому +4

    Kazi mnayo ifanya ndio kazi ya Mitume sala na salaam ziwe juu yao, Allah swt awafeshe mukiwa katika kazi hiyo ili awafufuwe pamoja na Mitume wake na awalipe malipo ya Mitume na waingize katika pepo ya FIRDAWSY pamoja Mitume Inshaa-Allah

  • @MustakimaMuhammad-fy5ij
    @MustakimaMuhammad-fy5ij 3 місяці тому +2

    Aa mungu awabariki

  • @user-mr3mf3zs1u
    @user-mr3mf3zs1u 3 місяці тому

    Asanten sana mashekh wetu fanyeni kazi ila mungu atawalipa ila ndugu zetu wakristo fikirini vi zuri musije mukala hasara baada ya kufa kama hamtasilimu

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt Місяць тому +1

    SubhanaAllah.Nihatari.haya.makanisa.

  • @mohamednurmohamed8812
    @mohamednurmohamed8812 3 місяці тому +3

    Mash ALLAH alhamdulilah ❤❤❤

  • @molee2339
    @molee2339 3 місяці тому +4

    MashaAllah.
    Mada nzuri once again.
    Ai, haka Ka Brian kanji fanya Mujuaji, lakini hana andiko la semao 'Ukristo' ni Dini.
    WaKristo sijui kwanini wako na UWONGO mwingi hivi?
    Wana ongeaga POROJO nyingi, BILA andiko lolote.
    Na huyo Raphael asha anza kazi ya Traffic yaku enua Mkono kila wakati, aki taka ku WASTE Time ya Mada!
    Pigeni huyu Raphael Ban!
    Ni Time Waster, tena kichwa Ngumu sana, kama WaKr8sto wengi hapa!.
    TabarakAllah Team.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 місяці тому +2

      Inn shaa Allah wale waku waste time tunawaangalia sana

    • @molee2339
      @molee2339 3 місяці тому +2

      @@salimdaawah123 Masha'Allah!

  • @samxx411
    @samxx411 3 місяці тому +2

    Mashallah, sasa wakristo kweli wanataka kusoma sio kudanganywa na wachungaji

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 місяці тому

      Tena wanahitaji vitabu sana hata sikuamini

  • @josemu870
    @josemu870 3 місяці тому +1

    Allahamdulillah

  • @davidjuma3440
    @davidjuma3440 16 днів тому +1

    Murudisheni kijana huyu (mwenye kanzu nyeupe) kwa Kusoma vitabu takatifu, yuko vizuri sana

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 місяці тому +7

    WAKRISTO HAWANA UWEZO WA KUFIKIRI, YAANI JINA LA MTU NDIO DINI YAO🤣🤣🤣🤣

    • @user-hy5zd5rn6r
      @user-hy5zd5rn6r 3 місяці тому

      Mlinyimwa nafasi ya kuuliza maswali.
      Ushawahi jiuliza iweje Allah anaapa Kwa aliyeumba jike na dume? Qur'an 92:3

    • @rahilyas254
      @rahilyas254 Місяць тому +1

      @@user-hy5zd5rn6rhebu Soma Kur an vizuri upate kujuwa Islam
      Usi tafsiri aya moja kivyako lazima
      Unasikia mwenyewe makosa katika bible yetu
      Kama unalo swali uliza utajibiwa

  • @ismailsuleiman394
    @ismailsuleiman394 3 місяці тому +4

    Wewe ndio unajidaganya njia ya Yesu kristo haiwezi kuwa kristo.je njia za manabii wengine mbona haziwi majina yao

  • @ahmednasib8465
    @ahmednasib8465 3 місяці тому +1

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 3 місяці тому +1

    Masha Allah ❤

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl 3 місяці тому +3

    kuna bazi ya makafiri wanaviburi sana

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 місяці тому +1

      Tena sana Allah awaongoze waione haki na waifuate

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 3 місяці тому +6

    wewe ndio unajidanganya na hujielewi na unachosema uliza ujibiwe na sio unabisha tu chenye usiojuwa

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 3 місяці тому +2

    Ai, na huyo Kijana wa Kofia ambaye ime pewa Slot ya Kesho na Ustsd Salim, kwa sababu leo, ame jaa 'Holy SPIRIT' inao itwa Chan'gaa!
    Hata KingJames na WaAndishi wake 46, wa BIBLIA, wa Ki PAGANI, pia wali kuwa INSPIRED na HOLY SPIRITS za 'Whiskey na Brandy', in 1611AD.
    Na hizo Holy Spirits MBILI, zili toka Home Town ya King James,ya SCOTLAND!

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 3 місяці тому +2

    Kuna jamaa alitaka Sana kuuliza swali fanyeni uadilifu.

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  3 місяці тому +2

      Inn shaa Allah leo walikuwa wengi sana

    • @molee2339
      @molee2339 3 місяці тому +2

      Jamaa GANI huyo unayom ongelea?

    • @Jingajinga64
      @Jingajinga64 3 місяці тому +1

      Mos mos dada......

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 3 місяці тому +3

    Hiyo njia ya Yesu ni ipi elezea watu wajue

    • @zetechraj4992
      @zetechraj4992 3 місяці тому +1

      Njia ya yesu ni..kufuata..yale aliyeyafunza...akiwa ulimwenguni

    • @aishahazary4097
      @aishahazary4097 3 місяці тому

      ​@@zetechraj4992wewe unafuata aliyofundisha Yesu?

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor 3 місяці тому +1

      Utadhi Mbona unapandikiza yako tena kusema mtu mweusi ndio original wakati tyr ulikwisha Soma aya wajaalnakum Shuuba wakabaila litaarafu akramakum indallah atkakum

    • @harundaudi701
      @harundaudi701 3 місяці тому

      Anachokifanya sheikh ni kikubwa sana kuliko mapungufu yake. Usikae kukosoa tu​, hakuna aliyekamilika but sheikh Salim anafanya kazi nzuri sana. Tuwe ni wepesi wa kuongeza badala ya kukosoa na kutafuta makosa kila wakati.
      Allah SW ni mjuzi zaidi.@@AhmedZahor

  • @JulesNimbona-om1bq
    @JulesNimbona-om1bq 3 місяці тому

    Apana munaji danganya Sana, njia ya ukweli ni Kristen Yesu

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 3 місяці тому +3

      Yesu ni Mkristo? Nimepatie evidence alikuwa Mkristo na jina lake ni jesus au Yesu😏😏😏😏😏😏

    • @isahbarasa
      @isahbarasa 3 місяці тому +1

      Imandikwa wapi na wapi inasema ukristu kwa bibilia ni dini ama ukiristu achana na wakristu

    • @isahbarasa
      @isahbarasa 3 місяці тому

      Hadi hajui jina ye yesu aliopewa na mamake 😂​@@Zainab_salat

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 3 місяці тому +4

      Kabla ya yesu kuzaliwa njia ilikua gani? Hujiulizi? Na huyo unaemuita yesu anasema hiv 👉 SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WANYUMBA YA EZRAEL 👈 wewe apo uko wapi?

    • @salimmohamud5390
      @salimmohamud5390 3 місяці тому +2

      Kristo ni kujipaka mafuta