MWANA CHAMA WA BUNGE LA WANANCHI MWENYE HASIRA ATULIZWA NA WENGINE KUSILIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 154

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 11 місяців тому +2

    Masha'Allah Sheikhe Ramadan Allah akubariki kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu InshaAllah amiin

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 Рік тому +15

    Allah akulipe kila la kher fill Dunia wall akhera. Ustadh Ramadhani

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 11 місяців тому +1

    Ak kazi ya daawa n ngumu Allah akupe hkima n subira

  • @aooshosho4255
    @aooshosho4255 Рік тому +4

    One thing I like wajaluo is that they are easy to understand and once they do they follow immediately...si kaa watu wengine mtu ameona ukweli haki lakini baado kishipa.

  • @daru2549
    @daru2549 Рік тому +12

    Tuko hapa wote Na Allah akulipe shieikh Rama

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 Рік тому +3

    Kwakweli hii kz ngumu shekh Ramadhan Allah azidi kukupa uvumilivu maana hawa watu niwashindani sana yaitaji subra sana Allah akujaalie khery

  • @SalimOmary-w8j
    @SalimOmary-w8j Рік тому +9

    Masha Allah kazi inaendelea watazidi kulewa na wengine kwa hisani ya Allah na jitihada ya kulia

  • @mukandamaakbar599
    @mukandamaakbar599 Рік тому +5

    Allah awabariki kua kazi zenu watching From Burundi 🇧🇮

  • @kijakaparare2074
    @kijakaparare2074 Рік тому +5

    Mungu akupe umri mrefu na ukuepushe na fitna za wanaadam na akupe afya na akufungulie milango ya ridhik

  • @ashaalali1221
    @ashaalali1221 Рік тому +3

    Tushukuru mungu Kenya ni AMANI .GOD BLESS KENYA

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 Рік тому +3

    Shekhe wate ss wa Tz tunakupenda Allah akujaalie pepo

  • @tamashamagoma2941
    @tamashamagoma2941 Рік тому +3

    Allah awalipe kheri nyingi kwa kazi nzuri mnayoifanya.

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 Рік тому +3

    Mashaalah Ramadhan mungu akuzidishiye kheri huyu jama mwenye kofia una msikiza sana anaweza anapoteza mda wako sana hukumuelewa huyu mwenyewe sheytani amemu mpoteza na anaweza kuwachafua Roho wenye kusilimu yeye pia haamini bibilia inafaa umjulishe kua bibilia sio kitabu cha mungu kua bibilia ni kitabu cha uongo inatakiwa uwape umuelewe ame ku confused na bibilia.

  • @saphinalutaha9077
    @saphinalutaha9077 Рік тому +3

    Mwenyezmngum akupe Afya njema love you so much❤❤❤❤❤

  • @RastaSuma
    @RastaSuma Рік тому +8

    Mashaallah! Allaahu blessing you for leading people to strength paths

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому +4

    Mungu amuongoze ndugu yetu Abdallah zaidi

  • @AbuurabiuJuma-wn5il
    @AbuurabiuJuma-wn5il Рік тому +12

    Ramadhan niko tz nakupenda sana ww pamoja na mwaipopo kwaajili ya mwenyezi mungu

    • @HabibaMussa-mf3ny
      @HabibaMussa-mf3ny Рік тому

      Asalam alykum,Allah akuongoze ainshaallah

    • @hajimrisholukamba602
      @hajimrisholukamba602 7 місяців тому

      ​@@HabibaMussa-mf3ny😢😢😢😅😢😢😮🎉😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 11 місяців тому

    Mashaallah tabarakallah masheikh wetu Allah ampe afya njema n ampe pepo kesho amiin

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 5 місяців тому

    MashaAlla.ostadh.wetu.anajuwaJins..yakuongea.nao.kwaupole.kabisaHad.Raha.Allah.akupe.ulinzi.dunianiNaAkhera..inshaAllah

  • @mihiyojelle4727
    @mihiyojelle4727 Рік тому +2

    MashaAllah alhamdulilah for being a muslim

  • @F.j84
    @F.j84 9 місяців тому

    We are proud of our brothers who joined islam.. Allah akbar

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Рік тому +3

    Uyu mwalimu anasoma vizuri sana sauti yake mzuri yausomi❤

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 Рік тому +3

    Maashallah karibu sana kwa uislam

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +10

    For Christians it’s always a personal opinion rather than quoting the Bible.

  • @mohamedhozi8110
    @mohamedhozi8110 Рік тому +2

    Maashaallah baarakallah wallahi nafurahi sana kwa kuona ndugu zetu walioiona hakki allah atuongoze sote

  • @yahyaali3951
    @yahyaali3951 Рік тому +6

    Shukran ustadh Ramadan kuria

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 Рік тому +2

    Allahu Akbar Allahu Akbar Mashaallah ❤❤ Allah awape kila la kheri Ustadhi Ramadan na wenzako

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 Рік тому +4

    Barakaatuh Allahu fikum waalimu wa Straight Path

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Рік тому +4

    Astaghfirrullah Allah Akbar wallillahi hamdu ,shekh Allah akuhifadhi na akulipe Jannatul Firdausi

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu5778 Рік тому +4

    Mashallah 💞 Alhamduililaahi Kwa siku ya leo Allah Akbar

  • @swidiqrajab4519
    @swidiqrajab4519 Рік тому +2

    Asalamu Aleykum Warahmatullahi Wabarakatuh Mashaa Allah Allah Awaongoze zaidi pamoja na familia zao,اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين

  • @gakobwaadija7949
    @gakobwaadija7949 Рік тому +3

    Masha Allah tabrakAllah Hlifa tnakusalimia unasauti nzuri

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 Рік тому +1

    Had raha yan kaka Rama mungu akupe ujira dunian na kesho akhera

  • @ChristianRamadhan-uf3ob
    @ChristianRamadhan-uf3ob Рік тому +4

    GOD IS THE GREATEST

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Рік тому +7

    MASHA ALLAH....MASHA ALLAH..TABARAKALLAH..🤲🙏❤️☝️

  • @martymcfly9232
    @martymcfly9232 Рік тому

    Nimefurahi sana kumwona Khalifa Athman, mimi shabiki wa kiswahili mwenzake

  • @Adm9464
    @Adm9464 Рік тому +7

    The miracle book the Koran is a talking and walking book. Every question that you ask it’s has a definite answer.

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Рік тому +2

    Masha allahy masheikh Allahy Awajalie insha allahy

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +6

    Masha Allah 🥰

  • @rashidwalwanda1991
    @rashidwalwanda1991 Рік тому +2

    ❤❤ mashaallah brother

  • @onyaluoma848
    @onyaluoma848 Рік тому +2

    MashaAllah,....Takbir! ALLAHU AKBAR

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Рік тому +2

    Masha'Allah Allah awabariki masheikhe wetu

  • @alawisalim9139
    @alawisalim9139 Рік тому +5

    MashaAllah ❤ Ramadhan ❤ Jazakallahu ❤

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 11 місяців тому +1

    Huyo john Kennedy ako na swali moja tu 😅😅 na hayaishi

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 Рік тому +3

    Masha ALLAH. ALLAHU AKBAR

  • @mamawamoya3344
    @mamawamoya3344 Рік тому +4

    Ma sha Allah

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Рік тому +3

    MashaAllah ujumbe unafika kwa nguvu

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +2

    Kazi unayo sherk but alhamdulilah uislam unazidi kukua

  • @adanyssuf250
    @adanyssuf250 Рік тому +4

    MashaaAllah
    Jazakumullahu qeiran

  • @fatimafff3065
    @fatimafff3065 Рік тому +3

    Takbr Allahu Akbr

  • @SaidMgeni
    @SaidMgeni Рік тому

    Ustadh Ramadhan nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @mamitomamita6284
    @mamitomamita6284 6 місяців тому

    MASHAALLAH ALLAH AKUBARIKI KWA KAZI UNAYOIFANYA

  • @fatmaali6780
    @fatmaali6780 8 місяців тому

    Allah akuzishie kheir nyingi it's so hard to deal wth such people

  • @pilimakundalongoilongoi3386
    @pilimakundalongoilongoi3386 Рік тому +3

    ALLAH awape zaidi mema INSHALLAH ,

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 Рік тому +4

    Mashaa ALLAH

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Рік тому +3

    Mashala asalam alakumu

  • @kassimkibwe4614
    @kassimkibwe4614 Рік тому +2

    Masha Allah,

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Рік тому +2

    MashaAllah ❤️ Takbir

  • @omargalole4069
    @omargalole4069 Рік тому +2

    Masha Allah wameanza kujua ukweli ❤

  • @jumamsembe1213
    @jumamsembe1213 Рік тому +2

    Masha Allah

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 Рік тому +2

    Takbir Allah Akbar

  • @elishapeter2720
    @elishapeter2720 Рік тому +4

    Mashaallah 🎉

  • @Maryam-h4y1q
    @Maryam-h4y1q Рік тому +2

    Mashalla allahmdulilah ❤

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 Рік тому

    Allaahu Akbar 😢i feel emotional

  • @maryammkaramba2168
    @maryammkaramba2168 Рік тому +3

    masha Allah

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Рік тому

    Maashaallah tabarakallah

  • @morallyify
    @morallyify Рік тому +4

    Takbir

  • @malogaming506
    @malogaming506 Рік тому

    mungu amfanye muislamu huyo mjaluo mungu amuongoze even in our deen it says tell the truth though even if its bitter

  • @AhmedMohamed-um8ox
    @AhmedMohamed-um8ox Рік тому +2

    Buibui ya kubana na skati tumuogopeni mungu

  • @kadhyanassor5046
    @kadhyanassor5046 Рік тому

    Sheikh Ramadan kazi unayo maana huyo alovaa kofia mbishi Sana ..Allah awaongoe

  • @AshamMussa
    @AshamMussa Рік тому +2

    Wkr wanapenda kupandikiza maswali Hilo hajajibiwa anauliza jingine

  • @Marim-qp8gs
    @Marim-qp8gs 8 місяців тому

    BarakaAllah

  • @mahadhassen8502
    @mahadhassen8502 Рік тому +3

    Mashallah

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Рік тому +2

    Safi kapisa.

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 Рік тому

    MashaAllaah MashaAllaah

  • @Hi_20206
    @Hi_20206 Рік тому +2

    Eieieiii jameni wakristo..mbona mwachanganikiwa hivi?kubalini kufunzwa

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +2

    Allahu Akbar

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Рік тому +2

    JOHN KENNEDY BONGI LA MTU LAKINI HAMNA KITU KICHWANI NAISI ANTENA EMEYUMBA

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Рік тому +1

    Nimechekaaaa

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Рік тому +2

    Haki pole hustadhi ramadhani Yani hawa watu wanakusumbuwa nikama wamekunywa

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk 9 місяців тому

    MashaAllah

  • @nassirimasemo123
    @nassirimasemo123 8 місяців тому

    Muambie yule aliembiwa Iq1a bismirabika

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 Рік тому +1

    Kaka Rama huyo alovaa kapelo ananichekesha sana yan nikija nairob kaka nakutafuta wallah

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Рік тому +2

    Na wasome wenyewe sio kusomewa na wachungaji

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Рік тому +3

    😂 😂 huyu jamaa wa SDA ako very honest😂😂😂

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799 Рік тому

    MashaAllah tabarakallah ❤

  • @sheemaryam
    @sheemaryam Рік тому +4

    TikTok nasema ifungwe pia imeharibu watu sana

    • @jumahamad9463
      @jumahamad9463 Рік тому

      NDIO HIVYO WATU NIMALUMBUKENI AU WASHAMBA SANA

  • @Naw89
    @Naw89 Рік тому +2

    Huyo mtu aliekuja kwa ukali amenichekesha sana
    Na hapa kama Wakristo hawakujufunza kwa huyo jamaa baas hawataelewa hadi kiama kiwafikie

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 9 місяців тому

    uislamu raha sana

  • @faavbaraki4848
    @faavbaraki4848 Рік тому +2

    🎉🎉🎉🎉

  • @amisseachiro2734
    @amisseachiro2734 Рік тому +2

    Assalam alaikum

  • @AshamMussa
    @AshamMussa Рік тому +1

    Kama ni capital later ni Mw , Mungu Allah na si Yesu

  • @NajimaaAli
    @NajimaaAli 3 місяці тому

    Daawa Kenya

  • @ZulfahIbrah
    @ZulfahIbrah Рік тому

    Wakisha kamatwa wanasema ngoja kidogo nipeleke pole pole😂😂😂

  • @martymcfly9232
    @martymcfly9232 Рік тому

    Lugha ya kiswahili na dini ya kiislamu zitajenga na kutukuza Kenya.

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Рік тому +2

    Jaluo ni jaluo tu😂

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому +2

    Huyo jamaa asema yeye haamini ukristo wala uislamu lakini huyo ni muongo but yeye ni makristo

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 4 місяці тому

    Asalamu aleykum. Suali hilyo ame uliza waso hana wa islamu wa vaa nguwo ina kamta. Mimi majibu ni . ( ashadul adaab) iko mara 2. Kuwanza firiwn atapata hiyo ashadul adaab. Second one . Ni wali wa islamu lakini wa fati yeyye Quran ame sema Muslim lady wana jua hiyo style wana vaa they look like muslin Hawa fanyi vile sura ina sema they make own style. Hawa inso wata pata ashadul adaaab.

  • @ReinaTave-eh3ir
    @ReinaTave-eh3ir Рік тому

    Ramadhan KURIA ila maongezi ya Kenny nazan umeyaelewa niukwer mtupu...Wala sio uongo

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Рік тому +2

    JOHN KENNEDY ANAA DINI LAKINI WANAOAMBUDU NO SENSE LAKINI KUMBE YEYE MWENYEWE NO SENSE LAKINI TATIZO NI WAZEE WAKE WALIOMPA JINA LA JOHN KENNEDY BORA ANGEULIZA WAZEE WAKE KWA NINI AMEPEWA JINA LA JOHN KENNEDY KWANI JOHN KENNEDY NI MZUNGU AU KWA SASA UNATOKA KISUMU UNITED AU UK