MBUNGE MUSUKUMA APIGA MKWARA MZITO BUNGENI "LAZIMA NIWAROGE, NIKIENDA POLISI MTANISHINDA".

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @rebekamwalusanya
    @rebekamwalusanya Рік тому +1

    Kwakweliii

  • @snetiengineeringltd8246
    @snetiengineeringltd8246 Рік тому +1

    Safi sana

  • @ngombegeorge3577
    @ngombegeorge3577 Рік тому

    Mungu atusaidie sana taifa letu, niko kinyume na kuwamisha watu kwa sababu mnatengeneza umaskin mkubwa kuliko , walio nao maana wengne hata laki tano hajawai shika , leo mnampa milion 2 au 3 akatafute eneo la kujenga, na ajenge na hali ya saiv . Mapombe kila kona na kamar na kubet na matapel . Zitaisha zote hata kiwanja hana na watoto. Maana wengne kaz ndogo alikua anafanya anajua kua akizunguka hapa na anapata hela ya unga leo mmepeleke papya . . Na wengne sijui wakoje iv kuhama wanazan mchezo . Hata kwenye vitabu vya dini wana wa Israeli waliambiwa na mungu lakini wengi walifia njiani. Hao waliambiwa na mungu leo binadamu anamwambia ww hama . Mungu wa pekee wa kweli awatetee watu wa nyatwali . . Ee mungu tusaidie nawakwamisha wote wanao ona wenzao kuama ni sawa. . Kwa jina la yesu kristo yu hai paka sasa . Mawazir na wanyama watafutiwe maeneo mengne. Ambako hakuna watu . . . Nitakaa nitasali kwa ajili ya watu wanyatwali asindanae na bwana atapondwa kabisa. Ebu watafute maeneo ambao hamna watu waweke wanyama

  • @jumamnyema6263
    @jumamnyema6263 Рік тому +1

    uyu jamaa noma kweli pia seem nyigine migogor ya harizi

  • @asingizibwejacobkalokola7351

    Huyu kweli ni Doctor

  • @emanuelmoryo
    @emanuelmoryo Рік тому +1

    Mungu akubariki sanaaa

  • @anangisyemapunda7686
    @anangisyemapunda7686 Рік тому

    Msukuma,💪💪🙏

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому

    UBALIKIWE SANA msukuma. Ni UKWERII MTUPU yote usemayoooo

  • @esperancenathali
    @esperancenathali Рік тому

    Tanzania hoyeeeeeeeee peperusheni bendera jamanii😂😂😂😂😂😂 🇹🇿 lasivyo mtarugwa 😂😂😂😂😂

  • @eliachalamila2259
    @eliachalamila2259 Рік тому

    Huyu jamaa ni doctor kwelikweli

  • @maase2023
    @maase2023 Рік тому

    Msukuma tumeshakuchoka kwa kweli unaongea mno hebu waachie nafasi wabunge wengine tuwasikie! Kila siku uongee ww tu kisha maneno yanajirudia hayo hayo

  • @piniellaizer5753
    @piniellaizer5753 Рік тому

    Mchengerwaaaa oyeeee tunakuaminiiiiia kabsa

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому

    WANAONEA SANA WANANCHI WA CHINI SIJUI WANAWAZA NINII HASWA. MTU SCHUKOE WANYAMA BULEBULE SII MAPANGA NJENJE INAUMA SANA

  • @rasulramadhan8517
    @rasulramadhan8517 Рік тому

    Miaka Mingii Msukuma,,Jimbo Lako Lina jivunia kuwa na wwe

  • @AbelMasanja
    @AbelMasanja 10 місяців тому

    Naitwa abeli jana tarehe 7-5-2023 jana nimekamatwa nakutishiwa pasitola wakidai begi linafanana nalajeshi wemenipiga wakanichukulia pesa shilingi 40000

  • @prosperpius9030
    @prosperpius9030 Рік тому

    A good dancer must know when to leave the stage!

  • @athumanhassani805
    @athumanhassani805 Рік тому

    Huyu jamaa ana akili sana hata baadhi yamaqaziri waziri walizikosa hizo akili napia hawa wwngine hatuwasemi tutapotea

  • @KelvinMtavangu-ow8yo
    @KelvinMtavangu-ow8yo Рік тому

    Mh. Msukuma, umewatetea Wamasai? Mbona suala la Bandari ulikaa kimya? Au ndio mzigo mzito mpe Mnyamwezi/Msukuma? Vya DPworld vitamuu? Mdomo kiiiiimya

  • @user-pr6nc6ez4y
    @user-pr6nc6ez4y 7 місяців тому

    Nakwamin ww ni mwamba

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Рік тому

    Msukuma wewe jamaaa mhhhh