Mimi nafikili tuanze kuishi kwa makundi ikitokea tu hakuna kuuliza kama huyu ni askali au mtu mwema ni kuwauwa mungu yupo atatusaidia mungu atatufundisha jinsi ya kupambana nao
Gwajima aliwahi kusema mtu akija kukufata na humfahamu, muombe kwanza upigenae picha thn post picha kwenye magrop yote baada ya hapo ruhusu akuchukue😢😢 sijui tutajificha wapi
Innalilah wainna ilaihi rajiuun Enyi wauwaji mcheni Mola sasa mauaji imekua kawaida kumwaga damu za watu bila ya hatia utakwenda kujibu nini kwa ALLAH Serekali ichukue hatua kali kwa wauwaji na wao wauliwe ili liwe funzo kwa wengine
Ccm waliliambia jeshi la polisi ikitokea mtu amepotea kwa sababu ya kuwatukana viongozi wao jeshi la polisi lisiwatafute yaani huo ni uchochezi wa ajabu sana tena mkubwa lakini polisi wa Tanzanian hadi leo mtu yule aliyeongea hivyo hawakumuhoji wala kuchukuwa hatuwa yoyote hivi ingelikuwa nikiongozi wa chama cha upinzani hadi leo angelikuwa anasota rumande
Inasikitisha sana kwa hali tuliyofikia mungu tulindie vijana wetu maana atujuhi nani anafuatia sasa mzee kama huyo kumtesa,kummwagia tindikali embu vuta pita amekufa kwenye maumivu gani makali😭😭😭,,Poleni sana familia yote ya marehemu ndugu,jamaa na marafiki na Uongozi wote wa chama chake
aisee nchiyetu hii niwengi tu waliyo potea tu hao umewataja kwakuwa viongozi wanafahamika hata huku ulaiyani kuna janaa zetu wamepotezwa kitambo sana mpaka waleo hatujui wamekufa ama bado wapo hai hatujui
Innah lillah wainaillah rajiughn, ALLAH amlaze mahali pema peponi aaamin. Miliwahi kusoma kitabu cha kusadikika, kufikirika na kivuli kinaishi sasahiv ninazidi kufahamu na kuelewa maudhui ya vitabu hivyo
Jmn nimejikta nalia sana 😭😭😭😭😭 Mbn nchi yetu imekuwa mbaya kiasi iki???? Nimejikta namkumbuka Hamza aliamua ktumia mikono yake kufanya kitu japo aliuwawa duh!!! Mama sema neno😭😭😭😭
Hizi ni siku za mwisho, tuyakabidhi maisha yetu na roho zetu katika mikono ya BWANA YESU, ndio tumaini pekee lililobaki kwa wanadamu katika dunia ya LEO
Jamani watanzania tuiombee nchi yetu,damu za watu huwa zinanajisi nchi na kusababisha laana,majanga na hasira ya Mungu kuipiga nchi.Ee Mwenyezi Mungu irehemu nchi yetu
daah, kama sisi huku madongo kuinama tukipotea wala hamtajua...ila tulikofikia ni hatari sana. Siasa imekuwa vita sasa watu wapo busy kujiona wao ndio wana haki ya kuishi na kuwa na maisha mazuri na si wengine...poleni ndugu na wote mlioguswa
Ipo siku hasira ya mungu itashuka kwenye hii nchi yetu Tanzania,tuiombee sana hii nchi vifo vya utekeji vimezidi sana ,ni ajabu sana hii laana sijui mtaifuta vip , ogopeni damu za watu
Yanayopongeza ni mapuuzi yasiyokuwa na akili,huenda ndo watekaji wenyewe!..hiv wanapongeza nin alichofanya zaidi ya ubaguzi na kuteka watu na kuwauwa!..mbona nchi zngne kubwa znaupinzan kwann ye auwe wapinzani,anafikiri atakaa kwenye uongozi milele!..haitowezekana ajue kuna maisha baada ya uongozi na ipo siku atajibu kwa mungu anavyomwaga damu zisizokuwa na hatia!..Chadema wagome kuzika huo mwili wauchukue waandamane nao hadi ikulu kwa raisi!..Tz tunafka kubaya
Mungu utusamehe watanzania tutambue humu duniani tunapita tuu! Hata haya madaraka na vyeo vyetu tutaviacha ila maovu tunayoyafanya tutaondoka nayo na kuwa urithi kwenye vizazi vyetu! Mungu utuhurumie😭😭😭🙏
Inabidi saivi kumanina nikutane na mtu simwelewi elewi waniite asee bora mniuwe hamnikamati nakula sahani moja nanyie inabidi sasa tuanzekutembea nasilaa yoyote ya kujilinda hapa tunapofika kubaya hakuna kumwamini mtu tena bora tupambane tuu hatuchukuani kirahisi ivooo 😢
hv wanashindwa ata kufikilia kwanza familia ya mtu watu wanaomuangalia watoto ndugu unakuta wote wanamtegemea yeye alf mnamfanyia mtu kitu kama icho dah so sad😢
Inawezekana ni majambazi,huwezi jua maisha ya binadamu au mwanadamu anaishi vipi katika hii dunia. Tuombe Mungu uchunguzi uafanyike na wahusika wajulikane
Maoni yangu, mimi sina imani tena na polisi, mahakama na bunge. Kilichobaki ni kufa ukiwa unajitetea basi.
Point
reality
Exactly..Hawa wapuuzi tukiwachekea watatumaliza
@@laurentraphael5470 Sasa tufanyeje
Tufanye nn kaka ili tuepkane na haya@@laurentraphael5470
Innalillah wainnaillah raj'uun.
Hasbunnallah wani 'emaliwakil
Poleni mke wake na watoto. Mungu wa faraja hawafariji.
Hii nchi dah inakera sana usishangae polisi wakizuia msiba usifanyike maana wameshazoea kufanya matukio ya hovyo
Amelia huyu baba you can tell through his eyes...Mungu usinyamaze 😭😭😭😭
😭😭😭😭kwani amewakosea Nini Babu yangu jmn I'm so pain my grandfather "innalillah wainnalillah raji'un"😭😭😭😭
Pole sana Mungu atafanya jambo
Jamani jamani uwiiii sad . Mwenyezi Mungu aipokee roho yake alale kwa amani pumzika, Mungu anajibu soon 😢😢😢😢😢
😢😢😢 ndomana hamza alijitoa kuwaua aisee
So nyinyi chadema tu maisha yenu yapo hatarin hata sisi raia wa kawaida tupo hatarin Tena tunaelekea kubaya sana😢
That’s why you all have to fight that’s how Kenya does it
😭😭
Mimi nafikili tuanze kuishi kwa makundi ikitokea tu hakuna kuuliza kama huyu ni askali au mtu mwema ni kuwauwa mungu yupo atatusaidia mungu atatufundisha jinsi ya kupambana nao
Gwajima aliwahi kusema mtu akija kukufata na humfahamu, muombe kwanza upigenae picha thn post picha kwenye magrop yote baada ya hapo ruhusu akuchukue😢😢 sijui tutajificha wapi
@@scholamodestus9386Muda wote huu, utaupata wapi
@@scholamodestus9386wasiojulikan watakup huo muda Gwajim yupo Cham gan
NAJIULIZA HUMO KWENYE GARI WAMESHINDWA KABISA HATA KUCHUKUA CLIP
It's sad😢😢😢
Hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim
Hakika 😭😭yaan natamn ndugu wa marehem wakaechin kwakisomo juu yahao madhalim wallah wawakalie chin wasiwaache 😭😭😭.
@@aishahasan7722kabisa kabisa yani.idea Yako Iko sahihi kabisa.yatia uchungu kwa kweli
@@mwanaikaomar8628 Yani hao madhalim Niwaku wachinjia kondoo kwakisomo kizito nao wajute kwa walichokifanya yaan wangejuta mbwa hao
Zamani nilikuwaga najiuliza unawezaje kujitoa mhanga kipindi kile waarabu walikuwa wanajilipua sasa nataka kupata majibu
Innalilah wainna ilaihi rajiuun Enyi wauwaji mcheni Mola
sasa mauaji imekua kawaida kumwaga damu za watu bila ya hatia utakwenda kujibu nini kwa ALLAH
Serekali ichukue hatua kali kwa wauwaji na wao wauliwe ili liwe funzo kwa wengine
Ivi hii ni tanzania yetu kweli, haya yana mwisho, kuna siku wenye nchi tutafanya maamuzi na nchi yetu.
Allah atuhifazi na atupe subira namwesho mwema
Mzee amepitia mateso huyo mpaka umauti umpate duuuh pole sana babangu Allah akurehemu
Ccm waliliambia jeshi la polisi ikitokea mtu amepotea kwa sababu ya kuwatukana viongozi wao jeshi la polisi lisiwatafute yaani huo ni uchochezi wa ajabu sana tena mkubwa lakini polisi wa Tanzanian hadi leo mtu yule aliyeongea hivyo hawakumuhoji wala kuchukuwa hatuwa yoyote hivi ingelikuwa nikiongozi wa chama cha upinzani hadi leo angelikuwa anasota rumande
Inasikitisha sana kwa hali tuliyofikia mungu tulindie vijana wetu maana atujuhi nani anafuatia sasa mzee kama huyo kumtesa,kummwagia tindikali embu vuta pita amekufa kwenye maumivu gani makali😭😭😭,,Poleni sana familia yote ya marehemu ndugu,jamaa na marafiki na Uongozi wote wa chama chake
Binafsi hili tukio limeniumiza wakutulinda ni mungu pekee familia ya mzee sjui ipo ktk hali gani kwa hii dhulma aliyofamyiwa mzee inaumuza san😢😢
Oya haki aiombwi mbowe ni kufanya kama Kenya au Kwa madiba(mandera)
Kweli ksbisa,insikitisha mno
Rip mzee Allii. Poleni wote wafiwa, msiba mkubwa wa kitaifa, njia yetu ni ndeefu Sana. Mungu atutakase kwa huruma na UPENDO wake tu.
Poleni sana ndugu na familia kwa ujumla .mungu akawe faraja kwenu. Walofanya hivyo mungu anawaona.
Hii ni mbaya sana, Kila mmoja wetu amepigwa na kuuawa. Tukatae na tuhimize kufuata Sheria. Zifungwe camera sehemu nyingi. Pole Tanzania
Mh hii nchi Ishakua Gaza kiaina😭😭😭. Kuwa mpinzani ni sawa na kujikatia tiketi ya Moja kwa Moja kwenda Mbinguni
😂😂
dah wee Gabriel mbona unatuchekesha wakati hali sio nzuri😅😅😅😅
Kweli kabsa
Watatoa hesabu siku ya mwisho. Na watambue wao hawataishi milele. Mungu kumbuka Rehema zako juu ya Taifa la Tz.
Hawajui tu jinsi watoto wanavyoteseka wakilelewa na mama tu😢😢😢😢
Oooh yarabii...Allahuma GHUFRILY Ally kibao, haki ipo mbele ya mola tuu dunia ina mambow sana
Pole saana family ya Mze Ali Kibao Mungu akuweke mahala pema hakika umekufa shahidi .Ameen
Hasbunallah, Wa-ni'mal Wakiil! 😢
Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi na aliemua mzee Ally kibao damu yake iwe juu ya vichwa vyao.Amen
Amen
aisee nchiyetu hii niwengi tu waliyo potea tu hao umewataja kwakuwa viongozi wanafahamika hata huku ulaiyani kuna janaa zetu wamepotezwa kitambo sana mpaka waleo hatujui wamekufa ama bado wapo hai hatujui
Mungu wangu kweli samia muogope mungu hapedi
Innah lillah wainaillah rajiughn, ALLAH amlaze mahali pema peponi aaamin.
Miliwahi kusoma kitabu cha kusadikika, kufikirika na kivuli kinaishi sasahiv ninazidi kufahamu na kuelewa maudhui ya vitabu hivyo
Jmn nimejikta nalia sana 😭😭😭😭😭 Mbn nchi yetu imekuwa mbaya kiasi iki???? Nimejikta namkumbuka Hamza aliamua ktumia mikono yake kufanya kitu japo aliuwawa duh!!! Mama sema neno😭😭😭😭
Hizi ni siku za mwisho, tuyakabidhi maisha yetu na roho zetu katika mikono ya BWANA YESU, ndio tumaini pekee lililobaki kwa wanadamu katika dunia ya LEO
Inaumiza Sana,kifo kisikie tu kwa MWINGINE pole kwa familia.😭😭😭
Inazidi kuwaa hasira watu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi
Hatariii sana asa ndio nn labda kwn nn maana ya kuwepo vyama vya uponzani yaani ccm mnajiona Miungu watu yaani msikoselewe
Mungu tuhurumie, ni nani awezae kusimama mbele ya hasira ya Mungu, ninaskia machoz yakibubujika ndani ya moyo wangu.
da, kwa nini haya jamani😭😭😭😭 eee Baba Mwenyezi, tusamehe sisi watu wako, tunakuomba uingilie kati Baba
Mungu tuhurumie sisi wana wako! Tanzania sii salama
Molla ailaze roho yake peponi Ameen
Daaah inaumiza sana kumtesa binadamu mwenzio hvy, serikari mko wapi jmn tunaangamia
Hii sio sawa kabisa😭😭😭
Poleni sana mungu yupo ipo siku mabaya yatajulikana
Aisee hii nchi inatisha mara watoto mara viongozi waupinzani mara hata mbugila mbugila mitaani sasa tunakwenda wapi
Jamani watanzania tuiombee nchi yetu,damu za watu huwa zinanajisi nchi na kusababisha laana,majanga na hasira ya Mungu kuipiga nchi.Ee Mwenyezi Mungu irehemu nchi yetu
Ipo siku tutaelewana tu waache waendelee kutujaza hasira watasminin tu
Tena tutaelewana tu ngoja naona pameanza kuchamgamka tifu linakuja
Hakuna kuelewana ispokuwa ni vta
Sasa mtafanya nini Mbowe kuzuia!!!😢
Mungu fezehesha majasusi wanaouwa watu nalaana zao zikamate wenyewe,
Amen
Poleni sana wanachadema mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amina
Hii ndo hali halisi ya Tanzania na hii ndo Afrika yetu na hapo tunasema Mungu ametwaa tunamsingizia san Muumba wetu haiingii akilin mwang😢😢😢
MUNGU naomba unisamehe mm na dunia nzima
Uyo baba amelia sana 😢😢andiruma 😢😢😢
Da inaumiza sana polen mungu awatie nguvu familiya Zima nawa ombolezaji wote
Sikiliza vizuri mpaka muda aliotupwa unajulikana tumia.skili ysko
daah, kama sisi huku madongo kuinama tukipotea wala hamtajua...ila tulikofikia ni hatari sana. Siasa imekuwa vita sasa watu wapo busy kujiona wao ndio wana haki ya kuishi na kuwa na maisha mazuri na si wengine...poleni ndugu na wote mlioguswa
Inna lillah wainna ilayhi raajiuun. .. Hasbiyallah waneemal wakeel
Pole baba yetu pole baba tua maumivu makubwa sana tunalia poleni sana wanachama wote w chadema tanzaia nzima
Inauma sana
MUNGU shuka BABA 😢kwa hili pigo 😢
Ipo siku hasira ya mungu itashuka kwenye hii nchi yetu Tanzania,tuiombee sana hii nchi vifo vya utekeji vimezidi sana ,ni ajabu sana hii laana sijui mtaifuta vip , ogopeni damu za watu
Poleni Sana wafiwa Kwa msiba wa makusudi mlio tengenezea ila hakuna wakuishi milele sote nimaiti walio uwa watauwawa pia na wao siku zao zikufika
Inaonyesha mzee Kibao alikua kachero mzoefu wa moja ya chombo muhimu sana hapa nchini, na Inaonyesha huenda alikua mtu wa kiapo.
Labda isitoshe alikuwa ni mtu muhimu sana ki chama ktk ufutiliaji wa mambo kutokana na CV zke
Ununio tena😢😢😢
Lakini bado kuna wapumbavu wana pongeza uongozi wa kishetani unao fanywa na serikali ya ccm chini ya mama samia suluhu.
Yanayopongeza ni mapuuzi yasiyokuwa na akili,huenda ndo watekaji wenyewe!..hiv wanapongeza nin alichofanya zaidi ya ubaguzi na kuteka watu na kuwauwa!..mbona nchi zngne kubwa znaupinzan kwann ye auwe wapinzani,anafikiri atakaa kwenye uongozi milele!..haitowezekana ajue kuna maisha baada ya uongozi na ipo siku atajibu kwa mungu anavyomwaga damu zisizokuwa na hatia!..Chadema wagome kuzika huo mwili wauchukue waandamane nao hadi ikulu kwa raisi!..Tz tunafka kubaya
@@angelsgabriely3575 kabisa
Duuu hiii nchii ukiwa mpinzaniii dhambiii nchii ya ajabuuuuu hiii 😢😢😢
Innalillah wainan lillah rajoun poleni sana mama yaan mke na watoto na wajukuu na taifa kwa ujumla
innalillah wainna illayhi rajiun
Daaaahhhhh kweli nna dhambi ila kuna mda naona zangu n ndogo sana
Mungu utusamehe watanzania tutambue humu duniani tunapita tuu! Hata haya madaraka na vyeo vyetu tutaviacha ila maovu tunayoyafanya tutaondoka nayo na kuwa urithi kwenye vizazi vyetu! Mungu utuhurumie😭😭😭🙏
Poleni sn familia Allah awape subra wafiwa wote
Sio sawa kabisa
Poleni sna jamaniii daaa
Daaaaah sawa bwana 😢😢
Inabidi saivi kumanina nikutane na mtu simwelewi elewi waniite asee bora mniuwe hamnikamati nakula sahani moja nanyie inabidi sasa tuanzekutembea nasilaa yoyote ya kujilinda hapa tunapofika kubaya hakuna kumwamini mtu tena bora tupambane tuu hatuchukuani kirahisi ivooo 😢
Tutaisha hatutajisema vyama vyetu pole wanachama wenzangu mungu atulinde tuzidi kupambana tutashinda hii vita
Poleni sasa ndugu safamilia na wana chadema wote.
Majonzi kwetu wote, way Tanzania Inchi imejaa hofu na mashaka
Inalililah waina ilah rajini ila tutakutana tambuweni wote tutarejea kwake ila mungu ndio hakimu wa yote hayo
Jamani Ee mungu washushie wote waliofanya hili tukio walaaniwe mpaka na vizazi vyao
hata huku ulaiyani kunawatu wamepotea nahatujui
Mzoefu kazini, Askari daa rip Alli.
Ndugu yangu Songoro ametekwa na Polisi na mapaka leo hajapatikana. Hii hasira inajenga visasi na visasi vitality dosari kwa namna yeyote ile.
hv wanashindwa ata kufikilia kwanza familia ya mtu watu wanaomuangalia watoto ndugu unakuta wote wanamtegemea yeye alf mnamfanyia mtu kitu kama icho dah so sad😢
Inawezekana ni majambazi,huwezi jua maisha ya binadamu au mwanadamu anaishi vipi katika hii dunia. Tuombe Mungu uchunguzi uafanyike na wahusika wajulikane
😢😢😢😢😢 mungu awalaan wote waliohusika inauma sana
Siyo sawa kabisa, matajiri wanatesa watanzania wengi walio na maisha ya hali ya chin, endapo wakigongana na maslah yao.
Mungu lbariki huku urabuni,watu wanauwawa kila siku,pole sana chadema.
Baba mwenyewe alikua ata awezi kijitetea jaman ata uruma mmekosa umri mwenyewe umeenda alafu mnamnyanyasa 😭😭😭😭😭
Kukmamake hii ccm hii mungu aione wafe viongozi wa ccm wote waishe tumechoka😭😭😭
Poleni sana wanafamilia wa mfiwa
Mungu tunaomba utusaidie
Kweli lnauma sana hii lnchi lnaenda wapi
Nyerere.akafufuka.akangaria.kinacho.enderea.inchi.hii.naona.viongozi.wote.wananyongwa.sio.utekaji.huu.niunyama.auwaye.kwapanga.naye.atakufa.kwaupanga
😢
Poleni sana
Duh!! Hii nchii tunapoellekhea sasa Toumach Haya Ote tuwe Wazungumzaji Na watuteke Ote sasa
Poleni sana jamani
Jaman inashangaza sana tena sana mnatoa ROHO za watu mm ni hatari sana.
Naomba wakaazi wa tanga wasi kae kimya wafanye maombi kumkabizi allah waandae visomo hii Allah anawajua hao wahusika
So sad😢