Ukweli uliofichwa juu ya historia halisi ya waliopigania Uhuru wa Tanganyika

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 220

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 14 днів тому +17

    Mzee Muhammed Saidi .. ❤
    Mtu wa Historia kwelikweli

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 12 днів тому

      @@swafiirbulbul819 ni mtu wa historia kweli ila anaendekeza chuki za kidini. Udini na chuki vimempofusha

  • @johnmosha
    @johnmosha 14 днів тому +3

    This proffesor needs to be doing public Lectures, On this historical matters of our country. Very deep knowledge

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 13 днів тому +8

    Ukweli wote aliumwaga Sheikh HASANI ILUNGA, Allah amuhifadhi Sheikh wetu. Alipambana sana kusema kweli 😢

  • @Mtuwawatu1993
    @Mtuwawatu1993 14 днів тому +5

    Asante kwa kutujuza mungu akubariki sana

  • @eunho9529
    @eunho9529 12 днів тому +7

    Mimi sina shida na dini kupigania uhuru wa Tanganyika, bali history kutotambua na kutoandikwa pia kufundishwa mashuleni ukweli kuhusu watu wote waliopigania uhuru bali wachache kwa ubinafisi wao kutambuliwa. Kwa kuziilisha hilo mwalimu aliamua kutoweka rangi nyekundu kwenye bendera ya Tanzania ambayo ingeonesha kuwa kuna watu walipigana na kufa kwaajili ya uhuru, ie, richa ya Mkwawa kutajwa katika historia bado mwalimu akaalalisha uongo kwamba Tanganyika ilipata uhuru bila ya kumwaga damu kitu ambacho ni uongo mtupu.
    kwa ujumla historia ya taifa ili inapaswa kuandikwa upya kwa kuwatambua kwa majina yao wale wote waliopigania uhuru pasipokujali dini, sehemu, jinsia wala kabila lao, bali kwa mchango wao kila mmoja.

  • @raymondjohn3798
    @raymondjohn3798 14 днів тому +8

    Asante Sana Mzee Kwa Historia uliyotuletea, Mimi nafuatilia kutoka Afrika ya kusini, lakini katika orodha yawatu walionyongwa naona wengi majina yao niyawatu wa Afrika kusini hasa ubini!!!!

    • @AmanMediaTz
      @AmanMediaTz 12 днів тому +1

      muongo muongo no evidence , Udini mwingiii

    • @comsmkemwa2671
      @comsmkemwa2671 10 днів тому

      Mimi simuelewi huyu mzee ,kuobgea udini leo hii iwe nini? Mnataka mpewe nchi? Watu leo wanaringia uhuru wa watanganyika, hawaringii kabila au dini gani wamepigania uhuru, huko ni kutengenz mbegu ya chuki kwa waislamu wenye uelewa mdg, kwani wakristo wameshawahi kujadili dini za waliopigania uhuru? Sasa kujadili leo ili iweje? Saqa na kweli waislam walikua wengi, kwa hiyo tufanyeje?

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 днів тому

      ​@@comsmkemwa2671ukweli wajerumani wali kuja afrika kupora na kuuwa na kuondoa uisilamu wameuwa wamebaka na wameshindwa kuwamaliza wakaja na dini mbadala Ili historia ipotee ndomana waislamu bado wanauliwa na wakristo

    • @hilarylaurian7896
      @hilarylaurian7896 3 дні тому

      Wangoni wanatokena Afrika kusini kwa asili yao. Na wana muingiliano na wapogolo, wandamba, wabena, wapunga nk

  • @shabaniduduma8885
    @shabaniduduma8885 4 дні тому +1

    Allah Akulinde na kukupa nguvu kaka mkubwa kwa kuzungumza ukweli ambao watu wenye roho nyeusi wanaufukia.

  • @sadih5333
    @sadih5333 14 днів тому +6

    Waambie , wape wakimeza wakitema hio si juu yako.

  • @mwinyirama2751
    @mwinyirama2751 14 днів тому +9

    Mfumo mzima wa elimu katika mashule yetu ni mpango wa Kiingereza/secularism. Huwezi na wala hawatokubali usomeshe historia kinyume na walivyo asisi. Uislamu ndio ulioijenga Tanganyika

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 днів тому

      Kwaio Tanzania iwe NCHI ya kiislam si NDIO?

    • @hamadali5062
      @hamadali5062 13 днів тому

      Huo ndio ukweli waislamu ndio walio pigania uhuru. Huyu nyerere kapewa na wazungu kwa kuwa ni mkristo mwenzao.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 13 днів тому

      ​@@hamadali5062Kama hamna elimu mtaongozaje

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 11 днів тому +1

      Mlikuwa mnapigania msikitini au chooni

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 11 днів тому

      😂😂😂😂

  • @mussamapesa8863
    @mussamapesa8863 13 днів тому +5

    Mm nimefika kalenga kwa mkwawa na nimezuru kaburi lake pamoja na wake zake wote walikua waislamu na kweli barua zake niliziona zimeandikwa kiarabu na mke wake mmoja alifariki tarehe sawa na ya mumeo

    • @hamadali5062
      @hamadali5062 11 днів тому

      Hizo barua alizokuwa akiandika kiarabu alikuwa anawasiliana na warabu kuhusu kupewa msaada wa silaha pia kupewa misaada za wapiganaji. Leo shuleni wanafundishwa vita ya maji maji uogo mtupu. Kwanza kufundisha vita ya maji maji ni kumdharaulisha mtanganyika. Yale ni maji walikuwa wakibeba waislamu ili wakati wa salaa watawadhe wale walikuwa mjahidina walio kufa inshallah Allah walikufa mashahidi kuitetea Inchi Yao tanganjika. Msidharau historia ya watanganyika. Soma historia Nani aliye muuwa general wa ki Germany Aliyekuwa anaongoza vita iringa ni Mohamed bin Abdullah al baruwani wanyamwezi walikuwa wakimwita rumaliza. Huyu ni mwarabu alisimama na watanganyika wenzake kupigana na wa Germani. Historia ya tanganjika umefichwa Sana kwa sababu ya udini.

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 10 днів тому

      Hhhhhhhh😅😅

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 7 днів тому

      @@mussamapesa8863 Kisha wajinga wanakaririshwa kwamba wakoloni walikuta waafrika hawajui kusoma wala kuandika na makapuku wanakubali hiyo historia!!

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 днів тому

      Asante ndugu kwa kuthibitisha hilo

  • @filaretoskimaro3959
    @filaretoskimaro3959 12 днів тому +2

    Kweli chifu mkwawa alikuwa muislam.
    Adam Sapi mkwawa aliyekuwa spika wa bunge.

  • @helladeogratias7630
    @helladeogratias7630 3 дні тому +1

    Unyonge, elimu na kujiamini huzaa mambo yote hayo. Nyerere alipewaje uongozi TAA n TANU...FACT finding studies....reading btwn lines and broader mind; good mix =☑️

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 6 днів тому +1

    Hata waarabu walikuwa wanasilimisha watu kwa ncha ya upanga kwa,hiyo msiwasimange sana wazungu tu tena waaarabu walifanya ukatili wakutisha sana: Kama Ubaguzi waislamu ndio wabaguzi hata katika ajira angalia wafanya biashara wa kiarabu hapa Tanzania hawajiri wakristo hadi sasa: harafu huko zanzibar aliyepanga safu ya wa zanzibar kumpondia Sultani wa Zanzibar alikuwa field marshal Tito Okelo mganda lakini hata ninyi hatajwi mnamtaja Karume tu wakati karume hakushika upanga mkononi kuongoza mapinduzi aliyeshika silaha mkononi kuongoza vikosi vya mapinduzi ni Tito Okelo je hammtaji kwa kuwa yeye naye ni mkristo?

  • @nicksonmbonye7595
    @nicksonmbonye7595 10 днів тому +1

    Kwa ufupi uislam na ukristo wote ulitunyanyasa, na ushirikiano Kati ya wakeisto na waislamu ulitupatia Uhuru, msitugawe mtuunganisheni

    • @fathiyasaid1506
      @fathiyasaid1506 10 днів тому

      nyie ni wale wale hamkubali ukweli sababu tuu uislam, mshaambiwa wazungu walilazimisha watu kuritadi na wao ndio waliokua wakiwatesa watu lkn badoo tuu unaingiza warabu na waislamu kati

    • @nicksonmbonye7595
      @nicksonmbonye7595 10 днів тому

      @@fathiyasaid1506 Lazima ujue kutofautisha uarabu na uislamu,uzungu na ukristo, ,,,Hawa wote sio watetezi bali ni watesi

  • @user-un3hr5kh6z
    @user-un3hr5kh6z 14 днів тому +2

    Tatizo la Tanganganyika dini tatizo la Zanzibar muungano muingereza amekalia

  • @bahariahd6299
    @bahariahd6299 14 днів тому +5

    NI KWELI MM NINAE RAFIKI YANGU ANATOKEA KWENYE FAMILIA YA MKWAWA AMENIHADITHIA KAMA MKWAWA ALIKUA MUISLAM

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 14 днів тому +2

      Sio kweli, mkwawa hakua na dini yeyote ya kigeni, bali, marafiki zake, akina ali bushiri ndio walikua waislamu.,, ndio maana hata jina lake la kimila kwa kihehe (mkwawa)na kaburi lake halina ishara ya dini yeyote, kati ya uislamu au ukristo.

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 14 днів тому +1

      ​@martinisadru9899 hupendi ilo kwa kuwa wewe ni kafiri ila imekuchoma iyo

    • @hamudzakuwani4149
      @hamudzakuwani4149 14 днів тому

      tafuta historiya yakee huyoo kashakwambiyaa usibishee

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 14 днів тому

      ​@@martinisadru9899KIZAZI CHA FAMILIA YA MKWAWA WOTE WAISLAM JIULUZE UISLAM WAO WALIUPATA WAPI?! SPIKA WA KWANZA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MZEE ADAM SAPI MKWAWA ALIKUWA MUISLAM JIULIZE UISLAM WAKE KAUPATA WAPI?! TENA NDIYE ALIYEKUWA SPIKA WA KWANZA MWEUSI WAKATI WA UTAWALA WA UKOLONI KIPINDI HICHO NCHI IKIJULIKANA KAMA TANGANYIKA, AMKA NDUGU UNADANGANYWA!! YANI MMEDANGANYWA MENGI SANA NA MPAKA LEO BADO MNAYAAMINI, HATA BINADAMU WA KWANZA MLIAMBIWA ALIKUWA NYANI JAMBO AMBALO LIPO KINYUME KABISA NA MAANDIKO MATAKATIFU YA BIBILIA YANAYOSEMA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA ADAM NA EVA, LAKINI LICHA YA UONGO WOTE HUU UNAOPINGANA NA MAANDIKO LAKINI BADO MNAAMINI, TENA YOTE HAYO YAMEANDIKWA KWENYE VITABU HIVYO HIVYO VYA HISTORIA ETI MABABU ZENU WALIKUWA MANYANI NA WAO WAZUNGU NDIYO BINADAMU SAFII... MNAFURAHIA TU KUTUKANIWA MABABU ZENU... NA NDIYO MAANA MWAMBA MAGU ALITAKA HISTORIA YETU IANDIKWE TENA PUMBA ZIJULIKANE NA MCHELE UJULIKANE, WAZUNGU SIYO WATU WAZURI ENDELEA TU KUDANGANYWA 😂😂😂... UKISHINDWA KWENDA KALENGA KUJITHIBITISHIA WEWE MWENYEWE DINI YA MKWAWA BASI GOOGLE PICHA ZA MKWAWA NA WAPIGANAJI WAKE NDIPO UTAKAPOSAFISHA MOSHI MCHAFU WA PROPAGANDA ZA UONGO ULIOJAZWA KWENYE HUO UBONGO WAKO... 😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 14 днів тому

      ​@@martinisadru9899​KIZAZI CHA FAMILIA YA MKWAWA WOTE WAISLAM JIULUZE UISLAM WAO WALIUPATA WAPI?! SPIKA WA KWANZA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MZEE ADAM SAPI MKWAWA ALIKUWA MUISLAM JIULIZE UISLAM WAKE KAUPATA WAPI?! TENA NDIYE ALIYEKUWA SPIKA WA KWANZA MWEUSI WAKATI WA UTAWALA WA UKOLONI KIPINDI HICHO NCHI IKIJULIKANA KAMA TANGANYIKA, AMKA NDUGU UNADANGANYWA!! YANI MMEDANGANYWA MENGI SANA NA MPAKA LEO BADO MNAYAAMINI, HATA BINADAMU WA KWANZA MLIAMBIWA ALIKUWA NYANI JAMBO AMBALO LIPO KINYUME KABISA NA MAANDIKO MATAKATIFU YA BIBILIA YANAYOSEMA BINADAMU WA KWANZA ALIKUWA ADAM NA EVA, LAKINI LICHA YA UONGO WOTE HUU UNAOPINGANA NA MAANDIKO LAKINI BADO MNAAMINI, TENA YOTE HAYO YAMEANDIKWA KWENYE VITABU HIVYO HIVYO VYA HISTORIA ETI MABABU ZENU WALIKUWA MANYANI NA WAO WAZUNGU NDIYO BINADAMU SAFII... MNAFURAHIA TU KUTUKANIWA MABABU ZENU... NA NDIYO MAANA MWAMBA MAGU ALITAKA HISTORIA YETU IANDIKWE TENA PUMBA ZIJULIKANE NA MCHELE UJULIKANE, WAZUNGU SIYO WATU WAZURI ENDELEA TU KUDANGANYWA 😂😂😂... UKISHINDWA KWENDA KALENGA KUJITHIBITISHIA WEWE MWENYEWE DINI YA MKWAWA BASI GOOGLE PICHA ZA MKWAWA NA WAPIGANAJI WAKE NDIPO UTAKAPOSAFISHA MOSHI MCHAFU WA PROPAGANDA ZA UONGO ULIOJAZWA KWENYE HUO UBONGO WAKO... 😂😂😂

  • @diti4899
    @diti4899 14 днів тому +2

    Ni kweli waislamu walikua wanajua hesabu ila sio hisabati. Hesabu kila mtu anajua ila sio hisabati.

  • @maisarirajab4846
    @maisarirajab4846 14 днів тому

    Tunamshukuru mungu kwa kuwaweka mpaka leo watu kama nyinyi mungu akupe afya njema

  • @hamudzakuwani4149
    @hamudzakuwani4149 14 днів тому +2

    ss watz historiya yakwetu hatuijuwiii tukuambiwa ukwelii atukubali ni ubishii tusomeni stories yetuu ss ni wafrikaa tuwache udini tz waislamu wanaijuwa vizuri kuliko wakristoo some I historiya wanao heleza hizi stories ni waislamu tu

  • @masungamashauri4070
    @masungamashauri4070 10 днів тому +1

    Tutabaki na umasikini wetu hadi mwisho kama tuko bize na historia zinazoweza kumlipa msimuliaji tu ila wasikilizaji hawavuni chochote kiuchumi. Nini kinaweza kuleta sahani mezani mwetu

  • @IsmailOmarDahir
    @IsmailOmarDahir 14 днів тому +3

    Historia haifi kamwe

  • @chieflowasa7320
    @chieflowasa7320 14 днів тому +5

    Safi sana kamanda waelimishe maana wao kila kitu nyerere

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 13 днів тому

      Nyerere ndo Shujaa wa Taifa hili hao wengine machoko tu

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 12 днів тому

      ​​@@fasterwalker1464utakuwa umelelewa kwa mama theresa maana akili zao tunazijua sisi😅😅😅

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 12 днів тому

      @@hassanmfaume4522 hao wazee wakiislam mnaowatetea hata wangepigania nchi miaka 50 tusingepata Uhure

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 12 днів тому

      @@hassanmfaume4522 kaz aliyoifanya Nyerere ni kubwa na ya mafanikio makubwa ndomaana hata Mugabe alimsifia Mwl akamponda Mandela ila ina hitaji IQ kubwa kumwelewa kama ni Form 4 fail huwez kumwelewa

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 10 днів тому

      ​@@hassanmfaume4522Jaribuni kuwa na shukrani bila Nyerere msingekuwa hata na shule, Nyerere ndiyo aliye binafsisha shule za wakristo ili na wasome

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 13 днів тому +1

    Wewe mzee ni mjinga sana Mkwawa hakuwa mjinga kama wewe wakutuubilia habari za mabosi wako waarabu Yani badala utuhamasishe tujikomboe kwenye huu utumwa wa dini za wageni bure kabisa ww

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 9 днів тому +1

    Nyerere asingekua mkali nchi hii ingekua na dini rasmi

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 11 днів тому

    Daaah aiseh kumbe yamefichwa mambo mengi sana.
    Nilikuwaga najiuliza hivi uhuru unawezaje kuletwa na mtu mmoja

  • @DavidMtoi
    @DavidMtoi 10 днів тому +1

    Tumekusiki ila si kusini tu tanu ilipata tabu kukubalika. Huku lushoto tanga tanu ilizomewa kabisa mbele ya mwalimu. Bi_titi pamoja na broke munanka. Mpaka alipokutana na baazi ya wana hama wa ilikua taa. Baadhi ya maelezo utayapata ktk kitabu tanu na wana chi wa wilaya ya lushoto.

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 14 днів тому

    Mwenyezimungu akulipe kheri..

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 14 днів тому +2

    CRUFF ALIJUA WAZANZIBARI HAWADANGANYIKI KWA KUAMBIWA MUNGU NI WA TATU, ILA WATANGANYIKA WALIINGIZWA KTK BOX YA WAZUNGU WATTATU HADI LEO🤣🤣

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 13 днів тому +1

      Siku zote ng'ombe atabaki kuwa ng'ombe hata kama ameelimika,Mnasahau Nyerere ndiyo aliwasaidia mkaanza hata kwenda shule.Mtaendelea na chuki zenu hadi mwisho wa dunia kama ilivyo somalia

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 12 днів тому

      ​@@FridayMwassawazanzibar wamesoma kabla ya uvamizi wa mwaka 1964 . Tena ilikua na wasomi wengi kuliko huku kwetu bara..!

    • @josephatbonifaceclemence1154
      @josephatbonifaceclemence1154 12 днів тому

      ​@@hassanmfaume4522walisoma chuo gani? Kule unguja kulikua na Shule au madrasa? Sasa hio ni Elimu? Nyerere WAKATI huo alikua Mwalimu Yeye alisoma wapi na wao wasisome? Mpaka Leo hamsomi mmekalia kujitunza mambo ya kale sijui yanawasaidia nini?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 10 днів тому

      ​@@hassanmfaume4522Shule gani ilikuwepo Zanzibar wakati huo,acheni uongo,Nitajie hao wasomi wa Zanzibar wa wakati huo

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 7 днів тому

      ​@@FridayMwassahuyo nyerere wako hakumsaidia mtu zanzibar labda kuleta muungano upo kaona tanganyika hamuingii kule bila ya passport huyo mbwa wenu nyerere choyo na chuki ndio akateta muunano ili watu waingie tu znz kama mbuzi hadi leo znz wameiharibu wabara ndio maana watu hawataki muungano tena eti nyerere kasaidia kusoma laanatullah lile lol

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 11 днів тому

    Machifu wa Ruvuma je. Mbano, Songea, Chabruma na wengineo.Historia safi ni ponyo la Taifa.

  • @mdimifrank
    @mdimifrank 6 днів тому

    Kalenga nimekwenda na nimezokuta barua hizo na ziliandikwa kwa wino mwekundu.
    Hata descendants wake karibu wote ninaowafahamu pia walikuwa na ni waislamu.
    Lakini alikuwa muungwana sana pia. Alikuwa na watumwa waliotoka hadi Kenya na wengine walioa dada zake, na ndiyo asili ya akina Mungai. Babake Mungai inasemekana alipatiwa ardhi kubwa ambayo baadaye mwanaye aliirithi na kuanzisha maahamba ya chai.

  • @rshidmwasa8493
    @rshidmwasa8493 11 днів тому

    Umetisha Mzee wetu
    Hivi vitu ni adimu sana
    Sizani kama kizazi chetu tungekisikia?
    Ni matukio adimu sana.
    Wakoloni watu wabaya sana yaani wamefanya nduguzetu wa kuzaliwa nao waisaliti history ya nchi yao kisa ni itikadi za dini!!!

  • @barakakyando2219
    @barakakyando2219 12 днів тому +2

    Ukiwa unadhana ya kuwa ukristo au uislamu ndio uliojukomboa na huku wote hao ni wazungu na waalabu na maisha yako bado duni na ya kitumwa huwo ni ushenzi tu kutukuza waarabu au wazungu na kunyanyasa waafrika wenzako we bogasi tu.

    • @fathiyasaid1506
      @fathiyasaid1506 10 днів тому

      kama huna la kusema si nyamaza tuu, ukweli ndio huo ata km haukufurahishi ndio ulivyo ndio hisoria ya kweli

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 7 днів тому

      Umekomboa weye utoke huko utokako hujui hata la kuandika kahare uko ukweli unama

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 днів тому

      Wewe utakuwa mkristo kenge wew

  • @ShadowScreamStudio
    @ShadowScreamStudio 2 дні тому

    Ipo wazi mwarabu aliwahi kuja pwani ya Africa .lazima aweke safu yake aeneze uislam kama akina Johan claff kutaka ukristo..
    Mjerumani alifosi kama mwingereza.
    Yote ya yote .Ndio maana Africa tumekuwa vibaraka wa uislam na ukristo .mataifa yenye yenye maendeleo kwa wananchi wake hawana hizi mambo zaidi ya kutukuza Asili zao tu.

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 14 днів тому +3

    Mzee mpumbavu mbaguzi wa dini anajaribu kupindisha Historia kwa kuegemea udini.
    Mpuuzi kweli

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 13 днів тому

      Upumbavu wake uko wapi?
      Kaaongelea waislamu walio poteza maisha yao juu ya mabeberu wa kijeremani na uingereza ambao ndio waliondika historia ya Tanganyika na kuficha
      Mchango wa Waislam wenye majina ya kiarabu.
      Wacha chuki za kidini.
      Ukweli utabaki kuwa ukweli.

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 12 днів тому +2

      @@khaliphaabubakar9466 huyo mpuuzi mzee wa hovyo ndio anachuki za kidini kwa kuingiza udini kwenye harakati za kudai uhuru. Anapandikiza chuki kwa Watanzania wakati anajua kabisa kwamba wazee wetu wote bila kujali dini wala kabila waliungana pamoja kudai uhuru

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 10 днів тому

      ​@@khaliphaabubakar9466 kwa hiyo hata jina MAJIMAJI na maana yake hadi iitwe MAJIMAJI UPRAISING ilikuwa kutokana na imani ya kiislam au imani za Kihehe ? 🤔

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 8 днів тому

      itakuwa hata babayako nimpumbavu achakutukana baba wa wenzako

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 8 днів тому

      @@mustwafathabiti2978 huyu mzee ni mpumbavu na mchonganishi. Anataka kutugawa Watanzania kwa misingi ya dini.

  • @alfoncekasanyi6584
    @alfoncekasanyi6584 11 днів тому +2

    Kilichotusaidia kupata uhuru Ni kiepuka udini bila hivyo tisingepata uhuru.Sasa huyu mzee anakumbatia Sana udini.mkimfuata Sana hamtajua vizuri Historia ya Tanganyika.wWatawala wote wa kikoloni kuanzia wasrabi walitumia dini kutugawa ili watutawale kirahisi

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 11 днів тому +1

      Uhuru ulipambaniwa na kila mtu sio dini

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 8 днів тому

      tuambiewew ilitukufutwa

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 днів тому

      Pamoja na hayo kinachokukera ni kipi na mtu kazngumza historia ya kweli kama wewe una historia Yako ongea

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 11 днів тому

    Tuvumiliane Watanzania, wala tusichukiane huyu kasema uhuru umeletwa na Waislam ,
    Na Mkristo ajitokeze aseme uhuru umeletwa na Wakristo kila mmoja atoe historia na atetee hoja zake, ili watu wasije wakaingia kwenye chuki na vita za kidini ni mbaya sana

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 14 днів тому +1

    Watu wa roho mtakatifu imekula kwenu hiyo

  • @33-synchronized
    @33-synchronized 5 годин тому

    Prof upo kidin sana,Sawa din kubwa ilikua Waislam lakn uislam uliingiaje tanzania?na Waislam wa zaman majina yao yana asili zao pia nyie wasasa majina ya asili mmetoa😂😂😂Alaf uislam nao uliletwaaa kama ukristo ulivyoletwa nao uliletwa kama ukristo ebu jarbu kusimama kama mzalendo kabla ya uislam na ukristo,

  • @diti4899
    @diti4899 14 днів тому +1

    Na haya mambo ya udini sio asili zetu waafrika. Tusishadadie udini utatumaliza

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 14 днів тому

      Hapo ulipo ni mkristo, unatamani waislamu wote wafe.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 днів тому

      ​@@Sheba4651waislam NDIO wanaotamani wakristo wafe,,, Quran inamstari ya Allah awaangamize wayahudi na wakristo

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 14 днів тому

      Asili yko ni ipi?

  • @lusekelonelson7256
    @lusekelonelson7256 12 днів тому

    Mzee Hapo sasa unajichanganya. Mbona huyo Nyerere hakuwa muislamu na alikuwa Frontline. Ukitaka kuhusisha udini na harakati za uhuru utapotosha kizazi hiki

    • @rshidmwasa8493
      @rshidmwasa8493 11 днів тому

      Hujamuelewa mzungumzaji.
      Sio kama wakristo hawajakuwepo anachosema huyo mzungumzaji ni kwanini history ya Tanganyika wahusika muhimu hawakutajwa na badala yake tunaambiwa Uhuru umeletwa na mtu mmoja tu ambaye ni Nyerere

  • @paschalboniphace1632
    @paschalboniphace1632 6 днів тому

    Unapatikana wapi sheikh

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 14 днів тому +1

    We huna lolote toka kabisa DINI TU

  • @nicksonmbonye7595
    @nicksonmbonye7595 10 днів тому

    Mi sijui kinachoongelewa hapa wahehe tunajua kwamba mkwawa alikuwa mwislam.Tulifundishwa Hadi kutengeneza bunduki na waaarabu na hata uvaaji wetu wa jadi ni kama wale waaarabu wa jangwani.tuwe kwenye makanisa au miskiti mavazi yetu ya asilia yanaendana na asilia arabia.sasa mzee kama unaelezea historia ya dini elezea mizizi ya kihistoria ya kiislam.ila kama unaongelea historia ya uhehe na Tanzania elezea milki ya tamaduni Arabia maana ndo imeathiri historia na tamaduni za mavazi na vitu vingine, hatupingi dini ya uislam ila udini ndo haufai.

  • @deogratiusvalentino6248
    @deogratiusvalentino6248 12 днів тому

    Mkawa hakuwawi kutawaliwa na wazungu na alikufa kabla ya himaya yake kuchukuliwa. Lakini kabla ya hapo alikuwa na urafiki na waarabu. Kutokana na muingiliano huo kuna uwezekano mkubwa alikuwa au alikuwa mbioni kujiunga na uislam. Hata aina ya mavazi aliyovaa yaliendana sana na tamaduni za waarabu

    • @JafariHamisi-gu4ef
      @JafariHamisi-gu4ef 6 днів тому

      Mkwawa alikuwa muoslamu kabisa hata barua zake aliandika Kiarabu

  • @peterbalyagati7834
    @peterbalyagati7834 8 днів тому

    Mzee ukija kweye media jitayarishe vizuri

  • @tarekisalum1911
    @tarekisalum1911 14 днів тому +1

    Tufunze mwalimu

  • @paschalboniphace1632
    @paschalboniphace1632 6 днів тому

    Napataje hicho kitabu? Kinauzwaje?

  • @Ligida-57
    @Ligida-57 9 днів тому

    Suala nj uislaam au ukristo na cio history ya vita vya ukombozi?

  • @alexanzuruni1965
    @alexanzuruni1965 10 днів тому +1

    BADO UNAAKILI ZA KIKOLONI MZEE mambo ya dini na uhuru wapi na wapi
    Mm natambua shujaa mmoja Tu naye ni BABU MKUU
    ❤ MBAVU MOYA ❤

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 10 днів тому

      Wengi wanaukataa ukweri mbavu moya ndio mkombozi wetu

    • @AbdulhaamisSoud
      @AbdulhaamisSoud 10 днів тому

      Usipojuwa ulipotoka itakuwangumu kujuwa ulipo na wendako😅😅😅😅

    • @hamismabula9934
      @hamismabula9934 8 днів тому

      Usipojua historia ni sawa na uko gizan tu! Kubali kujifunza!

    • @bakarikayugwa3295
      @bakarikayugwa3295 8 днів тому

      @@hamismabula9934 Alie hadisiwa na kahadisiwa na kahadisiwa Tena ndo atuhadisie hajui lolote kila mwalimu nae ana mwalimu wake hajui lolote

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 13 днів тому +2

    Anaitwa nani huyu mwamba?

  • @comsmkemwa2671
    @comsmkemwa2671 10 днів тому

    Nilikuw nakufuatilia mzee nimegundua historia yako ina mlengo wa kidini, sasa kama uislamu ndio ulikuw wa kwanza kupokeq elimu ilikuwaje leo waislamu wengi hawajasoma elimu ya dunia, na wengine wanaita elimu ya dunia ni haramu?

  • @AmanMediaTz
    @AmanMediaTz 12 днів тому

    Hmmmm kuna uongo uongo mwingi.....No evidence na Udini mwingiiiiii

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 11 днів тому

    Bado hiyo milango iko wazi. Bado inawaibgiza walewale ndo wanaotawala mpaka leo.

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 14 днів тому +2

    Huyu jamaa hoja zake n zanzibar, uislamu
    Ko n mdini huyu na mbaguzi...

    • @hafidhally7998
      @hafidhally7998 14 днів тому

      Nawewe toa historia yako Achana nayake.. Upendi ukweli

    • @abdallahmmary8591
      @abdallahmmary8591 14 днів тому

      Mdini ni nyerere nadhni hujui histiry skiliza vema waliopigania uhuru wengi ni Waislamu nyerere amefanya hila kubwa.

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 днів тому

      ​@@abdallahmmary8591hakukua na bendera ya udini WAKATI WA kupigania uhuru

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 14 днів тому

      Hizo ndio slogan zenu

    • @user-sr9js6rj5v
      @user-sr9js6rj5v 14 днів тому

      Hiyo ni fact ya history ya Tanganyika. Ukubali usikubali

  • @abdallahkaskas6168
    @abdallahkaskas6168 14 днів тому

    Duh..!

  • @venslausblaise507
    @venslausblaise507 13 днів тому

    Nan kamuona Abdul Sykes kwenye picha yeyote ya uhuru wa Tanganyika? Bibi TITI zipo,Mtemvu zipo... Nan kaona za Sykes

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 13 днів тому

    Tatizo mzee amesimama kidini sana ndoanapo niboa habar za mkwawa kua muislam vitan inasaidia nn mbona Milambo aliuliwa na hao hao waarabu kwa kutuma sumu kwa ndugu zake wakamlisha sumu
    Waarab na wazungu wote mbwa na hawatufai tu na dini zao wazotuletea

    • @froma3732
      @froma3732 12 днів тому

      Tatizo ndio hapao mukiambiwa ukweli inakuwa shida

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 9 днів тому

    Hoja yako ni nini? Kwamba uislam uwe dini ya nchi au?

  • @Saidiamiri-s8i
    @Saidiamiri-s8i 14 днів тому +3

    Hivi vitu havisaidii ebu kama waislam tuangalie ni kwa namna gani tunaweza kujikwamua kutoka hapa tulipo,maana waislam tumeachwq kwenye kila kitu ukiangalia kwenye uongozi wakristo wengi kuliko waislam ebu tupiganie haya tuache mambo ya nani alipiganiq uhuru sijuw nyerere alifanya nni, tupigania huku kwenye elimu na ngazi ya uongozi tuwe sawa😢

    • @raphaelnambombi3709
      @raphaelnambombi3709 14 днів тому +1

      Huyu mzee naye analeta hasadi tu

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 14 днів тому +2

      Ccm hampendi haya

    • @sumayasumaya6455
      @sumayasumaya6455 14 днів тому +3

      uwezi kuyapigania hayo bila kuyazungumzia haya..kighoma malima, alijaribu by then..

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 14 днів тому +2

      Asie enzi historia yake hawezi fanya lolote ni mawazo ya kitoto kusema tusahau historia yetu hiyo ndio chachu ya kuchochea mafanikio

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 14 днів тому

      ​@@raphaelnambombi3709 kwa afya mbaya ya akili inaona hasidi.huo ndio ukweli kabasa katafute kitabu cha Dk Sivalon kanisa katoliki na Uhuru wa Tanganyika huyo ni mkristo mwenzako utaona ukweli huo anao ongea mtaalamu huyo wa historia

  • @saidahmed7268
    @saidahmed7268 14 днів тому

    Mfalme hsile sellasie ndo kawashauri wazungu ktk mkututano wa berlin 1884 kuwa hakuna jinsi zaidi ya kuwaletea waafrika dini ya kikiristo ili kulainisha nyoyo zao ili wakubali mali zao kuibiwa ama kuchukuliwa live bila wao kuleta pingamizi yoyote

  • @celestinshayo7295
    @celestinshayo7295 14 днів тому +3

    Without lies.........dies

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 14 днів тому +1

      I fully agrees with you!!

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 14 днів тому +1

      BANGE HIZO... JIULIZE KWENYE TANU ALIKUWA PEKE YAKE?! YANI MWENYEKITI YEYE, NAIBU YEYE? KATIBU YEYE, MWEKA HAZINA YEYE, MJUMBE YEYE NA KADHALIKA, HIVI KUNA BINADAMU WA AINA HII YANI TANU YOTE YUPO PEKE YAKE TENA TANGANYIKA (TANZANIA) NZIMA ANAENDESHA SHUGHULI ZA CHAMA PEKE YAKE?! HAKUWA NA KATIBU WALA WASAIDIZI WENGINE NA HATA WANACHAMA?! JE HAO WOTE WALIKUWA WANAFANYA KAZI GANI NDANI YA CHAMA CHA TANU?! FUTA BANGE HILO BRO JIONGEZE... UNAPOAMBIWA JAMBO CHANGANYA NA YAKO 😂😂😂 NENDA KATAFUTE HOTUBA YA MWALIMU NYERERE YA BAGAMOYO KWA SHEIKH RAMIYA NDIPO UTAKAPOPATA JIBU ALIKUWA NA KINA NANI... 😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 14 днів тому

      ​@@richardnganya2311BANGE HIZO... JIULIZE KWENYE TANU ALIKUWA PEKE YAKE?! YANI MWENYEKITI YEYE, NAIBU YEYE? KATIBU YEYE, MWEKA HAZINA YEYE, MJUMBE YEYE NA KADHALIKA, HIVI KUNA BINADAMU WA AINA HII YANI TANU YOTE YUPO PEKE YAKE TENA TANGANYIKA (TANZANIA) NZIMA ANAENDESHA SHUGHULI ZA CHAMA PEKE YAKE?! HAKUWA NA KATIBU WALA WASAIDIZI WENGINE NA HATA WANACHAMA?! JE HAO WOTE WALIKUWA WANAFANYA KAZI GANI NDANI YA CHAMA CHA TANU?! FUTA BANGE HILO BRO JIONGEZE... UNAPOAMBIWA JAMBO CHANGANYA NA YAKO 😂😂😂 NENDA KATAFUTE HOTUBA YA MWALIMU NYERERE YA BAGAMOYO KWA SHEIKH RAMIYA NDIPO UTAKAPOPATA JIBU ALIKUWA NA KINA NANI... 😂😂😂

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 14 днів тому

      ​@@rayisadesigns2646KWENYE vita vya hudhud waislam WALIKUA wangapi? Na JE woote wametajwa?

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 6 днів тому

      Huyu bwana ametawaliwa na mihemko na ushabiki zaidi kuliko uelewa.
      Historia ya mapambano ya kutafuta uhuru wa Tanganyika ni ndefu. Haianzii kwenye chama cha TAA ambacho kiliundwa mwaka 1929. Kusema waliopigania uhuru wa nchi hii ni waisilamu ni upotoshaji mkubwa na wenye nia ovu ya kupanda mbegu za udini kwenye taifa hili. Wapigania uhuru wa taifa hili si wakristo wala waislamu bali ni watanganyika wazalendo na Nyerere akiwamo. Wako machifu kama Meli Sina Mandara Kinjekitile Chabruma kutaja wachache, waliomwaga damu yao je wote ni waislamu? Ni wakristo? Na je wamisionari wa kikristo waliopambana kufuta biashara ya utumwa bahari ya Hindi hawana mchango kwa uhuru wa nchi hii? Na Fr. Walsh aliyempa ushauri Nyerere akawashtaki Waingereza UNO na Nyerere akafanya hivyo uhuru ukapatikana kwa urahisi mbona historia yake haijaandikwa? . Historia ipi iliyopotoshwa hapa? Chama cha TAA kilianzishwa na wazee wa DaresSalaam ambao walikuwa ni waislamu nani halijui hilo? Hata Nyerere kwenye hotuba zake amewahi kuliongelea hilo na akasema walimuombea dua kiislamu na kumtambikia kiafrika . Na kama unadhani ni dua ya kiislamu ndio iliyomng'oa Muingereza hapa mbona hawakuweza kumng'oa Mjerumani hapa kabla au Mwarabu kule Zanzibar? Na mbona kuna majina ya watu maarufu ambao ni waislamu waliopigania uhuru yanaenziwa kama Bibi Titi Mohamed Tambaza Makunganya nk kama kweli historia ya waislamu waliopigania uhuru wa nchi hii ingekuwa i imefutwa?. Na mbona Nyerere aliyeongoza TANU hadi ukapatikana huo uhuru hakupenda kujitukuza? Kama angependa kujitukuza basi karibu kila kitu hapa nchini kingeitwa jina lake. Barabara ya Nyerere ilikuwa inaitwa ya Pugu uwanja wa Ndege wa kimataifa unaoitwa wa Mwl Nyerere haukuwa unaitwa hivyo enzi zake. Alikataa kujitukuza.. Wazungu walimjua kama dokta Nyerere na ni kweli ni dokta katika nyanja ya taaluma hilo halina ubishi lakini alikataa akasema mimi sijawahi kumtibu mtu niiteni Mwalimu inatosha. Wakati wa uongozi wake viongozi wetu wote waliitwa " ndugu" .Neno "mheshimiwa" au "mtukufu" lilianza kutumika wakati wa utawala wa Mwinyi. Historia ya mapambano ya kujikomboa ni ndefu na inahusisha michango ya watu wengi sio kikundi cha watu fulani. Kule Kenya kuna dhana kuwa wakikuyu ndio waliopigania uhuru wa Kenya sababu ya MAUMAU yao sasa ona jinsi ukabila unavyowatafuna! Tusifike huko udini ukaja kututesa hapa kwa sababu ya dhana potofu kuwa ni waisilamu ndio waliopigania uhuru wetu tukarithisha vizazi vyetu dhana hiyo. Waliopigania uhuru wetu ni watanganyika wazalendo na walishiriki kwa namna tofauti. Uhuru ukapatikana mwaka 1961 chini ya chama cha siasa cha TANU ambacho raisi na mwenyekiti wake wa kwanza ni mzalendo mwenzetu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Yeye kutajwa zaidi haimaanishi kwamba wazalendo wengine wamepuuzwa kwa sababu ya dini huu ni uwongo na upotoshaji wenye nia ovu. Nyerere alikuwa kiongozi wa wenzie historia iko hivyo dunia kote. Mandela anatajwa zaidi kwenye historia ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi kule Afrika Kusini lakini wako wengi waliopoteza maisha yao kwenye historia ndefu ya mapambano hayo je walimpendelea Mandela kwa sababu ya dini yake au kabila lake? Naomba nikomee hapa.

  • @hasaabdi7199
    @hasaabdi7199 14 днів тому +1

    Mfumo kristo

  • @josephatmkomi6573
    @josephatmkomi6573 11 днів тому

    Unavotikisa kichwa kama vile unaongea cha maana,ukristo umeletwa na wazungu na umekuja na tamaduni za wazungu .
    Uislam nao umeletwa na waarabu,
    Ongelea uafrika

  • @saijize
    @saijize 9 днів тому

    hatukuamini si tunajua ni Nyerere tu alikuwa mkubwa zaidi Yako peleka udini mbele huko acha kupotosha watu

    • @saltechnologiesco.ltd.2377
      @saltechnologiesco.ltd.2377 9 днів тому

      😂😂😂 ukishamaliza kukariri soma ujitambue! Rejea historia halisi utokwe tongotongo na vema kujibu hoja kuliko kuporoja na kuhemkwa

    • @mustwafathabiti2978
      @mustwafathabiti2978 8 днів тому

      jingawew wwmwenyewe udini upo adi m

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 7 днів тому

      Nyerere mķubwa huko kwenu tanganyika kama ndio mlokuwa mkimuabudu sio kwa zanzibar hukohuko zanzibar ni mbwa koko tu huyo Nyerere wenu alotuharibia zanzibar mbwa koko yule

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 10 днів тому

    Historia ya kweli ya hili Taifa imefichwa

  • @frimatuslupimo2031
    @frimatuslupimo2031 9 днів тому

    Unaowataja hao walifanya hivo Kwa sabb ya dini au haki? Sioni mantiki

    • @akbarmaulid9624
      @akbarmaulid9624 8 днів тому

      anawataja kwa sababu hawatajwi kwenye historia na wameachwa maksudi na walikua na mchango pia kwenye harakati ukweli ni kua wanastahili kutajwa na kupewa maua yao haijalishi ni dini gani

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 10 днів тому

    3:27 Hivi Waislamu wataelewa lini kwamba Wakristo wanaamini Mungu Mmoja nafsi watatu? Inaweza ikawa Elimu/Theolojia zito ambayo anayependa kuielewa ataielewa. Kikwete mwenyewe nimeshawahi kumsikia anaelewa, pengine kwasababu alisoma shule za Kikristo.
    N-way, sio lazima, mradi tuendelee kuheshimu imani za watu.
    Mimi sidhani hata kuwaingilia wenye dini za jadi ni haki, isipokuwa wakiona inawafaa wabadilishe dini.

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 4 дні тому

      Ungetuelewesha ni nini maana ya NAFSI, na nini majukumu ya kila Nafsi?

  • @sleepway74
    @sleepway74 11 днів тому

    Stop spreading misleading information.

  • @mzongekibwana838
    @mzongekibwana838 9 днів тому

    Kitabu bei gani mzee

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 11 днів тому

    Watu hawataki ukweli, namimi naamini mkwawa alikuwa muislam.

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 10 днів тому

      Mwislam gani anakuwa na wake zaidi ya 20

  • @akimzeli5030
    @akimzeli5030 14 днів тому

    😭😭😭

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 12 днів тому

    Je uhuru uliokuwa ukitafutwa ulikuwa wa dini au uAfrika?...
    Je kama wasingekuwa waisilamu wasingedai uhuru?
    Je wapigania uhuru wa Nchi zingine za Afrika walikuwa waaIslam?
    Je majina ya Kiarabu ni matokeo ya dini au majina haya yalikuwepo hata kabla ya dini?
    Hivi uarabu ni dini au kuna uarabu na dini?
    Kwani kuna sifa gani katika hilo la dini na kupigania uhuru?
    Hivi idadi ndio hutengeneza wapigania uhuru?
    Mbona Rwanda watutsi ni 15% lakini walifanikiwa kupindua serikali ya Kihutu ?

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 3 дні тому

      Majibu:-
      1-Ulikuwa wa uafrika kwa walioupata.Kama umesikiliza kwa makini, anakwambia
      Makomredi wa mapinduzi hawakujua lolote kuhusu mapinduzi, na wapinduaji cha kwanza walivamia na kuharibu mitambo ya kuachapishia qurani..!! ilikosa nini?
      2-Wasingedai. Wakristo wengi walikuwa wafanyakazi wa serikali ya kikoloni na walipigwa marufuku kushiriki siasa.
      3-Wazungu lengo lao ni kuitawala Afrika na kupora Rasilimali zake. kwa hiyo huwagawa watu ki dini,pia kiukabila. Ni mfumo wa Farao huko Misri quran 28:3-4.
      4-Huko uarabuni yalikuwapo kabla ya dini, Bali Mtume s.a.w. alipenda majina yenye kuleta maana nzuri hivyo aliwabadilisha majina wale waliokua na majina yasoleta maana nzuri(yaskuwa na FAALI nzuri), mfano mtu aliitwa: KIMONDO CHA UPOTE VU yeye alimwita KIMONDO CHA UONGOFU.
      5-kuna uarabu na dini.na hadi leo kuna waarabu ni wakristo, ka ambavyo kuna waarabu wengi ni waislaam, bali pia kunawasio na dini.
      6-Kwa kweli sioni sifa yoyote. na hata hao wapigania uhuru ambao wengi wao ni waislaamu hawakuweka mbele maslahi ya uislaam, bali wakoloni waliwabagua waislaam na kuwakumbatia wakristo. Na matumaini ya waislaam yakawa kwenye uhuru na baada ya uhuru ikawa kinyume. hilo ndio limeleta haya yote.
      7-Mfumo wa demokrasi unasema Wengi wape.
      8-Rudia jibu la tatu. wakoloni walikuwa nyuma yao.

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 11 днів тому

    Natamani kulitukana shoga hili,sijui linaongea likiwa limepakatwa

  • @HamisJMB
    @HamisJMB 13 днів тому

    Wazungu ni watu wabay san wamewaua san babu zang

  • @yusuphmshihir7138
    @yusuphmshihir7138 10 днів тому

    Nahitaji vitabu vya huyu mzeee navipatawapi

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 14 днів тому

    Hawa vijana watu weusi kua wakristo ni wajinga tu, nafasi ya kupendwa na mzungu ukajiona ndugu na mzungu ukaacha watu weusi wenzio, utumwa una ujinga sana. 1 Timotheo 6:1

    • @markojames7855
      @markojames7855 13 днів тому

      Ukiacha ukristo sawa naukiacha uislam kwahiyo mnaabudu uarabu nanyi pia ni wajinga kwani Hawa wame chukuia Babu zetunwakawapeleka utumwani mnawaona Bora huu ujinga utaisha lini

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 12 днів тому

    Aliyeficha ukweli ninani? nakwa nini? naunataka iweje ungesimulia familia yako matapishi yako hayo wanahistoria wapo siyo wewe Golden old old is gold but not you. just talking alot s fornothig in ourcountry

  • @philipjoseph5931
    @philipjoseph5931 11 днів тому

    ua-cam.com/video/sTgzcSymRYU/v-deo.htmlsi=GQR8956ejpyPlkL-
    Hotuba ya NYERERE katika harakati za kumwondoa Mwingereza

    • @abdulijuma3969
      @abdulijuma3969 2 дні тому

      😂😂😂😂 Hiyo ni yako baba sisi tunaijua hii😂😂😂

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 14 днів тому

    Kweli wewe mwanahistoria.

  • @maximilianludovick5407
    @maximilianludovick5407 9 днів тому

    Hakuna mmisionari yoyote aliyeleta injili ya miungu watatu. Kwa hilo tu, your whole story goes to shambles mzee wangu. Your so allegedly scholaristic apologetics is full of lies.

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 14 днів тому +1

    Hana lolote uyo mdini tu anatetea uislam wake

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 14 днів тому

      Hizo ndio slogan zenu makafiri

    • @babazungu3180
      @babazungu3180 14 днів тому

      Sindano imekuchoma

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 14 днів тому

      Kwani yule mzee alietiwa ndani na nyerere si katoa history vizuri tu so imetafautiana nini na hii

    • @aljabrsaleh4378
      @aljabrsaleh4378 13 днів тому

      Acha jazba leta hoja wewe

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 13 днів тому

      @@jacksonmsendo3478 jaman ee mie sikumaanisha vbya et uyo mzee kwamba nimekaata historia zake apana nazungumzia hao mafiri wanaopinga ukweli, na ndomana wanapobiawa ukweli slogan zao ndio utawasikia wakisema ubaguzi, mara mdini ndio hivo

  • @zedekiahjulius6
    @zedekiahjulius6 11 днів тому

    Watu wanafikra za kitumwa sana kuwaza kukumbatia dini tu

  • @salumchande2702
    @salumchande2702 14 днів тому

    Abdu sykes ni baba wa dully sykes

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 14 днів тому +3

    Mwl nyerere ndiye aliyeikomboa Tanganyika, yotee mengine wewe muongo mkubwa!

    • @radjabusuleiman6486
      @radjabusuleiman6486 14 днів тому +1

      Acha ukichaa walio mtia kwenye chama cha TANU ni Waislamu kilikuwa chama cha Kiislamu.

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 14 днів тому

      @@radjabusuleiman6486 rajabu jina tu umenijibu!

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 14 днів тому +1

      BANGE HIZO... JIULIZE KWENYE TANU ALIKUWA PEKE YAKE?! YANI MWENYEKITI YEYE, NAIBU YEYE? KATIBU YEYE, MWEKA HAZINA YEYE, MJUMBE YEYE NA KADHALIKA, HIVI KUNA BINADAMU WA AINA HII YANI TANU YOTE YUPO PEKE YAKE TENA TANGANYIKA (TANZANIA) NZIMA ANAENDESHA SHUGHULI ZA CHAMA PEKE YAKE?! HAKUWA NA KATIBU WALA WASAIDIZI WENGINE NA HATA WANACHAMA?! JE HAO WOTE WALIKUWA WANAFANYA KAZI GANI NDANI YA CHAMA CHA TANU?! FUTA BANGE HILO BRO JIONGEZE... UNAPOAMBIWA JAMBO CHANGANYA NA YAKO 😂😂😂

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 14 днів тому

      ​@@johnmichaellukindo21NENDA KATAFUTE HOTUBA YA MWALIMU NYERERE YA BAGAMOYO KWA SHEIKH RAMIYA NDIPO UTAKAPOPATA JIBU ALIKUWA NA KINA NANI... 😂😂😂

    • @chottashabani2309
      @chottashabani2309 14 днів тому

      Acha zarau kwani muungwa aruki mambo Kwa utashi wake