Lissu Achambua Maridhiano na Sababu za Kufeli: 'Hatukuambiwa Yote', Lema, Heche, Msigwa Walipinga.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 167

  • @JoelKilemile
    @JoelKilemile День тому +26

    Tundu lissu is the best leadership in Tanzania ever.

    • @JuliusMahinya-wl7mq
      @JuliusMahinya-wl7mq День тому

      Kwa mtazamo wako! Na kwa maana hiyo hiyo Mseveni, Kagame, Mgabe, Gaddafi nk ni viongozi wazuri!
      Tumshauri mama abadili katiba aendelee mpaka 2040!

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 День тому

      Muache lugha za watu, is the best leadership ndo nn sasa

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo День тому +9

    Mbowe ni Mchaga. Mbele ya hela huwezi pata mkombozi WA kichaga.
    Aliiweka/ kaiweka kwapani Chadema na watanzania wataka mabadiliko.

  • @josephmantago2837
    @josephmantago2837 День тому +13

    Naomba waandishi mumiache mh Lisu inatosha mh Lisu acha kuongea sna tumeisha kuelewa sna tulia sasa inatosha usije haribu mazuri yko

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 День тому +1

      Lissu hataki kutuelewa sisi Wanachama wenzake,hakuna binadamu ambae hapendi kuridhiana na kuishi kwa Amani na Utulivu.Lissu na kundi hawataki kusikia hilo

  • @YohanaMussa-y5h
    @YohanaMussa-y5h День тому +8

    Kweli kabisa anayosema Lissu

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 День тому +9

    Maelezo yanajitosheleza

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 День тому +8

    Kumbe msigwa yupo sahihi kusema umeondoka ccm si kwamba amenunuliwa kwa maana kama kununuliwa basi angenunuliwa na magufuli kwakuwa ni ndugu yake

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr День тому +18

    Lisu nimpinzani wakweli, mboe kwa haya acha usigombee,ili uweze kubaki na heshima Yako,

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День тому +8

    Apo samia anafurahi kua nimewaweza na ivyo vi kripu nimewaaribia wasiaminike tena na wananchi warudi kwake mi siwezi kwenda CCM kamwe wasahau nitakua chadema maisha

  • @SophiaSalimu-z1u
    @SophiaSalimu-z1u День тому +6

    Msigwa kashasema hicho sio chama ni kibubu cha mtu😂

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 День тому +12

    MBOWE alisha compromise anakula pesa ya Abduli.

  • @SurprisedCorgi-kn2sm
    @SurprisedCorgi-kn2sm День тому +8

    Mweshimiwa tunakuomba usiwe muongeaji wakila siku nilazima tukuchague2

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti День тому +3

    Lisu is the best

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809 День тому +6

    Ndani ya chadema kuna madudu ya rushwa hivyo tunaswa kuchagua mwenye kiti sahihi

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День тому +6

    Msigwanae ata simuelewi kwanini nae akimbilie CCM kwanini asingienda act apo angikua na nguvu ya oja

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j День тому +17

    Usipo mwelewa lissu ujasoma hata nyakati au umekula pesa za kuuza lasilimali za tanganyika kama ujala utamwelewa tuu amini

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 День тому +7

    lisu ni mkweli ndo uzuri wake

    • @ahz6907
      @ahz6907 День тому

      Wakweli hawatakiwi na mfumo wa siasa za kidunia ya sasa

  • @JumaKatara-r2b
    @JumaKatara-r2b День тому +5

    Lisu oyeeeeeé

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 День тому +6

    Lisu mwanamageuzi hasa na huwa hapendi Rushwa na ubabaishaji😅😅😅

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 День тому +5

    Lissu yuko makini Sana mungu atmlinda na atafika mbali

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 День тому

      Alishafika mbali,huyu ni raia wa Ubelgiji

    • @elishuaisaya4176
      @elishuaisaya4176 День тому

      Iseee ​@@walidmgonja3644

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 День тому

      ​@@walidmgonja3644raia wa Belgium anaruhusiwa vipi kufanya siasa huku motoni... muombe sana mungu akulinde ili umuone mwanamageuzi wa kweli

  • @kizzasadamj629
    @kizzasadamj629 День тому +3

    Asiejua maana ya siasa ndo atakutwa hapa anagombana na keyboard yaake.

  • @AnaniaIsaya-z9g
    @AnaniaIsaya-z9g День тому +5

    Kwa hali hii
    Mbowe hana haja ya kuwa mwenyekiti tena.
    Kama ikatokea akawa mwenyekiti amekiua chama na asitegemee kuwa na wafuasi tena

  • @GodfreyMakala
    @GodfreyMakala День тому +3

    Usipomwelewa lissu basi watoto wa miaka 7 watamwelewa he is so smart in mindness hakika ndo tunaelewa kwa Nini Mungu amemuweka hai mpakA Leo licha ya hatar kubwa aliyopitia Mungu si kama wanadam kamuokoa kwa makusud maalmu.

  • @elbattawy2864
    @elbattawy2864 День тому +5

    vipande 30 sasa hadharani

  • @BarakaIsmail-p4w
    @BarakaIsmail-p4w День тому +3

    Maliziano ni kama kuharalisha uhovu Wa serkali hovu tundu lisu wapeleke mputa mputa we ndo nahodha wetu hapo unapewa tunzo ya kuwa mpinzani zaifu sana twende na tundu lisu.

  • @SaidiRashidi-y2u
    @SaidiRashidi-y2u День тому +4

    Hakuna kama rissu

  • @7stianPius
    @7stianPius День тому +3

    mbowe sio wakugombe tena,kama Ana busara amuachie lisu kiting,ndo busara hizo

  • @jimmykampate78
    @jimmykampate78 День тому +5

    Haya ndio yanasababisha ndugu zetu wanauwawa kumbe wala rushwa lisu anapigwa risasi chanzo ni uyu mla rushwa

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 День тому +5

    Samia ni nyoka

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 День тому

    Uko sahihi

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly День тому +6

    Ndio maana mbowe hataki kuachia madaraka maana kuna kitu anapata hap mm nikuelewa sna Lissu japo sina chama

  • @fredrickvenance6933
    @fredrickvenance6933 День тому

    Daah kauliza za Lissu zinatia hisia sana. Mungu atusaidie. Mungu akulinde kaka yetu

  • @OmarSeafood
    @OmarSeafood День тому +1

    Kwaiyo wew lisu unatuaminosha kama kwenye kiti mbowe ni msaliti
    Wacha kutuaminisha ujinga mbowe yupo ndani ya mioyo wetu hata ukitumia nguvu kumchafua

    • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
      @MichaelmotikaLaiser-dl6wm День тому

      Kampala samia tuzo ya nini kapiga deal huyo wewe

    • @ahz6907
      @ahz6907 День тому

      Ndio akilo za wa tz wengi zipo kama zako ndio maana hatuwezi kuitoa ccm madarakani daima.

  • @JohnKuhoka
    @JohnKuhoka День тому +3

    Iisu 9:20

  • @TNgwale-eu3xl
    @TNgwale-eu3xl День тому +6

    Mbowe alilbishwa asali alipoitwa Ikulu toka gerezani. Asali ni Tamu na ina ushawishi wake

  • @calvinloveambroce842
    @calvinloveambroce842 День тому +2

    Mbowe alikaza mwisho kalegeza

  • @smartthug9566
    @smartthug9566 День тому +3

    kiufipi mbowemi ccm 😂😂😂

  • @SayiMnyashi-d1y
    @SayiMnyashi-d1y День тому

    Tuna iman na lissu❤

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam День тому +3

    Lissu uko sahihi kabisa, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeupe!,(put all facts on the table), kama mnataka Chadema iwe na nguvu kisiasa Mbowe aachie ngazi, vinginevyo Chadema kitamfia mikononi mwake, itabaki jina tu, kitakosa wanachama na mashabiki.

    • @SeyangaSudi-r6u
      @SeyangaSudi-r6u День тому

      Kama cuf ya lipumba ambae amejipotezea heshima yake kwa kutumiwa na serikali

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 День тому

    Lisu Kabakizwa na Mungu kwa sababu zake yeye. Huyu jamaa Big Brain.

  • @GABRIELNGERECHA-jn2fi
    @GABRIELNGERECHA-jn2fi День тому +1

    Nafatilia vizuri lakini nitajitaidi mpaka usiku mkuu nitatuma ujumbe wa kutosha na taarifa kuhusiana habari yenyewe

  • @mussamabawa2973
    @mussamabawa2973 День тому

    KWAHELI MBOWE,,,, KWAHELI LISU,, KWAHELI CHADEMA

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 День тому +3

    Mh. LISSU UPO SAHIHI KABISA TUNAKUPENDA KWA7BU WEWE NI MKWELI NA MISIMAMO YAKO HAIJALISHI NI MTU GANI ANAYEKUKOSEA

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 День тому

      We sema unampenda msenge mwenzio,Acha kuzuga.

  • @aluthajoseph2841
    @aluthajoseph2841 День тому +3

    Mbowe co mpinzan,anazingua

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv День тому +4

    Mwenyekititiiiiiiiiii kumekucha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf День тому +2

    Tunajifunza kutokana na makosa binadamu mkamilifu

  • @politicutusnyakatanga9860
    @politicutusnyakatanga9860 День тому

    Hiki kinachoendelea CDM ninaona mambo mawili.
    1. Lisu akishindwa Uwenyekiti atatimuka CDM maana amekivua nguo Chama na Viongozi wa Chama hivyo hawatakubali kumuweka tena kwenye vikao vikuu vya Siri ( Kamati kuu ya Chama) kwa sababu siyo ameshaonekana siyo msiri.
    2. Lisu akishinda Uwenyekiti Kuna baadhi ya wanachama atawafukuza akiwemo mwenyekiti mwenyewe na wale wanaomuunga mkono mwenyekiti lakini pia uwezekano wa Kukosa ushirikiano kutoka kwa baadhi ya wanachama anaowalipua utakuwa Mkubwa kwa maana hiyo anaweza kupata shida sana kukiongoza Chama na mwisho kutengeneza mugawanyiko ndani ya CDM.
    Take: Hata kama kungekuwa na sintofahamu hizo ingekuwa ni busara kuziongelea ndani ya Chama na Viongozi wenzake kuliko kuzitoa na kuzimwaga nje hii busara ya Uongozi sijaielewa Bado.

  • @exaudmassawe4300
    @exaudmassawe4300 День тому

    Lissu bado ana nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa Nccr ,cuf n.k ili kupitia umaarufu wake akifanye kuwa Chama kikuu cha upinzani nchini kama ni rahisi kihivyo kwa maneno 😊

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo День тому

    Mh.LISSU IS THE BEST

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 День тому

    Ccm wamsaidie mbowe ashinde huyu atawasumbua sana

  • @kibicematiko2742
    @kibicematiko2742 День тому

    Wewe ndo ulisababisha nikapenda siasa ulipopigwa risasi nilitokwa nililia😢😂 sana napenda kwa sababu upinzani wako ni wa kweli

  • @jovankishamba9424
    @jovankishamba9424 День тому

    Lisu unaeleweka sana.

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 День тому

    Mbele ya pesa mbowe Hana jinsi

  • @adamsanga062
    @adamsanga062 День тому

    lisu lisu inatisha tumekulews

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya День тому +2

    Lissu nikuelewa vizuri kuhusu haki zetu za kuitwa mafanikio ya maridhiano ,ila please acheni kuanikana

  • @masoudhamoud3946
    @masoudhamoud3946 День тому

    Lisu ufai. Kabisa unautu na madalaka

  • @geraldaud
    @geraldaud День тому +1

    Uwazi na Uwajibikaji, ni misingi muhimu ya Demokrasia, Mh. Lissu anajitahidi kuitendea haki Demokrasia bila kupepesa macho. Janjajanja na sirisiri kwenye masuala yenye maslahi ya umma hayatakiwi kufumbiwa macho bali kuzuiwa na kusemwa hadharani inapolazimika. Sanduku la Kura likaamue nani anashinda lakini hadi sasa mzani unaonyesha A ni ipi na B ni ipi.

  • @godfreybigeyo4356
    @godfreybigeyo4356 День тому

    Kama chadema Wana akili wamchague lisu

  • @7stianPius
    @7stianPius День тому +2

    mbowe ni ccm tu,mkubali mkatae

    • @ahz6907
      @ahz6907 День тому

      Hakika Hakuna upinzani tanzania....wote ni ccm

  • @Ramadhanilawoga
    @Ramadhanilawoga День тому +1

    Wajumbe wajumbe wajumbe wanakusikiliza Sana wakati utafika na utaona kitakachokutokea hii nchi Bana tunashuru viongozimakini waliopo wanatupigania nasi yupo nyumba yao

    • @Ramadhanilawoga
      @Ramadhanilawoga День тому +1

      Mungu wa rehema asanteee Kwa kuifanya TANZSNIA nchi ya Amani kama unadhani Una akili Sana mwombe mungu akupe japo kipande kidogo cha juas ukaishi huko hapa bongo hupawezi

  • @7stianPius
    @7stianPius День тому +1

    mbowe sio mpinza kabisa takataka kabisa

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud День тому +1

    Jamani uroho wenu wa madaraka mtatuaribiq chama. Ivi nikampeni ngani izi zinatokea safarihii m!!

  • @jacksonmsola154
    @jacksonmsola154 День тому

    Mitano tena

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo День тому

    Apo tatizo ni mkurunzinza ndiyo maana kuna mmegeko mkubwa

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c День тому

    Hapa Lisu anatumia hekma na busara tuu, ukweli ni kwamba kuna mtu anaemgao kwenye keki ya Taifa,

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 День тому

    Ila Lissu ni muongo sana, eti hakuna chochote

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 День тому

    Mbowe mi sijamwelewa kabisa, Yule sidhani km kweli ni Mpinzani.

  • @ConradMwajeka-r3e
    @ConradMwajeka-r3e День тому +2

    Acha hizo lisu ni ndoto kusema unaweza fanya makubwa chadema nooo katiba tu haitoshi ila ipate msimamizi dhabiti

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 День тому

    Sasa kama ndio hivyo mfuateni msigwa ccm,chadema mnafanya nn

  • @MathewThobias-g6d
    @MathewThobias-g6d День тому

    Lisu kupewa uwenyekiti CDM utasubiri sana endelea kubwabwaja

  • @EngelbertMakoye
    @EngelbertMakoye День тому

    Huyu Lissu ni tatizo . Apuuzwe

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd День тому

    INSHORT KWA MAELEZO YAKO CHAMA HAMNA NI KIBUBU CHA MWENYEKITI 😂😂😂 SASA KUMBE MSIGWA KWA MAELEZO YAKO YUPO SAHIHI ALIKUWA ANASHUGHLIKIWA

  • @Watcher994
    @Watcher994 День тому

    Vita ya nyama, mifupa na damu!.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 День тому

    Hivi kuwatoa watu ktk mateso na kujadiliana kusikoisha kipi bora kwa waliokuwa wanateseka magerezani na makesi wakati mwanasheria wao yuko uhamishoni?

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 День тому

    I have dream, Lisu you are not trusted.

  • @novathmsanyamsanya7702
    @novathmsanyamsanya7702 День тому

    Na yeriko bado anaona Lissu ni fala tu, hii ni dharau

  • @deodatuskuyenga5192
    @deodatuskuyenga5192 День тому

    lisu nenda ccm usitualibie chama chetu

  • @MohammedMaulana-m2t
    @MohammedMaulana-m2t День тому

    Uyumzee anakiangusha chama mboe anakula ela ya ccm

  • @westonnsenye6346
    @westonnsenye6346 День тому

    Nilisha sema mbowe ni mpiga madili

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 День тому +1

    Hakuna duniani raiens anaitwa kwa jina lake...uliookuwa mbunge ulitaka watu wakuite mheshimiwa. ....acha kiburi na dharau

  • @JosephManyahi
    @JosephManyahi День тому

    Mbna hujuiii kiandikaa wewe chawaa,

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 День тому

    Lisu you are double dealer. CDM inaenda anguka. Lisu usikimbie chama ukishindwa kwa kura. ila i dont trust you.

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo День тому

    Maridhiano yalimsaidia yeye kusamehewa kwa kesi ya ugaidi

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd День тому

    HAPO UNAKOSEA MBOWE UNAMWITA MWENYEKITI MHE RAISA UNAMWITA SAMIA SIMPLE LIKE THAT ?

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 День тому

      Sasa samia sio jina lake? Au akiwa raisi na jina linakufa?

  • @willymgaya7618
    @willymgaya7618 День тому +5

    MH. LISSU, UNAWATUHUMU SANA VIONGOZI WENZAKO,AMBAO WENGINE WAMEISHA CHAGULIWA KWENYE NYAZIFA MBALI MBALI MBALI MBALI MBALI MBALI MBALI MBALI MBALI, JE, UKICHAGULIWA KUWA MWENYEKITI , UTAFANYA NAO KAZI VIPI ?

    • @SeyangaSudi-r6u
      @SeyangaSudi-r6u День тому

      Ndo maana ya ukweli halisi na akishinda wakiweza kwenda na Kasi yake watabadilika kwa mauozo waliofanya kazi inaendelea wasipoendana nae watatoka wenyewe na chama kusonga mbele lisu yupo vzr sana na ndo mpinzani wa wakweli wengine maslahi mbele kama mbowe na genge lake

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 День тому

    Wapinzan tanzania 0 njaa kal inawasumbua

  • @LaureanKajugusi
    @LaureanKajugusi День тому +1

    Haya uyasemayo ktk kipindi cha uchaguzi yalikuwa wapi kabla? Hakika ni msaliti mahiri!!! Tafunaneni lakini kuitawala nchi hii sahau!!

  • @luvmo04
    @luvmo04 День тому +2

    Kumekucha CHADEMA karibu CCM LIssu nyumbani kumenoga

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      😂😂Kupata vichekesho kama hivi tunapiga namba ngapi?

    • @Jumamaduka240
      @Jumamaduka240 День тому

      ​@@Joe-tr2vkHuyu hatakiwi kabisa CCM. Huyu hatufai hata kidogo

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      @@Jumamaduka240 Kweli,jamaa hataki uchawa siyo mwizi wala mnafiki,hafai kuwa huko.

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 День тому +1

      Lissu hawezi kwenda CCm kamwe

  • @DonaldDutuyi
    @DonaldDutuyi День тому +1

    Wakristo wa kikatholiki wameandaliwa zaidi kuwa viongozi wa nchi, pengine kulio waprotestant.
    Sijajua kwa nini ipo hivyo!

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah День тому

    Kwanini alienda pekeyake???????

  • @SaidMuya-z9l
    @SaidMuya-z9l День тому

    Lissu wewe mpe heshima yake Mhe.Rais Hustahili kuwa kiongozi wa Nchi hii kazi yako kuwatuhumu viongozi wenzako na kuwatukana. Laana hiyo Lissu inakutafuna. Mhe.Rais amekufanya uweze kurudi Tanzania. Wewe ulistahili ubaki kuwa huko huko.

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 День тому

    Unaongea nini? Hivi kwa nini huwa mama huyu mtu platform ya kuongea jamani. Hakuna watu wa kuwapa platform huko Tanzania ila huyu kifirimbi.

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 День тому

      Na ww umekos wā kusikiliza unakuj uku 😅😅

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 День тому

      @ wala siwezi kumusikiliza mimi na sijui kwa nini vedio zake zina ingia kwenye media’s zangu

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 День тому

      @ Siasa hana yule isipokuwa mdomo kama Mwanamke wa mtaani. Hana Siasa, hana leadership qualities kanaongea ongea is u kutafuta akina mama huruma na baba huruma lakini Siasa debe tupu linatika

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 День тому +2

    Sasa mda wote ulikuwa wapi huyu kiumbe kila kitu anajua yeye haya umeanza umbea mapema haya ngoja upewe hiyo nafasi mheshimu kiongozi wako acha kuropoka

  • @marieconnect6389
    @marieconnect6389 День тому +3

    Ukisema dunia ya nje wajue kuwa hana tofauti na maguguli unatutia unyonge sana. Who is dunia ya nje na wana faida gani na sisi. Inaeleweka kuwa mamabo yetu na maendeleo yetu hayalazimiki kupata aproval tota kwa mataifa ya nje kama inavuoamini. Hayo ni mawanzo ya ubeberu na utumwa. Hapo ndipo jnaponikwaza sana.
    Angalia nchi kama BurkinaFaso na Ibrahim Troure. Wanalimbia kabisa influence ya nje wanafanyaambo mambo wenyewe kwa faida yao. Angalia walipogikia kimaendeleo kwa muda mfupi.
    Lazima ifike mahali tuache kuamini kuwa kugeuzwa vibaraka nii mtaji.....so annoying.

  • @EmmanuelMlowe-u1v
    @EmmanuelMlowe-u1v День тому

    Lisu nimnafiki, mbeya, mwongo,sofa zote chafu anazo

  • @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
    @LeodegardRutakyamirwa-hg9hu День тому +1

    SUBIRI UCHAGUZI ANZISHA CHAMA UPATE WANACHAMA

  • @mpewashiyawi4628
    @mpewashiyawi4628 День тому

    Tundu huna adabu na busara hufai kuwa mwenyekiti

    • @GodfreyMakala
      @GodfreyMakala День тому

      Akir na upeo wako ni WA mtoto mchanga ndo mana unaongea hivyo hujui chochote kaka acha wakubwa zako wamuelewe.

    • @calvinloveambroce842
      @calvinloveambroce842 День тому

      Swala la muda tu ngoja utamuona anaiongoza chadema 2025

    • @bsmonline8482
      @bsmonline8482 День тому

      we pita kushoto hapa stori ni Lisu tuu

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 День тому

    Lissu ni mnafiki sana. Eti Msigwa ameshughulikiwa hadi ameondoka! Lema, Heche, nk. Na sasa yeye anashughulikiwa asiwe Makamu Mwenyekiti. Yeye mwenyewe amechukua fomu ya kuomba Uenyekiti analialia nini sasa?

  • @mpewashiyawi4628
    @mpewashiyawi4628 День тому

    We kuma kama msingwa hakukubali maliziano Hadi asubiri uchaguzi we mbwa tu lissu

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud День тому +1

    Lisu utqbaki na aibu , ila autawenza kumbomoa chadema kamwe. Mbowe ndio kiongonzi mwenye hekima na busara.

    • @shafee9128
      @shafee9128 День тому

      Ndio sawa ndio awe mwenyekiti miaka 20 + huoni kama sio ishara mzuri

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya День тому +1

    Chadema aacheni kusalilishana ,alianza Mbowe sasa Lissu,acheni hizi kampeni za kuanikana ,sio nzuri