Lissu Ajibu Mapigo Hoja za Wenje, 'Sakata la Abdul' : 'Anafanya Udalali'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 142

  • @hajimakarabai4700
    @hajimakarabai4700 День тому +9

    Lisu upo juu❤

  • @NuruNurudin
    @NuruNurudin 11 годин тому +1

    Wewe ni jemedari sana tundu na mungu akulinde.

  • @BensonMpete
    @BensonMpete День тому +5

    😂😂😂dalali wenje aibu yako

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly День тому +9

    Mm nilijua tu wenje n muongo hata jibu yake ya maswali tuh anarukaruka na lakn pia malizen taufat zenu msivunje chama na kukiharibu kisa maneno madogo madogo

  • @MuhamedHassan-l5u
    @MuhamedHassan-l5u День тому +9

    Mtatoa siri wenyewe

  • @KhanSaheb-t8j
    @KhanSaheb-t8j День тому +10

    Oyoooooo wataje wote lisu
    tuwajue waliopewa mpunga

  • @MagdalenaNyakitale
    @MagdalenaNyakitale День тому +7

    mmesnza kujikunguta utafikiri mmeumwa na kunguni urafi wenu wenje ngoja msingida awafichue mmemchokoza wenyewe mkome

  • @ZakayoSanga-ge4jr
    @ZakayoSanga-ge4jr День тому +10

    Giza nanuru avikaipamoja,mti wenye matunda ndio unaepongwa mawe,lisu hanunuliki,Wala haongeki,

    • @edisonpeter3894
      @edisonpeter3894 День тому

      Ananunulika vizuri tu. Alìtuuza enzi za makinikia

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      ​@@edisonpeter3894Yale makinikia yaliishia wapi? Tuna kesi kila kona,tunalipa matrillioni kwa kushindwa kutumia akili timamu za wakina Lissu😮

    • @edisonpeter3894
      @edisonpeter3894 День тому

      @Joe-tr2vk bora kuwa na kesi kuliko kuacha wizi. Jpm kafa na mipango yake mmebaki wezi. Kuleni xx muda wenu.

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 День тому

      Hajapewa pesa

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 18 годин тому

      @@edisonpeter3894 Kafa katuachia kesi na madeni kibao walipa kodi tunaumia kwa kupenda kwake kutumia nguvu bila akili. Dunia ya sasa inahitaji akili nyingi

  • @Chemba67
    @Chemba67 День тому +11

    Lissu ni msafi na anafaa kuongoza . Ataleta uhai na kurudisha matumaini ya upinzani ktk siasa za Tanzania.

    • @edisonpeter3894
      @edisonpeter3894 День тому +1

      Kuongoza NOOOO

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 День тому

      Lissu hana busara hafai

    • @robertmhikwa8174
      @robertmhikwa8174 День тому

      ​@@mohamedhamismagoraonlinetv459kwani busara ni kunyamazia UONGO wa kusingiziwa? kusema ukweli hadharani ni kukoswa busara?

    • @SaraJinalangu
      @SaraJinalangu День тому

      ​@@mohamedhamismagoraonlinetv459 Busara kwenye mambo ya hovyo etyi

    • @Mrsalt-z9m
      @Mrsalt-z9m День тому

      Busara ni kufumbia maovu au​@@mohamedhamismagoraonlinetv459

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips День тому +8

    Lissu hajawah kusema Uwongo ktk hili Taifa

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 7 годин тому +1

      Amna mtu aliye kamilika.

  • @evancelyimo7527
    @evancelyimo7527 День тому +3

    Hakuna aibu kubwa kama jitu baba kuongea uongo wenje unajizaraulisha ni bora ukae kimya

  • @paulamin-pz4bs
    @paulamin-pz4bs 6 годин тому

    Muongo anajulikana tu,, wenje mona unaongea unascratch kama cd yendo mikwaruzo? Kwan umelipwa bei gani kwa kaz hii?

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 5 годин тому

    Huyu mtu ameshajiharibia. Kama anatuhumu wenzake wote wa Kamati Kuu kuwa ni wala rushwa na walimpiga zengwe, sasa atafanya kazi na nani? Wenzake si watamsusia chama? Au atachukua Kamati Kuu ya CCM ndiyo ailete CHADEMA?

  • @mussamoureen4136
    @mussamoureen4136 10 годин тому

    Lissu kaongopa. Kasema eti wenje alisema walienda kwake october. Sio kweli wenje alisema november

  • @vicentpeter7372
    @vicentpeter7372 15 годин тому

    Lisu 🔥

  • @jewelmabhenga4742
    @jewelmabhenga4742 14 годин тому

    Lissu will fix it

  • @ibrahimbaila7764
    @ibrahimbaila7764 День тому +5

    Sasa yeye Abdul ninani kwenye madai ya kiserikali . Jeh Abduli nimlipa bill za serikali? Shida ya Lisu amenyooka sana . Ndomaana apendwi kwakua yupo kama Rais Hayati magufuli

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 День тому +1

      Na Kwa nn Alimpa Documents Kam Sio Mtu wa Serikal😂

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 7 годин тому +1

      Jaribu kuskiza kila upande bila kuegemea upande mmoja. Wana Siasa wote ulimwenguni Amna mkweli. Siasa ni mchezo mchafu sana na kufaulu lazma ukubaliane na masharti yake Ya... kiwemo Urongo Ufisadi na Ulaghai. Upo???

  • @l.h.l2254
    @l.h.l2254 13 годин тому

    Naona CDM wamekomaa mno kisiasa, safi sana. MWANA SIASA mtaji wako mkubwa ni IMANI kutoka kwa watu. Hii movie ni the best way ya kuwekeza imani kwa watu, 2025 sio mbali. Sahizi hakuna habari inayo trend mtandaoni zaidi ya Lissu na Chadema. Kwa mara ya kwanza naona kikao cha 21 January kitakavyofuatiliwa hadi na Aljazeera. 😂

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 День тому +1

    UMESEMA UKWELI, ANAWATENGENEZEA WATU MAZINGIRA YA KUPEWA HELA ILI NAYEYE APATE

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 День тому

    Mwandishi wewe uko vizuri

  • @josephchaba6007
    @josephchaba6007 14 годин тому

    Mtasema vizuri pesa anadai bunge unaenda kudai mtoto wa Rais akusaidie kulipwa

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 6 годин тому

    Wenje mbona tapeli tu siasa imeishamshinda alafu nashangaa eti mwenyekiti wa kanda hivi walikosa mtu au ndio figisu

  • @FrankSospeter-o3q
    @FrankSospeter-o3q День тому +2

    Lipa deni

  • @isaacs3904
    @isaacs3904 14 годин тому

    Hapa ndiyo tuna question uwezo/busara ya Lissu kuweza kuongoza taasisi kubwa kama Chadema......Yes ata firefight for few years(if not months) na chama kitachangamka....but after few years chadema will disintergrate because of leadership restlessness

  • @mage5371
    @mage5371 День тому +1

    Jameni inatosha msianikane hivo ñinyi mshafikia leval ya undugu. Sitiri Siri zenu

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj День тому +1

    Kwa kweli MADAI ya wenje yanadhihiri na ukweli mtupu,lisu hakuna alicho kanusha lisu kama amekiri kumkabidhi Abdul documents zake ,hata kama ni mm mtu unamdai na ukatokea mchongo lazima ninge mpeleka.

  • @DonaldSwai
    @DonaldSwai 11 годин тому

    Jamani viongozi kuweni Na m 5:41

  • @ayububrantaya6624
    @ayububrantaya6624 14 годин тому

    Ungo huo yan mtu umekutana nae mara moja then uanze kumuuliza pesa za lissu jaman mnao msikiliza hy

  • @KhamisMaalim-m5l
    @KhamisMaalim-m5l 15 годин тому

    Mnanjaaa tu .kama hamuelewani nyinyi wenyenu mtatuelewa wanachi kweli?

  • @SalumMattar
    @SalumMattar 17 годин тому

    Kuna msemo unasema usipokumbuka makosa ya waliofanya waliopita na wakaazibiwa kwa makosa yale yale, ndio hili sasa MAKOSA YALIFANYWA NA CUF , LIPUMBA NA SEIF SHARIF , NDIO HAYA YA CHADEMA inasikitisha

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 День тому +2

    Wenje unasikia huyo ni dume wamajibu.

  • @youngstar2026
    @youngstar2026 17 годин тому

    Pesa za ruswa ndio wanaenda kutumia canada😂

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha День тому +2

    Mzee wa kumbukumbu lisu hawezekaniki

  • @CharlesKuandika
    @CharlesKuandika 16 годин тому

    Lisu ndio kiongozi pekee anayeweza kung'oa wadhalimu nchi hii. Naamini atakuwa kiongozi mkuuu wa nchi hii wakati fulani

  • @MussaGodfrey-s7k
    @MussaGodfrey-s7k 14 годин тому

    We nae acha uongo we ni kiongozi unadharirisha kiti

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh День тому +2

    Wenje ni muongo anajipende keza kwahabuduli lichawe lahabuduli

  • @PinelMlay
    @PinelMlay День тому +1

    Mujifunze kwa wenzenu wa CCM ni aibu sana

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      Wajifunze wizi wa mali za umma?

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 16 годин тому

    Chadema mtu mwenye akili alikua mmoja tu Mzee MTEI wengine wote ni manyumbu

  • @wiliammaswi7345
    @wiliammaswi7345 12 годин тому

    Lissu amemaliza wenje kama una video toa ila kwa nn hapa LISSU ALIPO TIA NIA KUGOMBEA UWENYEKITI NDO MMEIBUKA NA MANENO MENGI

  • @WilliamMtaita
    @WilliamMtaita День тому +1

    Lisu na wenje acheni ujinga! Mnamfaidisha nani?😂

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti День тому

    Lisu namwamini sana

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 18 годин тому

    Mbowe kuwa makini na lisu mwende sawa kwa pamoja maana chama kisije kika haribika

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 19 годин тому

    Ukiwasilikiliza wote, kuna jambo. hawataki kuweka wazi. Wote wana ukweli na uongo pamoja. Wanajichanganya. Kumbe wote wanamjua na wamedili na Abduli. Pili, Lissu anakiri bila kujua kuwa kumbe alishajadili suala la kulipwa fedha zake kupitia Abduli. Ni kama wanavuana nguo ili wote waonekane wako uchu. Je rushwa ya nini? Kama ni marafiki nani anamtungia nani uongo na nani anasema kweli?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 День тому

    Kwani yeye ana sababu gani pia kumtungia rafiki yake uongo? Bora mngetulia muendeshe chaguzi zenu kwa uhuru na haki mshindi aendelee mshindwa ampongeze mshindwa. Je mambo ya vikao havina usiri ama ni public issues?

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 День тому

    Wenje bado ana shida ila kajikomba kwa Abdul wa Mama....Ila Lissu shida anayoipata ni Kumsikiliza Abdul wa Mama na kumkumbatia ilhali alishamtilia mashaka awali kutumwa na mamaye kuongoza ujumbe wa Tanzania nchini Uganda?

  • @KhanSaheb-t8j
    @KhanSaheb-t8j День тому +3

    Sisi tunaminyana kupiga kura
    kumbe mnalamba asali ,washenzi kabisa

  • @clemenceparokola
    @clemenceparokola 14 годин тому

    Lisu ilitakiwa awe padre maana huwa anachukia uongo hupenda ukweli na haki

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 День тому

    Hivi ni maadili kumuuliza mtoto wa mtumishi wa ummabutendaji, tabia na mwenendo wa mzazi wake ktk utumishi wa umma? Na mlishawahi kufikia hadi ubunge?

  • @CelinTonny
    @CelinTonny День тому

    Ccm wanafurahi sana,magu

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 День тому +1

    Wenje lisu nikitu kingine ww achana nae

  • @CharlesMaghembe
    @CharlesMaghembe 15 годин тому

    Vita ya panzi . . . . CHADEMA finished, very bad. Don't you see it ?

  • @RevocatusKitambi
    @RevocatusKitambi День тому +1

    Watakao vuliwa nguo inabidi wachutame tu.maana mamba yanazi kua meng

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 День тому

    Je watumishi wote wa umma serikalini wantakiwa wafahamike kwa kila mtu au mwanasiasa?

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 День тому +1

    Wenje sijui heche ni mwizi

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому +1

      Edit,Heche ni mtu makini hawezi kushiriki huu uchafu wa wakina Wenje na genge lake. Ondoa jina la Heche hapo.

    • @edisonpeter3894
      @edisonpeter3894 День тому

      @Joe-tr2vk nimeondoa. Ila upinzani wa hiv siyo

  • @Doctortv-y7i
    @Doctortv-y7i 20 годин тому

    Lissu kua na shukran kwanza matibabu yenyewe ulilipiwa na wabelgiji bure kwa makubaliano usapoti USHOGA na uwashawishi wa TZ. Huyu jamaa kajuaje kama ulikua unaumwa tumbo? Na ww umethibitisha apa kama ulikua unaumwa

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 15 годин тому

    Uwe unawarekodi mbwa hao

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 16 годин тому

    Jamani jamani, LISSU jiandae kwenda ACT tutakufuata na tuwaachie chama Chao hao😂😢

  • @CharlesKuandika
    @CharlesKuandika 16 годин тому

    Hata ukimwangalia Tu huyu jamaa, unaona ni muongo

  • @7stianPius
    @7stianPius День тому +1

    wenje na wewe ccm

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 День тому +1

    Kwenye video unaleta trick za kipumbavu sana wewe Lissu. Unajua kuwa video ya kikao chenu hiko haiwezi kuwa released yote bila kuhaririwa. Wewe ni muongo na mbabaishaji sugu.

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 День тому

    Acha Nuru ijitenge na Giza.

  • @mage5371
    @mage5371 День тому

    Jamani acheni mitando kuweka ubayana wenu mtanufaisha watu ni hasara

  • @MathewThobias-g6d
    @MathewThobias-g6d День тому

    Chadema mnaanika mno mambo yenu wazi muwe na kiasi cha maneno

  • @rajabukipara3008
    @rajabukipara3008 День тому

    Lisu Unadaiwa lipa Pesa za watu Bhanaa😂

  • @FrancisRogears-w7i
    @FrancisRogears-w7i 18 годин тому

    Yani lisu ni mkweli

  • @KhanSaheb-t8j
    @KhanSaheb-t8j День тому +5

    Wenje umeumbuka sana kaka
    chadema hamna maana kabisa rushwa tu

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c День тому

    Wenjenkama.alisha lamba hela za Abdul hafai kishachafuka wala asijihangaishe kuchuku fomu ni fisadi tayari huyu

  • @raymondmjebe2412
    @raymondmjebe2412 День тому

    lissu ni mkweli maelezo yake yanajieleza ila uyo wenje duuu ata macho ake yanaona aibuu jamani Mutatufkisha mbali

  • @MilamboMarco
    @MilamboMarco День тому +1

    Hee

  • @DamasAmos-ue2gh
    @DamasAmos-ue2gh День тому +1

    Wenje achaujinga wakuchafua watu lichumia tumbo pumbavu

  • @MilamboMarco
    @MilamboMarco День тому +3

    Yani hapa inawezekana wenje anamdai lissu kweli sasa kampeleka abdul ili apate deni lake😅

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s День тому

    Mtu yeyote anaemsema lissu vibaya atakua analiwa kifurani chake kinacho toa mlio akila maharage.

  • @Mutabe01
    @Mutabe01 18 годин тому

    Lisu ni muongo sana huyu baba, actually ni mbabe na dictator huyu hafai kabisa kuwa kiongozi, ni muongo muongo sana

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c День тому

    Kumbe nchi hii waongo wengiiii aisee na ndio anagombea umakamu mwenyekiti huyu Wenje eti !!😅😅😅😅

  • @novatusrichard9375
    @novatusrichard9375 День тому

    Let the video do the talking.

  • @muddyausi8470
    @muddyausi8470 День тому +1

    Nachosikitika me watu wamekufa. na. wengine. wameumia. kwa. kiwamini. nyinyi. kumbe. nyinyi. wasanii. tu. mjnajali matumbo yenu. hamna. lolote. na. lisu akikosa. uwenyekiti. hiko. chama. chenu. kitakua. kama cuv. na udp

  • @ignacedaniel4204
    @ignacedaniel4204 День тому +4

    Wenje muongooo

  • @hassanalijuma-j8y
    @hassanalijuma-j8y 21 годину тому

    Mpka sasa uchaguzi Mkuu wa 2025 mushafeli chadema

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 День тому

    Wenje unasikia hayo maneno lissu amekatas.

  • @RevocatusKitambi
    @RevocatusKitambi День тому

    Tulio somea Qba tumeelewa mapema sana ,

  • @DonaldDutuyi
    @DonaldDutuyi День тому

    Rushwa hupofusha, watu wamepigwa upofu na rushwa.

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Годину тому

    Majambazi

  • @sudiabdi3107
    @sudiabdi3107 День тому

    Wenje nimuongo

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 День тому +2

    Lissu kuwa na adabu unapomtaja Rais. Hata kwa umri anakuzidi. Huna busara wala maarifa.

    • @IsayaJoseph-v3s
      @IsayaJoseph-v3s День тому

      Haupati hata ujumbe wa nyumba kumi endelea kujipendekeza ivoivo

  • @KhanSaheb-t8j
    @KhanSaheb-t8j День тому

    Weka wazi kaka lisu
    je mbowe nae kalamba asali?

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      Alishalamba kitambo alipotoka jela na kuibukia Ikulu😂

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu День тому

    Mnavuana nguo kunahaja gani kueleza haya yote kama umekula kula tulia na dhambi zako

  • @Hemedmikole-r9e
    @Hemedmikole-r9e 20 годин тому

    Acha umbea wenje

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz День тому

    Wenje mpumbavu sana.Alikosea sana kumfanyia Lissu udalali.

  • @robertnkondokaya2996
    @robertnkondokaya2996 День тому

    MAKAMU KASHAPOTEA, VERY STRONG MAN IN CHADEMA AMBAYE ANAFAA KUWA MWENYEKITI TAREHE21/1/2025. HIZI ANAZOONGEA ZIKIWA NA USHAHIDI UNAOSHIKIKA ATATIKA SHUJAA ILA ASIPOTHIBITISHA HAYA ATAKUA PEMBENI KABISA YA CHAMA CHAKE.

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 День тому

    Kwa akil hii ya Lisu hawezi kuwa kiongozi hata kidogo....yaaan ni bogasi kabisaaaa

  • @msigwazakayo6878
    @msigwazakayo6878 День тому

    kama umemkopesha mwana sheria umeliwa labda utumie maguvu

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza День тому

    Sisi tuliosomea Israel kama tunataka kujuwa ukweli kutoka kwa mtu huwa tunamuangalia mtu machoni mwake bila kupepesa, kama ni uongo au ukweli sisi huwa tunang'amua chap. Body language ya Wenje hahahahaaaa, sisi tuliosomea Israel acha kabisa,tuacheni tu.

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому

      Jamaa Mungu anamuona😂

  • @SinarahaNtaraha
    @SinarahaNtaraha День тому +2

    Lisu ni kichwa muhim Tanzania

  • @alinabhan952
    @alinabhan952 16 годин тому

    Wewe Mzee TUNDU KISU😂.
    Huna msimamo ya kisiasa.
    Umejaa chuki tupu.
    UNA habari za BANDARI. WAMASAI.MISITU ZOTE ZA UKAIDI.
    Please grow up and speak something sensible to the benefit of Tanzani

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 День тому

    Kuna tatizo
    Lissu kuna kitu Wabeljiji walimfanya. Huyu sio yule Lissu ninae mfahamu. Hayuko sawa up stairs.

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809 День тому

    Yaani mm ningemshauri tundu lissu atoke chadema aungane ACT WAZALENDO Na wafuasi wake wa chadema watahamia ACT WAZALENDO NA ATAPATA USHAWISHI ZANZIBAR NA TANZANIA BARA

    • @ellsonmkonyi1319
      @ellsonmkonyi1319 День тому

      Hivi kweli hizi n sera mnazozinadi kwa wanachama wenu,mbona haya hamkuyongea huko nyuma sasa ngoja niwambie mtabaki wenyewe wanachama wenu watawakimbia wte

  • @MwangaBora
    @MwangaBora День тому

    Mmeshindwa,CCM,sasa,mnagombana,wenyewe,kwawenyewe

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 День тому

    Lissu Muongo sana

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 День тому +1

    Lissu huna busara, una msongo wa mawazo pia you are not charismatic

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk День тому +1

      Unajua maana ya charismatic kweli?

    • @husseinmanyanga1587
      @husseinmanyanga1587 День тому +1

      Mohamed hayakuhusu unamfatilia ili iweje? Wemwenyewe huna busara unaongea pumba2

  • @CharlesKuandika
    @CharlesKuandika 16 годин тому

    Lisu ndio kiongozi pekee anayeweza kung'oa wadhalimu nchi hii. Naamini atakuwa kiongozi mkuuu wa nchi hii wakati fulani