MTOTO ALIYEKATWA SHINGO NA 'HOUSE GIRL' ARUHUSIWA, MAMA ASIMULIA KWA UCHUNGU TUKIO ZIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 427

  • @vero57
    @vero57 2 місяці тому +86

    DOCTOR NA MANESI WOTE HONGERA SANA KAZI NZURI, POLE SANA MAMA NA MTOTO, HIS SO CUTE LITTLE BOY 👌💐🙏🏾🙏🏾

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 2 місяці тому +47

    MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah amlipe rais wa Tanzania 🇹🇿

  • @monicamacha853
    @monicamacha853 2 місяці тому +11

    Asante YESU Sifa kwako ee Kristo. Hongera kwenu ma Doctor na timu nzima kwa kazi nzuri MUNGU aendelee kuwatunza na kuwalinda kila mtokapo na muingiapo

  • @AngelMassawe-nz9sk
    @AngelMassawe-nz9sk 2 місяці тому +35

    Mungu ni Mungu Dada nakupongeza msamaha ndio umekufungulia njia zote hadi uponyaji Madaktari Mungu awabariki kwa ubigwa wabkazi yenu nimefurahi hadi siwezi kusimulia zaidi ya furaha yangu

  • @ElinahChama
    @ElinahChama 2 місяці тому +35

    Inshallah mwenyezi mungu atenda miujiza mpaka mtoto mzuri amepona amen

  • @PatsonDavid-yq2xs
    @PatsonDavid-yq2xs 2 місяці тому +73

    Nimelia kwa furaha. Mungu abariki kila aliyemtakia mema mtoto huyu kwa namna yoyote

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 2 місяці тому +3

      Mimi kila nnapokutana na hii story tangu Mwanzo sikutaka kusikiliza Wala kufuatilia niliumia Sana na kuondoa Imani kwa ma house help kweli sikujua huyu mtoto angepona lakini MUNGU ni mkuu hakuna kama yeye

    • @JescaRabson
      @JescaRabson 2 місяці тому +2

      Naungana na wewe kuwa na furaha kubwa juu ya huyu mtoto na MUNGU azidi kumkuza

    • @mwanzajosephine468
      @mwanzajosephine468 2 місяці тому

      ​@@JescaRabson
      Amina hakika Mungu azidi kunuliwa na azidi kumuimarisha zaidi

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 2 місяці тому +7

    Maliki uwe dactari mwanangu ❤ TUNAKUDAII UJE KUTIIBU WATOTO❤❤

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 2 місяці тому +5

    Oooooohhh Mungu wewe ni wa ajabu na uwezo wako hauelezeki.
    Tunawashukuru sana sana matabibu wetu wote na serikali yetu pendwa.
    Poleni familia sana sana.
    Mungu awatie nguvu.
    nimejikuta machozi yamenitoka kwa furaha nilikuwa natamani kujua maendeleo ya huyu mtoto.
    Im so happy naamini hata wengine wamefurahi sana kwa ajili ya mtoto huyu.
    Ahsante Mungu.

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 місяці тому +20

    Alhamdulillah ..Hakuna kinachoshindikana mbele ya ALLAH.ALLAH akupe afya njema na maisha marefu mtoto wetu

  • @faridaally-jp1gx
    @faridaally-jp1gx 2 місяці тому +35

    Mama samia ni mama yetu mungu Akulinde mama mimi nakupenda mama

  • @evalokwetikya1984
    @evalokwetikya1984 2 місяці тому +17

    Kwakweli Mungu ambariki Mama Samia,Awabariki Madokta woote kwa Matibabu ya Mtoto huyo binafsi sina neno linaloweza kurusha kulisema zaidi ya Asante Mama Samia,Asante Madaktari kwa kazi nzuri

  • @lucykiwelu4451
    @lucykiwelu4451 2 місяці тому +3

    Sifa na utukufu vimrudie Mungu pekee
    Hongera kwa madaktari,manesi kwa kazi nzuri na wengine kwa maombi pia

  • @judithkisavanga7244
    @judithkisavanga7244 2 місяці тому +36

    Ma daktariii Munguu awabarikii sana❤❤❤

    • @listerlujiso6009
      @listerlujiso6009 2 місяці тому

      kwakwel yani madaktat kiukwel wana tupambania sana wana Mungu sana ndani Yao🙏🙏🙏🙏

  • @beatricepallangyo2821
    @beatricepallangyo2821 2 місяці тому +7

    Mwenyenzi Mungu Aendelee Kumlinda mtoto wetu!!!!!
    Mbarikiwe sana Madaktari na Manesi mliohusika kumhudumia huyu mtoto!!!!

  • @faridakailembo3060
    @faridakailembo3060 2 місяці тому +16

    Alhamdulillah hakika Mungu ni mwema,Allah ampe afya njema mtoto wetu mzuri ❤.

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 2 місяці тому +11

    Marahaba pole sn mtoto mzuri mungu akuvushe hapo na penginepo

  • @nassorowaziri3076
    @nassorowaziri3076 2 місяці тому +19

    Pole Sana Dada na familia Kwa ujumla lkn kikubwa Tumshukuru Sana Mungu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 місяці тому +7

    Mama Samia Mungu akulinde akupe nguvu kwa kujali wananchi wako wa hali na mali na matatizo yanayowatokea ndani ya familia nk utashinda Mama Samia kwa kishindo

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 2 місяці тому +21

    Marahaba mtoto mzuri tunakupenda sana ❤❤❤

  • @WitnessMmlamba-zx7lc
    @WitnessMmlamba-zx7lc 2 місяці тому +1

    Madoctor mungu awabariki

  • @GraceJasoni
    @GraceJasoni 2 місяці тому +16

    Asante sana MUNGU kwa uponyaji

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 2 місяці тому +12

    Mungu ni mwaminifu sana❤ acha tumshukuru sana

  • @FabiolaMkumbwa
    @FabiolaMkumbwa 2 місяці тому +15

    Pole sana Mwanangu Mungu akupe maisha marefu

  • @Angelamutashobya
    @Angelamutashobya 2 місяці тому

    Mungu ni mwema, asanteni sanaa team ya madaktari. Mama yetu Mh mama kipenzi, nakupenda hadi kesho, nakuombea mama, Mwenyezi Mungu aktunze na jamaa yako yote ikawe heri. Nakuombea kila siku mama yetu. Mengi umeyafanya your Legacy will live forever mama❤

  • @winniejoseph7778
    @winniejoseph7778 2 місяці тому

    Marahaba baby boy Malik! Ashukuriwe Mwenyezi MUNGU muweza wa yote, Asante kubwa kwa madaktari 🙏

  • @HudhaifaMakungu
    @HudhaifaMakungu 2 місяці тому +1

    Nimelia kwa furaha hongereni sana timu ya upasuaji kwa kazi nzuri Allah awalipe na pia raisi wetu mtoto maliki tunakupenda pole kwa majaribu yaliyokukuta 😢 tunakupenda sana mtoto maliki❤❤❤

  • @elizabethmakuka7981
    @elizabethmakuka7981 2 місяці тому

    Asante sn Yesu kwa kuokoa maisha ya mtt huyu n greatest thanks to MOI team,

  • @SaimonKapunda-b6q
    @SaimonKapunda-b6q 2 місяці тому +35

    Wadada wa kazi ni changamoto sana ingawa cyo wote

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 2 місяці тому +1

      Yani mmmmmm

    • @GeofreyMtensa
      @GeofreyMtensa 2 місяці тому +5

      Bila kusahau pia na wamama nao wananyanyasa sana ma house girl...

    • @georgedaniel4962
      @georgedaniel4962 2 місяці тому

      Na mama wa madada nao huwa sio some times.

    • @faidamuhamed3011
      @faidamuhamed3011 2 місяці тому +2

      Mmm ninamashaka na mabosss wengi hawatimizi haja na makubaliano ya wafanyakazi wao, pia wana wadharau some times kwani sio rahisi mtu ukamnunulia juice akaikutemea usoni bali ndani ya juice ukitia shubiri atakutapikia kabix ingawaje siungi mkono suala la kujichuiulia clsheria mkononi au kitendo kilicho fanyika

    • @SharifaMohammed-el3ug
      @SharifaMohammed-el3ug 2 місяці тому

      Na bila kusahau mababa utembea na wadada hao na kuwa party hela kwa siri​@@GeofreyMtensa

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 місяці тому +6

    Rais wetu, Ana HURUMA mnooo, ni mama wa jamii nzima Tanzania mungu ampe mama maisha marefu na Familia yake kabisa kabisa. Malik amepitia pagumu lkn mungu amemficha kwenye mikono salama. Ataishi Sana naamini atasoma pia vizuri aje naye kusaidia wengine. Ameen

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 2 місяці тому

    Mashaallah tabarak Allah M mungu amzidishie uzima na afya njema na azidi kumlinda na mahasidi

  • @fridamuss922
    @fridamuss922 2 місяці тому +2

    Madaktari wa Muhimbili ni balaaaa MUNGU awabariki sanaa nina ushuhuda na nyinyi kuhusu mwanangu 🙏🏻🙏🏻

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 2 місяці тому +1

    Dr mfinanga anaupendo sanaaaa na wagonjwa..Alinihudumiaga vizuriiiiii yaniiii simsahau.MUNGU awabariki

  • @faudhiakihangu
    @faudhiakihangu 2 місяці тому +2

    Mungu awabariki mnoo ...pia mama yetu samia hassan suluu ...mungu ammbariki sana tumefurahi kumwona maliki akiwa na afya❤

  • @veronicamoringe2210
    @veronicamoringe2210 2 місяці тому +1

    Jamani Nimefurahi kumwona , Mungu Ni Mmoja Tuu. Asante nyingi kwa madaktari , Mungu Ampe maisha Marefu Mtoto Wetu.

  • @YasmeenKhalifa-zq1zk
    @YasmeenKhalifa-zq1zk 2 місяці тому

    Alhamdulillah mashaallah! Malik nimefurah sana kukuona ukiwa na furaha pamoja na mama mashaallah ❤❤nakupenda malik

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 2 місяці тому

    Tunamuombea mungu sana mtoto. kwa ujumla uyo binti wa kazi afungwe maisha ili ajue machungu ya watoto

  • @HashimuHalufani
    @HashimuHalufani 2 місяці тому +3

    Chakwaiza nikumushukulu mweyezi mungu nakuwashukulu madakitali kwajitahidi kiukweli nawapogezasana madakitali wetu mugu awabariki ishalhaaa

  • @HussainDADEEN
    @HussainDADEEN 2 місяці тому

    Alhamdulillah mashallah nimefurah. Maliki Allah akufanyie wepec kipenz

  • @FaisalToto
    @FaisalToto 2 місяці тому

    Alhamdulilah Kwa kumponya huyu mtoto mungu amponye azidi ampe afy njema

  • @listerlujiso6009
    @listerlujiso6009 2 місяці тому

    Mungu Ni Mwema Sana Sana Ahsante Mungu Kwaajili Ya Uponyaji Wa Mtoto Wetu Amen

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 2 місяці тому

    Mashallah hongeren media kwa updates, lkn pia hongeramadaktar kwa kazi nzuri hongera pia mama mtoto kwa kua na moyo wa subra wakati wote wa matibabu, nina ushauri kwa maboss wa aina zote pls take care na kueni makini dhidi ya wafanyakazi wenu mda mwingine huyo mfanyakazi unaye mdharau au kumchukulia poa huenda ndiye ameshikilia uhai wako baada ya idhini ya Allah,.
    tuwapende wafanyakazi wetu na tusinganganie pale unapoona ustahmilivu wa kukaa na mtu au kutumikisha mtu umeshindwa using'nganie yote tisa kumi Alhamdulillah mwenyezi mungu ahimidiwe daima

  • @user-princs
    @user-princs 2 місяці тому

    Dahhhh
    Asante MUNGU wetu mwema kwa uponyaji wa mtoto.pole toto pole wazazi asante MAMA SAMIA.Mungu tunakuomba utulindie watoto wetu Amina.❤❤🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 2 місяці тому

    Mashaallah❤' ALLAH Azidi kukupa Afya njema Mwanangu

  • @SalomeFrancis-x3g
    @SalomeFrancis-x3g 2 місяці тому

    Mungu ni wetu sote Mungu awabariki sanaa wauguzi , madoctor na wote walio mkumbuka kwa namna yoyote mtoto huyo❤

  • @lucyrushita793
    @lucyrushita793 2 місяці тому

    Mungu ashukuriwe kwa kumponya mtoto Marki, hongereni Madaktari wote mliyomsaidia huyo mtoto Mungubawabariki sana.

  • @happygervas7489
    @happygervas7489 2 місяці тому

    Mungu ni mwema hongera kwa Uponyaji marik Mungu akulinde sana jmn 🙌❤️🙏

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 2 місяці тому +2

    Allah ampe maisha marefu shukrani Madaktari WA Muhimbili wakarimu na wachapa kazi.

  • @CyphroseRobert
    @CyphroseRobert 2 місяці тому

    Utapona vizuri Kabisa Mjukuu wangu.👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @dazuujuma778
    @dazuujuma778 2 місяці тому

    Alhamdulillah alhamdulillah alhamdulillah , ukweli nna furaha mno mtoto kupona, najiskia vizuri mno furaha yangu haina kifano, namuomba Allah anipe uhai aniamshe nikiwa mzima wa afya ili niweze kutekelelza ahadi niliyoweka Kwa mtoto huyu nakupenda sanaa Malik Mungu akuvue hili na jengine,

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 місяці тому

    Wallah kaz nzito sana imefanyika wallah hongeren sana Dr na manesi 😢 inshallah mariki utapona mwanangu

  • @skilindaissa5441
    @skilindaissa5441 2 місяці тому +9

    Asante Mungu Wngu gusa Watoto wetu 🙏🙏

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 2 місяці тому +1

    Mashallah tabaraka llah Alhamdoulillahi Mungu ni mwema kila wakati

  • @sisterlbloodofjesus4084
    @sisterlbloodofjesus4084 2 місяці тому

    Utukufu ni kwa Mungu wetu, hongera kwa madaktari na wauguzi kwa kupambania uhai wa mtoto Malik huyu ni Shujaa na Mungu ana kusudi juu ya maisha yake.

  • @ZitaJoseph-bb5wh
    @ZitaJoseph-bb5wh 2 місяці тому +1

    Mashaallah Allah mwingi wa Rehema aendelee kumwekea wepesi mja wake Inshaallah

  • @RosaliaMoshi
    @RosaliaMoshi 2 місяці тому

    Mwenyezi Mungu ni mwingi WA Rehema..pole Mtoto mzuri.

  • @marybanyakile434
    @marybanyakile434 2 місяці тому

    Millard Ayo! You are the best! Keep it up!

  • @RahmaYusufu-d2o
    @RahmaYusufu-d2o 2 місяці тому

    Mungu ni mwema pole sana mtoto, na ongereni kwa uduma nzuri Masha Allah Rais ashukuriwe sana

  • @monicachale521
    @monicachale521 2 місяці тому

    Asante Mungu umemponya mtoto asiye na hatia, Mungu amsamehe he huyu aliyetenda ubaya huyo mtoto

  • @SelinaPaschal-vq2iy
    @SelinaPaschal-vq2iy 2 місяці тому

    Ooh God is good hongereni sana ma doctor

  • @hawa6052
    @hawa6052 2 місяці тому

    Asante Mh Raisi Samia Allah akubariki mama yetu kipenzi

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 2 місяці тому

    Asante sana , Mungu nlitamani tu nisikie sauti ya malki kweli iliniumiza sana lkn wewe Mungu ni mwema, pole sana mama malki na hongera mama Samia Mungu akutunze

  • @siliviamushi4119
    @siliviamushi4119 2 місяці тому

    Kwakweli Mungu Awabariki sanaa maana kiukweli mmepandana sanaa hongereni mandatory

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 2 місяці тому +1

    Cha kwanza kumshukuru Allah alihamdulilah na ma doctor na manesi pamoja na mama samia tunakushukuru mama kwa msaada wako mola awazidishie wote

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 2 місяці тому

    Alhamdulilah. Mungu ni mwema

  • @FredChaki-jb8zj
    @FredChaki-jb8zj 2 місяці тому

    I Love so much my country Tanzania Hongereni sana madaktari na maness kwa kuokoa maisha ya mtoto huyo ❤❤❤❤

  • @ruthhamisi2902
    @ruthhamisi2902 2 місяці тому +2

    Asante Mungu kwa ajili ya uponyaji wa mtoto malik ni Mungu 2

  • @RoqaiIbrahim
    @RoqaiIbrahim 2 місяці тому

    Mashallah jaman Allah akulinde mdogo wangu

  • @gracemtango
    @gracemtango 2 місяці тому +16

    Mungu amtunze azidi kumpa maisha marefu

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 2 місяці тому +2

    Hongera wauguzi na madaktari 👏👏hongera serikali yetu ikiongozwa na our president Samia suluhu hassani

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 2 місяці тому

    Pole Sana Mama ni maumivu ya moyo. PONGEZI kwenu Wataalamu wa Afya

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 2 місяці тому

    Alhamdulilah ALLAH Akuzidishie Afya

  • @azizaali687
    @azizaali687 2 місяці тому

    Allah ampe umri mrefu mtoto wetu mzuri Maliki na amuongezee mamasamia alipotoa amuongezee

  • @salmamlokela1987
    @salmamlokela1987 2 місяці тому +2

    Nimelia adi kichwa kinaniuma..Asante rais wetu na asanteni madaktar wote mungu awabariki!

  • @kkkssiMJAnsnsnn
    @kkkssiMJAnsnsnn 2 місяці тому

    Mungu mkuu sifa kwako eeh kristo 🙏🙏🙏 pole baby boy

  • @jenipheraron3566
    @jenipheraron3566 2 місяці тому

    Mungu nimwema sana mbarikiwe wote mlioweka mkono wenu mpaka uyu mtoto kapona

  • @FatmaHaji-sf6xq
    @FatmaHaji-sf6xq 2 місяці тому

    Mashaallah Mungu akuvue hili na jengine Allah akukuze

  • @MohamedAlly-d7l
    @MohamedAlly-d7l Місяць тому

    Mama Samia nakupenda, mama mlezi mwema. Mungu akubaliki

  • @sekelagatusekelege9325
    @sekelagatusekelege9325 2 місяці тому

    Mungu awabariki madokta na wauguzi wote mlioshiriki matibabu ya huyu mtoto.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 місяці тому

    Mashaallah nimefurahi sana kweli Mungu ni mwema sana

  • @kashrajabu5744
    @kashrajabu5744 2 місяці тому +2

    Tuseme Alhamdhulillah pia manesi madoctar wa muhimbili mungu awalipe

  • @Gujay7
    @Gujay7 2 місяці тому

    Nimefurah sanaaa asante munguu mudog wanguu nakupendaa sanaa ❤❤

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 2 місяці тому

    Mheshimiwa tunakuelewa japo mwazo hatuja kuelewa Mungu akutangulie uwe na maisha malefu

  • @DhhVnb
    @DhhVnb 2 місяці тому

    Asante sana mungu kwa uponyaji

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 2 місяці тому

    Hongereni sana madaktari wote mlio simamia zoezi hilo mungu atawalipa kwa juhudi zenu

  • @mariamzubeiri1723
    @mariamzubeiri1723 2 місяці тому

    Mungu azidi kukupa nguvu mwanangu upone kabsa Mungu anakupenda🥰

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 2 місяці тому +4

    Mungu Ni mwema alifanya kila njia kuokoa maisha ya malik poleni sna

  • @mariakibusi5914
    @mariakibusi5914 2 місяці тому

    Mungu ni mwema ,mungu atukuzwe mtoto ataishi katika jina la yesu

  • @CatherineChuwa-kp9mr
    @CatherineChuwa-kp9mr 2 місяці тому

    Ashukuriwe Mungu mwenyenzi kwaajili ya huyu mtoto.

  • @SharifaMohammed-el3ug
    @SharifaMohammed-el3ug 2 місяці тому

    Hongera sana sana

  • @DeboraElisa-kn5du
    @DeboraElisa-kn5du 2 місяці тому +1

    Jina la bwana lihimidiwe . Pole sana Malik

  • @evertheobald1811
    @evertheobald1811 2 місяці тому

    Mmmmm Mungu ni mkuu sana hakika, kama siku yako ya kufa haijafika hufi kwakweli!

  • @maseleenaesleen8149
    @maseleenaesleen8149 2 місяці тому

    Asante Mungu kumbe huyu mtoto alipona Glory be to God🙏🙏

  • @RestMkinga-wg1wr
    @RestMkinga-wg1wr 2 місяці тому

    Asante Mungu kwa kuwapa nguvu akili na hekima waguzi hawa we Mungu Asante

  • @HildaMjema
    @HildaMjema 2 місяці тому +4

    Mungu ni mwema tulifurahi pamoja like hapa

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 2 місяці тому

    Mungu akupe umri mrefu wenye faida maliki tunakupenda

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk 2 місяці тому

    Alhamdulillah hongera Rais hongereni Mafaktari AllahAwalipe kila lakheri

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 2 місяці тому

    Mashallah mungu akulipe amma samia hingera kwa madaktar kwa juhud zao pia❤

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 2 місяці тому

    Namshukuru mama Samia kwa ajil ya msaada wa matibabu japo simfaham lakin nasema asante kama mzaz wa kitanzania

  • @SarahBella-l3j
    @SarahBella-l3j 2 місяці тому

    Alhamdulilah mungu ni mwema kila wakati

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 2 місяці тому

    Mungu awabariki sana wote pamoja na mama samia