Mungu akawe mfariji mkuu katika familia. Hakika mnapitia nyakati ngumu mno kwa msiba mkubwa. Poleni sana na wapumzike kwa amani. Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na Kwake tutarejea.😭💔🤲
Poleni sana jamani ndugu zetu, Mungu akawe faraja kwenu kipindi hiki cha majonzi. Raha ya milele uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani, Amina
Innallillah wainna illaih rajioon😢 Maziito haya semeki, na speed zina changia Barabarani! Japo na wakati ulishafika hakuna kitakacho zuiya. Allahu Akbar. Na kuna Roho hazitakagi kuondoka peke yake ipo hiyo.💔
Innaa Lillah wainnaa ilayhi raajiuun poleni sana ndugu zetu allah awape subra ktk kipindi kigumu hiki mnacho pitia.Hakika sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea inshaallah 😭😭 kweli baki allah nasi tulio baki allah atujaalie mwisho mwema inshaallah 🙏😭😭😭
Duniani Kuna mitihani... Mwenyezi MUNGU nipe Mwisho Mwema inshallah 😢😢
wewe kuaa mchamungu tu utafanikiwa
Allahuma Aameen Yaarb Alaamen Islaam Jamiii 🤲
Amiin, atupe sote
Amen 😢
Kwa sote
Mpaka mwili umenisisimuka daah.yarabii tujalie mwisho mwema
Aamin
Amin!
Allahumma Amiin
Amin thuma Amin
Kwa hakika kifo kinasiri nzito sana hatjuw mda wala saaa wala dkk ya kuondok dunian tumuombe Allah atujaalie mwisho mwema in sha Allah
Aamin inshallah 😢
Amin inshallah 😢😢😢😢nawaza ntakavyo muhacha mwanangu pekeaake@@zainajirani5296
Amiin Allahumma Amiin
INNA LILAH WA INNA ILYGI RAJIOUN ALLAH AWALAZE PEMA PEPONII JANNAT FIRDOUS 🤲🤲
Amen
hakika vifo vya ghafla ni alama za mwisho wa dunia kikubwa tujiandae na maisha ya huko tunakoelekea
INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN
Amen
Nimeumia moyo ndugu zangu hatujui saa wala siku hivyo tujiweke tayari
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki mungu awalaze mahali pema peponi 🙏
Poleni sana wafiwa kifo ni fumbo allah tujaalie mwisho mwema ila huyu sijamuelewa hapa kwenye baba shangazi!
Baba mdogo alikuwa ni mume wa shangazi yake( baba shangazi).
Polen Sana Mwenyez Mungu Awatie Nguvu Hakika Kifo Ni Fumbo Sote Tutalejea Kwa Mola Wake,😭😭
😢😢😭 ALLAH AKBAR,ewe Mola wape subra wanafamilia na uwapumnzishe marehemu wote mahala pema peponi ,amen🤲
Dah Tanzania yangu Vifo vimekuwa vingi mno japo kufa ni ahadi.mungu atujaalie mwisho mwema😢
Uchaguz karibu
😢😢😢Sio Tanzania peke yake dear Kenya idadi ya vijana wanao kufa ni kubwa mno😢
😭😭😭😭
@@fatmamsiliwa8485sasa ajali inahusika vp na uchaguzi😢
Poleni sana wafiwa wote kazi ya mungu haina makosa
Mungu akawe mfariji mkuu katika familia. Hakika mnapitia nyakati ngumu mno kwa msiba mkubwa. Poleni sana na wapumzike kwa amani. Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na Kwake tutarejea.😭💔🤲
Poleni sana jamani ndugu zetu, Mungu akawe faraja kwenu kipindi hiki cha majonzi. Raha ya milele uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani, Amina
Polen sana familia hakika inauma sisi wote ni wa mwenyenzi Mungu na kwake tutarejea.
Dah! YESU WANGU TUOKOE
Polen sana baba yangu Mungu awatie nguvu
Poleni sana wana family,mungu awape nguvu ndugu wote katika kipindi hiki.
SISI SOTE NI WA ALLAH NA SOTE KWAKE TUTAREJEA, poleni sana ndugu zangu MUNGU awasamehe marehemu wote.
Innallillah wainna illaih rajioon😢 Maziito haya semeki, na speed zina changia Barabarani! Japo na wakati ulishafika hakuna kitakacho zuiya. Allahu Akbar. Na kuna Roho hazitakagi kuondoka peke yake ipo hiyo.💔
Inalilah wainalilah rajighun poleni sana ndugu zangu mwenyez mungu atie nguvu katika kipindi hichi kigumu yaarabi
Raha ya milele uwape Ee Bwana na mwanga wa milele uwaangazie,wapumzike kwa amani🙏🙏
Pole sana ndugu zetu Mungu awatie nguvu
Dah polen sana mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu amina
Poleni cna mungu awatie nguvu kwa msiba huo mzito
Poleni sana
Mungu tunaomba utupe mwisho mwema, roho za marehemu zilazwe pema peponi
Pole mkazamjomba umepoteza dada mtoto na shemeji kwa wakati mmoja, Allah awajalie subra nasi tujaalie mwisho mwema Yarabb😢
Poleni sana ndugu zangu mungu akawatie ñguvu kwa kipindi hiki kigumu
Ipo nguvu au siri fulani katika hoi familiya. Mungu Baba aingilie kati 😢.
Poleni sana kwa msiba Mungu awafariji, may their souls rest in perfect peace, quick recovery
Mungu alazeroho zamarehemuwote amina
Mwenyezi Mungu uwe mfariji katika familia hii
Daah class ment wangu jamani Allah awape kauli thabiti wote walio tangulia mbele ya haki
Poleni sana ndugu zetu aisee mtihani kweli mngu hukosei japo twaumia alhamdulillah allaah kull hali..🙏😭
Mwenyezi Mungu awatie nguvu.., poleni sana
Mungu awafariji sana wapendwa wetu. Tunawaombea faraja ya Mungu.
Inalillahi waina ilayhi rajioun
Allah awalaze pahala pema kwenye wema.
Amin ya Rab 🤲
Amiin🤲🤲🤲🤲
Duuuh Mungu awatie nguvu familia hiyo.poleni sana familia
Yarabi tunaomba tunajalie mwisho MWEMA sisi na familia zetu.inalillah wainallah rajughun
Innaa lillahi wainna ilayhi raajiun
Hakika msiba mzitoooooo
M'mungu awape subra wafiwa wote ktk kipindi hiki kigumu
Poleni Sana Allah awape Moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu😢
Innalilah wainnaylilah rajiuun! Mwenyezimungu awajalie kauli thabiti! Poleni sana wafiwa!
Mungu awapumzishe mahali pema peponi
Issa poleni sana Mungu akawe faraja kwenu ktk wakati huo mgumu
Allah awahifadhi na awakinge na adhabu za kaburi...wana bonga ni msiba uliogusa mioyo ya watyu...ni zaidi ya maumivu
Innalillah Wainnailayh Raniuun...Allah awajaalie qauli thaabit min thaabit almarhum wote
Poleni sana tena sana MUNGU awatie nguvu zaidi watu wa MUNGU
Poleni sana familia Mungu awape subra
Mungu awatie nguv polen xana
Duuh mwenyezi mungu nipo mwisho mwema na wafiwa poleni sana
Innalilah waina ilaih rajiun..allah awape kauli thabit.awafungulie milango ya janna.🤲
Wallah sijui hata niseme nini zaidi yakusema Allah awepe kauli thabiti AMIIN
Aamiyn Aamiyn Aamiyn
Nasis Allah atupe mwisho mwema
@@umumuhammad8741ALLAHUMA AAMEEN YAARB ALAAMEEN NA ISLAAM JAMII 🤲
Amiin thumma Amiin @@umumuhammad8741
Polen San mungu awatie nguvu
Dah Inna lillaahi wainnaa ilaihi raajiuun m'mungu tupe mwisho mwema
Inna lilah wainna ilah rajiuun
Poleni wafiwa Mola awape subra katika kipindi hiki kigumu na Mola awalaze mahala pema peponi
Poleni ndugu zetu inauma sana ila mungu wetu atasimama nanyinyi katika kipindi hichi kigumu
Polen sana jmn Mwenyezi Mungu awatie nguvu
Innalillahi wainnaa ilayhi rajiuun 'inauma jaman bba shukuru umeenda'Allah akusamehe dhambi zako pmj na ndgu zako
POLENI SANAA. Marehemu kafa mara mbili.. 😢😢😢huzuni sana na huyo mama angezikwa hapo pamoja na mumewe na mwanae😢😢
Simumewe nishemeji Yake na iyo mama alienda kuzikwa kwao
Poleni sana ndugu zanguni mungu awatie nguvu ktk kipind kigumu
Mungu awape moyo wa subira ndugu wote wa marehemu
Pole ni sana mungu awatie guvu
Innalillah waina lillah rajuuni Allah awape nguvu wafiwa subhnallah
Hapa Kuna maneno .life is spiritual Sana....... ..
Amen
..kuna situation omba sana isipige kwenye Familia yenu !
Kweli kabsa
M.Mungu haicheleweshi nafsi yeyote muda wake unapofila.Na hatuna budi kusema,Innaa lillahi wanna ilayhi raajiuun.ALLAH AWAPE KAULI THAABITI INSHAAALLAH.
Dah!poleni sana sana tunamuomba Mungu awalinde ktk safari mfike salama
Eeh Mungu watie nguvu wafiwa wote.Amin.
Allah Akbar ,subra minnalrahman
Eee mungu wapatie nguvu wowote Hawa ngugu wamarehemu mungu Aziweke rohozao mahalipema peponi Amin
Ss sote waja wake na kwake tutarejea
.Allah awape subira.
Ameen
Pole san baba kazi ya mungu hain makos innalillah wainnaa lillahi rajiun
Pole Sana familia Mnyaruge Mungu Akawwe faraja yenu
Lusifa yuko kazini!!
Yesu pekee anaweza kutufuta machozi
Polen sana wana familia mungu awape subra ktk kipindi hichi cha majonzi
Inna lilah wahinna ilah rajiun Allah awarehemu maiti zetu pole sana ndugu zetu Allah awape subra
Poleni sana poleni sana Mungu ana mipango yake
Allah awape kauli thabit ndugu zetu 😢😢😢😢😢
Inalillahi wainailahi rajuun. Allah awape kaulithabity naawapokee kwa amani awape pepo yarabiaalamyn. Allahu akibarr
Poleee sana kwa kuwapoteza wapendwaa wenu
Hakika tuombe kuna hali ambayo siyo ya kawaida Arusha hii😭
We vipi umeona arusha tu ndiyo kuna Vifo ama ajali
Innaa Lillah wainnaa ilayhi raajiuun poleni sana ndugu zetu allah awape subra ktk kipindi kigumu hiki mnacho pitia.Hakika sisi sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea inshaallah 😭😭 kweli baki allah nasi tulio baki allah atujaalie mwisho mwema inshaallah 🙏😭😭😭
Poleni sana Mungu awape faraja 🙏🏽
Mungu wafariji watoto wako Baba wa Mbinguni. Sina cha kusema waguse najua wema wako ni mkubwa sana.
Allahumma bikhusnul khaatima Yaa Allah
Yaan jaman mim nijiran imetuumiza sanaa
Pole sana ndugu zangu mwenyezi mungu awape roho ya subira
Baba pole jaman umejieleza vzr tena kwa ujasiri. Mungu awape pumziko la Milele
Amiin
Amen
Poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu
Subhanallah poleni saana
Poleni Sana daah mungu atiye nguvu dugu na jamaa?
Poleni sana ndugu zetu kwa ujumla
Poleni sana Mungu awatie nguvu
Inalilah wainailay rajiun polen ndugu zangu was bbt
Yaha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwangazie wapumzike Kwa aman
Innalillah Wainna ilayah Rajiun poleni sana Familia najua maumivu mnayopitia poleni sana MUNGU awatie nguvu
Inna lillah wainna ilaihi rajiuun ALLAH akupeni subra ndugu zetu msiba mzito
Innalilaah wa inna ilayhy raaji'uun hakika kw Allah ndio marejeo na tunamuomba atujaalia husnul hatma yaa rabby Allahumma aamin
Innalilah wainnailaih rajiun
Said Pole sana kwa pigo hili kaka
Innalillah wainnalillah rajiuun Allah awape subra ktka kpnd hki