KAKORE MCHAKACHUA GESI ARUSHA AKAMATWA NA MITUNGI MIA TATU, DC ALIMUWEKEA MTEGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 52

  • @mochemba
    @mochemba 13 хвилин тому +2

    Huyu ningekuwa na mamlaka ningempiga miaka 30 jela hana tofauti na mbakaji wa uchumi

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 Годину тому +2

    Kuna rafiki angu alichukua mtungi mkubwa week tuu ushaisha na alikua mzazi jmn,,akafungwe uyo jambaz maisha yenyewe magumu bado anatuibia

  • @mam_salum
    @mam_salum 2 години тому +3

    Nikweli kabisa mkuu

  • @shalomchaula4420
    @shalomchaula4420 Годину тому +2

    Hapa tutasikia wauza ges wote wawe na mizani na eura wataweka kamati ya maintenance ya mizani kila miezi kadhaa na tutalipa hela ya maintenance ila kama wanataka kusolve hakuna haja kwenda madukani wawachunguze wanao sambaza kabla ya watu wa maduka

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma Годину тому

    Tunaumizwa sana na hao wachakachakachuaji tunanunua Sh 58 elfu mtungi wenye gesi aumalizi mwezi matumizi ya kawaida tuu Orex
    Mbezi makabe
    Akuna mizani madukani

  • @AnnaLyimo-b3k
    @AnnaLyimo-b3k 28 хвилин тому

    kweli kabisa tunapigwa

  • @EuniceOscar-cv3bp
    @EuniceOscar-cv3bp 2 години тому +3

    Yaan wiki gesi imeisha kumbe kuna fundi

  • @ericosambi2736
    @ericosambi2736 13 хвилин тому

    Ni wa kuflisii huyoo niliwahii nunua wa 14kg walaii hataa mwezii haiku malizaa tokeaa sikuu hiyoo bilaa mizani nomaa

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 58 хвилин тому

    Yaani ndo maana nikiacha pesa ya gesi 22000 ndani ya wiki moja eti imeisha,nimeshagombana na wife sababu ya hii gesi kwisha haraka, hongereni sana kwa kukamatwa hili jizi

  • @Jumajumanne292
    @Jumajumanne292 17 хвилин тому

    Duh tuna walalamikia manjus kumbe watu wanachakachua

  • @ElinahStephano
    @ElinahStephano Годину тому +1

    Wapo wengi sana tunananunua mtungi ujazj syo sawa

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 35 хвилин тому

    Wauza ges wawe na mizani bana ni waiz Sana

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 14 хвилин тому

    Ya ges hazikai

  • @dyno4tz
    @dyno4tz 33 хвилини тому

    Misingi imeharibika mwenye HAKI atafanya nini???

  • @AshuuuBakari
    @AshuuuBakari Годину тому

    Aiseee kumbe. Ndio maana unajujua gas siku 25 tu gas kwisha

  • @qualitystudioz2522
    @qualitystudioz2522 18 хвилин тому

    Uwez kuwa tajiri ukitafuta pesa ya alali

  • @claragodwin-qv7id
    @claragodwin-qv7id 44 хвилини тому

    Maskn ndo ananiletega ges nyumbn kwangu, kama ni kwel alikosea na kama kuna wivu Mungu amsamehe

  • @AngeGemima-k2j
    @AngeGemima-k2j 46 хвилин тому

    Des Alouettes de personnes 😅😅😢

  • @davidlinus6940
    @davidlinus6940 2 години тому +2

    Mpaka DC nyie ewura wakala wa vipimo vp usingizi au

  • @donking-d4t
    @donking-d4t 31 хвилина тому

    Vishoka wa gas wapo wengi mno,,

  • @PriminySalakana
    @PriminySalakana 6 хвилин тому

    Gesi zinapimwa kwenye mizani, ukipigwa ni uzembe

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 Годину тому

    Kama kuna mtu kamwonea wivu kila atakachofanya kisifanikiwe. Lkn km kweli amefanya hujuma basi ahukumiwe kwa sheria na taratibu

  • @azizaj776
    @azizaj776 15 хвилин тому

    Menega Eura unafanya kazı gani ??????? Mpaka mkuu wa wilaya ndiyo akamate wewe kazi yako nini ?????? Kula Bata tu kusubiri mwisho wa mwezi ⁉️⁉️⁉️⁉️

  • @JafariMyinga
    @JafariMyinga Годину тому

    Ni kweli mkuu wapo wengi na sio Arusha tu Mimi nilinunua mtungi mkubwa Huwa natumia three months lkn utajikuta unatumia wakati mwingine week 3 imeisha

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma 58 хвилин тому

    Makampuni yote madukani hakuna Mizani kweli mnatuumiza sana watu wa chini

  • @georgewilliam6001
    @georgewilliam6001 Годину тому

    waacheni tu ruksa

  • @JamesNgala-g3c
    @JamesNgala-g3c Годину тому +1

    Kilicho na mwanzo kakikosi mwisho.

  • @amanijacobkubebeka8192
    @amanijacobkubebeka8192 Годину тому

    Kuwepo na mzani katika ofisi yake

  • @elikanasamwel
    @elikanasamwel 42 хвилини тому +1

    Nakubali hiyo tunapigwa sana

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 години тому

    Hii kitu hata hapa dsm wasambazaji wa gace wawe wanakaguliwa , siyo baadae mnaanza kukagua madukani hiyo itakuwa si sawa. Kagueni ktk vigari vinavyosambaza mnaweza kukuta madudu.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 46 хвилин тому

    Tushaibiwa mno ila ni hatari Kuna jamaa alikuwa anfanya hizi ishu SI akalipukiwa

  • @KhamisiMohamed
    @KhamisiMohamed Годину тому

    Wizi wa kutojaza gesi ni kero kubwa kote kwny taifa tunaomba wote wanauza gesi wale na mzani wa kupimia

  • @mcback4384
    @mcback4384 Годину тому

    Ewura wanafuga vitambi tu ofisini mngepita kupima mitaani mngemkamata na sio mmoja

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 2 години тому

    Hatuponi hao kakole wapo wengi Sana nchi hii

  • @latifaIdassi
    @latifaIdassi 2 хвилини тому

    Mwamba mchongo umebuma!

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 2 години тому

    Ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira ajira aaaaasss.

    • @simongwandu7392
      @simongwandu7392 2 години тому +1

      Uwizi mtupu watu hawasomi ili waajirwe

    • @mcback4384
      @mcback4384 Годину тому

      Kwa akili yako finyu huyu kakosa ajira? Unajua mtaji wa kumiliki mitungi yote hiyo na magari?

    • @dorislema2465
      @dorislema2465 Годину тому

      Ajira nini mshenz uyo anatuibia

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 Годину тому

    Avuliwe hiyo kofia.alishatuibia sana huyo.!

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 години тому

    Wanasheria waingilie kati maana sidhani kama ni kweli anaweza kupack gesi

    • @furahamwaseba7910
      @furahamwaseba7910 Годину тому

      Basi itakuwa hutumii ges kwa sis tunao tumia tunajua ujazo unapunguzwa nawapo wengi cyo huyo tu

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 Годину тому

      Tupo tayari tunafuatilia kwa makini

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t Годину тому

    Kama hayo magali aliyakodi hesabieni hasara kwa mwenye hayo magali serikali ikikukamata na mzgo haram asilimia 2 kurudishiwa hayo magali yatakaa ofcn ata miaka 6

  • @MichaelMghamba-tv8ht
    @MichaelMghamba-tv8ht 2 години тому

    Kamatahao mkuu yan tujajaza ges atamwez hauishi kazia hapo

  • @AbdulMshamu-m3t
    @AbdulMshamu-m3t Годину тому

    Ningekuwa mm ni boss ww meneja usingekuwa na kazi muda huu, mpaka mkuu wa wilaya anajua ww ulikuwa wap?

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 2 години тому

    Mh ukiona ivyo ujue ajapata chochote mfukon

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 2 години тому

    Kuna jambo hapa, huyu dogo kateka biashara, ana customer care nzuri sana

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma Годину тому

    Tunaumizwa sana na hao wachakachakachuaji tunanunua Sh 58 elfu mtungi wenye gesi aumalizi mwezi matumizi ya kawaida tuu Orex
    Mbezi makabe
    Akuna mizani madukani

  • @FortunataNguma
    @FortunataNguma Годину тому

    Tunaumizwa sana na hao wachakachakachuaji tunanunua Sh 58 elfu mtungi wenye gesi aumalizi mwezi matumizi ya kawaida tuu Orex
    Mbezi makabe
    Akuna mizani madukani