Jamani Tanzania tuna kwenda pabaya, yaani hata sijui tuna elekea wapi. Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab na hawa majangili, Mwenye Enzi Mungu awa tokomeze
Jamani inauma sana mtoto huyo aliwakosea nini? Kwa maoni yangu nahisi waliingia kutaka kumbaka sasa katika kukataa labda akawatambuwa ndo wakaamua kukatisha ndoto zake” Mungu Baba ni wewe usiye lala unawajuwa wote waliofanya unyama huo shugulika nao mwenye visasi na malipizi ni wewe BWANA” Pumzika kwa amani mtoto wetu Mungu akupokee 😭😭😭
Tz yetu inahitaji maombi Sana. Nahisi Kuna sehemu tumemkosea Mungu. Hii si hali ya kawaida Kuna laana si bure Kuna mahali tumemkosea muumba wetu. Watumishi wa Mungu tuombee taifa letu.
Nimesikia uchungu Sana,mwanangu aliuwawa hivyohivyo nikuwa safari,mtoto anauma sikia tu,ila mungu atalipa kisasi hiki wa yoyote aliyeweka mkono wake,basi adhalilike na kuangamia kwa mateso makubwa.
Poleni sana, Mungu yupo hata muacha mtu alietenda tikio hilo lazima amuazibu yeye na kizazi chake chote maana,Mungu hadhihakiwi pumzi kuizima pumzi ya mtu, biblia inazungumza,(wagalatia6:7-9) apandacho mtu ndicho atakachokivuna asubili mavuno yake Anambipu Mungu ngoja ampigie,imeniuma sana Mimi kama mtumishi wa Mungu,na pia kama mzazi,nakemea kwa jina la Yesu kristo kwa watu wenye Tabia kama hiyo washindwe na walegee kabsa,Mungu awatie nguvu wafiwa wote
Mnakosea kulaani kizazi kizazi kimekosea nn jamani alaaniwe yeye mja laana kuna watu wanateseka kwa makosa ya wazazi wao ingawa wao hawajakosea lolote sio sawa jamani!
Unyama wa Hali ya juu Pumzika kwa Amani mdogo wangu,Damu ya mtu haipotei bure ulie Fanya tukio Mungu atakulipia sawasawa na matendo Yako binadamu tuwe na huruma
Poleni sana wapendwa . Tumempoteza mtu ambaye baadaye alikuwa aje kuwa kiongozi wa Taifa letu. Hakuna cha wageni, binadamu tumekuwa kama mashetani,kumtoa mtu roho bila yeye kuwa na hatia. Tunaishi na watu tukijua ni wema kumbe ni maadui.
pole sana jameni niuchungu maoni yangu mwenye amemua nimtu anajua vizuri mzingira ya hapo anajua mama ayuko pengine amechunguza vizuri akajua ulewa apatikani nyumban Uwenda alitaka amrep au alimrep akawa ana mujua akamua amutoe ndio apoteze ushaidi .Iyo damu ya mtoto isimuache salama Akose Amani kabisaAta yeye akufe kifo ya uchungu ivio
Daaah inauma sana mungu muangamize uyo muuaji mtoto anamakosa Gani amemkatli kiasi Iko laki pia naiyomba jamii maeneo tunayoishi tuwe naumoja inapotokea tunasikia mayoe basituungane kwaumoja kuamgalia Kuna Nini tunaposema nilsiki yoe hatmai tapoteza huenda angekimbiliwa angepatiwa msaanda mtoto
Wazazi wote wahojiwe. Kwani wanaweza wakawa msaada kwa tukio hilo. Mtoto alikuwa bright kama mjomba asemavyo. Kuna wakati fulani wazazi walikuwa wanawatuma watoto kuandika kinyume au kujibu mtihani hovyo ili kukwepa majukumu ya kusomesha. Ila Mungu ni mwaminifu damu ya malaika huyu itasema juu yao. Mungu tenda muujiza. Amen
Kisasi Cha Mungu ni kikali Sana atalipa, pumzika kwa amani malaika mzuri,enyi binadam mnaojivika roho za Simba muogopeni muumba wenu ,Machozi ya huyu mama hayataenda bure kabisa Mungu atayapa ufumbuzi tu 🙏
Yani mamake anakujanga usiku akamuita amfungulie ili mtoto akamboeka na kuamkanga usiku kufungua mlango akaonelea awache wazi ili mama akifika aingie Yani hao watu walikua wakijua mamake hakuangi usiku So ata mlango kama ilikua imefungwa wangefunja Mungu tusaindie na utuiinde na watoto wetu ila si wewe mungu hatungekua kwamaana mahandui ni mengi nduniani
Mungu Yuko mwenye alifanya hivo pia yeye malipo ni hapa hapa tu labda awe ataishi milele mungu tenda miujiza Yako wenye walifanya hivo pia nao wafe kifo Cha uchungu😭😭😭
Mimi naiona hi video leo jamani poleni roho yake ikae mahali pema peponi lakini Mimi nawambieni hili amini MSI amini huyo aliyetenda hayo ni mtu yuamjua vizuri huyo mtoto na Mimi Kama mzazi naomba sana Mwenyezi Mungu amuanike adharani huyo mtenda dhambi hiyo kwani mtoto alimkosea nini ewe Mwenyezi Mungu damu ya mtoto huyo ilimwagika kwa siyo kupenda kwake ila sababu ya adui asiye mtambua ewe Mwenyezi Mungu nakuomba kwa nguvu zako ma ewezo wako mtoe adui adharani ajulikane na umpe adhabu ya milele
Hapa wakosa ni wazazi. Hasa huyo mama tabia ya kulewa na kuja usiku mkuu nyumbani hilo tyri ndilo chanzo kufikia mpka kumruhusu mtoto kulala mlango wazi ili uje time utakayo. Lala salama mama Allah atakulipia ila malezi mengine sio mema huyu mama ndicho chanzo
Machafuko nchini😭😭😭😭binadamu wamekuwa wanyamaa,tufunge na kuomba wapendwa, wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu,tumrudie Mungu wapendwa 😭😭😭😭😭😭tulinde watoto wetu jamanii,hali cnzuri, Mungu mpumzishe kwa amani,jicho lako linaona kote Mungu wetu,hukumu yao Iko mikononi mwako😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Alibakwa itakuwa na mtu anajulikana kisha kumpiga asiseme sasa anakosa gani apigwe mpaka kuperekea kifo yaani wamama acheni ulevi ovyo uwenda ungekuwepo asinge pata madhara 😭😭😭😭rip bint mzuri
Apumzike kwa Amani mjomba wangu. Ila wagogo tuelimike,pombe imekatiza uhai wa mtu. Wagogo Tunajirudisha sana, kiukweli nimeumia sana. Pombe pombe ndiyo chanzo. Mtoto alikuwa anafanya vizuri sana huenda ngiyoo Tatizo
Maskini yamungu sasa mtoto amewakosea nini jamani daah inauma sana hayo so maisha pia uko uliko uliyefanya hicho kitendo mwenyezi mungu akuazibu wew pamoja nafamilia yako mpaka ukooo ukateketee namkaraaniwee huyu nimaraika kumbukeni damu yamutu uwa haiendibureeee imeniuma sana dah siujui hata uwo mkoa ila imeniuma sana mwenyezi mungu atairipia😭😭😭😭😭😭😭😭pumzika kwaamani mdogoangu umeenda hata mwendo ujaumaliza nandoto zako hata hujazitimiza dah imeniuma sana jamani
Mimi naona walimuuwa kwa sababu aliwatambuwa hao watu wenye walio mufanyia hicho kitendo mungu wapatie hukumu ya uchungu
Huyo mama akiwa na akili aache pombe maisha yake yote maana ndio chanzo cha mwanae kupoteza uhai. Mola akulaze pema malaika wake😭😭
Inauma sana mungu yupo Alie fanya lilikeagiza iposiku atapatikana mchana peupe poleni familia namarafiki mungu awapenguvu
Jamani Tanzania tuna kwenda pabaya, yaani hata sijui tuna elekea wapi. Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab na hawa majangili, Mwenye Enzi Mungu awa tokomeze
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la Amani
Jamani inauma sana mtoto huyo aliwakosea nini? Kwa maoni yangu nahisi waliingia kutaka kumbaka sasa katika kukataa labda akawatambuwa ndo wakaamua kukatisha ndoto zake” Mungu Baba ni wewe usiye lala unawajuwa wote waliofanya unyama huo shugulika nao mwenye visasi na malipizi ni wewe BWANA” Pumzika kwa amani mtoto wetu Mungu akupokee 😭😭😭
Poleni San pumzika kwa amani
Kabisa kisasi cha bwana ki juu yao
Hata mm nimewaza hvyo
Pole
Dunia hiii tunakwenda wapi jamani ...? Mbonaniunyama usionamfano amewakosea ninihuyo mailaika dar ilamungu hakimbiwi ..ngoja tuone wnadhani wamefanikiwa hawanamuda tutawasikia wakitangazwa kukatwatu serkali inamkono mrefu ..
Mungu naamini ww.hulali Wala husinziii 😭😭😭
Tz yetu inahitaji maombi Sana. Nahisi Kuna sehemu tumemkosea Mungu. Hii si hali ya kawaida Kuna laana si bure Kuna mahali tumemkosea muumba wetu. Watumishi wa Mungu tuombee taifa letu.
Ni kwel ni maombi tu siyo hal ya kawada hii
Eeh Hakikaa
Ni kweli kabisa Mungu aturehemu aiponye nchi Yetu
So sad😭😭may the killers not have peace in their lifetime
Agree 💯
Indeed
Ameen
Sure
*kikulacho kinguoni mwako wahenga walisema wagen utawasingizia tuuu Mungu ampunguzie adhabu kali amen*
Mtoto hana adhabu ya kabuli dada angu.
Nimesikia uchungu Sana,mwanangu aliuwawa hivyohivyo nikuwa safari,mtoto anauma sikia tu,ila mungu atalipa kisasi hiki wa yoyote aliyeweka mkono wake,basi adhalilike na kuangamia kwa mateso makubwa.
Pole sana
Jamani Pole Sana
Polee Sana Sana, Mungu anayaona machozi yako akutendee lililojema.
pole kipenz
Muuaji, uliyeusika na uaji uwo kazi unayo, na Mungu anakusubili kwa amu utamjibu Nini sijui
Mungu yupo aki..Kwa jina la Yesu haki itatendeka
Poleni sana, Mungu yupo hata muacha mtu alietenda tikio hilo lazima amuazibu yeye na kizazi chake chote maana,Mungu hadhihakiwi pumzi kuizima pumzi ya mtu, biblia inazungumza,(wagalatia6:7-9) apandacho mtu ndicho atakachokivuna asubili mavuno yake Anambipu Mungu ngoja ampigie,imeniuma sana Mimi kama mtumishi wa Mungu,na pia kama mzazi,nakemea kwa jina la Yesu kristo kwa watu wenye Tabia kama hiyo washindwe na walegee kabsa,Mungu awatie nguvu wafiwa wote
Mnakosea kulaani kizazi kizazi kimekosea nn jamani alaaniwe yeye mja laana kuna watu wanateseka kwa makosa ya wazazi wao ingawa wao hawajakosea lolote sio sawa jamani!
Pole sanaaa. Mungu awafariji familia yote. Sasa msichana mdogo kawafanya nini majambazi? Damu yake itawafuata daimaaaa
Mungu yupo.... poleni sana kwamcba....
Mtoto kama huyu kawakosea nin jmn hiv haya mauaji mbona imekuwa to much jmn😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu aende akawalani wote walio tenda hichi kitendo cha unyama hawatakuwa na maisha pia nao wakafe kifo cha uchungu 😭😭😭 its really painful
Wazazi wengi wapo careless sana wanahatarisha ndoto za watoto wao mapema..mfumo wa maisha wa aina hiyo si rahisi mtoto kuwa salama hata ukuaji wake
Unyama wa Hali ya juu Pumzika kwa Amani mdogo wangu,Damu ya mtu haipotei bure ulie Fanya tukio Mungu atakulipia sawasawa na matendo Yako binadamu tuwe na huruma
Kabisa
kabisa
Pumzika kwa amni
Kabsa
😊😅p
Kaka anaumia sana masikini😢😢
Mnooo inaumiza sana
Hiv kwel walio fanya hivyo kwel Wana watoto nkama hawana hata ndugu hawana da! Naomba mungu awahukum kwa mkono wake mwnyewe
Subhanna Allah, watu hawana huruma hata jamani.😭😭😭
Pole sana wafiwa. Pia wao hawajuwi watendalo. Ila mungu awatie nguvu 😭😭 juu inauma
Poleni sana wapendwa . Tumempoteza mtu ambaye baadaye alikuwa aje kuwa kiongozi wa Taifa letu. Hakuna cha wageni, binadamu tumekuwa kama mashetani,kumtoa mtu roho bila yeye kuwa na hatia. Tunaishi na watu tukijua ni wema kumbe ni maadui.
Pole sana ndugu kwa msiba inauma sana 😭😭😭 mwenyez mungu ampunguzie adhabu ya kaburi bint
Dah inaumiza Sana sijui hii Dunia inaelekea wapi jamani MUNGU atusaidie Sana mwanafunzi anakosa gani 😭😭
😭😭😭😭 mungu wahukumu milele👏
Dooh atali
pole sana jameni niuchungu maoni yangu mwenye amemua nimtu anajua vizuri mzingira ya hapo anajua mama ayuko pengine amechunguza vizuri akajua ulewa apatikani nyumban Uwenda alitaka amrep au alimrep akawa ana mujua akamua amutoe ndio apoteze ushaidi .Iyo damu ya mtoto isimuache salama Akose Amani kabisaAta yeye akufe kifo ya uchungu ivio
Poleni sana apumzike Kwa amani 😭
Duuuuu mungu wangu 😭😭😭😭😭😭 hawa binadamu wenye roho za unyama, roho za ukatili hawana huruma kwa maraika huyu . Mungu wazalilishe maibilisi hawa
Daaah inauma sana mungu muangamize uyo muuaji mtoto anamakosa Gani amemkatli kiasi Iko laki pia naiyomba jamii maeneo tunayoishi tuwe naumoja inapotokea tunasikia mayoe basituungane kwaumoja kuamgalia Kuna Nini tunaposema nilsiki yoe hatmai tapoteza huenda angekimbiliwa angepatiwa msaanda mtoto
Pole sana Kwa familia hakika inauma sana
Naumia sana Mungu atamlipia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu akuangazie mwanga wa milele
Wazazi wote wahojiwe. Kwani wanaweza wakawa msaada kwa tukio hilo. Mtoto alikuwa bright kama mjomba asemavyo. Kuna wakati fulani wazazi walikuwa wanawatuma watoto kuandika kinyume au kujibu mtihani hovyo ili kukwepa majukumu ya kusomesha. Ila Mungu ni mwaminifu damu ya malaika huyu itasema juu yao. Mungu tenda muujiza. Amen
Ni mkoa gani na nikijiji GAni ndugu
Kisasi Cha Mungu ni kikali Sana atalipa, pumzika kwa amani malaika mzuri,enyi binadam mnaojivika roho za Simba muogopeni muumba wenu ,Machozi ya huyu mama hayataenda bure kabisa Mungu atayapa ufumbuzi tu 🙏
Mungu akulinde mdogo wangu pumuzika kwa amani
Nashukuru mambo hayo kwetu Zbar si aghlabu kutokea .
Mitihan mikubwa Allah atujaliye khatima njema vizazi vyema ila Dalili za kiama zote hizi Iman imepotea daaah
Mwenyezi mungu tusamehe pale tulipokosa maana matukio yamezidi tanzania yetu
Daah!inauma sana wamekatisha ndoto za mtoto huyu,,Rest in peace bint mdogo 😭😭😭
Jamani ni uktatli mkubwa sana
S
Yani mamake anakujanga usiku akamuita amfungulie ili mtoto akamboeka na kuamkanga usiku kufungua mlango akaonelea awache wazi ili mama akifika aingie
Yani hao watu walikua wakijua mamake hakuangi usiku
So ata mlango kama ilikua imefungwa wangefunja
Mungu tusaindie na utuiinde na watoto wetu ila si wewe mungu hatungekua kwamaana mahandui ni mengi nduniani
Poleni sana na mungu amulaze pema peponi😢
Wasipate aman kamwe katika maisha yao walio shiliki kuondoa uhai wake huyu bint mwenyezi mungu awachape fimbo
Daaah hivi watu tumekuwaje jaman daah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Woooi Mungu Wangu tusaidie mtoto amewafanyia Nini😭😭
Mungu Yuko mwenye alifanya hivo pia yeye malipo ni hapa hapa tu labda awe ataishi milele mungu tenda miujiza Yako wenye walifanya hivo pia nao wafe kifo Cha uchungu😭😭😭
Mimi naiona hi video leo jamani poleni roho yake ikae mahali pema peponi lakini Mimi nawambieni hili amini MSI amini huyo aliyetenda hayo ni mtu yuamjua vizuri huyo mtoto na Mimi Kama mzazi naomba sana Mwenyezi Mungu amuanike adharani huyo mtenda dhambi hiyo kwani mtoto alimkosea nini ewe Mwenyezi Mungu damu ya mtoto huyo ilimwagika kwa siyo kupenda kwake ila sababu ya adui asiye mtambua ewe Mwenyezi Mungu nakuomba kwa nguvu zako ma ewezo wako mtoe adui adharani ajulikane na umpe adhabu ya milele
innalillahi wainnaillahi rajiuni.pole Sana wafia.bilashaka nihao wenzake huko kilabuni Allah-aalam
😭😭mungu yupo hakika ampunzishe mahala pema peponi 🙏🙏
Hapa wakosa ni wazazi. Hasa huyo mama tabia ya kulewa na kuja usiku mkuu nyumbani hilo tyri ndilo chanzo kufikia mpka kumruhusu mtoto kulala mlango wazi ili uje time utakayo. Lala salama mama Allah atakulipia ila malezi mengine sio mema huyu mama ndicho chanzo
Poleni jamanii pumzikaa kwa amanii 🙏
Machafuko nchini😭😭😭😭binadamu wamekuwa wanyamaa,tufunge na kuomba wapendwa, wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu,tumrudie Mungu wapendwa 😭😭😭😭😭😭tulinde watoto wetu jamanii,hali cnzuri, Mungu mpumzishe kwa amani,jicho lako linaona kote Mungu wetu,hukumu yao Iko mikononi mwako😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Ww uliye husika na tukio Hilo mungu anakusubili kw hamu sana
Duh jaman Mwenyezmungu amlazemahalipem pepon
Eemungu sijui tunaelekea wapi kwa Sasa MTU kumtoa uhai anaona kawaida jaman inauma sana polen woto wafiwa
Jamani mungu amlaze mmahalii pema
Daaaaa: poleni sana jaman
Muuwaji utajificha mbele za binadamu lakn mbele za Mungu wako utajuta damu ya mtu haipotei bure Rest in peace bby
Ipo siku alieua atajitaja mwenyewe kama hanywi pombe atakuwa anakunywa na akilewa atamja kwa jina na kumuomba msamaha marehemu ndio watu watamjua.
@@davidcurtis175 Duh?! Kumbe ndo inavokuwaga🙌🏼
Mkoa gani huu
I think walikuja kufanya hivi kwa mtoto maybe walikua na ugomv na mama ......
So sad😢😢😢😢
Jamani mbona kipindi Cha anko magu hii Hali ilipuguwa lakini saivi imekuwa kama fasheni wakiyakamata haya majitu wayanyoge
Mungu ampe pimziko la milele amina
Jamani jamani ndo maana uchawi hauishi kwasitahili hii kama unaimani ndogo unaweza kwenda. Kuloga ili kulipa kisasi
Jaman kwa Sasa nchi yetu imekuwa na mtukio eeh mungu tuepushie na haya matukio
Mungu awalaani wote walioshiriki kutoa uhai wa binti huyu.R.I.P
Jaman polen Sana 😭😭😭 unauma Sana 😭😭
Mungu ingilia kati ktk hao watuhumiwa woote waliohusika
Dunia inaumiza sana. Daaaa! Sasa mtoto kama huyo anauwawa jamani! Imeniuma sana.
Mwenyezi Mungu ailaze pema roho ya binti huyo
Faida ya pombe daah allah hamrehemu
It's so sad to see people killing a young girl ,oh my God may her soul rest in peace 🙏 🪦 😌 ☹️
Innalilah wain illah rajiun 😢ALLAH amrehemu🙏
Uyo mtu naombea awe na maisha marefu yenye majuto na tabu ndani yake
Alibakwa itakuwa na mtu anajulikana kisha kumpiga asiseme sasa anakosa gani apigwe mpaka kuperekea kifo yaani wamama acheni ulevi ovyo uwenda ungekuwepo asinge pata madhara 😭😭😭😭rip bint mzuri
Inauma sana jamani poleni sana kwa familia na wanafunzi wenzake. Wazazi jamani tukueni macho
Jaman mkisikia kelele mtokee nje sio wapiga kelele wote ni walevi 😢😢😢😢
Mungu amlaze mahala pema Ila inasikitisha Sana🤭🤭😭😭😭😭
Na tujifuze kina mama ote kuacha watoto peke yao usiku kucha wenyewe tunaenda kufurahisha wanaume uko majumbani m/mungu amuweke pema peponi 🙏
Jaman imeniuma sana eeh mungu naomba tutetee
Dah mbona mnyama hvyo jmn 😭😭😭😭😭
Polesana jamani tukila kinyama sana kwam toto
duhuu inauma Sanaa ila mwenyezi mungu uwahalari anawajua atawalipa ukatili gani huo
Inaumaaa jamaniiii nmeumia sanaaa MUNGU mpumzishe Kwa amanii
jameni mungu mlaze binti yako peponi poa utuepue na majanga ka haya
Wakati mwingine tunamsingizia Mungu kweli wazazi wote tunamuacha mtoto tunaenda kupata pombe
Poleni sana, inaumiza mno
Kusema kweli TZ hatasiielewi hebutuone hii nchi inaendawapi dah tumechoka sasa jamani inatosha😢😢😢
Poleni ndugu zanguni jirani na marafiki vita ni vya Mungu atalipa tu
Daaah inauma sana 😢 wamamkatisha ndoto zake jamani serikali ifanye kazi yake
Apumzike kwa Amani mjomba wangu.
Ila wagogo tuelimike,pombe imekatiza uhai wa mtu.
Wagogo Tunajirudisha sana, kiukweli nimeumia sana.
Pombe pombe ndiyo chanzo.
Mtoto alikuwa anafanya vizuri sana huenda ngiyoo Tatizo
Apa ni wap
@@elishaworkout6116
Kijiji cha MTUMBA
Ulipo Mji wa Kiserikali
JAMANI INAUMA SANA JAMANI NIMEUMIA SANA ALLAH ALALI WA ASINZII HAKI YAKE ITATENDEKA
😭😭mungu mpumguzie adhab ya kabur mtot wako huyu🙏
💔💔💔 Ubinadamu Umeisha, UTU Umeenda Wapi?????? 🙏🏿🙏🏿🙏🏿😭😭😭
Aaaaaaaaah 😭😭😭 kisasi ni chako Bwana
Inauma sana
Eeeh mwenyezi mungu mwengi wa rehema tunakuomba baba toa hukumu yako kwaalie tenda mauaji hayo ,
Kwel n malaika jaman nan kafanya hili tukio jaman nmeumia 😭😭😭😭😭
Yani munaacha mtoto pekeyake 😭😭😭😭Tena mulango haacha wazi jamani wazazi wanzangu
Jaman, mungu shugulika nao hawa watu waadhibu vikari maskin mtoto alikalibia kufanya mtian wa necta jaman
😭😭😭😭😭Jamani inauma sana misijuwi kwanini inakuwa hivi
Maskini yamungu sasa mtoto amewakosea nini jamani daah inauma sana hayo so maisha pia uko uliko uliyefanya hicho kitendo mwenyezi mungu akuazibu wew pamoja nafamilia yako mpaka ukooo ukateketee namkaraaniwee huyu nimaraika kumbukeni damu yamutu uwa haiendibureeee imeniuma sana dah siujui hata uwo mkoa ila imeniuma sana mwenyezi mungu atairipia😭😭😭😭😭😭😭😭pumzika kwaamani mdogoangu umeenda hata mwendo ujaumaliza nandoto zako hata hujazitimiza dah imeniuma sana jamani
Inauma TNA sana