NUKTA 39 ZA MTU UKIOTA MBINGU | NA TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лип 2020
  • NUKTA 39 ZA MTU UKIOTA MBINGU | NA TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN.
    #MasjidMtoroTv #NasahaZanguTv

КОМЕНТАРІ • 21

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    Amiin jamia shukran sheikh

  • @nasraalismaili799
    @nasraalismaili799 4 роки тому +2

    Shukran sheikh jazzaka Allah lkheiyr kama ukiota mbingu Iko rangi nyekundu na ulipoona hivo ukawa unasoma Quran na unaona ni siku ya kiama jee manake nn sheikh

    • @kinglionist1331
      @kinglionist1331 4 роки тому

      Mm pia nime wahi kuota hivyo mbigu ime andikwa Quran-

  • @jemimarapando475
    @jemimarapando475 2 місяці тому

    Shukurani sheikh,niliota nimepokea vichana vitatu kutoka angani na blanket mbili

  • @smsalama6540
    @smsalama6540 3 роки тому

    Shukran sana shekhe naomba unambie maana ya hii ndoto yangu niloota mm mm nimeota Niko njeee nashaangaaa mbinguni kumejiandika mwanzo wa herufi yangu nikawa naita mwenzangu nikawa namwonyesha uku tukiwa tunashangaa ivi hii inaana gani tafadhari naomba Nipe maana

  • @tatuali1379
    @tatuali1379 4 роки тому

    Shukran

  • @halimaalimwamajeni6291
    @halimaalimwamajeni6291 4 роки тому

    Shukrn

  • @lucyiraq4402
    @lucyiraq4402 2 роки тому

    Amen

  • @kijakazinyalinga7003
    @kijakazinyalinga7003 8 днів тому

    Mimi naota nimekaa juu ya mawingu sijui sasa ina mana gan

  • @nasraalismaili799
    @nasraalismaili799 4 роки тому

    Shukran sheikh jazzaka Allah kheri kama umeona imekuwa rangi nyekundu na ukawa unasoma quran huku ukisema kiama subhanallah nn maana yake sheikh

  • @IbuOmary-ly6xn
    @IbuOmary-ly6xn Рік тому

    Mi niliota mbingu imefunguka mlango wachuma na nikaingia nilikutana mwanga wakun,gaaa xan na nikawa naona watu wengi sana mbele ya watu awo kukawa na kivuli cha mtu mkubwa nikaxikia xauti inasema mungu yupo

  • @user-ce9my3dk9o
    @user-ce9my3dk9o 8 місяців тому

    Assalaam Alaykum.
    Ukiota mbingu rangi yake nyekundu iliyopauka na kunashuka vipande vya vigogo vinashuka chini ya katka makaazi yake ya nyuma ya tope iliyoezekwa makuti .
    kimoja kikabaki chini chekine kikapanda juu.
    Maana yake nini.

  • @aminakidunda3263
    @aminakidunda3263 8 місяців тому

    Aslm alykm mm niliota farasi akitoka mbiguni Hela na magodoro mawili vyote vikitoka juu hii inamaanisha nini

  • @dioufmaengo7511
    @dioufmaengo7511 Рік тому

    Nimeota Niko mbinguni naukumiwa motoni mtume akajitokeza mbele yangu na kuniombea kunitetea Kisha mtume akaniambia Rudi Duniani kawambie watu mfanye ibada mswali

  • @mwajumaally3383
    @mwajumaally3383 Рік тому

    Niliota tulikua tuko kwamtishani shuleni lakini kuku badilika bakawa hamba kwabwa Na hapo nikawa nimekua pekeangu nilipo agalia juu nikaona kunafunguka nikaona ufangio mrefu sana ukawa unafangia kwakuzunguka zunguka nikiwa Na shagaa niliona makitu yanatisha halafu nikaona mfalume akipita baada ya hapo nikaona msikiti umejaa maua rozi yamejaa namsikiti ulukua mkumbwa ndipo nikaamka

  • @arafam1048
    @arafam1048 3 роки тому

    Asalam alaykum, sheikh mim nimeota mbinguni kuna vita, watu wamepanda faras wanamapanga wanapigana vita hadi vita vikafika ardhin, nawambia watu wasitoke nje anaeonekana anapigwa panga, jeee nin maana yake??

  • @norahmatunda8223
    @norahmatunda8223 Рік тому

    Mimi nimeotoa Kuna kitu kama Barbara niwekwewa nipande kwenda mbinguni Kisha sikufika nilibaki kushika kitu cheupe kama pamba nakurudi chini

  • @musangonyani2845
    @musangonyani2845 3 роки тому

    shekhe kama ukiota upo kwenye mwez kisha unapga picha ila sasa npo na wanasayansi wa kichina

  • @user-ix9dt5zw2l
    @user-ix9dt5zw2l 6 місяців тому

    Niliota wanaume wanashuka toka mbinguni nataka kujuuwa maana yake

  • @azizahasan2851
    @azizahasan2851 2 роки тому

    asalamu aleykum shekhe mm nimeota napaa kuerekea juu nikiwa nimelala char uku nimejifunika nguo nyeupe nikiwa kwenye kitu cheupe pia ndicho nilicholalia kuerekea juu kisha nilipofika juu nikawa naona vitu vinawakawaka chin nikashika kitu kama cha duara kinawaka waka pia nikakidondosha chini nikawa nakianfalia kakimefika chin nn maana yake

  • @onlyxosidenotgood4144
    @onlyxosidenotgood4144 3 роки тому

    Ukiota umeona picha ya mfalme