SNAKE BOY | ep 29 | SEASON TWO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,3 тис.

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 6 місяців тому +53

    Wangapi tumependa mjomba mfupi alivomaliza ugali wote akanywa na maharage , 😂😂😂

  • @FaridaHaidari-d3l
    @FaridaHaidari-d3l 6 місяців тому +23

    Kazi nzuri sana mungu aendelee kukubariki na kukufanya uwe juu zaid

  • @KapendFiston
    @KapendFiston 6 місяців тому +25

    Clam Vevo kwa kweli wewe pamoja na timu Yako muna juwa kazi nzuri sana ongereni

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 6 місяців тому +26

    Movie nzuri sana master ❤❤❤😂😂🎉🎉😢😢😮😮😅😅😊😊😊

  • @SiviriSuisse-yz2sp
    @SiviriSuisse-yz2sp 6 місяців тому +70

    kz nzuri sana, wanao mkubali clam wekeni like apa tujuane

  • @dominicomari7040
    @dominicomari7040 6 місяців тому +32

    N WA ngapi wamengojea hii series mbaka kuwa tumechoka kufutilia mahali tulikuwa tumeanjia ❤❤❤😂😂😂❤

  • @SalimaJaribu-tw9qf
    @SalimaJaribu-tw9qf 6 місяців тому +20

    Good clamkwaunavyovifanya munguakuzidishie palepalipo pungua naakuepushiena viinimacho vyawaja mwisho mi nimgeni kwaiyo naombeni leik hatamoja tafanzali watanzania

  • @modex_0376
    @modex_0376 6 місяців тому +77

    Wa KWANZA Leo Kutoka kenya naomba like zenu Tafadhalii kma nishabiki mkubwa wa Snake Boy

  • @tonydancer1111
    @tonydancer1111 6 місяців тому +11

    Mungu awabaliki awawote walie cheza move hii awape maisha marefu na yenye mafanikio amen

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 6 місяців тому +38

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo

  • @OmegaThreads
    @OmegaThreads 6 місяців тому +14

    Jamani Huyu VEVO na team yake wamedhamiria kufanya makubwa kwenye hii tasnia TUMPE nguvu hatutajutia, jamaa wanajituma yaan Hadi kufikia hii episode stor haijaharibika na Bado wanaonesha Energy Ile ile.
    Big up Team VEVO..

    • @Zainabu-q7v
      @Zainabu-q7v 6 місяців тому +2

      Bora ww umetoa ushauri siyo hao wanaopambana na like❤

  • @saudasada6379
    @saudasada6379 6 місяців тому +42

    Naomba likes zangu leo wa mwisho kazi nzuri sana clam naipenda sana snake boy kutoka 🇰🇪 kenya❤❤❤❤

  • @nationaltrendingmedia4603
    @nationaltrendingmedia4603 6 місяців тому +45

    Wa Mia tisa. Kama umekuwa hapa tangu ep 1 nipe like

  • @EstasiusBahama
    @EstasiusBahama 6 місяців тому +8

    mnazingua sanaaa nyie muv mnacherewesha kam kitu gan

  • @vee4296
    @vee4296 6 місяців тому +13

    Hivi nyie mnaoomba like kwan nyie ndo mmegiza .....asante clam kwa kaz nzuri❤

  • @TatuBaya-jy8jl
    @TatuBaya-jy8jl 6 місяців тому +7

    Hii snake boy n moto Zaid y 🔥🔥🔥🔥sijui kwa nin huag mnachlewa kutuletea mpka tunaisahau ila hongereni kwa kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NatureMw155
    @NatureMw155 6 місяців тому +28

    Clam tumemisi comedy zako umenifuilasha ulivyo sema nimzunguka nikatokea hapa😂😂😂😂😂😂

    • @andrewkasiga
      @andrewkasiga 4 місяці тому

      Jamaa kila akitoloka ana rudi pale pale

  • @DorcasKadama
    @DorcasKadama 6 місяців тому +6

    Yeeeee nimewahi team strong kujeni nimewawakilisha vizuri leo❤❤❤❤❤kazi nzuri sana Vevo❤❤😊

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 2 місяці тому +2

    Hii movie tamu sana ukifatilia toka mwanzo unaipenda❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mpo vizuri sana ila maharage na wali wa Nazi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ATHUMANSALIM-c3v
    @ATHUMANSALIM-c3v 6 місяців тому +9

    🎉,❤ kazi nzuri kutoka kenya

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 6 місяців тому +20

    Oyaaa unategea snake boy ukiwa mm Niko apa Riyadh 😂🇸🇦🇰🇪 alafu mmesahau saaana big boss 😢😢bana mnaboo n mnatoa ham mkieka bihide scene bana nawapenda Genz 👊 team strong hoyeeeeeeeeee ♥️♥️♥️♥️

    • @AkimanaHawa-w1s
      @AkimanaHawa-w1s 6 місяців тому

      Jirani Mambo nipo Riyadh pia🇸🇦

  • @Mzito-h4q
    @Mzito-h4q 6 місяців тому +12

    Nimekuwa wa Kwanza Leo big up wapy like yangu jamen

  • @MayaOuthman-bd8bg
    @MayaOuthman-bd8bg 6 місяців тому +10

    Jamani Vevo mungu Amlipe maan sio kwa Mafunzo haya❤❤

  • @AbdulMussakabagambe-qd6lv
    @AbdulMussakabagambe-qd6lv 6 місяців тому +4

    Clam sehemu hii umenichekesha sana hadi mikono haitaki kutoka kwenye suluari mh unaweza sana bwana clam🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍👍💪💪💪💪🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 6 місяців тому +24

    Hiko kiandunje kinakula ugali maharage sekunde tu 😂😂😂😂😂😂

  • @clemensiadaniel8479
    @clemensiadaniel8479 6 місяців тому +19

    Toka lini ugali na maharage vikaisha mapema jaman hapa kitu kizito🤣🤣🤣

  • @ibrahjokes5055
    @ibrahjokes5055 6 місяців тому +14

    Nasema clam asipomla huy Dem hata kweny kuigiza najiua😢😅😅😂🎉

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 6 місяців тому

      😂 hatari

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 6 місяців тому +1

      Uy Dem mwenyeanajifany anamchukia lazimaliwe ikibid walwe wot😅

    • @mariethachitema
      @mariethachitema 6 місяців тому

      😅😅😅​@@rosemarenga832

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 6 місяців тому +7

    I love the way clam is combining the actors

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 6 місяців тому +14

    Mnatufulaisha sana wakaka na madada fanyeni kazi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MerryAlly-s8p
    @MerryAlly-s8p 6 місяців тому +6

    Zumba zumba nakuhisi jambo kijana wa hovyo sana😂😂😂n'a clam utagombanisha watoto wa shahidi😅ani moovie kila sik utam unazidi❤mnajua bhana🎉mauwa yako clam n'a. Team.yako kwaujumla🎉🎉🎉🎉from burundi❤

  • @TheladyKhadija
    @TheladyKhadija 6 місяців тому +67

    Clam hi leo wakwanza like zangu nuchemshe nile sapa

  • @PASCALSAMWEL-r1h
    @PASCALSAMWEL-r1h 6 місяців тому +5

    Oya mdogo wangu kipenz upo vizuri sana💪💪

  • @ibrahjokes5055
    @ibrahjokes5055 6 місяців тому +26

    Shisha ooh lala ola ola lala
    Shisha ooh lala ola ola lalaa
    Nan anapenda nyimbo

    • @nickluca1512
      @nickluca1512 6 місяців тому +1

      Sema unapenda shishaa acha kujifanya unapenda nyimbo 😂😂😂

    • @fey-ge9pm
      @fey-ge9pm 6 місяців тому +1

      Na Mimi naipenda sana😂😂

    • @MiriamKolagwa
      @MiriamKolagwa 6 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @ZainaIsihaka
      @ZainaIsihaka 5 місяців тому +1

      ​mimi. appa. napenda. kuwa. msanii. kwelikweli. bye❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉😢😮😅😊

  • @AllenMwalimu
    @AllenMwalimu 6 місяців тому +11

    Snake girl ipo vizuri mnazingua sana

  • @jescawadelanga8657
    @jescawadelanga8657 6 місяців тому +5

    Nikatokaa kushangaaa yaaan mbona mapenz mahaba hamnaa umuu kumbee yapooo😂😂😂😂

  • @Linus-kn7tj
    @Linus-kn7tj 6 місяців тому +20

    M wa mwisho nataka like 1 tu

  • @PurieMakena
    @PurieMakena 6 місяців тому +23

    Watching from Kenya 🇰🇪 any Kenyan here gonga like tukisonga nawapenda Bure ❤❤❤

  • @mushi6879
    @mushi6879 6 місяців тому +10

    Hii ndo shida ya kumiliki demu mzuri alf huna pesa mzee utapitia changamoto nyingi sn km una moyo mdogo mbona wanakuzika

  • @PostaMoisesinyeri
    @PostaMoisesinyeri 6 місяців тому +50

    Mimi na tokeya congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩na taka like❤5 tano tuh !

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 6 місяців тому +7

    😂😂😂😂😂Kua makini inaonekana una maadui wengi sana 😂

  • @ChedeBou
    @ChedeBou 6 місяців тому +11

    Jamani jamani leo mm wakwanza naomba lakes wapendwa

  • @s.aaa-y8w
    @s.aaa-y8w 6 місяців тому +4

    Waaaah ilipofikia patamu mno paka inakera😅😅😅clam baba mauayako🎉🎉🎉🎉

  • @princejonasgeorge5836
    @princejonasgeorge5836 6 місяців тому +13

    Mnachelewa Sana kutoa muendelezo basi jitahidini kipande kiwe kirefu DK hata 50

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 6 місяців тому +7

    We chizi nini 😂😂😂😂😂
    Nawasubiri finally mtakavyo haribu

  • @LysonMshan-kf7rg
    @LysonMshan-kf7rg 6 місяців тому +5

    kua makinii inaonekana unaa maadauii mengiii 👍👍👍👍

  • @traviegrey3434
    @traviegrey3434 6 місяців тому +32

    Kama umegundua hua na like nisisahau kua episode hiyo nishaiona twende pamoja😂😂

  • @nicholausmissana2018
    @nicholausmissana2018 6 місяців тому +23

    Wakwanza leo naomben maua yangu

  • @mrambastephen5
    @mrambastephen5 6 місяців тому +23

    ❤❤❤ vevo kazi zako nazikubali kabisa salimia darector kakoso hongera

  • @mariethajoseph6538
    @mariethajoseph6538 6 місяців тому +6

    Kutoka @TABORA nawapongez @clam na kundi lake lote🎉🎉🎉

  • @DelachanceKiza
    @DelachanceKiza 6 місяців тому +3

    Mimi nimekuwa wamwisho ss kwasababu kilamutu yee wakwaza 😂😂😂😂 congratulations Brother 🎉🎉 VEVO 🎉

  • @NgalaaMutimwezinane
    @NgalaaMutimwezinane 6 місяців тому +6

    Kazi nzuri Kwa Wana Sanaa hongereni

  • @azizahmohamed3495
    @azizahmohamed3495 6 місяців тому +14

    Ubaya ubwela kwa tanu jamani,,,n uyo jamaa ambae mkewe anapigwa dana dana ni mpuuzi tu kwanini tangu mala y kwanza kwa mgaya asimwambie kuwa yule ni mkewe n badala yake akamwambia kuwa n dadaake

  • @ChristopherKayombo-o5m
    @ChristopherKayombo-o5m 6 місяців тому +6

    Cram acha umalayaa😂😂😂cc jamii ya nyoka hatupendagii

  • @MsomaliBeka
    @MsomaliBeka 6 місяців тому +120

    Tunao miss kumuona zinga goga like 😄 😆

    • @User7700
      @User7700 6 місяців тому +1

      Yaani movie bila zinga hata ainogi dah😢

    • @MsomaliBeka
      @MsomaliBeka 6 місяців тому

      @@User7700 kabisa ...

    • @PatrickkazadiAcess
      @PatrickkazadiAcess 5 місяців тому

      Nani aliye mu wa

  • @MohaChai
    @MohaChai 6 місяців тому +5

    Safii jamaa zangu tuendelee kusapot🔥🔥

  • @KaisiMwakyusa
    @KaisiMwakyusa 6 місяців тому +65

    Jaman kwa ivi vifo si wataisha wote gonga like apa from mbeya kyela

  • @YANGA5G
    @YANGA5G 6 місяців тому +12

    mim leo wa kwanza naomba likr

  • @ShaloTv-qc5vl
    @ShaloTv-qc5vl 6 місяців тому +13

    Nimekuwa namba Moja naomba like zangu

  • @wakunigeriafather
    @wakunigeriafather 6 місяців тому +8

    naombeni hii snake isifike mwisho iendelee mole daima🎉

  • @Bongo_football-kzi
    @Bongo_football-kzi 6 місяців тому +24

    Double tap🎉 uone maajab ya ujumbe wang snake boy kabsa

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 6 місяців тому +64

    Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😮❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤

    • @kyey3
      @kyey3 6 місяців тому

      good

  • @Tariqgandu
    @Tariqgandu 6 місяців тому +61

    Watu badala ya kuangalia muvi wanawaza kutafuta like ukichunguza comments nyingi sanah za snake boy watu wanaomba like 😂😂😂😂

    • @mwanashamwalim-dx6wb
      @mwanashamwalim-dx6wb 6 місяців тому

      Tuko kumoja 😅😅😅

    • @B.M-ix4rz
      @B.M-ix4rz 6 місяців тому +1

      Na sijui ht hizo like zinakua na mtaji au vp maana wamezid

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 6 місяців тому

      Kabisa yn wanaboa asa

    • @goshenaman
      @goshenaman 6 місяців тому

      Ata ww umeandika ivyo ili upate like

    • @goshenaman
      @goshenaman 6 місяців тому

      ​@@B.M-ix4rzmtaji ni bilion ndomana haujapata ata moja

  • @Aloysdotosindiho-mb1mb
    @Aloysdotosindiho-mb1mb 6 місяців тому +115

    Wakwanza kutoka Lusaka zambia naomba like zangu jamani

  • @jeremiahngao4846
    @jeremiahngao4846 6 місяців тому +2

    Na muache kuwauwa watu wenye moyo.. bwayu mzee,, farasi,,, adamu sistake shasha

  • @MaendaEca-j6s
    @MaendaEca-j6s 6 місяців тому +2

    Kazi nzuri sana kweli watching from USA Illinois

  • @AminaMohammed-u7j
    @AminaMohammed-u7j 6 місяців тому +186

    Kama unampend clam ntanzi gonga likes hapa

  • @beatricesamwel9133
    @beatricesamwel9133 6 місяців тому +7

    Nimezunguka sana msituni nashangaa natokezea Tena hapa hapa😂😂😂

  • @Joramkatana
    @Joramkatana 6 місяців тому +14

    Nasemaje...am very happy comrades.This is the best series ever on this planet... Congratulations to Ntanzi,Kakoso, Famau..and all the actors and actresses.
    •Zumba impregnanted Kim.
    •Tanu killed kapera's wife.
    •Kapera revenged back by killing Tanu's children.
    •Ntanzi loves Sanura.
    °
    .......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @cutemamuu
    @cutemamuu 6 місяців тому +1

    Inazidi kuwa tamu jmn dah muendelezo usichelewe jmn nawaomba❤❤❤

  • @NelsonMandela-c8e
    @NelsonMandela-c8e 6 місяців тому +1

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩Congo. liké zangu clam criçe 🎉🎉🎉

  • @HafsaShabani
    @HafsaShabani 6 місяців тому +15

    Leo nimekuw wa kwanza naomben like Zang jmn

  • @HamisiSalimu-d1n
    @HamisiSalimu-d1n 6 місяців тому +8

    Awa machifu nimegundua wote Malaya 😂😂😂 ndo mana mipango Yao yafeli mizimu aitaki uchafu😅😅🎉🎉

  • @jakeed2594
    @jakeed2594 6 місяців тому +7

    Number 1 like nyingi sana🔥🔥🔥

  • @Javboy-ny5yu
    @Javboy-ny5yu 6 місяців тому

    Clam madem wawil wote mzee daah salute mzee😁

  • @JulienneChritine
    @JulienneChritine 6 місяців тому +1

    Clam vevo baba upewe mauwa yako weye ni mwamba sana mungu akulinde ❤❤

  • @Steve.3175
    @Steve.3175 6 місяців тому +5

    Huku snake boy huku komasava mnatumalizia bando jmn😂😂😂🤣

  • @Patricelasway
    @Patricelasway 6 місяців тому +6

    Kazi nzuri
    Ila zhumba ndo mbakaji
    Afu sijapenda odama kufariki embu mfufue clam 😅😅😅

  • @wamuyungustarboy127
    @wamuyungustarboy127 6 місяців тому +31

    Wakwanza leo nipen like zangu

  • @ZuhurIbrah
    @ZuhurIbrah 6 місяців тому +3

    Clam ujibuge mesej bna n wew

  • @fredytv8177
    @fredytv8177 6 місяців тому +2

    Kakoso fundi aise...naona mnacheza na akilo yetu tu. Movie imekuwa tamu mnoo🎉🎉🎉

  • @halifamkindi2102
    @halifamkindi2102 6 місяців тому +71

    Wapenz wa 🐍 boy tuliokua tukiisubili woteeee naombeni like na mm jmn❤️❤️❤️

  • @STEVEOHCYBER
    @STEVEOHCYBER 6 місяців тому +6

    Mimi ndio mtu wa kwanza leo nipeni likes zangu Rasmagic

  • @TightnotChome-fn2jy
    @TightnotChome-fn2jy 6 місяців тому +5

    Kiroho kinamuuma eti si nyoka 😂😂😂😂

  • @rajabachu878
    @rajabachu878 6 місяців тому +1

    Hongereni sana kazi nzuri sana na dk za kutosha tu

  • @pangkid999-pm4me
    @pangkid999-pm4me 6 місяців тому +1

    Nakaribia kumaliza hapa Hali ya. Osama sio nzuri...Nani atanambia nilikuaje

  • @hamisiali1274
    @hamisiali1274 6 місяців тому +15

    Wakwanza leo wapi likes zangu jamaaa

  • @FredKe-xb4bo
    @FredKe-xb4bo 6 місяців тому +8

    Moto Sana wakwanza Leo kutoka Kenya

  • @samwelryakwama1997
    @samwelryakwama1997 6 місяців тому +61

    wakwanza gusa like zangu hapa nyingi sana dondosha

  • @MeshackSanga-j8i
    @MeshackSanga-j8i 5 місяців тому

    Dar wew ninoma zaidy ya noma 🎉🎉🎉

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 6 місяців тому +26

    Siku nyingine tena tuna kila sababu ya kumushukulu mwenyezi munguuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Amidaqueen-p9l
    @Amidaqueen-p9l 6 місяців тому +91

    Tunaho Isi aliye mbaka kim ni zumba gonga like apa 😂😂😂

  • @MohamediMuome
    @MohamediMuome 6 місяців тому +37

    Wakwanz nipen like zangu

  • @fathymosscooking6755
    @fathymosscooking6755 6 місяців тому +21

    Wanawo penda kazi za Clam gonga like APA nakomenty Niko🇫🇷 wewe uko wapi

  • @BarackKakule-p9k
    @BarackKakule-p9k 6 місяців тому +1

    Kutoka congo 🇨🇩🇨🇩 namukubali clam vevo, 🎉

  • @covertv8081
    @covertv8081 6 місяців тому +13

    Mimi nimependa hy ngumi

  • @babynaash
    @babynaash 6 місяців тому +7

    Clam cris ni wa motomoto🎉🎉🎉🎉

  • @hamiduselemani
    @hamiduselemani 6 місяців тому +12

    Duuh leo nimejitahd kuwai nipen like zang

  • @sommohd7903
    @sommohd7903 6 місяців тому +1

    Napendaga sana miziki isiyoeleweka🤣🤸🏾‍♂️

  • @EpimackLohayMatle
    @EpimackLohayMatle 5 місяців тому

    Mtu yeyote anaye angaliaa kazi zako hapa mungu ambariki amen ❤❤

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 6 місяців тому +166

    Leo nimekuwa wa mia tatu na 33 😅😅😂😂 Em naomba nisaidie likes zangu please tuzidi kusupport snake 🐍 boyyy