#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #SheikhKarama #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 773 071 409
    +255 773 878 523
    Zinjibartv Journalists
    cc: Safia Hussein
    cc: Maryam Kidiko
    cc: Abdillahi
    Camera Department"
    Abdillahi
    Mohammed Abeid
    Editors:
    Mohammed Abeid
    Ali Hassira
    Director
    Ali Hassira
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

КОМЕНТАРІ • 48

  • @hadrandege
    @hadrandege Рік тому

    Mashaallah napenda sana vipindi vyenu Allah azidi kuwap umri mref mzid kutuelimisha

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 роки тому +6

    Masha Allah Sheikh karama outstanding topic, BarakAllah feek including Mardhia, Watamaman and all staff Ameen yarab🙏🙏🙏🙏

  • @زينببنتسعيد-د9ح
    @زينببنتسعيد-د9ح 3 роки тому +4

    Wa alleykum salaam warahmatulah wabaraqatuu shukraan jazzakah Allahu kheir ma sheikh wetu wote kwa kazi zenu njema barakallahu fikum

  • @mayaaljabry2794
    @mayaaljabry2794 3 роки тому +1

    ما شاء الله تبارك الرحن كلام حكيم
    بارك الله فيك يا شيخ🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸الله يعطيكم العافية 🤲🏻اللهم امين يا رب العالمين

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 3 роки тому +5

    Asante sana mashehe wangu nimepata faida kipindi mazbut Allah awabarik

  • @ashasudi8802
    @ashasudi8802 3 роки тому +8

    Masaalkheir sheikh,je itafaa nikisoma hii suratul mulk kwa kuombea familia yangu.

  • @hajatihajati5357
    @hajatihajati5357 3 роки тому

    Mashaa Allah nimeiota kaburi la mutu me MSWW Nikili onyeshwa liko katika ya koridor ya nyumba 2

  • @saluminkigaile6878
    @saluminkigaile6878 3 роки тому +3

    Mashallaha shekhe Mimi naota nazama kwenye maji

  • @abeidmohammad7773
    @abeidmohammad7773 3 роки тому +3

    Asalam alkum mimi jinalangu alhabibi sheikh karama Mimi nimeota niko baharini ufuoni karibu namanyumba yako ufuoni kisha nime vishwa dhahabu mkufu mkufu wenyewe umefanana kama wameya lakini aliye nivisha simjuwi sheikh karama manake nini iyo ndoto bismilaa ya sheikh karama

  • @aminanuru6526
    @aminanuru6526 3 роки тому +1

    MaSha Allah ,Mimi Mama ke Twaha Alhamdulillah nimefurahi kwa kufatiliziya mauitha na tiba zenu

  • @binothman9284
    @binothman9284 3 роки тому

    Assalam alaykum shukran jazaka llahu khayra ila mm nauliza kuhusu ndoto hii kuna mmoja wetu Muislam aliota anataka kuvishwa salaba kubwa kuliko tunayo yaona na jitu kubwa ila kwauwezo wake Allah alisoma ayatul qursiyu Allah akajaalia hakuweza kuvishwa salaba hilo ilipokua akisoma alikua akimuonyeshea kidole lile jitu baada ya hapo yule mwenye kusoma akabanwa kidole na lile jitu Allah akamchitua kutoka usingizini

  • @ahmedabud7111
    @ahmedabud7111 3 роки тому

    Assalam aleikum sheikh karama,niko mombasa kenya....juzi nlioata ndoto Inaonesha mnyama twiga...na pili nliona kwenye ndoto hio hio ngurue mwitu wa wili wanapigana sanaa.naomba unifasirie inshaa allah.shukran

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +3

    Mashaa allah tabarakallah

  • @sophiakimaro183
    @sophiakimaro183 Рік тому

    Asalaam aleykum naulizia ukiota ndoto ya farasi wawili wenye mabawa msaada tafadhali

  • @ramlabakari7750
    @ramlabakari7750 3 роки тому +2

    بارك الله فيك يا شيخ

  • @nasirshekhi6070
    @nasirshekhi6070 3 роки тому +1

    Jazzakka Allahu khyern 🤲

  • @zulficarbacarsuale6877
    @zulficarbacarsuale6877 2 роки тому

    Asalamu alaykum warahama tullah wabarakatuh, mashallah

  • @aklanhassan2917
    @aklanhassan2917 3 роки тому +2

    Mtangazaji jitahidi kuwa na haiba ya utangazaji. Muachie nafasi mgeni aongee kwa nafasi, Kumfatiliza maneno au kumdakiza sio katika tabia za utangazaji.

  • @purumukamango5013
    @purumukamango5013 3 роки тому

    Shekhe Mimi nimeota nikodukani Kisha nikamuota binti, upande wapili nikawaona wazazi wangu wote wawili nipe manayake shekh

  • @aminanuru6526
    @aminanuru6526 3 роки тому +1

    Aza wa Jallah awape swiha na umri wa taquwa katika makazi yenu Ameen

  • @aishaarusha894
    @aishaarusha894 3 роки тому

    Wajaalna layla libasa

  • @saumuyahaya8789
    @saumuyahaya8789 3 роки тому

    Asalamu alaykum warahama tullah wabarakatuh

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 роки тому

    Mashallah kwa mafundosho mazuli

  • @khadijahsaid1462
    @khadijahsaid1462 3 роки тому +1

    Mashallah

  • @fatomhalogandy4045
    @fatomhalogandy4045 3 роки тому +1

    Asalam alaikum warahmatulai wabarakatu sheik.

  • @timamule3610
    @timamule3610 3 роки тому +2

    Sheikh karama mbona atukupati whatsap

  • @jumakonde4330
    @jumakonde4330 3 роки тому +1

    Asalam alaikum shekh mko Mombasa upade gani

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому +1

    Ndio Zaman nilikuwa napenda kulala chal nilikuwa napataga shida sana mama akasema usilale chal vibaya nilikuwa nakabwa wee acha tu

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 3 роки тому

    Amiina yaarabbi

  • @najmahnnn1305
    @najmahnnn1305 3 роки тому +1

    Sheikh yusufu aliniambia niche Che maziwa niweke asali na mafuta Yamaji. Alafu nisomee sura hizi mbili kuliadubirabifalaki na kjliaudubirabinasi Mara sabini na moja.

    • @najmahnnn1305
      @najmahnnn1305 3 роки тому +1

      Namaajabu niliona majini wengi hata nilishidwa kuwahesabu sahii alhamdhulillah siwaonitena.

  • @jamillahmussa3775
    @jamillahmussa3775 3 роки тому

    A Salaam Allaykum, ukiota umemuona nyoka ananyonyesha vitoto vyake viwili na unaitwa wenzako waone???

  • @khadijahsaid1462
    @khadijahsaid1462 3 роки тому

    Darasa la leo tamu Mashallah

  • @seminiabdullah1853
    @seminiabdullah1853 3 роки тому +1

    Muongozo wa swala ya istihara

  • @nurhussein3098
    @nurhussein3098 3 роки тому +1

    Asalam aleykm ,shekh nn maana ya ndoto hii ya kunyweshwa maziwa.

  • @mamamuu8217
    @mamamuu8217 3 роки тому +1

    Unakera mtangazaji kudakia maneno ya mgeni sio taratibu wa utangazaji,huoni wenzako wanavowapa nafasi wageni wao?

  • @uthmanihimbawe5244
    @uthmanihimbawe5244 3 роки тому +1

    As/alykm shekh mtu akiota ndoto ananyeshewa na mvua,inamaaana gani?

  • @saumuyahaya8789
    @saumuyahaya8789 3 роки тому

    Shekhe mm naota lkn nikiamka asubuhi sikumbuki nimeota nn lkn najijuwa nimeota tatizo yaani sinahata kumbukumbu nimeota nn nn maana yake

  • @rosejaffar7680
    @rosejaffar7680 3 роки тому

    👍

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому

    Salumin kuota unazan sio nzur iyo ndoto

  • @modestasila2725
    @modestasila2725 3 роки тому

    Jamani Mimi nimeolewa ila naota ndoto ya kuchumbiwa tena pia naota ndoto za kuwauwa nyoka ambao ni vipande vingi maana yake nn

  • @shariffkareem8045
    @shariffkareem8045 Рік тому

    mbona mada usika amuidhu ngumdhi stoli nyingi sana

  • @aymanashraf1375
    @aymanashraf1375 3 роки тому

    Shekhe ukiota mana unakufa uku ukitaja shaada ina maana gani

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому

    Ndio Ata mama Alikuwa anasema kulala vizur kusal kwanza

  • @hatamimnimempendabulejaman1596
    @hatamimnimempendabulejaman1596 3 роки тому

    Nilivyoacha kulala chal zile ndoto zikawa hazij

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 роки тому +1

    Siri zenu zipi???