DIAMOND kawashika pabaya wanaijeria na KOMASAVA,kawazidi wote mpaka sasa hawana international Hit..
Вставка
- Опубліковано 4 чер 2024
- Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz - Розваги
Tunahitaji international album kutoka Kwa simba
Hawez kuandaa album kwa mziki wake wa ujanjaujanja
Apo sasa
Huku Mozambique mimi chabiki number 1 wa diamond platnumz wa muda wote🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yani nakukubali sana diamond ❤
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Aaaaahaaaaa diamond sio wa kawaidaaa..
Huyo ndo simbaaaa dagote ❤❤❤🎉🎉
Uku kwetu Congo tunaitaji album kutaka kwa haujue
Wcb wasafi tujuane apooh ndugu zanguni 🙏😍😍😍😍
Middle simba cd4music wp
Daaah adi sioni vizuri uyu diamond platnumz ninoma babaweeeeeeee simba❤
Dangote big up🎙️
Comasvaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
Wewe unae msema vibaya diamondi nishoga au nikuma kwanza unapo lisema jina la damondi inakupasa uwe naakili yakutosha napia uwe na leseni yakutosha,
mond ni moto wa kuotea mbali🎉❤
Simbaaaaaa
Attention sana hii 🔥🔥🔥🔥🔥 Excellent
Very nice,from Mozambique, nimeipenda iyo,❤
Anajuwa sn
Iyo ngoma inajuikana kweli, na inapendwa❤. Moçambique, wengui tunampenda DIAMOND PLATNUMZ.
Mungu azidi kummbariki
🦁 weeeee 🧟♀️ HAUJUI💨💨💨☄️☄️☄️☄️☄️⏰
Mondi kaza baba ututowe aibu , mana wanageria wanajiona kama wamungu wamiziki wa Africa
Ngoma imetulia ata ukiplay kwenye pkpk
Hili dude ukimaliza saa nzima mtandaoni na usilisikie labda uzime data😂😂
😂😂😂😂😂😂
@@MoneyKey247-fk4oy Linatembea siyo mchezo
Ogopaa😂😂😂
Simbaaaa❤❤❤
Simba kama Simba
middle simba cd4music wp
Hata Mmakonde na Disconnect amekalishwa
🎉🎉🎉🎉🎉
Huu mwaka tukose Grammy .... weeeeeh
Wambie waelewe mond at all is on fire
Hatari🔥🔥🔥🔥
simba wewe ni li simba waka nyage kanyaga kanyaga wa kanyage kweli koma sava dunia
simbaa the goat forever❤🎉
Mukumbushe harmonize level zake ni IBRA
😂😂😂😂😂😂
Simɓa la masimba
On fire 🔥 diamond 💎 platinum
Yani middle simbaaaa unanikoshaga sana ukimzugumzia diamond platnumz simbaaaaa 😂😂😂
Simbaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Watanzania muwe nahacha kujichanganya wenzake awana kazi mpya je mtawalinganisha aje je wakishatowa atawafikia Diamond ni mtoto sana
www unaenda mindi ni mchawincio bure
Ni kweli diamond anafanya vizuri. Ila Bado kukimbiza kuawa zidi hao wote .unadanganya hao uliowataja hawaja toa Bado Kaz mpya . nakazi zao za nyuma zime kanya vizuri sana, comasava ina hitaji muda Bado wakufanya vizuri zaidi kuwa kama city boy, unavailable, hizo zote Spotify zina zaid ya million 100, comasava haijafika hata million 5. Usidanganye, wanahabari wa bongo munaendekeza uchawa nasio fact, Yani wengi ni udaku udaku,
Munazingua kiukweli.
Diamond nimsanii mkali sana na atafikatu level za kiduni ila Bado kunakazi ya kufanya.
Simba 👍
Mond hakunawakumueza kimusic yan Burundi tunamuheshim sana❤❤❤
simbaaaaa
❤
Wezombi haujui Simba wamasimba dangote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 zombie❤❤❤
Diamonde pratinamz is the king of African
🔥🔥🔥🔥🔥
Oya mziki mguma baba saii emapia tu but utabadilika uwone watu wanavyo pata tabu tena😂!...
🔥🔥🔥💐💐💐💐
clap hand for him❤
Ile disconect ya wa makonde, kkkkk
Haujuiiiii 🔥🙌🏆
❤❤
Huy asilinganishwe na mtu yyt hap tz
Nakukubali fara simba together as one
Ataree
Nyie jidanganyen TU lakin BET au Grammy mtasubil xana Niko pale Kwa nyimbo gan comasava ndo ufananixhe na hao wapopo
Sisi haoo
💯💥💯
🙌🙌🙌
Middle simba ivi ulikuwaga wap sku zote izo ulikuwa kimya sana
Kuna watu wata bisha ila ni ukweli wa nigeria wamesha poa ni muda wetu sasa 🎉🎉🎉
Nice one.
simbaaaa🎉🎉🎉🎉
Huyu simba anafaa kutengenezewa sanamu lake
Amewapiga kimoja cha moto😁
𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚𝐚 𝐤𝐨𝐦𝐚𝐬𝐚𝐯𝐚 𝐢𝐧 𝐦𝐨𝐳𝐚𝐦𝐛𝐢𝐪𝐮𝐞.
Mseng unakubali sana diamond
ilo jini 🔥
Naona cris na davido wanataka kulizma komasava
Diamond platnumz 🎉🎉 namkubali sana toka dogo janja salute
Wewe pambana, waache hawo wasio jiamini nakuwaokopa wa Nigeria , mwanaume kujiamini na asie penda kushindana basi huyo hawezi kuwa mshindi
Mnaota bro
Jitaidi kuona pande zote
kaka mond yupo vizuri kwa hit songs lakini hao wote kipaji ambaye anacho ni wizkid maana wizkid anajua sana Amna kinacho mshinda
Yoo
♥️♥️♥️♥️♥️
Mond 🇹🇿
We zombie
Hayo maneo umeongea wew shabiki yake
Unyama🚴🏽🚴🏽🚴🏽😊
🔥🔥🔥🔥💣💣💣💣💣🛫
Ngoma gan jaman iyo
Ukiona ivyo ujue s2kis awamkamat maprodiser inamaanisha anazid kupenya tusimsifu tu mondi japo mondi n noma noma na nzima
mwaka wa2024 watamutambuwa kwamba yy nn
Musoma na wenzake mnasikia takuimu hiyo
Burna? Bro😂
Elewa alichosema middle Simba, yaani kwa mwaka huu Hakuna Hit song Nigeria kuizidi commasava ki international
Kwan bonge yupo wap number moja kuvuta bangi😆😆😆😆
😂😂😂😂 yaani umeunganisha wote
Chawalization forever
Mashabiki wa kistuli wanaumia sana Middle Simba sijui unaljua Hilo et mtoto aliefundshwa kupenga kamasi sahv anataka ashndane na baba yake, ndo mana alialikwa siku ya album uchwara mliman City Simba hakwenda hafu manager wa kistuli analalamika et Diamond ana roho mbaya, mwaka huu hakuna kupeana kiki Kila mtu atembelee upepo wake, hivi hyo album imefka nchi Gani mashabiki wa kistuli mnakarbshwa kwa majibu
Mm ananiuzi nyimbo kali video haitoi Aaagh😩
Yes anachelewa sana
Wezombie haujui
WEWE HAUNA AKILI DAIMOND FOLLOWS WAKE NI WA KKKKK
NAKUTUMIYA MA EX MA WWNA WAKE BURNA BOY , DAVIDO, WASZIKI WA NA MUZICI WANAJAZA TURN ARENA WEWE UTABAKIYA PUMBAFUUUU😂😂😂😂
Huyu middle simba ni chawa promax wa baba levo bila shaka 🙄
Tatizo ni shirikisho siange Fanya pekeake tukaona ubingwa wake mondi
Munauwa wasani
Huko wakati hana uwezo waule mutu unasema
Unamtaja geant mtu ana matunzo kibao 😁 et hit song!!muhim tunzo na arena sio ngoma kupigwa ulaya maan itapiwa leo na kesho itasahaulika je tunzo
Diamond unamaanisha kwamba hana awards au what are you talking bruh diamond have three but they have one each
Wewe ni chawa wa mondi tunajua hilo
Cyo dhambi
Wew kawe chawa wa naijeria