Ukiachana tu na kuimba, Diamond Platnumz pia ni bonge moja la Director 💯 Pengine hii ni sababu way way back alikua Photographer? Labda ilimsaidia, kwasababu Videos anazoshiriki kabla hata ya kuanza kushoot tayari Kichwani anajua itaanzaje/itaishaje, location, mavazi, washiriki nk. Tazama BTS zote tangu anaanza Music, utakubaliana namimi.
Ni P square alivyo shoot nao video ya kidogo ndio aliweza kujionea jinsi wanavyo kuwa active kutoa nawazo ama msaada wowote kwa director na wahusika wa video, kuanzia hapo kapata exposure kwamba msanii nae inabidi awe kama msaidizi na mtoa mawazo kwenye kutengeneza video, sio kufata tu maelekezo ya director na crew yake,
Yan daimond ni mtu powa Sana Yan ndomana namkubali Sana Yan,, Daimond anaupendo Sana na anafaa Sana kuwa dairectar Yan,,Yan nikimwangalia daimond ufanyaji Kaz zake Yan kama mim yan
Ila kiukweli huu ndio muda wakuwashika vijana wako wa bongo fleva nje ya WCB. Hakika unapiga penyewe dingi. Sijui iyo na Darasa itakua balaa gani! Respect kwako mzee wa kazi
Nimechelewa ila acha nicommenti tu,,, melody is such a humbled guy,,,, Simba endelea na moyo huo unayo, Mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤❤,,,love all the way from Kenya
Congratulations Bro, Simba lenye Almasi inayoitwa Diamond Plutnumz nilikuwa sijawahi kucheki behind the scene zako ila leo nimegundua kitu kikubwa sana upo makini sn na focus ya hali y juu sn over 100%. Keep good music alive bro.👊👊👊
Naona mheshimiwa Tale yuko site ubunge bungeni namkubali sana mzee wangu maua mengi kwake amepambania kombe hadi leo heshima kubwa kwake🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Wacha jay akam juu,he was struggling with music industry a time he opt to stop ,but God time is best here he is#dogo huyu ametoka mbali I used to listen to his song before atoke ,big up jay,once again
Ukiachana tu na kuimba, Diamond Platnumz pia ni bonge moja la Director 💯
Pengine hii ni sababu way way back alikua Photographer? Labda ilimsaidia, kwasababu Videos anazoshiriki kabla hata ya kuanza kushoot tayari Kichwani anajua itaanzaje/itaishaje, location, mavazi, washiriki nk.
Tazama BTS zote tangu anaanza Music, utakubaliana namimi.
Ni P square alivyo shoot nao video ya kidogo ndio aliweza kujionea jinsi wanavyo kuwa active kutoa nawazo ama msaada wowote kwa director na wahusika wa video, kuanzia hapo kapata exposure kwamba msanii nae inabidi awe kama msaidizi na mtoa mawazo kwenye kutengeneza video, sio kufata tu maelekezo ya director na crew yake,
Ndomana jamaa anafanikiwa,,Kiukweli mwamba anapambana sana,,Alafu love kwa wenzake ni kitini
We fala kweli eti kitini
Daaaaah nachukuliaga poa poa tunikiona ngoma imetoka kumbe ndy mnavyo sota daaaaah 😢😢😢 hongela lama simba dangote ❤❤❤❤❤
Diamond making melody shine . Wonderful mentor
Mondy is a wonderful mentor i like him so much
Singer,,dancer,,director in one😂,,,simba!,haujui,,,
Yan daimond ni mtu powa Sana Yan ndomana namkubali Sana Yan,, Daimond anaupendo Sana na anafaa Sana kuwa dairectar Yan,,Yan nikimwangalia daimond ufanyaji Kaz zake Yan kama mim yan
Mondi kama mondi hana kujikweza aisee .. mtu poa sanah
Ni haki yko kuwa hapo
Una nidhamu
This man is really blessed!
Simba ni director mzuri sana big up Mr brain simba
Hyi diamond ndio maana hifanikiwa kulingana na roho yake alafu jay anakua mtwe love u both hwre in kebya 🇰🇪aratibu sana na kuskikiza wenzake
Huyu naye njaa Tu wah please don't ever give a like to someone anaweka flag
Na omba mungu azidi kunitiy pumzi iyi nita replay 2030
We konde ??? Haujui m n simba la masimba dangote… maku nyie… simbaaaaaa❤❤❤❤❤… waambie wanipe like zang m nambari1
Watch it from Goma Rd Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️🇨🇩
Madako yako wewe kama unamkubali simba mkubali yeye konde lile jeshe babu😂😂😂
@@GodsonKiponda kundu linalo kunya uyege baada ya kukojolewa ww
@@GodsonKipondaJeshi sio Jeshe!! Rudi shule!!
Nimejikuta nakupend wallah😂❤❤
Queen always there behind the scenes. I love it
Watu wa diamond platinumz tujuane kwenye like jamani 🎉🎉kwaku
Diamond Platnumz kiwanjani kazini...alafu Harmonize anataka apewe chakula mezani😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇹🇿
Thank you jaymelody for making kenya proud
For making Kenya proud how😂😂😂 ... Au nd mnataka kusema wakwenu
Keep dreaming Envious Kenyans 😂😉🇹🇿💪.Stop ignoring your artists and start claiming our artists
Jaymelody siyo mkenya braza ni mtanzania
ترجمة عربي
ua-cam.com/users/shortshTRq7FFkVzI?si=G9iQ0ZoQ3ICUZ5jc
Aliegundua hap platform alixhutia wimbo na marioo ..gonga like
Nakubali sana mwamba simba,na dakitari bingwa wa mapenzi mwite JAY MELODY
Mondi yuko makini sana na kazi yake👏👏
J melody bonge la boshoo
We mnyama una kitu ndani yako aseee 🎉🎉🎉🎉 wachache sana mtu kama wewe
Mond anapenda wenzake sana unaona ni jinsi gani anavyo mpendezesha melody
Aweeeee Mapozi ndio habari ya mjini
Diamond platnumz much love❤ from Kenya good job guys like back
Sisi mashabiki tuna chukuliya powa, kumbe ni kazi ngumu hivo💪💪💪
Simba nakubali Bro wewe ni director mziri sana Ivan pia kafanya safi meeeen
Diamond anajali sana 🙌🙌
Ila kiukweli huu ndio muda wakuwashika vijana wako wa bongo fleva nje ya WCB. Hakika unapiga penyewe dingi. Sijui iyo na Darasa itakua balaa gani! Respect kwako mzee wa kazi
Simba alisema hatawai funikwa kimziki na ni kweli ❤️🔥🔥🔥🔥ngoma ulipo ni kali
Mondi hajawai kufeli
Alisema wapi😂😂
Kweli kabisa
Dats y I love Diamond..... He's a good musician bro..... Look at the care man
Simba anaupendo bana...shine forever ...😊😊
I love this guy. He’s the best you’re the best songs🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Diamond Platnuum #Diamond Platnuum anafatilia kila nucta inayoshotiwa.duh hongera bro unapenda kazi nzuri na sio nzur kazi 🤜🤛
Moto saana
NAOMBA LIKES ZA JAY MELODY WOW
Nani aliona d voice mahali
Mondy on fire 🔥
Mond anavopambana kupata kitu kizuriiiiiiii dah
Shooting kwa kweli ni kazi ngumu sana, imagine ktk nyimbo hiyo ni part ya 10seconds tu! Hapa ni dk 12 na bado
Nimechelewa ila acha nicommenti tu,,, melody is such a humbled guy,,,, Simba endelea na moyo huo unayo, Mungu akubariki ❤❤❤❤❤❤❤,,,love all the way from Kenya
yaani jay is sooohumble i love it
Platnumz kajalii sana poz za melody
Nakubali kazi yako mond mungu azidi kkubless man
Love listening to your music Sir.
Amazing and awesome on your creativity music videos.
Watching from the Fiji Islands 🇫🇯🇫🇯🇫🇯.
Much love
God bless
jay melody he's just a cool guy..i like his personallity
Sasahivi kushindana na Diamond ni kupoteza muda na pesa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Umegonga ndipo❤
UKWELI MTUPU 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kabisa yn katisha sana❤❤❤
Congratulations Bro, Simba lenye Almasi inayoitwa Diamond Plutnumz nilikuwa sijawahi kucheki behind the scene zako ila leo nimegundua kitu kikubwa sana upo makini sn na focus ya hali y juu sn over 100%. Keep good music alive bro.👊👊👊
Onesmo asimamishwe kazi kwa mda maan yup yup kam sio security vle
Queen darling yupo kimya sana wasafi
Khaii surely
Kweli kabisa
Kali sana Kaká nasimbu
Simba mama simba dangote nc sana boss❤❤❤😂😂😂
Wasanii
Iango
simba Diamond PLATUNAMZ God bless you ❤
D voice ,ako shule , learning slowly by slowly,the mean of being patient,in diamond part of music journey
I do like kuna vile ana take care watu MashaAllah Simba Allah akupe afya njema❤
Simba is also a director, daah!!!😂 mze wa kazi
Ivi niulise kwanini queen darling halichaga miziki ❤❤ na ilo sauti lake lakutoa Nyoka pangoni namuona tu yeye ❤❤❤
Ama kweli Diamond roho yake safi sana kwa J melody jinsi anavyo jituma ili Jay ang'aree
Bl Mimi nakupenda saaaana ndagufana flm❤❤
Nice work brother KAZI nzuri
Asee nimeipendaa jomoniii🤗🥰🥰
Diamond is a serious businessman
Jay melody amepiga luku wakiwa na rafiki yake dangote 😙😗😗😗😗
Naona mheshimiwa Tale yuko site ubunge bungeni namkubali sana mzee wangu maua mengi kwake amepambania kombe hadi leo heshima kubwa kwake🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Jay so cute 🥰
You want him?
@@westcijosh even if I want him I can't get him,I love him
I appreciate you nasibu the way unamtengeneza jay love u so much my uncle
Boss wangu diamond natamani sikumoj nam unisaini wcb naipend Lebo pia nawasan wot wa wcb wasaf❤❤❤❤
Yan Daimond halipui kazi Yan anajua Sana mambo mengi,,kwer Daimond ni kichwa Sana am so proud of him ,, Daimond wng
Toka mbagala nilijuwa tu huyu msela ana nyota,nafarijika sana nikiona anatoboa tu freshi
Simba 🦁 mkali, bingwa wa afrika 🎉🎉
Naza 🦁 SIMBA naziomba familia
Daah kumbe ku shirt kazi ila video ilitoka nzuri sana Jay melody alitisha sana
Thank you diamond for representing kenya
I real love j melody.. he is soo humble❤
diamond nakubali sana unasimamia kazi yako wewe mwenyewe
Hahahh daah ila SIMBAA bhn HATIMAYE GOMA LINASUMBUA KILA KONAA NI MAPOZ2
Amo te daimond voçê é incrível força aí no teu trabalho
All dangote and entire wasafi family fans🎉🎉let's gather here and enjoy ourselves 🎉🎉 wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
So what's the Kenya flag for stop that shiit ati juu unataka likes nonsense
❤❤❤❤❤❤😂 mitsutsuma comedy
Wakenya wote naomba nipate Like zenu kisha tukasikilize Simulizi😊😊😊😊
Sawa simba Ni moto👑👑👑👑👑
Mziki sio kukunywa maji😅❤🎉
Mapema sana leo
Kumbe diamond ana roho nzuri tu jamn😢😊
Sielewi wanasema nini ama n vile mimi n mkenya nmeirudia hii video sana
Napenda hii wimbo sana❤❤❤❤❤
Ila diamond ww mtu wa tofauti sana sijawahi ona na sidhan
Dat Y ❤ SIMBA being responsible for his work.
Baba tee umempamba sana Mr blu
First from east AFRICA to comments
Gather her !!
We chibu we bag we back umetisha kwa moja mojas
ama kwl shoot ni soo kbx ukion kitu kimetoka kwl juuwa kimewapelek mdaa❤❤❤🎉🎉
Wacha jay akam juu,he was struggling with music industry a time he opt to stop ,but God time is best here he is#dogo huyu ametoka mbali I used to listen to his song before atoke ,big up jay,once again
Diamond platnumz much love❤ from Rwanda good
Kwa kweli wasafi is a family, yani shoot lakini kila mtu apo adi mama Dangote, Queen Darleen , D'voice 😅😅😅
Mbona diamond anashinda akishika kofia ya jay melody😊😊
A partir de Moçambique, grande talentoso, eu gosto as músicas dele❤❤❤
🎉😊twakukubali Simba, Zainab hapa from 🇰🇪 aaaha uko juu watching nikiwa Riyadh Saudi Arabia
Nipeni like zangu #Wcbwasafi #mapoz #diamondplatnumz big fan from 🇧🇮
Diamond platnumz komasava 🎉
JAY Kachokaaa 😂😂😂😂😂
That's Love 💕💕💕💕 yani anatakiziya😅😅😅