Rayvanny - YAYA Ft Diamond Platnumz & Jux (Official Audio)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Get YAYA Now on all Music Platforms.
Link: smartklix.com/...
Follow Rayvanny On:
Twitter : / rayvanny
Instagram : / rayvanny
Snapchat: Rayvanny chui
Tiktok: Rayvanny_chui
For Bookings:
Email: rayvannymanagement@gmail.com
#rayvanny #diamondplatnumz #jux #yaya #music
Copyright ©2023 Next level Music. All rights reserved.
*We Zombie, haujui...Ni Simba la Masimba Dangote😂. That Intro did it for me🇰🇪🔥💥🙌*
Rrrrraaaah!! 🦁 Haujui!!??
Nyie watu watatu jaman ni bonge moja la balaaa sina Deni na nyie mjue 🙌🙌🙌🙌
Xhxj fnzjzhc
Amapiano, Bongoflava, Taarab, Naija beat and Kihindi kwa ngoma moja aiseee hili ni bonge la ngoma kweli💪
ua-cam.com/users/shortsA8Yyye5wzAA?feature=share
😂😂😂
Konde gang stop your mouthing no one hates you...see how lion simba vampire zombie himself dropping hits with vannyboy chuiiiiiii and big man Jux🔥🔥🔥🔥more fireee
haujuii.. ni simba na masimba dangooteee
Nzhhs
Hii nampa Chui💯
Nampa Simba💯
Nampa Jux💯
Pongezi sana wasanii wetu wa East Africa 🇰🇪 🇹🇿 🇺🇬 🇧🇮 🇸🇴 🇳🇬 🇿🇼 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
moto kama pasi, much love from Kenya 🇰🇪,Simba 🦁 never disappoints 🔥🔥🔥
Who sees that #diamond is the most talented musician in Africa , say hi to me .
Love from Russia st Petersburg Russia naupenda this song
Hi
Noma
Sikuzote combo ya @Diamond platnumz na @Vannyboy hawajawahi kukoseaa the combo always ni a threat🔥🔥🔥
Ayseeeeee kuna ngoma alaf kuna ngoma zaid hii ni zaid ya fire💥💥💥💥💥💥💥
Naliaga sana nikisikia mtu from nowhere anawaongea vibaya Yani Navimbaga hatari Jux x ray x simba nawakubali sana from birth until death ukizingatia Mungu ndousifike huk maan nampend hatari❤
ua-cam.com/users/shortsA8Yyye5wzAA?feature=share
Jaman hiii ngoma kama na harmonaz angekuwemo ase bas tu 🎉🎉 noma sana
Nyie ndo mnaofanya muziki wetu ufike mbali nakubali sana 🎉
Jux 🎉 diamond🎉 vanny🎉
Rayvanny and Diamond mtatuuwa aky, the way of music is going is so good,congra all🎉🎉❤🎉
Wakitembea nchale wakisimama nchale wakilala nchale we wee🔥🔥🔥
Nchale every where 🔥🔥🔥🔥🥰
They're back Simbaaa🦁 and Chuiiii 🐅 together with Juma Jux themselves big love ❤ 🇰🇪🇰🇪
Sema themselvu buana😂usitubuage😂😂
@@adilmohamed1784 am not Tanzanian who said "themselfu" 🤣🤣,write your own comment please 🥺,39 likes no one has corrected me then who re you 🙄🙄!nonsense 😏😤
ua-cam.com/users/shortsA8Yyye5wzAA?feature=share
Love from Mozambique 🇲🇿 mkoa Cabo Delgado mjini Pemba Cariaco ☝️🔥🔥🔥🔥
Like zangu jamani Tafadhali
Hii nyimbo nzuri. Naikubali 🇰🇪
Kwakweli wametisha sana nimeipenda hiyo❤❤🎉🎉🎉🎉❤
Dzaddy.... Diamond always kills it. Love love from Kenya...
Can't wait to get to club and hear the songs... 1.Enjoy.. 2.Yaya 3.Sisi... then the rest from the rest
Nmekuwa wakwanza you're amazing guy live from kenya 🇰🇪 wakenya gongeni like hapa maze
Oya wee broo Simba D nimoto kimona ebu ludia mistali yake ❤ afu wanasema broo anaiba naija oya we atapigwa mtu chuma
Nyimboo zenyew mipashoo tuu daaa bora wasani walopita nyuma ngoma zao zinaiti kina afande sele na wengine
We zombie 😅😅 chuii noma sana ngoma kali sana
U cant pause or stop
Inabidi tu uwoch mpaka mwisho, Big up manze Hii Trio ime mash it up
Oya jameni hapo kwa "asuuuumaaaaanii " na kwa "I I'm a disco dancer " kumenimaliza 🔥 kwanikumbusha mbali 😂 tuambiane ukweli hii combination ya Hawa wafalme wa bongo Rayvanny na diamond Huwa zinahit kawaida kutoka zama za kitambo 🔥 jux naye ni mnoma 👏🔥🔥 #badman na #chui #simba is lit 🔥🥵
Viewer number 1. Hii ni kali Likes za Jux Zikuje hapa.
Rayvan na simba na jux wamekiwasha all the way international 🎉
Mond anauwa kwenye vipande vyake hatariiiiiiiii🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hapo ni CHUI, AFRICAN BOY na YAYA SIMBAAA 🔥🔥🔥🔥 🔥🔥
Jux nailed it pia na rayvanny na diamond
'kama umechoka tuachie sisi tumle hadi mifupa sisi ndio mafisi" This verse is killing it i keep rewinding it
Hiii nayo imeweza kuliko zote❤❤ more love for Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇹🇿
Real simba diamond platnumz 🔥🔥
Verse ya simba ni 🔥🔥
We Zombie
Ongeza tena zikiisha zikisha
Mwaga tano tano zidisha zidisha
Bebe ikijipitisha pitisha ucku mboga naichumisha chumisha
Eeeeh wanajiita wa mjini wakati bebe zao tunazila chini chin
Mabishow bling bling kazi kulamba lips kitandani no engine
8:37 Ladies " simba we want that thing
long that thing
Shoka mpini"
Waambie siye mbwa na wao paka
Wajifunze zungumza kwa mipaka
Demu wake akifosi washa napa
Shobo zake mwenyewe kaitaka
Weweeee
Kama umemchoka tuachie sisi nasemaje
tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi
Weweee
tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi
Kama umemchoka tuachie sisi Asumaniii
tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi
Sawa nimeachika ila naburudika sipangiwi na mbwa yeyote pesa inatumika
nimeachika naburudika sipangiwi na paka yeyote pombe zinamwagika weweeeeeeee
I AM A DISCO DANCER ×.................
Chombo Kwa hewa ,na wakali wa amapiano🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jux for me❤❤kama hupo for jux nipe likes yako❤❤🔥🔥🔥
mnamsahau aje jux one love from kenya💥
Zombie, S2k!zzy.. nailed the beat! 💪
Jux changes from wakishua to mtotoo wakiswahilii nomaa saana 😅🔥...it's another banger🔥🔥
The UNEXPECTED combination 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍
My self nipo kinywa wazii siamini nianachokiona
The outfits Rayvanny & Diamond like Cartoon's 🔥🔥♥️🇺🇲🇺🇲
😂😂😂
Kweli mambo yameiva kama ndo ivi Sina swali😂🙌🙌🙌
#yaya√√√👏👏👏
Diamond you're dangerous 💥💥💥💥 you kills this beat verse is so harmful
ua-cam.com/video/JzPICNwXOeU/v-deo.html
V.Vanybowy kama yeye tuh support to you X WCB🎉🎉🎉🔥☄⛽
This the best song collaboration ever it's on repeat every time in the house. Our neighbour is complain .niwajisot
Kwanza ngoma iko poa inaburudisha na inachezeka, pili hio collabo nimeikubali saana ❤❤
Kama umechoka tuachieeee bwanaaa athumaniiiiiii….nimeachika ila naburudikaaaaa🎉
Kama tamu ramba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😜😜😜❤️❤️❤️💯💯💯💯💯
Ila pesa ya pombe na sheesha sikosi
Simba we love & Rayvanny. Bad mna jux
Kudadeki mlichokifanya nikitu kikubwa na kila mtu amekaaa bonge moja la ngoma Hongereni sana mabrother🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
two Young talent of the Tanzania. Any time they bring new stand you guys It’s amazing 💪🏽🔥✌🏾🙏🏽💯🥰🥰
Three actually rayvany jux and diamond
Naombeni like moja kwa rayvanny
Nice song yule mdada mweusi mwenye pink.nywele na yellow top lazima umnotice kwenye nyimbo like akiwa anafanya vixen anaonekana kuenjoy the song Huwa na muona kwenye nyimbo alot like anakuwa na vibe and just enjoying
Am speechless to the guy… Diamond Platnumz.. is a Gifted stff from God
Diamond Platnum killing any beat so amazing this guy 🦁🦁🦁🙏🏼🙏🏼🙏🏼📢📢📢
Yeah
ua-cam.com/video/JzPICNwXOeU/v-deo.html
Hi combo ya diamond na jux ikiendelea hi itafika mbali🔥🔥🔥🔥
Wew zombi hajui 🙌
Huu wimbo Ni thibitisho Tosha kuwa Hawa wasanii watatu Ni mafisi tu ... Wenye Nia MBAYA juu uhusiano wa wawili wapendanao Wenye jinsia tofauti 🇰🇪🌍
Rayvanny is a good friend to Diamond keep it up to friendship
Aseeee mwaka huu kazi wanayo ngoma to ngoma 💥
From 🇲🇼 I don’t understand anything but this hit it’s giving already Christmas long drive trip 😊
Djallybi aka asumanii 🔥🔥🔥🔥🔥
Diamond kashindikana aisee!!! Mbona kama nyimbo yake sasa
Kaka nyie ndio wenye chi🗽🗽
Aliemchokoza Diamond akatubu Jaman sio kwa verse hizi sahizi 🤪
This song is on another level🔥🔥🔥 can't enough of it❤❤❤nipeni likes basi wabongo
Alieona kama #diamond platinum aliwah kupga mluuzi kabla ya mluuzi kupgwa like ziwe kwng 😅😅😅😅
Hili goma kweli kweli coz nawakela jiran kwa repeat 1
Haaaaa zvazvinhu,cant get over this song,shoutout to this dope tune,welldone Rayvanny na Diamond Platinumz,much love from a Zimbabwean in Channel Islands
Nilikuwa nawaza jux ataiingiaje hii beat... Kauwaaaa
Mdude mkali kinyama 💖
Simba with Chui they never disappoint 😢😮
Tz Kuna wanyama 😢😢 eti zombie chui Simba ndovu woooy nani paka
am from india my name miracle but leo nimetamka kuwa diamond ni diamond mtanzania no.1 kwenye muziki muhindi hawezi hata kunusa muziki wa nchi za kiafrika hey wewe
🔥🔥🔥🔥🔥Simbaah❤uyu jamaa ana kipaji natural , Big up broo umetisha, 😁ZOMBIE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dude moja kali sana hili I'm watching from 🇺🇸
I only listen to East African music! Can’t even begin to describe my love for it. Blessings from North Carolina. I love you three!!!
We love you very much
Much luv from Kenya 🇰🇪
Kazi safi wakuu❤❤, pokea salamu kutoka kenya
Baba umetisha goma kali
Wasafi wameungana tena🔥🔥🔥
Inaitwa back to back, enjoy bado haija fika wiki
Much love from NYC! I LOVE YOU DIAMOND 💎 ❤️
Bonge moja la hitsong jux kauwa vany ndo usiseme mondi tukae kimya allyb tumtenge asumaniiii😎😎😎🍻
Amapiano , rReggaeton, Taarabu(Arabic cum Swahili) have all reigned in TZ. I am Kenyan 🇰🇪
This triple (rayvanny, diamond platnumz and jux) are the most wanted because they kill in every beat
The last time I checked the right word was Trio. Anyway this trio is on fire🔥🔥🔥
ua-cam.com/video/JzPICNwXOeU/v-deo.html
@@directortats5468 goodluck
Mapiano WAS born in SOUTH AFRICA GROWN AND PRACTICED IN NIGERIA 🇳🇬 Loved and mastered in TANZANIA FOR GOOD MUSIC 🎼
Wow
And crafted further
All the best my friend nakubal sna juu ukiamua kuachia chuma hua hubaatsh
ua-cam.com/users/shortsA8Yyye5wzAA?feature=share
You forgot it was sold to Kenyans
Rayvanny rayvanny rayvanny,you always killin it💥
No mzae the killer is diamond simba dangote he flow well in his vases
ua-cam.com/users/shortsA8Yyye5wzAA?feature=share
ua-cam.com/video/JzPICNwXOeU/v-deo.html
Chuma hiki mzeee🏹🏹🙌🙌oeee chui simba na jux mtauwana bana😅😅😅kweli nakubali n trending paka duuh
Tuache unafki na uongo, ukweli usemwe hili Dubwana la kwenda 💯🔥💯🔥
ua-cam.com/users/shortsA8Yyye5wzAA?feature=share
et dubwana 😂😂😂
Jux’s voice and part🔥
Duh..Simba can Do Rap 😮 Duh Simba nomaa 🔥🔥Pia hii semeni Ka copy😂😂😂😂
Umesikia akirapu😅
Nmeamuaa kutupasuaa NGOMA ZA MASIKIO SAWAAA 🔥🔥🔥🔥🦁 ,,CHUI ,, BADMAN HATARIII
sanaaaaaa🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
Vanny sio mtu mzuri
SIMBA 🦁 from Rwanda Love this song❤
ua-cam.com/users/shortsA8Yyye5wzAA?feature=share
ua-cam.com/video/JzPICNwXOeU/v-deo.html
He is not called Diamond Platinumz for no reason- diamonds all the way to the bank!💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
Simba la Masimba Dangote
Hii nayo naikubali🔥🔥🔥👏🏽
Dahhh….patachimbika mjini hakuna cha kiba wala cha marinyoooo#mondi juxx wameua🔥🔥🔥🔥
Here in Chicago this song gonna be used as an anthem mm nd nimesema 💪