Utamuonea huruma MARIOO wimbo wake bado haujafikisha views milioni moja,sababu ni KOMASAVA ya DIAMON

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
    #middlesimba
    #WeAreEverywhere
    #diamomdplatnumz

КОМЕНТАРІ • 115

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 2 місяці тому +24

    Marioo tulimwambia Aache kabsa kujinadii kwamba ni msanii wa HIT .Sasa Akiendelea ivo basiii 🎉😮

  • @cylousjeremiah3768
    @cylousjeremiah3768 2 місяці тому +18

    Mario ameyatimba alikuwa ananusa upepo...huyo ni LUKUGA...tunampa Pole sana mtoto mdogo!!!😂😂😂

  • @Johnboyofficial410
    @Johnboyofficial410 2 місяці тому +17

    Mina kupendaa kwa habari zako. More love from Dr congo 🇨🇩🫡

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA 2 місяці тому +20

    Omary mdomo umemponza 😂😂😂😂😂

  • @chizashungu8364
    @chizashungu8364 2 місяці тому +10

    These are small small artists.......Diamond platnumz is on Top.

  • @shabanimara5449
    @shabanimara5449 2 місяці тому +16

    Wale wanaempenda Simba lukuga a.k.a. wakimataifa namlaiki

  • @albertonyangaresi1971
    @albertonyangaresi1971 2 місяці тому +8

    Marioo hakusoma Kwa harmonize l made it and mapoz 🤭🤭🤭

  • @ManchesterUnitedFansTv
    @ManchesterUnitedFansTv 2 місяці тому

    Marioo hamwezi SIMBA 🦁🦁

  • @ChrisMitindo-g3e
    @ChrisMitindo-g3e 2 місяці тому +10

    🙏chris mitindo from mlabani🙏gonga apo🔥

  • @FranciscoChandeChande
    @FranciscoChandeChande 2 місяці тому +7

    Komasava 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @flavourboyke
    @flavourboyke 2 місяці тому +23

    Unezakuta mario alidhani ata mchallenge simba sasa kikamkuta😂😂

  • @ShamanyekisimbaTravail
    @ShamanyekisimbaTravail 2 місяці тому +6

    Nakubali kaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @GodfreyAbias-xc2ld
    @GodfreyAbias-xc2ld 2 місяці тому

    Simba ni mmoja tu 🦁🦁🦁

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 2 місяці тому +2

    Middle Simba nakuelewaga sana ,karibu tule mawese

  • @SadockMbano
    @SadockMbano 2 місяці тому +15

    Toto bad kajimix

  • @Hamisi8465
    @Hamisi8465 2 місяці тому +15

    Kapigwa na balaa zito😂😂😂😂

  • @MagomaPato
    @MagomaPato 2 місяці тому +1

    Marioo aliamini uchawi wa Harmonize utamusaidia...Laana tupu😅😅😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 місяці тому +16

    Kila mbuzi na ale kwa urefu wa kamba yake

  • @salimbakunda250
    @salimbakunda250 2 місяці тому +4

    Dogo Mario bado sana Kwa lisimba

  • @sheilacruz6458
    @sheilacruz6458 2 місяці тому +46

    Marioo kaona harmonize anashindana na diamond akadhani na yeye pia ataweza mapigo lakini hapa kajichagaya aki

    • @Fantastic.-gm1eo
      @Fantastic.-gm1eo 2 місяці тому +1

      Harmonize kaweza?

    • @juniorog205
      @juniorog205 2 місяці тому +1

      @@Fantastic.-gm1eosana tena domo

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 місяці тому +1

      ​@@Fantastic.-gm1eokawsza nn

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 2 місяці тому +2

      Uwa wnadanganyana kuwa mondi kaixhia iyo ndosbida

    • @HASSANKAMGUNDA
      @HASSANKAMGUNDA 2 місяці тому +1

      ​@@Fantastic.-gm1eo show our evedence don't talk to much bro

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 2 місяці тому +9

    Komasava imeshinda albamu 4 za makonde chezea simba weye

  • @NoName-pp4lo
    @NoName-pp4lo 2 місяці тому +11

    Marioo akishikana na kistuli wanamchana mondi sasa wacha mwiba umuingie🤫

  • @AnordJaphet-y8x
    @AnordJaphet-y8x 2 місяці тому +6

    Lukuga simba la masimba dangote

  • @ramadhanihot1945
    @ramadhanihot1945 2 місяці тому +8

    TUPO BIZE NA COMASAVA YA DAIMOND PLATINUM ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Nasibu.kiboko.yawarembo
    @Nasibu.kiboko.yawarembo 2 місяці тому +17

    Yeye siamuombe simba msamaa t

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 2 місяці тому +1

      Kwani alimkosea nini? Mbona kama mnakuza vitu vya kijinga sana

    • @ASHAKHAMISMUSSA
      @ASHAKHAMISMUSSA 2 місяці тому +1

      Kwa kikubwa kipi 😮😮😮 kwani huyo mondi ndio Mungu 😮😮😮

    • @Nasibu.kiboko.yawarembo
      @Nasibu.kiboko.yawarembo 2 місяці тому

      @@ASHAKHAMISMUSSA inamana ww ujuwi hilo

  • @richlymo
    @richlymo 2 місяці тому

    Wewe ni mshambaa sana middle

  • @AishaKombo-n5f
    @AishaKombo-n5f 2 місяці тому +3

    Hakuna matata umefika hadi mwinyi huko znz lakin imeishia sandukuni pole sana marioo

  • @ramadhanihot1945
    @ramadhanihot1945 2 місяці тому +3

    MARIOO AJIELEWI ANAJIONA MKUWA WAKATI BADO SANA MARIOO ALIONA AKIFANYA KAZI NA HAMONARZ HATAPATA MAFANIKIO KUMBE NDIO ANAJIARIBIA MWENYEWE 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. TUPO BIZE NA COMASAVA YA DAIMOND PLATINUM ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AliMansourKhamis
    @AliMansourKhamis 2 місяці тому

    Simba kweli tindo

  • @LachoraledeQuébec
    @LachoraledeQuébec 2 місяці тому +2

    Imagine kuoga aaah ( Stive Mweusi) 😜😜😜tamtoa Maji Maji Majieee ( Lava Lava )😅😅

  • @dangoteSimon
    @dangoteSimon 2 місяці тому

    Dah mariooh

  • @ISSACCECYTIN
    @ISSACCECYTIN 2 місяці тому +1

    Kaka ume sema kweli, Mimi namkubali mondo na pia namkubali malio ila hapo kaji changanya MALIOO

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 місяці тому +4

    nampenda mtu anaepambana,kujitaidi. nakumpa nguvu,matumaini.

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 місяці тому +3

    Pole yakee baba amarah angesubuli kwanza 😢

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 2 місяці тому +1

    Komassava🔥🔥🔥🔥🔥

  • @odenmasebo9777
    @odenmasebo9777 2 місяці тому +7

    Huruma Sana

  • @PedroRachidekalamaga
    @PedroRachidekalamaga 2 місяці тому

    Simba from mozambique 🇲🇿

  • @JohnMars-dt5my
    @JohnMars-dt5my 2 місяці тому

    Marioo ashajiona mkubwa kumbe bado sana

  • @MichaelNjehia-o1s
    @MichaelNjehia-o1s 2 місяці тому +5

    No one leo

  • @WilliampauloestevaoNkudenga
    @WilliampauloestevaoNkudenga 2 місяці тому +12

    Nipe like zangu leo wa kwanza

  • @SaahoAmisi
    @SaahoAmisi 2 місяці тому +2

    Habari sana hanabahati tu

  • @DIEUDONNEMWAKAINNOCK
    @DIEUDONNEMWAKAINNOCK 2 місяці тому +4

    Ameyakoga maji ya batry 😂😂😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +1

    Amna kitu wasanii ni watatu waw wasafi tuu uyo anapoteza mda

  • @abdulhalimsuleiman6077
    @abdulhalimsuleiman6077 2 місяці тому +3

    Apo simba alivyokua na sifa umeua😅😅😅

  • @omarsalmin8405
    @omarsalmin8405 2 місяці тому

    Sio sabab KOMASAVAA bahn iyo ngoma yake ya kawaida sana tu haina ishuuu katoa audio kitambo tuu km kuhiti imehit ila vdeo kushoot kwny magar ya mizgo ita hit wp😅

  • @clementrobert-s5s
    @clementrobert-s5s 2 місяці тому

    😢😢😢simba nihatali sana

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 2 місяці тому

    Haaaaujuui 😂😂 ameeingia chachikeee weeeh

  • @Letticia-xp3sv
    @Letticia-xp3sv 2 місяці тому +1

    Keep it up

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 2 місяці тому +1

    Fun base ni tofauti kabisa, hata ukiwachanganya Ali Kiba, RayVan na Harmonize hawawezi kumfikia Diamond, Diamond ni mtu anayefikilia mbali sana, amegusa nchi zenye popolation kubwa, amini usiamini huu wimbo unaweza kufikisha more than 500m views

  • @quanthug9517
    @quanthug9517 2 місяці тому

    Hiyo Nyimbo inayo sikika background ,Niyanani Tafadhari

  • @kalistuschaula
    @kalistuschaula 2 місяці тому +2

    real

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 2 місяці тому

    Mm kama shabik nimegundua mondi anatoa album na commasava itakua ndan yake hawez acha ipite hiv hv

  • @BahatiLeboa
    @BahatiLeboa 2 місяці тому +1

    Harmonize kashondana na nguli kweli,kuhusu nini,kitugani,pesa,magari,manyumba,nininininini😂😂😂😂😂😂

  • @RamazaniMustafa
    @RamazaniMustafa 2 місяці тому +1

    Mario tuliza mzuka simba humuwezii pambana nawakina harmonize na wakina rayvany

  • @ellykaka2360
    @ellykaka2360 2 місяці тому

    Vinyimbo wataimba ila waah kumufikia..bado sana

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 місяці тому

    Kaeni kimya kuna timu ya vitenge itajichanganya pia tarehe nane, tutawakabia kwa juu. Simba hanyatiwi 😂

  • @tysontz3969
    @tysontz3969 2 місяці тому +2

    Alijichanganya dogo😊

  • @tyronemofekeng7152
    @tyronemofekeng7152 2 місяці тому

    Middle simba unazingua

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 місяці тому

    Ilimradi tunaipenda sana nyimbo ya mario haina shido

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 2 місяці тому +2

    Iyo era ya video angewapa omba omba

  • @KenedyGodwin
    @KenedyGodwin 2 місяці тому +2

    Mansour is too big you can't compare marihooooo pole

  • @saidsaban5030
    @saidsaban5030 2 місяці тому +2

    Hakuna matat best Mario tupo nawewe

  • @leonardyona1462
    @leonardyona1462 2 місяці тому

    Marioo tumemuacha apambane na Harmonize. Simba wapinzani wake ni abroad bro..

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 2 місяці тому

    Ngojanikayitizame nikayipushi mario naye namukubali

  • @EmmanuelSamweli-fk3nv
    @EmmanuelSamweli-fk3nv 2 місяці тому +6

    Mtu pekee anae weza ku kuchuana na daimond ni harmonize peke yake tu Ila alikiba marioo rayvann msiki wa mondi hawauwezi ni harmonize peke ndo anawezaga kumtikisa

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 2 місяці тому +2

      Hyo hawez ndio hawez kabxaa kumchallenge Simba

    • @michaeljuma254
      @michaeljuma254 2 місяці тому +2

      Sasa huyo harmonize ndo kajichanganya kitambo tu akapotea akakimbilia siasa

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 2 місяці тому +6

      Anayeweza kumchalange mond ni zuchu tuu

    • @JullianaJuma
      @JullianaJuma 2 місяці тому +2

      Ata hamo hawezi kabisa ,huyu ni motooo

    • @Bin_Hussein
      @Bin_Hussein 2 місяці тому

      Hata huyo hamo alikimbia alivyo taka kutoa I made hit na mond akatangaza mapozi au umesahau

  • @salimbakunda250
    @salimbakunda250 2 місяці тому

    Lukuga sio wakushindana naye Hana mpinzani

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 2 місяці тому +3

    Marioo kafanyiwa figisu na mwambino

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 2 місяці тому

    Mario kafanya kivyake tatizo WATU wanapenda weka mawazo yao mbele ndo maana wanashindanisha n'a diamond. Koma sava wanao ifaa ikubwa siyo diamond Wale wasani aliyo washirikisha njo wanaifaa kubwa..natation uyu Simba media nishabiki wa diamond toka zamani

  • @Ezekiel224
    @Ezekiel224 2 місяці тому

    ila marioo motoo wee😂😂

  • @AmourHaroub-lv8ll
    @AmourHaroub-lv8ll 2 місяці тому

    Bdo harmonize sas tuna msubir

  • @WaziriRamadhan-ML
    @WaziriRamadhan-ML 2 місяці тому +1

    Kakutana kimbunga kiamaa😂😂

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 2 місяці тому

    Marioo pale alipoanza maneno mengi akachezea hisia za mashabiki.amuulize mr pimbi karudi mazima kwa diamond kaona rayvanny wala harmo hawampi chochote

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 місяці тому

    Kayakanyaga ndio wamueahim sasa ote wasanii wa bongo wache zarau Kwa simba❤❤😂😂😂😂Hilo nionyo Kwa wanao taka kushindana nasimba ukisikia diamond platnamz anatoa nyimbo tulia alitaka zishindanishwe😂😂😂😂

  • @felixdestroyer4039
    @felixdestroyer4039 2 місяці тому +2

    Marioo ni mnoma lakini shida yake anapenda kujisindanisha na diamond nikama anapenda kuenda na upepo wa SIMBA

  • @pacifiquemuzo7446
    @pacifiquemuzo7446 2 місяці тому +1

    Ndo kaziyako rafiki wowote wa harmonazi huwezi msema vizuri,mbona unaroho mbayasana na Mario ?

    • @ziggertv3185
      @ziggertv3185 2 місяці тому

      Hajamsema vibaya kasema ngoma imezimwa na ngom ya dunia ila ngoma ya marioo na video nikali ila hajasoma alama za nyakati

  • @adophmmole6389
    @adophmmole6389 2 місяці тому +3

    Ewe middle
    mbna unatumia nguvu nyingi Sana kumshusha mariooo we mwandish gani inayepost vya diamond tuuu krisimasi hiii jitenguwe mwenyewe

    • @DIEUDONNEMWAKAINNOCK
      @DIEUDONNEMWAKAINNOCK 2 місяці тому +3

      We umeona wapi anamshisha?? Pungunguza papara,, midle simba anaongeya fact ❤❤

  • @AmourHaroub-lv8ll
    @AmourHaroub-lv8ll 2 місяці тому

    Ndo ajue saizu yake wajue wa kushindana nao simba ni hatari Sana ni level nyengine Tyr kasha chezea za uso

  • @VitusEmmanuel-pe3yi
    @VitusEmmanuel-pe3yi 2 місяці тому +2

    Wote mliocoment hum ni makenge tena makuma niny mario kajitahid xana mtu mmoko ndan track moja

    • @ASHAKHAMISMUSSA
      @ASHAKHAMISMUSSA 2 місяці тому

      Collabo ina waimbaji 4 😮😮😮😮 yeye jeshi la mtu mmoja hamuoni ht haya

  • @saidsaban5030
    @saidsaban5030 2 місяці тому +1

    Mwmbino ana Roho mbaya sana ndio maana anachukiwa Hakuna matat best tnzania

  • @JosephBisimwa-ul2eg
    @JosephBisimwa-ul2eg 2 місяці тому +1

    Oyaaaaa uo ni ushoga bro kwan we msani

  • @cadicomedian6002
    @cadicomedian6002 2 місяці тому +1

    Shida Yako middle uko na😢😢 wivu...nani amekwambia Mario anashindanaa😂

  • @HerokuPlatform
    @HerokuPlatform 2 місяці тому +1

    Mario alikuwa na asilimia 100 kuwa kitu alichokifanya kweny Ile video yake ni kikubwa sana akajipamatumaini kuwa Amna atakae fanya kikubwa kushinda Ile video yake ndio mana Simba alitangaza ataiachia video yke sa 6 usiku alichukulia poa kumbe mwenzake kajipanga na video kali zaidi yake

  • @kbronthisone5445
    @kbronthisone5445 2 місяці тому +1

    Huruma gàn sasa unaçhèķesha hauna news

  • @alikassim9302
    @alikassim9302 2 місяці тому

    Huyu middle finger ni pimbi Sana msishughulishwe na umbeya wake wa kinafki,,kijana badi anapambana Sana ila tatizo la huyu jamaa ni chawa wa diamond hili halina ubishi,,kunawasanii wengi sana wanaostahili kupewa heshima yao lakini ww content zko nizakusifia mtu mmoja kila uchwao,,hatukatai kuwa diamond ni mkubwa ila kwasasa naye anabebwa kama unabisha hili mwambie atoe ngoma asimshirikishe msanii yoyote alafu uone,, utasahau ya Marioo,.
    Nyinyi ndio mnaomkuza ila kiukweli Hana maajabu hili liko waz

  • @kiruiamos8770
    @kiruiamos8770 2 місяці тому +2

    Hajafakisha...so what?tupige nduru ama?

  • @AugustineFadhili
    @AugustineFadhili 2 місяці тому

    Aliekudanganya kutrend ni kuwa na viewers weng ni Nan , unaongea nonsense, Konde boy on the top

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 2 місяці тому

    Hii itampa adabu kbs.
    Na ajifunze kbs kuwa na adabu. Mjinga kbs.

  • @Dasa1_Tv
    @Dasa1_Tv 2 місяці тому +3

    Mm sipendi mnavyo mfanisha diamond platnumz na vitu vya ajabu