Sio Kususa Nyie Wajinga, Mtu anayejua Uongozi, Bosi wako Akifanya Maamuzi Huyapendi au akikutuma Ukafanye Kazi huikubali.. Unajiuzulu na Kufunga Mdomo. Si Lile Macho ya Nyoka Msigwa! Linaongea Uwongo Kama Limemeza Kengele ya Kuchunga Ng'ombe.
Orodha ya makapi yaliyotupwa na Kikwete na kubebwa na samia orodha imekamilika. Hawa wote ni kundi moja la mafia hawawezi kutengana. Hawa na mzee Makamba si ndio walimtukana Magufuli
Mipango ya KINANA ,Nape,na January makamba ya kutaka kumpindua Samia suluhu na RAIS wa Tanzania ili asigombee tena 2025 imevuja ndiomana ameona ajiuzuru kabla ya kufukuzwa kazi kwa udhalili.
ki ukweli hii chama ya ccm inachezea watu sana..huyo bwana kwa nini huwa mnapenda kumrudisha?????yani hakuna anayejali uchumi unaenda wapi???bado kidogo tutaishtaki ccm kwa Mungu
Wazalendo kama Dr Bashiru waliondolewa na timu ya mama. Wengine wakatupwa Cuba. Watanzania lazima tutafute dawa ya kututibu ugonjwa unaoitwa WOGA. HATA VIONGOZI WAKUBWA WOTE WAMEINGIA UVUNGUNI. Ni nani ataiokowa nchi?
Kwa mujibu ya waandishi wa habarani ni kioo cha jamii ispokua angalia hawa waandishi alafu waangalie kinaa salimu kikeke kina tido muhando kina ziyana sefu kina umu lhary kwali hawa tuwaweke kundi gani jins wanapotoa habary wao hawatafakary
Ni bora hata tusinge kuwa tunawaona, maadam wamewekwa kama timu yaani watu watatu basi ilitakiwa waheshimiane wapeane nafasi ya kuchangia hoja siyo baadhi kutaka kujionesha kuwa ni wazuri zaidi ya kuongea kuliko wenzao!! Kwa ushauri hilo wanatakiwa walifanyie kazi, bila ya kuficha bwana kitenge jali mawazo ya wenzako maama unawafanya wengine wajione wanyonge na kama kila mtu akitaka kujionesha ni mwamba asikilizwe yeye basi hapo hapatokuwa na kipindi hapo!!
Ameshakuwa Mzee🎉

Huyu mzee wamwache apumzike,, mbona vijana tupoooi
Au kwasababu vijana wake wapigaji wametumbuliwa mama achana nae mzigo huooo
Eti barua yake moja anabdili tarehe tu😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Duuuuuu
😂watu siowajinga bwanaa 😂😂michezo ya ccm hiyo yote ni mipango ya uchaguzi tunaijua hiyoo😂😂😂😂
CCM ni anguko kubwa sana mbeleni huko
Pole,utasubiri sana kama fisi anavyovizia mizoga
Tulishamchoka Kila wakati anajiuzulu. Huyo Mzee akalee wajikuu maana ni Kama anawafanyia mzaha wana ccm
Yeye aliwaona mwezake kakosea akawarudisha wanawake bwana
Sasa kinachotokea nini na magu alifanya nini?? Mzee alikuwa anaona mbali.
wengi hawawezi ona hilo
😂😂😂 Ila Zembwera
Ningependa nami niwe kwenye studio
Orodha ya makapi yaliyotupwa na Kikwete na kubebwa na samia orodha imekamilika. Hawa wote ni kundi moja la mafia hawawezi kutengana. Hawa na mzee Makamba si ndio walimtukana Magufuli
Alitangaza kujiuzulu mara 3 lakini kila alijiuzulu matukio yanatokea kwanza sio mtanzania
.Mnatuharibia profession ya Habari..Kelele zimekuwa nyingi na Ukomedi humo
Hii collabo haieleweki, ulinzi uimarishwe kwa taifa😆😅😆
Tena rudi kwenu Mogadishu Somalia Bado Bashe
na wewe rudi congo
@@abdulyrazacky7969 nawewe ni wale wale rudini Mogadishu mkaendeleze Al shabab
@@robertphilip385😂
@@robertphilip385😂😂😂😂
muda huo utakuwa umesharudi kwenu rumonge?
Hawa ndiyo wenye nchi. Wamejitajirisha kwa mali za wengi. Genge la hatari Tanzania. Watanzania yetu macho. Tumeaambiwa KAENI KIMYA
Wamuaacheeeeeee tna huyu mzee kwan wengne hmna ? Ccm mbna chama kipo Smart lkn mnafel kwa uyu babu
Harafu hao ni watu hatari sana nchi hii rwanda ndiko kulikuwa kunawafaa kuishi wangelijuta kuzaliwa lakini huku tunawachekea tu
Akafie mbali hiko
Ikisha uchaguzi tu arudishwa hakuna viongozi.wanarudi haohao vikongwe hadi wafe
@@HalidMuhammad-gi9qy haa haa nakweli asee niusanii tu unafanyika inchi hi
Matamaniyo yake niya wizii tu hana lolote aondoke tu maana vijana wake wamesha fukuzwa na yeye hawezi kubaki iyo mzee kala sana Cake ya taifa
Hatuvai miwani ya jua ndani ya jengo lolote, hakuna jua, unless otherwise
Mipango ya KINANA ,Nape,na January makamba ya kutaka kumpindua Samia suluhu na RAIS wa Tanzania ili asigombee tena 2025 imevuja ndiomana ameona ajiuzuru kabla ya kufukuzwa kazi kwa udhalili.
Ana Dementia 😅
ki ukweli hii chama ya ccm inachezea watu sana..huyo bwana kwa nini huwa mnapenda kumrudisha?????yani hakuna anayejali uchumi unaenda wapi???bado kidogo tutaishtaki ccm kwa Mungu
Huyo mzee ni mtetezi wa majambazi.majambazi yake yakitumbuliwa anatishia kujihuzuru kuyatetea majambazi yake
Watangazaji wa kitanzania ni very local, hiyo ni taarifa be serious!
Ukiwa serious wewe inatosha
Ccm mbele kwa mbeleeee
Kwaumri alionao asingependa aingie kwenye uchaguzi utakao tawaliwa na dhulma na hila...
Mpo wa vizur ndy maana mn avamiwaga n bunduki.
Yusuph makamba aendelee kutukana tena ili mwae awe rais
Aende zake shenzi tu mxm
Mnatia aibu mnapoteza mashabiki mjitathimini
Kwakosa lipi?
@@vanemmy6043 huoni uongeaji wao kama wapo kijiwe cha kahawa wanabweka tu mpaka wanajisahau kama wapo sehemu gani
Jitathmini wewe mwenyewe
Babu pumzika
Wazalendo kama Dr Bashiru waliondolewa na timu ya mama. Wengine wakatupwa Cuba. Watanzania lazima tutafute dawa ya kututibu ugonjwa unaoitwa WOGA. HATA VIONGOZI WAKUBWA WOTE WAMEINGIA UVUNGUNI. Ni nani ataiokowa nchi?
3 chafu poziii 😂😂😂 namba witiri hizo Kapate D mbili ndo uwelewe 🤣🤣 MGUSE MMOJA UNATE
kijana Kila Mara anapojiuzuru anasema anaachia nafasi kwa vijana , vijana hawapewi nafasi kwa nin?
Yaani nyie hamuwezi kutangaza mpaka mpige mikelele kama Malaya wanagombea bwana
😂😂😂😂,
Kwel kitenge kelele zimezid sanaa mpk kipind akina uzur na kuonyesha yy n chama gan?....
Naunga mkono, hapo njaa tu
Kwa mujibu ya waandishi wa habarani ni kioo cha jamii ispokua angalia hawa waandishi alafu waangalie kinaa salimu kikeke kina tido muhando kina ziyana sefu kina umu lhary kwali hawa tuwaweke kundi gani jins wanapotoa habary wao hawatafakary
Mtaabishaji wa nchi acha aende
Kinana anautaka urais 2025
NANI ATAMPA LABDA KIPOFU
Kwelli
KINANA ANA UJAUZITO NDIO MAANA AMEACHIA NGAZI ILI AJIFUNGUE USALAMA, NA BAADAE CCM WATAMRUDISHA👁️👁️
Hii inchi haina vijana?
1
Majizi wameyafukuza 😂 fukuzawahuni
Huyo ni kundi la Nape na Makamba..Mama ajiangalie uchaguzi unakaribia
CHANEL YA WASAFI KWANN HAMUACHIANI NAFASI YA KUONGEA? HAPO NI KELELE TUU KITENGE UNA KELELE SANA HAPO. CHANEL HAINA UTULIVU.
Ni bora hata tusinge kuwa tunawaona, maadam wamewekwa kama timu yaani watu watatu basi ilitakiwa waheshimiane wapeane nafasi ya kuchangia hoja siyo baadhi kutaka kujionesha kuwa ni wazuri zaidi ya kuongea kuliko wenzao!! Kwa ushauri hilo wanatakiwa walifanyie kazi, bila ya kuficha bwana kitenge jali mawazo ya wenzako maama unawafanya wengine wajione wanyonge na kama kila mtu akitaka kujionesha ni mwamba asikilizwe yeye basi hapo hapatokuwa na kipindi hapo!!
Kitenge ni chawa mkubwa wa ccm
Ndo burdan
@@anithawidambe7543 kweli anko hata Mimi sipendi. Hiyo si burdan ni kelo
@@dimosomkoba356nenda kaombe hiyo kazi wewe mtulivu, uone kama utapewa😅😅 hawa ndio wananogesha
Hawa wa2 nyie hamuogopi
Mpasuko huo
Bora aendezake tumemchoka kabisa
😂😂😂😂
😂😂
Kinana tukichunguza atakua Mzee WA tamaa alitakiwa ajitoe mapema,ila vijana ndo wanamtumia
Umli alionao Mzee ovyo,kanyumbani ulemaisha waachie vijana.
Tulia Acha maneno umalizemaisha ya yako Kwa eshima
😂
Yeye aliwaona mwezake kakosea akawarudisha wanawake bwana
😂
😂
😂