Mtangazaji wa EFM JONIJO ameyaoga matusi baada ya kusema JASON DERULO kaisha na kudai DIAMOND kakose

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 131

  • @felixdestroyer4039
    @felixdestroyer4039 2 місяці тому +31

    Huyo mtangazaji afutwe kazi hajui anachokisema🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 2 місяці тому +22

    Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 місяці тому +30

    Watangazaji vilaza wengi wapo Efm

  • @janetharris7509
    @janetharris7509 2 місяці тому +20

    HILO PRESENTER LIPUUZII JONIJO NI MPUUZI PIA. JASON DELULO IS BIG TO US MAPRESENTER WAPUUZI

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 2 місяці тому +42

    Watanzania tuna mengii ya kujifunza kupitia SIMBA 🎉🎉🎉🎉

    • @MeenaHassan-fd9vv
      @MeenaHassan-fd9vv 2 місяці тому +1

      Jifunze tuuu brother

    • @NoName-pp4lo
      @NoName-pp4lo 2 місяці тому +3

      ​@@MeenaHassan-fd9vvTatizo wabongo hampendani mbn msiwe km wakenya...

  • @paschalcleophace9628
    @paschalcleophace9628 2 місяці тому +21

    Jonojoo hatuache kwanza sisi tupo bize na comasava

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 2 місяці тому +25

    Simba atazidi kuwa simba

  • @RichardiKaisikaisi
    @RichardiKaisikaisi 2 місяці тому +11

    Demu wangu jonijoo unafelimno.🎉

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 2 місяці тому +21

    Simba baba lao

  • @DIEUDONNEMWAKAINNOCK
    @DIEUDONNEMWAKAINNOCK 2 місяці тому +14

    Watangazaji kama Hao wakufukuzwa inchi kabisa 😂😂😂

  • @AlexAidan-kq5zn
    @AlexAidan-kq5zn 2 місяці тому +17

    Jonijo wadawa😂 yamemua mbwa uyo

  • @AyubuRobi-g6x
    @AyubuRobi-g6x 2 місяці тому +23

    Huyu mtangazaji mshenzi yeye sana simba wamtake wasimtake hashikiki

  • @burundianosammy8984
    @burundianosammy8984 2 місяці тому +10

    very true ✌️🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🎉💪🦁🦁

  • @YaziduAdam-bu3mf
    @YaziduAdam-bu3mf 2 місяці тому +10

    ❤ watanzania kwa ujinga tunaongoza kweli kama hilo suala baada ya kumsuport diamond anavotuwakilisha kimataifa tunaanza kumsema vibaya jamani tuache unafiki huo Simba atabaki kuwa Simba long life🎉🎉

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 2 місяці тому +12

    Yani sisi ngozi nyeusi tumejaa na chiki binafsi na roho mbaya

  • @venancengunda3879
    @venancengunda3879 2 місяці тому +9

    Takataka Sana haooo jmaaaa yaaniii asee watuu wanawivuu Sanaa aseee duuu hawa jamaaa duuuu🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄 hapanaa middle simbaa tusaliii sanaaa mwambaaa hapanaa kwa kwelii duuuu

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 2 місяці тому +2

    Wivu unawasumbua awana lolote. Daimond Plantinum kawaacha mbali ❤

  • @KimDoer
    @KimDoer 2 місяці тому +22

    Njaa br ndo zinawatesa kama pimbi dingano😂😂

  • @BillingsXaveryNshullo
    @BillingsXaveryNshullo 2 місяці тому +7

    Majizzo anawapotosha sana watangazaji elimu yao ya D mbili ndo matatizo yao haya kama Derulo Hana maajabu hata mond angeimba na Chriss brown wangesema Hana jipya , Simba popote ulipo jipige kifua una Dunia Yako kaka tunajifunza mengi Toka kwako

  • @elizabethchabluma-zw5qz
    @elizabethchabluma-zw5qz 2 місяці тому +15

    Chizi huyo jonijo ajui mziki atupishe ss tuko bize na comasava

  • @BilalShaban-rd1vd
    @BilalShaban-rd1vd 2 місяці тому +13

    Hawa watangazaji wasengee tuu

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 місяці тому +7

    Mpumbavu Huyo anafuga ndevu Pesa Hana mpuuzi kweli huyo ni

  • @tituskaponda9343
    @tituskaponda9343 2 місяці тому +4

    Jealous only. Nothing else!

  • @mussasumail2489
    @mussasumail2489 2 місяці тому +4

    Simba🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jaydavy_9776
    @jaydavy_9776 2 місяці тому

    middle, mm shabiki namba moja naomba kujua jina la wimbo background, tangu 2019 huwa natamani sanaa kujua

  • @aleixoboy
    @aleixoboy 2 місяці тому +5

    Daaaah💔

  • @otumanboniphace
    @otumanboniphace 2 місяці тому

    Fanya follow up,jadon derulo ana subscribers 35m,anahit songs nying. Jason really did diamond a favor. And am a fan way before hii remix,na yupo bado yupo juu!

  • @NdayishimiyeSubira
    @NdayishimiyeSubira 2 місяці тому +4

    Wa ine leo jmn ❤❤

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 2 місяці тому +1

    Simbaaa🙏🙏🙏🙏

  • @IsaacBizimana-z7k
    @IsaacBizimana-z7k 2 місяці тому +6

    Je uyo ninani ka sema ivo mbon simujuwi

  • @RazaqueAmbasseRazaque
    @RazaqueAmbasseRazaque 2 місяці тому +5

    Iyo nipumbavo to

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA 2 місяці тому +3

    De rulo yule ni class ya dunia hii mondi itampeleka sana mfano rema kwa Selena Gomez ilimpush sana kumbuka Selena Gomez alikuwa muda mrefu hajaimba nyimbo 😢😢😢😢

  • @vee896
    @vee896 2 місяці тому

    hello middle simba getting u loud and clear from kenya

  • @mebumohammed6844
    @mebumohammed6844 2 місяці тому +9

    Kwaza john amefubaa mno analolote

  • @PedroRachidekalamaga
    @PedroRachidekalamaga 2 місяці тому +4

    Tanzânia Mashoga sana, Simba ndo abari ya Mozambique 🇲🇿

    • @5Multpurpose
      @5Multpurpose 2 місяці тому

      Tengua kauli shoga wew popoma mmoja ndio utukane nchi nzima shubamiti wew

  • @youngyusuph8667
    @youngyusuph8667 2 місяці тому +10

    Like kwa wakwanza jamani🎉

  • @Shadia544
    @Shadia544 2 місяці тому +5

    Chuki zao ndiyo ndiyo zinapoza roho mbayaaa tuu simba la masimba hakuna kama simba😂😂😂😂

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 місяці тому +2

    Shoga Sana huyu jonijo! Akwende

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 2 місяці тому +1

    Fala sana huyo aendeeee

  • @shabanipande5379
    @shabanipande5379 2 місяці тому +1

    Jonijo Ana Chuki sana Huyu jamaa

  • @ChrisMitindo-g3e
    @ChrisMitindo-g3e 2 місяці тому +5

    akilindogo uyo achan nae

  • @JaydenKariuki
    @JaydenKariuki 2 місяці тому +2

    Roho mbaya sio mzuri

  • @Officialteacher
    @Officialteacher 2 місяці тому

    Simba wa in the world sasa😂😂😂

  • @chandeemanuel6303
    @chandeemanuel6303 2 місяці тому +1

    Uyo ana wivu

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 2 місяці тому +4

    huo atulie tu simba

  • @JustinGama-qy1tp
    @JustinGama-qy1tp 2 місяці тому

    Huyu pia atakuwa ni mwanasimba😂😂😂😂😂😂 Jonijo hana akili

  • @HASSANKAMGUNDA
    @HASSANKAMGUNDA 2 місяці тому +8

    Kwasababu aritoka wcb ndio chanzo chakumchuki smb kaferi sana😂😂😂😅😅 atakoma nabado bc ataingia aimbe kwenye mbadara wa jnsn derulo

  • @fatumasaidi2592
    @fatumasaidi2592 2 місяці тому +1

    Hasidi hana sababu

  • @AbbascoDiaz
    @AbbascoDiaz 2 місяці тому +2

    Wasanii wengine wanajisikiliza wenyewe saahivi katika sebule zao😂

  • @jonnyfranco5318
    @jonnyfranco5318 2 місяці тому +2

    Hakuna kifungu cha kuwafungia hao watangazaji

  • @AbbascoDiaz
    @AbbascoDiaz 2 місяці тому +3

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni simba anajua labda afe ndo wasanii wanaowataka wawe juu 😂

  • @salimbakunda250
    @salimbakunda250 2 місяці тому +1

    Uyo mtangazaji Hana akili

  • @nordinebaraca4635
    @nordinebaraca4635 2 місяці тому +1

    Kuwasogeza kule! Kule wapi?

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 2 місяці тому +2

    Hakuna kazi inakosa changamoto kaka simba achananao watu wanamsema mungu haonekan sembuse wewe

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 2 місяці тому +1

    huyu derulo ni wamoto muda wote tatizo labda hajamfuatilia anazo ngoma zake mpya kali na ametoa album juz tuu

  • @michaelfumbuka4728
    @michaelfumbuka4728 2 місяці тому +1

    Huyo joycejo ana chuki si alifukuzwa kazi pale wasafi

  • @fettyramadhan622
    @fettyramadhan622 2 місяці тому +1

    Wanawivu unawasumbua and hao awajui mziki watengeneze tuu script za maigizo😂😂

  • @clementrobert-s5s
    @clementrobert-s5s 2 місяці тому +1

    Kwenyehuu mzik hakuna kama simba wivu2 unawasumbua

  • @AmourHaroub-lv8ll
    @AmourHaroub-lv8ll 21 день тому

    Ni simba la masimba

  • @TygaTwo
    @TygaTwo 2 місяці тому

    Awamu djuwi Jason Derulo Awa ni wa popo tu
    Hii ni kolabo ya djuuu Sana

  • @MWALIMUNASSORO-bj4ok
    @MWALIMUNASSORO-bj4ok 2 місяці тому

    Fala sana jonijo

  • @khamischumu6830
    @khamischumu6830 2 місяці тому +1

    Jonijo ni mjinga na mpumbavu

  • @FazilDangote-i9t
    @FazilDangote-i9t 2 місяці тому

    Kweli ajakoseya jonijo

  • @amanrashid7061
    @amanrashid7061 2 місяці тому +1

    Wanatafuta kiki hao mbwa

  • @JumaGendeye-sv6yl
    @JumaGendeye-sv6yl 2 місяці тому

    Mshamba huyoo mamaee

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 2 місяці тому

    Inasikitisha kuona baadhi ya wa TZ wanamkosoa daimond na kumdhihaki badala yakumpongeza kwa kazi nzuri iliokuwa inasifiwa hata nchi za nje. Ivo hawana ata hamu yakujisifia wenyewe kuwa na mtanzania anaefanya makubwa duniani. Huo ni ujinga na roho mbovu. Jonijo siku zote hana jema lakumsemea daimond, sijui wamekwazana wapi. Lakini inafaa kujifunza kusema la ukweli ili upate kufanikiwa 😊

  • @venasmlega6727
    @venasmlega6727 2 місяці тому

    Badala tupiganie makonda aonekane mpo bize kubishama usenge wa hawa jamaa da kwel zt bhana 😢😢

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 2 місяці тому +1

    Yeye jonijo basi apeleke ndevu zake ao akamuombee baba yake kolabo aone km atafanikiwa duuuh kumbe hii inchiii wajinga bado wapo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @AbbyYusuph
    @AbbyYusuph 2 місяці тому +1

    Akili fupi na wazito kufikiria na ma boss wa media waamgalie watu wanaowaajili

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 2 місяці тому +1

    Wale ni matakotu

  • @sacohg5458
    @sacohg5458 2 місяці тому

    Kiukweli tumempea Jason favour

  • @binzubeirnasheed4088
    @binzubeirnasheed4088 2 місяці тому +1

    Hapa jonijo alifeli kidogo ile ni colabo kubwa sana halafu Jason ni mtu wa watoto hana kujiona kabisa Chris brown yupo vzuri lakini anajiona sana na pia amepoteza funs wengi sana kutokana na skendo za kila siku

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 2 місяці тому +1

    Kisa tu katoka wasafi binadam 😂😂😂😂😂

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 2 місяці тому +1

    Huyo Jonijoo anajuwa kusema baba aako tu hana lolote.

  • @officialAlAbdul
    @officialAlAbdul 2 місяці тому +1

    Uyu joninjo kama ye ako na impact aliinteview wangap wa nnje

  • @lucksonrupa3618
    @lucksonrupa3618 2 місяці тому

    Lakin anachosema nikweli , kwasababu diamond yeye anataka grammy sasa kama unataka grammy inabidi utafute watu ambao wapo kwenye grammy

  • @NelsonJackson-z7r
    @NelsonJackson-z7r 2 місяці тому +1

    Uyo boya anaumia ajaludishwa wasafi ndio maan anaumia ten tulimsahau kabisa kaon aludi mjini kuinga ngoma ya simba.

  • @HeriRamadhan-q7m
    @HeriRamadhan-q7m 2 місяці тому +1

    Huyo jonijo ni "K"

  • @NabothChaula
    @NabothChaula 2 місяці тому

    ofu mbona alionge sio jonijo ika kikombe chote kapewa yeye

  • @EdgarEdsonyKapindos
    @EdgarEdsonyKapindos 2 місяці тому +1

    Jonijoo chuki za kufukuzwaga kazi wasafi

  • @AssanenvitaNvita-qr4ge
    @AssanenvitaNvita-qr4ge 2 місяці тому

    mimi.naupenda u mziki unaoinba video zako

  • @ramadhanvennyboy3940
    @ramadhanvennyboy3940 2 місяці тому +2

    Kiufupi nichuki tuu

  • @Whitegsm
    @Whitegsm 2 місяці тому +2

    🎉 wa kwanza like kwangu

  • @AlmasGordi-yp2yf
    @AlmasGordi-yp2yf 2 місяці тому +1

    Jonijo wewe nikuma kama ya jilani kwako we nikuma,

  • @charlesluanda9161
    @charlesluanda9161 2 місяці тому

    "Delulo" ndio nani ndugu mtangazaji? Fanyia kazi "R" na "L" kaka. Utafika mbali.

  • @AlexJames-c8e
    @AlexJames-c8e 2 місяці тому

    Bwege tu uyo

  • @dizzonofficial2600
    @dizzonofficial2600 2 місяці тому

    Ukiwa mjinga huwezi kuelewa ila kauli tu ya kusema sio mzuri ni jibu tosha mtaenda kumtazama na kujua ni mkubwaaa game over kama unakula ugoro huelewi😅😅😅😅

  • @martinjosephat4694
    @martinjosephat4694 2 місяці тому +1

    Midomo ni yao

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 2 місяці тому

    Jonijo anaupwilu hp mondi nndo kafanya ferulo tumjue na sio derulo ndo kamtangaza mondi mbwa ww

  • @barutilazizi1223
    @barutilazizi1223 2 місяці тому +3

    Kwa hawo watangazaji akuna mwanadam kweli
    Watafuteni wengine ili aimbe
    Wajinga sana

  • @ramadhanihot1945
    @ramadhanihot1945 2 місяці тому

    WATANGAZAJI WA EFM awajielewi hata kidogo wanachuki sana na daimond platinum NASISI KAMA WATANZANIA TUJIFUNZE KAMA WENZETU WA KENYA TV KAMA HIZO SIO ZAKU SAPOTI KABISA KAMA WANASHINDWA KUSAPOTI VITU VETU BORA tusapoti TV zenye watangazaji wanao jielewa

  • @mwinyiabdallah4383
    @mwinyiabdallah4383 2 місяці тому

    Dah hawa jamaa kumbe machoko hivi ata siamini

  • @mebumohammed6844
    @mebumohammed6844 2 місяці тому +4

    Kumbe jonijoo n Mjinga kias hicho

  • @JohnVicenti
    @JohnVicenti 2 місяці тому

    Kwa jinsi walivyo muongelea jason ina mean tukija bongo wasanii n 5 tuu hakuna wengne wenye impact ikatokea labda msaan wa kenya kuja kuimba bongo

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz 2 місяці тому +1

    Jason Derulo✔
    Jason Deluro❌
    Kiukweli watanzania amujui kutamuka jina la Derulo😅😅😅

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 2 місяці тому

      Unajivunia nini sasa hali ya kuwa wewe mwenyewe kiswahili hukijui vizuri, acha ushamba kiazi weee

    • @cathbetsolomon3151
      @cathbetsolomon3151 2 місяці тому +1

      amujui😂 kutamuka😂 ni nini hapo umeongea samadu weee😂😂😂

  • @NDAYISHIMIYEDiane
    @NDAYISHIMIYEDiane 2 місяці тому

    Simba nisimba tuuuuu

  • @Midapooly
    @Midapooly 2 місяці тому +4

    Wana angamia kwa kukosa maalifa

  • @revivedkush9732
    @revivedkush9732 2 місяці тому +1

    Wakwanza leo

  • @it_stationery
    @it_stationery 2 місяці тому

    Walikua wanongea jokes tu

  • @pacifiquemuzo7446
    @pacifiquemuzo7446 2 місяці тому

    Ndokazi yawa Bongo,mtu akisema ukweli anachambwa nikitu cha kawaida sana kwa wabongo nawala sio mjadala,wewe kaziyako niku mkungia diamond, unataka upewe vipaza sauti vya inchi nzima ?