EXCLUSIVE: SALLAM SK - "DIAMOND Analipwa MILIONI 255 Kwa SHOO 1 / KUJAZA UWANJA SIO SABABU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • EXCLUSIVE: SALLAM SK - "DIAMOND Analipwa MILIONI 255 Kwa SHOO 1 / KUJAWAZA UWANJA SIO SABABU"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 128

  • @officialmapesa3618
    @officialmapesa3618 11 місяців тому +14

    Nani amegundua kuwa daimand amekopi uongeaji wa salam sk, gonga like twende sawa

  • @kristofuraha3369
    @kristofuraha3369 11 місяців тому +17

    Nimependa kusikia kwamba bado mpo pamoja! Kazi iendelee!

  • @OHANGYAAMISI
    @OHANGYAAMISI 7 місяців тому +2

    Diamond to the world 🌎🌎🌎🌎

  • @NamimanaClaude
    @NamimanaClaude 11 місяців тому +10

    Moyo wangu kwa duia ni diamond 🇧🇮🇧🇮🇧🇮👊

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf 11 місяців тому +19

    Nimekuelewa sana menezi

  • @RyanKahindi
    @RyanKahindi 11 місяців тому +7

    Mziki wetu African mashariki bado tunasubiri,sana ju tunagawanika sisi wenyewe ndio West Africa wanatuburuza Kila pahali SI mziki SI mpira,ata afcon finally ilikua afro beat, Nigeria vs ivory coast wote ni west Africa

  • @MudyNyau
    @MudyNyau 11 місяців тому +25

    ASIEKUELEWA MENDEZI NI MJINGA AKILI HANA❤❤❤

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 11 місяців тому +2

    Ohooh ohooh yauyau #

  • @MomadeabdulAbdul-i3w
    @MomadeabdulAbdul-i3w 11 місяців тому +10

    Oya mungu akupe upendo unaichi nawatu vizuri bila wewe pengine wcb tisingue mbali

  • @BHALEEALI
    @BHALEEALI 11 місяців тому +5

    Bongo Flava bila Mendez no Music No Business

  • @IbrahimMohamedally
    @IbrahimMohamedally 11 місяців тому +7

    Aisee

  • @Gabby-jm8
    @Gabby-jm8 11 місяців тому +5

    🔥🔥🔥🔥💯💯💯👑👑

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 11 місяців тому +1

    Nakubali mendez

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 11 місяців тому +10

    Maswali ya BABALEVO yameshiba sana
    Na SALAAM YUKO SAWA

  • @HusinaKarama-ti9jm
    @HusinaKarama-ti9jm 11 місяців тому +8

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @prosperabison1368
    @prosperabison1368 11 місяців тому +1

    🔥🔥🔥

  • @davidpeter8099
    @davidpeter8099 11 місяців тому +49

    We kama meneja wa msanii mkubwa diamond platnumz tuambie wasafi festival kwa nini haikufanyika kwa mkoa wa dar

    • @cleveronlinemedia820
      @cleveronlinemedia820 11 місяців тому +7

      Na wew km ni mashabiki mkubwa wa diamond utuambie Kwann wasafi festival haikuja mkoa wa shinyanga 😂

    • @ZINDUKAMUISILAMU30
      @ZINDUKAMUISILAMU30 11 місяців тому

      ​@@cleveronlinemedia820😅😅😅

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 11 місяців тому

      ​@@cleveronlinemedia820Ukiona paka anauliz hvy ujuh nishabik wa wasafi na yupo dar kwhy anataka jibu Kwa uongozi Sasa cjuh ww nishangaz wa mond au vp maan umejibu kama mtu usi kuwa na akili timamu

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 11 місяців тому +1

      Kwani dar ndiyo festival region? Acha ujinga

    • @misanamohamedi8438
      @misanamohamedi8438 11 місяців тому +1

      kwa dar ndo kitu gan,mbona mikoa mingi tu haijafanyika

  • @ruu6592
    @ruu6592 11 місяців тому +6

    Bora umwambie kujaza sio kufanya vizuri kumbwa jinga ilo

  • @EzekielChija
    @EzekielChija 11 місяців тому +7

    Saut azipo sawa

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 11 місяців тому +5

    💪💪🇹🇿🦁

  • @ramadhanhamisi7405
    @ramadhanhamisi7405 6 місяців тому

    Sawa

  • @omariselemani6578
    @omariselemani6578 11 місяців тому +4

    Anayekubali huyu jamaa kipara ni mnafki
    Like hapa

    • @ernestcharles4288
      @ernestcharles4288 11 місяців тому +1

      Sasa mnafkia kamnafkia nani?? Acheni chuki na m2 😂😂

    • @RamaNgari-b1d
      @RamaNgari-b1d 10 місяців тому

      Acheni chuki binafsi

  • @VEDASTOTISEKWA
    @VEDASTOTISEKWA 4 місяці тому

    jaman wasafi fm jijini mwanza mbona aishiki tunaomba msaada jaman tunateseka

  • @nehemia397
    @nehemia397 11 місяців тому +3

    dah jamaa anaongea sana

  • @Wil_thug
    @Wil_thug 11 місяців тому +6

    Sk salamu nilisema wewe ni Suge knight wa bongo soko la muziki unali hold sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 11 місяців тому +6

    Uyu jamaa namkubaligi Sana salam Yan..ichi nikichwa Sana Yan..anamadini sana

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 11 місяців тому +4

    Kijibaba levo kimedhalilishwa bila kujua maskini ... Ati akiitwa show ya milioni 5 anafanya. 😅

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 11 місяців тому +7

    Mnalisha sana watanzania matango pori yupi wakupewa dolla 50 sukari au selemani

  • @MALIKSHAFIIIBRAHIM
    @MALIKSHAFIIIBRAHIM 11 місяців тому +2

    Puakatoka mbio kaenda kupokea simu ya asma nini😂😂

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 11 місяців тому +3

    Sio kweli ni uongo, inabidi kwenye show yake ili hela hiyo irudi inabidi waingie kwenye show wafu elfu kumi, bado hela ya promota hapo hajapata faida, acheni uongo bsna

  • @nicksonmwaringa144
    @nicksonmwaringa144 11 місяців тому +4

    Sallam Sk , vp album kubwa ya Simba na O2arena ni lini mzee baba maana wanaijeria wanatukandamiza sana

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 11 місяців тому

      Propaganda za mziki tu, Diamond hana kitu

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 11 місяців тому +1

      Tunajivunia Diamond huku sisi.
      Wanaigeria ni wengi sana huku nayo ni sababu kubwa ina wa push.

    • @cleveronlinemedia820
      @cleveronlinemedia820 11 місяців тому +1

      ​@@SilaMinandahufatilii muziki wew propaganda mtu anachukua matuzo makubwa anakutana na mastaar weng wa nje nyimbo zake wanajirekodi mastar wakubwa wa muziki mpira na wengine hivi unamdanganya nan sasa😂😂

    • @SilaMinanda
      @SilaMinanda 11 місяців тому

      @@cleveronlinemedia820 Taja hapa kajirikodi star gani mkubwa wimbo wake?

    • @jocktanchristopherokinyi
      @jocktanchristopherokinyi 11 місяців тому

      ​@@SilaMinandaVictor Osimhen pamoja na Jesse Lingard wamekua wakijirekodi wakicheza wimbo wa Diamond na Chley unaitwa "Shu"

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 11 місяців тому +4

    Salam muongo Sana Arena ni muhimu kujaza diamond Hana uwezo huo

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 11 місяців тому +3

    Wanakelele sana hawa mbwa kwanza hotel ipo wap ,ndege ipo wap 😂😂😂😂 ila wasaf

    • @eliashibundabalinze2754
      @eliashibundabalinze2754 11 місяців тому

      Unataka ndege ukapande?
      Unataka Hotel ukalale? Endelea kupiga kelele

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 11 місяців тому +7

    Diamond aki hamia Marekani ndio mwisho wa mziki wake hakuna anae poteza muda kumsikiliza huku labda wa Kongo, na wakenya

    • @Nalitumpaboy-dm4tk
      @Nalitumpaboy-dm4tk 11 місяців тому +1

      Kuna wa bongo,zambia africa nzima wapo kule we jichetue eti kongo na keny

    • @john_1trader
      @john_1trader 11 місяців тому +1

      Nyie watz hamjivunii kuwepo diamondi taifa lenyu i wish angekuwa mkenya

    • @Amanivicent-lp4sk
      @Amanivicent-lp4sk 11 місяців тому

      Aamie marekani kwan Tz hawezi kuishii acha pigo za ajabu ww

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 11 місяців тому +3

      Kama weweee humsikilizi wako wanaomsikiliza na ndo maana hapa TZ hana mpinzani ?
      Na kama humfuatlilii kwenye social media hii umefuata nini mpaka uka comment ?
      HOVYOOOO !

    • @chapombe_mlafi
      @chapombe_mlafi 7 місяців тому

      umeishiwa point

  • @hamisikamanda9933
    @hamisikamanda9933 11 місяців тому +1

    Kaka mkubwa

  • @patrickNjako-s7j
    @patrickNjako-s7j 11 місяців тому +1

    Unachekesha sana we mpumbavu...Diamond ana nyumba hapa dar karibia 35 kama haujui. Kuna wakati kaa kimya kama hujui vitu mzee. Au anakuchanganya sababu amepanga pale anapoishi mpumbavu wew

  • @IbrahimMohamedally
    @IbrahimMohamedally 11 місяців тому +3

    Analipwa Dola laki mbili Kwa shoo

    • @masiradavid
      @masiradavid 11 місяців тому

      Dollar elfu mbili kaka....sio laki mbili😅

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 11 місяців тому +4

    Stories ndo hizo hizo kila siku population sio Kigezo mana kuna Wasanii wanatoka viji Nchi vidogo na wanajaza ma Arena kila kukicha

    • @rereshap9416
      @rereshap9416 11 місяців тому

      Tuambie wasanii gani hao na kutoka viinchi gani ?!

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 11 місяців тому

      @@rereshap9416 Bob Marley anatoka Jamaican population yao ndogo, Shaggy, Sean pol Angelique Kidjo Benin na anashinda na Ndio Msanii anaeongoza kwa kuchukua Grammy nyingi Africa Marehemu Oliva Ntukuzi Zimbabwe alikua anajaza Ma Stadium’s Marekani Ulaya, Sonia Jorbat from Gambia kila siku anajaza ma Stadium’s Ulaya na Marekani na wote hao Population zao ndogo nje ya Nchi zao na music yao wanaimba Kilugha chao mana wataanza kusingizia Kingereza kuna Salf Keitta from Mali Faotmata Diwara Mali tena Salfu Keita na Youss Ndoor from Senegal ndo ma legendary from African washajaza Show zao Duniani kote na wanaimba kwa Lugha zao, Tukubali tu kama Mziki wa Bomgo bado na sio kutafuta Sababu zisokua na Mashiko kila siku

    • @cleveronlinemedia820
      @cleveronlinemedia820 11 місяців тому +1

      Hlf kuna wasanii wakubwa tu wa huko nje na wanafanya vizur wana struggle kuijaza 02 arena

    • @zanzibarboyzanzibar509
      @zanzibarboyzanzibar509 11 місяців тому

      @@rereshap9416 Sonia Jorbat Gambia, Fortunata Diwara Mali Alipha Blonde Cote waimbaji wakubwa wa Jamaica karibia wote Angelique Kidjo Benin hao wote hawana population’s kubwa Nchi zao wanaoishi Ulaya hau Marekani na wanazaja Ma Stadium’s Ulaya na American, kama Angelique Kidjo ndo Msanii anaeongoza kwa kutoka Africa mwenye Grammy nyingi kama Population Mettar basi Burnboy kishafanya Show Ireland Arena watu Elfu 22 na Wazungu watupu walijaa mana Nchi yao wabaguzi Burnboy huyo huyo kishajaza Greece arena watu Elfu 18 na wote Wazungu hakuna Wanaijeria hapo imefika time tukubali tu Tanzania or EastAfrica Music wao bado kabisa

  • @RodrigueHabarugira-zj7uq
    @RodrigueHabarugira-zj7uq 11 місяців тому +1

    Ivi naile amefanya Zinziba kalipwa 😂

  • @Loddy-b3h
    @Loddy-b3h 11 місяців тому

    Kinywaji milioni 40 acheni kuzinguwa

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 11 місяців тому +4

    mendez mgojwa

  • @muduboy726
    @muduboy726 11 місяців тому +3

    Tv ya familia

    • @AggreyHamisi-og2fm
      @AggreyHamisi-og2fm 5 місяців тому

      Ukipenda anzisha na Yako uwe unahoji watoto wako, wajukuu , kaka , dadaa , mama na masshangazi wote .

    • @muduboy726
      @muduboy726 5 місяців тому +1

      @@AggreyHamisi-og2fm sawa zuchu

    • @AggreyHamisi-og2fm
      @AggreyHamisi-og2fm 5 місяців тому

      @@muduboy726 sawa Suzy bale

  • @tinejuxfrancis729
    @tinejuxfrancis729 11 місяців тому +3

    Ila baba levo alivyo chomoka hapoo

  • @HassanAmani-p6r
    @HassanAmani-p6r 10 місяців тому +1

    Sallam Sk kama Yuda alivyomusaliti Jesus... Sallam Sk amemusaliti Diamond kwa Harmonize State House...⚠️⚠️⚠️🇹🇿🇹🇿

  • @erickkagisa833
    @erickkagisa833 10 місяців тому

    Huyu jamaa ni mnyamweZi kinyama

  • @BHTV-ly4jf
    @BHTV-ly4jf 11 місяців тому

    Huo niuongo😂😂😂😂😂

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 11 місяців тому +3

    Inategemea anafanya wapi hiyo show kwa Zanzibar hajawai kulipwa ata mIlion 50

    • @ikramalmas7039
      @ikramalmas7039 11 місяців тому +1

      Una uhakika?

    • @alexmalyango1405
      @alexmalyango1405 11 місяців тому +1

      Ushawahi muandalia show wewe kirandage?

    • @hudhaimarajab9103
      @hudhaimarajab9103 11 місяців тому

      Kwa Zanzibar m255 😂 ni unafiki wakowapi ao watu tiket elfu 10 😂 halaf ifike m255 😂 maan izo shoo za Zanzibar watu elfu 3 hawafiki 😂 apo hajapata muandaaji wa shoo watu wa promotio 😂 mameneja wa msanii et m255 😂 makutu ya mbuzi

    • @suleimanhamza9014
      @suleimanhamza9014 11 місяців тому +1

      Unakaza fuvu akili kisoda😂 watu hawategemei get collection wanaangalia wadhamini ndy wanaotoa pesa kwa ajil ya kubrand bidhaa zao.

    • @yasnshaban9827
      @yasnshaban9827 11 місяців тому

      ​@@suleimanhamza9014akili kubwa

  • @MunirDaniford
    @MunirDaniford 11 місяців тому +1

    Nyie iv wasafi festival imeishia wap jamn??

    • @zuli.comedy.
      @zuli.comedy. 11 місяців тому

      Viwanja haviruhus watu kufny show

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 11 місяців тому +1

    Blaa blaa blaa uongo mwingiiii

  • @thomasgabriel588
    @thomasgabriel588 11 місяців тому +1

    uhakika

  • @HajiSaid-y6q
    @HajiSaid-y6q 11 місяців тому +4

    Mendez kili kubwa

  • @Mouffassa
    @Mouffassa 9 місяців тому

    Punguzeni makelele ongeeni kwa formula fanyeni noise reduction , Kuna mda mnaongea kwa pamoja mnakera

  • @MkojanymadevuMocambique
    @MkojanymadevuMocambique 11 місяців тому

    Uwo unafki salam sk utakufya na humongous wako...

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 11 місяців тому

    Mijitu ya tanzania baadhi uwa inaroppkaga tu haijui ht biashara ya mziki

  • @nicksonmusa3457
    @nicksonmusa3457 11 місяців тому

    Diamond kazungukwa na watu wenye akilii kama sallam sk

  • @BHTV-ly4jf
    @BHTV-ly4jf 11 місяців тому

    Arena ipi amewahi kujaza wewe para unauongo😂😂😂

  • @JustinMkanje
    @JustinMkanje 11 місяців тому

    Siyo hazi yake hadhi yake b 20

  • @malimanyanja562
    @malimanyanja562 11 місяців тому

    200 apo Mie nimeshu nimefka safali njema ndg zangu

  • @JohnValle-xn1dx
    @JohnValle-xn1dx 11 місяців тому

    Diamond hana mvuto tena anabidi atafute mbinu mpya na mtazamo mingine, na hiyo idadi ya pesa anayotaja huyo jamaa anadanganya huyu jamaa😮

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 11 місяців тому +1

      Yn 😂 yn kuna wt hamuna akili sn hn mvuto wa nn ss mwenzako kashajiwek vizur n kuek pes kubw ya shoo ili pte muda wkupumzika ss ww kichaa ndo unroppk tu

  • @ramadhanhamisi7405
    @ramadhanhamisi7405 4 місяці тому

    Mendez tupo pamoja

  • @Thomas-g8f
    @Thomas-g8f 6 місяців тому

    pale mwanjelwa mbeya tz tunasikilizana kwauzur

  • @SimbaJumanne
    @SimbaJumanne 11 місяців тому +2

    Nyumba yenyewe hana alipwe mia 250 pumbavuu kabisaa kiki za kisenge hizoo

    • @JoyceMora-p1f
      @JoyceMora-p1f 11 місяців тому +1

      Wewe unayo mbwa wewe

    • @cleveronlinemedia820
      @cleveronlinemedia820 11 місяців тому +2

      Ko na hiyo unakataa tena kwamba alipwi M250 mbn na page kubwa Huwa zinatoa orpdha za wasanii na yeye yumo wanaolipwa hela nyingi kwenye show au ndo umeisikia Leo hapa

    • @JohnValle-xn1dx
      @JohnValle-xn1dx 11 місяців тому

      Haijui milioni 255 huyu jamaa

    • @josephmorris8194
      @josephmorris8194 11 місяців тому

      Wabongo wavivu wa kutafuta information ila wanachoweza ni kubisha na kuponda vyao ila angetajwa msanii wa nje akuna hata mmoja angepinga

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 11 місяців тому

      Atakua ameskia Leo hyu au simu n ya mkopo ilkua imefungwa zlipotolew ordha 😂​@@cleveronlinemedia820

  • @mathewdyzymaleyafrica9128
    @mathewdyzymaleyafrica9128 10 місяців тому

    Kuhusu arena unatudanganya

  • @hudhaimarajab9103
    @hudhaimarajab9103 11 місяців тому +1

    Rema miaka 4 😂 saiv shoo yke b 1

    • @maulidjuma8208
      @maulidjuma8208 11 місяців тому

      Koo m250 ni ndogo kwako ok hongera

    • @ernestcharles4288
      @ernestcharles4288 11 місяців тому

      Sasa uyo ni rema mbona kiba na konde hata 100M hawapati 😂😂😂 mondi kajitahidi sana

  • @NasmaLauma-l7l
    @NasmaLauma-l7l 11 місяців тому

    Acheni kick

  • @omariselemani6578
    @omariselemani6578 11 місяців тому

    Acheni ujinga nyie
    Eti dogo nasibu aje kuishi usa so mnafiki usa ni kama tandale, haana uwezo wakuishi huku huyo

  • @SajiduTwaibu
    @SajiduTwaibu 11 місяців тому +2

    Yaan mondi na meneja wake wanaongea lafudhi moja

  • @EliudiAbraham
    @EliudiAbraham 11 місяців тому +1

    Mondi ni mondi

  • @deogratiousmerchiory5935
    @deogratiousmerchiory5935 11 місяців тому +2

    Tumewachoka bhanange same story nothing new 🚮🚮

  • @helenahiro1402
    @helenahiro1402 11 місяців тому

    YOU ARE NOT A TRUSTED PERSOM SALLAM.YOU HAVE ONCE CROOKED ME, YOU AND UOUR TEAM ARE USELESS, WOTE WEZI, REMMEBER PRODUCTION YA MBOSO .
    SOONER OR LATER PESAZANGU MTA LIPA, WEZI NA WAONGO SANA

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 11 місяців тому

    Watanzania wajinga tu achaneni nao ninyi fanyeni kazi yenu