Neema Gospel Choir - Tubariki Leo (Live Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 кві 2024
  • "Na Mungu anaweza kukubariki kwa wingi, ili katika mambo yote, kila wakati, ukiwa na kila kitu unachohitaji, utapata kwa wingi kufanya kazi njema zote." "Bwana alikaa juu katika gharika, na Bwana anakaa kama Mfalme milele. Bwana atawapa nguvu watu wake; Bwana atawabariki watu wake na amani."
    "And God can bless you abundantly, so that in all things at all times, having all that you need, you will abound in every good work." "The Lord sat enthroned at the flood, and the Lord sits as King forever. The Lord will give strength to His people; the Lord will bless His people with peace."
    Songwriter & Composer: Samuel Limbu
    Leader: ⁠Glorie Kazadi Mutombo 🇨🇩
    --
    VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
    held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.
    𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
    𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
    𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
    𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
    𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
    𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
    𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
    𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
    𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
    𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
    𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
    𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
    𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪
    𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
    Instagram: Neema Gospel Choir
    Facebook: Neema Gospel Choir
    X: Neema Gospel Choir
    Threads: Neema Gospel Choir
    Tiktok: Neema Gospel Choir
    𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
    Whatsapp: +255 766 777 288
    Email: info@neemagospelchoir.org
    Website: www.neemagospelchoir.org
    ©️2024

КОМЕНТАРІ • 690

  • @NeemaGospelChoir
    @NeemaGospelChoir  3 місяці тому +59

    Ulisema hautatuacha kamwe
    Ulisema hautatuacha kamwe
    Hadi mwisho wa dahari
    hautatuacha kamwe
    Ulisema hautatutupa nje
    Ulisema hautatutupa nje
    Kila ajae kwako eeh hautamtupa nje
    Baba tunaomba utubariki Leo
    Tumeng'ang'ana nawe utubariki Leo
    Hatuna mashaka na wewe
    Mungu unafanya mambo yote
    Kwa Utukufu wako,
    Kwa Utukufu wako
    Twatazamia baraka za rohoni na mwilini.
    Hazitakawia twazingoja,
    Baraka zi malangoni
    Malangoni
    Baraka zi Malangoni.
    Hatuna mashaka na wewe
    Mungu unafanya mambo yote
    Kwa Utukufu wako.

  • @user-qc5kq2zm2b
    @user-qc5kq2zm2b 3 місяці тому +29

    Tunaoikubali NEEMA GOSPEL CHOIR tujuane hapa kwa like

  • @dianachepkemoi5623
    @dianachepkemoi5623 3 місяці тому +123

    Wapi likes za Wakenya🇰🇪🇰🇪

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому +6

      🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🇰🇪🇰🇪

    • @kipkiruigillie4332
      @kipkiruigillie4332 3 місяці тому +3

      Tuko hapa kufanaya kama vile tulifanya mungu ni mmoja 🙏👍👍👍

    • @kipkiruigillie4332
      @kipkiruigillie4332 3 місяці тому +3

      Tuko hapa kufanaya kama vile tulifanya mungu ni mmoja 🙏👍👍👍

    • @philomenanzuve2323
      @philomenanzuve2323 3 місяці тому +1

      Tuko hapa...hasa kwa wakati hii mgumu wa mafuriko...wakenya tujitieni nguvu hapa....

    • @annmule7168
      @annmule7168 2 місяці тому

      The guitar guy 👍

  • @lutumbinduta1702
    @lutumbinduta1702 3 місяці тому +11

    Nahuu ni ukweli!,
    Kwa kweli nimebarikiwa sanaaaaa.
    Mnaorudia mara kwa mara wimbo huu like za kutoshaa hapa❤.
    Neema Gospel Tembeeni vifua mbele, Mungu amewabariki!!.
    Amen 🙏 🙏.
    Barikiwa sana!!.
    Nawapenda mnoooooooòoooo❤!!

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому +1

      Amen ubarikiwe sana mpendwa, utukufu kwa Mungu 🙌

  • @TheWorldGospel
    @TheWorldGospel 3 місяці тому +13

    tunaobarikiwa gonga likes hapa 🇺🇬🇰🇪🇹🇿🇷🇼

  • @humphreypeter5641
    @humphreypeter5641 3 місяці тому +10

    Like za kutosha kwa neema gospel 🔥🔥 nyimbo kali vibe 💯

  • @gathua
    @gathua 3 місяці тому +7

    The soloist carried that song so beautifully!!! 🎉🎉

  • @Fay-nq5lh
    @Fay-nq5lh Місяць тому +6

    I can tell the lead is a strong tenor. I like the variations. Lovely song hatuna mashaka na wewe YESU

  • @lucyndungu5861
    @lucyndungu5861 Місяць тому +5

    The soloist has a very unique way of soloing the song......effortlessly

  • @tmagoti
    @tmagoti 3 місяці тому +7

    dakika ya 5:08-15 - give that BASIST his flowers NOW!!

  • @jennifermuigai97
    @jennifermuigai97 2 місяці тому +7

    Che che chezaaaa.... Cheza weeeeeeh 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gilbertkipkirui3261
    @gilbertkipkirui3261 3 місяці тому +5

    Sweet melodies vocals, instruments na kila kitu kimeenda sawa kabisaa... bassist is on point, Freddie,willian, Andrew amd and yhe the drumisist though haonekani sura yake.... Kenyans lets do it as usual likes zije kabisaa 🇰🇪🇰🇪

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому

      Amen God bless you guys🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌🙌🙌

  • @JanethAndrew-ex1vo
    @JanethAndrew-ex1vo 3 місяці тому +6

    🔥🔥🔥🔥🔥 the guy who is leading has a nice voice...wooow

  • @wasalipaharembo16
    @wasalipaharembo16 3 місяці тому +6

    Hatuna mashaka na Wewe Mungu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Bwana Awabariki sana NGC❤

  • @MichaelMgallaTz
    @MichaelMgallaTz 3 місяці тому +8

    Wanaosikia bass like hapa

  • @user-wg4rm5by8z
    @user-wg4rm5by8z 3 місяці тому +6

    Blessings from your muslim friend of neema

  • @lindaayodi7633
    @lindaayodi7633 2 місяці тому +5

    This song deserves as many views as possible,get the blessings from this song 🙏❤️🙏

  • @alexmichael7251
    @alexmichael7251 2 місяці тому +7

    Meaning of a complete song..
    Kwanza mmependeza sana..
    Soloist kawaka sana na hizo makoti,madogo wamedance poa sana..
    MD frester na team yako ni wa kutunzwa sana...
    Drummer kaua...
    Solo ndio balaaa 🔥

  • @kalobeflix
    @kalobeflix 3 місяці тому +7

    Kama unaamini Bwana ana bariki nione likes watumishi wa Mungu......

  • @NeemohMugane
    @NeemohMugane 22 дні тому +2

    This song has me praising Jesus at 1am in the morning. Sina mashaka na yeye!! Mungu unafanya major yote kwa utukufu wako🗣🗣🗣🎵🙌

  • @EfraimEzekiel
    @EfraimEzekiel 3 місяці тому +5

    Mungu ailinde Team hii kwa damu ya Yesu

  • @GofA2023
    @GofA2023 3 місяці тому +6

    Mungu awabariki sana Neema Gospel Choir, mnafanya safari yetu ya mbinguni iwe more enjoyable.

    • @jackymwangi2982
      @jackymwangi2982 2 місяці тому

      Mbinguni itakuwa hivi day and night......

  • @kinggeniustz2422
    @kinggeniustz2422 3 місяці тому +7

    Kama unakubari Mungu anatubariki usipiti bira kugonga like kweny comment hii

  • @alexmwango
    @alexmwango 3 місяці тому +9

    Wueeeeeeh... Now commenting after the third repeat because.... Ahhhhhhhhhh... The Music arrangement is something else... Then the Bass guy and the drummer are so in sync.... I am so jazzed.....
    Now come to the vocal parts... All so well balanced.. each one so sweet to the ears.....
    Then the leader has quite a vocal range and he knows what he is doing.... Then now the simple but uniform choreography....
    Last but not least, the penmanship...the words have really touched me... and I have made them my prayer. I take this as my prayer for my 40th birthday which just happened three days ago!... So hii nitaucheza everytime I pray this year....Kwa sababu natazamia baraka za roho na mwili na hazitakawia. Baraka zi malangoni. I love this song.

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому +1

      Wow, thank you for this powerful message, we are really energized, may God bless you so much🙏🙏🙏🙏❤️

    • @FejoseLopes
      @FejoseLopes 3 місяці тому

      My best choir, always doing the best

  • @judithmueni8626
    @judithmueni8626 2 місяці тому +5

    I love love this hit🔥🔥🔥
    Twatazamia baraka zi malangoni❤❤

  • @cyrusasubui5035
    @cyrusasubui5035 3 місяці тому +4

    Sina mashaka nawe Mungu ...unafanya mambo yote kwa utukufu wako 🙏🙏

  • @MaryhannahMembe-ok4gu
    @MaryhannahMembe-ok4gu 3 місяці тому +4

    Hadi mwisho wa dahari hatatuacha kamwe huyu Yesu, 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.

  • @michaelomondi7912
    @michaelomondi7912 3 місяці тому +9

    These people from AICT Changombe gonna kill me one day😋😋🤣🤣kafupi katamu ....next song let a lady singer lead...i would love to see that

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому +1

      🔥🔥🔥🙏🙏 Amen, tutazingatia hili

  • @efronaaron6772
    @efronaaron6772 3 місяці тому +7

    Huu wimbo umezima playlist yangu yote umebaki umesimama no 1 treding tangu umeachiwa… Kweli ni Baraka tele

  • @burutiamos2628
    @burutiamos2628 3 місяці тому +5

    Mmmm❤❤wouw Kenya hapa twabarikiwa na Kazi yenu Wapendwa ..

  • @Architectzbn
    @Architectzbn 3 місяці тому +6

    🇹🇿#1♥️

  • @user-xr6xk9lb5c
    @user-xr6xk9lb5c 3 місяці тому +6

    Kenya twawapenda

  • @Blessed-cd9lg
    @Blessed-cd9lg 3 місяці тому +5

    You are talented brethrens!
    Tukazane na Yesu ili tukaimbe mbinguni milele, tusiishie duniani 🥰🥰🥰🔥🔥

  • @detishbitejuckhubby5379
    @detishbitejuckhubby5379 3 місяці тому +5

    Bassist 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @tullymwakipesile2077
    @tullymwakipesile2077 3 місяці тому +4

    “Malangoniiiiiii 💃🏽💃🏽, malango malango malangooo eeeh..🎶🎶 “ I am extremely blessed. 🙌🏾

  • @Irene-nm5xh
    @Irene-nm5xh 3 місяці тому +5

    Bassist umetisha Mungu awabariki sana 🎉

  • @alexmichael7251
    @alexmichael7251 2 місяці тому +4

    My favorite song so far

  • @beatricewonder2748
    @beatricewonder2748 3 місяці тому +4

    Neema Choir you are the title of your Choir name. You sing in Grace and I pray that God will be more gracious to you all the more.....much ❤️ love from Kenya

  • @lukelukenza01
    @lukelukenza01 3 місяці тому +6

    Che che chezaa😂😂🎉🎉❤❤❤

  • @user-im7ym7ly8g
    @user-im7ym7ly8g 2 місяці тому +3

    2:46 umenigusa... Unaki feel unachokitamka na unakiamini ndio maana umeeii deliver perfect kbsa... Kongole kwa cameraman aliyei capture hiyo moment.... THIS is how gospel inasambazwa... ubarikiwe

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 3 місяці тому +4

    Huu wimbo ni utukufu wa Mungu anayeongoza sasa loooh ni anajua mpaka basi Mungu awabariki sana❤

  • @africangospelhits5396
    @africangospelhits5396 3 місяці тому +4

    Inamaana ni mimi peke yangu nimeuona wimbo mfupi..😢Nimebarikiwa sana..Yaani ni mfupi mzuri unatamani uendelee zaidiiii

  • @user-im7ym7ly8g
    @user-im7ym7ly8g 2 місяці тому +5

    That soloist he's very creative he add flavor, texture to the song and the way he carried himself plus that coat... O N POINT, endelea kumtumikia aliye hai....

    • @jackymwangi2982
      @jackymwangi2982 2 місяці тому

      My son asked....kwani anasikia baridi(yes Kenya huwa tunasikia baridi) aje??? Coz of the 2 jackets

  • @kitwaribetisheba1295
    @kitwaribetisheba1295 3 місяці тому +3

    Nyimbo nzuri saana imenibariki mno

  • @BigDrones
    @BigDrones 3 місяці тому +6

    I Respect Amigo Johnson For This

  • @jacklinemuthio4768
    @jacklinemuthio4768 3 місяці тому +8

    He sounds like late Eric moyo (Joyous celebration SA)

  • @ElisabathMuzungufu-tt4zx
    @ElisabathMuzungufu-tt4zx 2 місяці тому +3

    Je vous aime énormement ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ depuis kinshasa 🇨🇩 ❤️ ❤️ ❤️

  • @RuthKabamba-gb8ej
    @RuthKabamba-gb8ej 3 місяці тому +5

    Nephtalie tu as frappé fort, gloire à Dieu 🎉, et surtout j'aime beaucoup votre groupe neema gospel depuis Tanzanie

  • @Viola_carlyx74
    @Viola_carlyx74 3 місяці тому +3

    Nashindwa hata la kusema.. Maneno hayatoshi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @edwardkwingwa7574
    @edwardkwingwa7574 2 місяці тому +3

    International gospel,Mungu aibariki kazi ya mikono yenu.Amen>nabarikiw sana nyimbo zenu,kundi lidumu milele.Amen

  • @TapuwaAlishdamba
    @TapuwaAlishdamba 2 місяці тому +3

    Hatuna mashaka na wewe
    Mungu unafanya mambo yote
    Kwa Utukufu wako.❤❤❤❤

  • @TheWorldGospel
    @TheWorldGospel 3 місяці тому +3

    Wape likes 🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼 Tunaobarikiwa 🔥

  • @alistidiaanthony2295
    @alistidiaanthony2295 3 місяці тому +3

    Ohooo solo list umenifrahisha sana ,Mbarikiwe sana wimbo ni 💥💥💥💥

  • @SeyongMasi-ug6sb
    @SeyongMasi-ug6sb 2 місяці тому +4

    Nice arrangements in the song. Reminds me of 🎵Bwana Twapenda kulisifu Jina Lako🎵

  • @beatricejoseph1452
    @beatricejoseph1452 3 місяці тому +2

    Mwimbo unausikiliza, hutamani uishe🔥🔥

  • @dickensoindo9847
    @dickensoindo9847 3 місяці тому +3

    Getting more blessings from Kenya..Hii ni moto ya bakulutu.

  • @kempsinternational7742
    @kempsinternational7742 3 місяці тому +3

    My favourite song,now naelekea mara ya 50 kurudia kuangalia na sioni hata dalili ya kuchoka. God bless you my fam kazi yenu ni njema sana

  • @tumainistephen8500
    @tumainistephen8500 3 місяці тому +4

    Another masterpiece from Neema Gospel Choir🙌🎉🎉😘…Oooh my goodness the Soloist 🙌 what a beautiful and unique rendition..the same was executed so effortlessly🙌🙌…God bless you NGC we are indeed blessed by your ministry…may the Lord increase you❤

  • @r-jaykenya229
    @r-jaykenya229 3 місяці тому +4

    The lead vocalist and the bassist guy 🔥🔥🔥.. This song just did come at the moment when I needed an assurance 😊🙏

  • @brandonsibanda1110
    @brandonsibanda1110 2 місяці тому +3

    Zimbabwe lets gather here

  • @mathiasstanley1161
    @mathiasstanley1161 3 місяці тому +4

    Amazing, Glory be to the Lord. Hapa ni wapi? Duniani! ndo mnaimba vizuri hivi, Je tutakapofika mbinguni? I can't imagine uzuri wake .. mbarikiwe sana kwa kazi nzuri

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому

      Amen ubarikiwe sana mpendwa, utukufu kwa Mungu 🙏🙏🙏

  • @edwinndegwa9734
    @edwinndegwa9734 3 місяці тому +3

    Mwenye anafinya hio bass guitar... 🫡 🫡

  • @estherjarvis9162
    @estherjarvis9162 3 місяці тому +2

    Mungu aendelee kuwatumia hakika kazi yenu ni njema sana katika Kristo Yesu na Mungu atawalipa msipo zimia mioyo...... 🔥🔥🔥

  • @abednegowilliam
    @abednegowilliam 3 місяці тому +3

    Hatuna mashaka na wew is 🔥🔥🔥🔥

  • @JanethAndrew-ex1vo
    @JanethAndrew-ex1vo 3 місяці тому +3

    Woow I like the one who is leading nice voiceeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dylangithinji5924
    @dylangithinji5924 3 місяці тому +4

    Malangoni...❤❤❤❤❤❤

  • @danacheroallos9667
    @danacheroallos9667 3 місяці тому +2

    Neema Gospel is one of the finest..keep up the good work

  • @trickeredbayaza7901
    @trickeredbayaza7901 3 місяці тому +3

    The body of Christ is feeding on this ministry.God bless you guys.Neema Gospel choir

  • @kipkiruigillie4332
    @kipkiruigillie4332 3 місяці тому +2

    Motoo saana Nehema choir God atawainua This year. Wacheza vyombo kuanzia baba Yao masanja,willian, Andrew na wengine. Bassist amekaa vizuri sana hususan Kwenye dakika ya 5:10 Hadi 5:15 huyu bingwa anakung'uta hio gitaa na passion..huku Kenya mnapendwa sana 🇰🇪🇰🇪 watu wa mungu be blessed 🙏🙏

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому

      Amen we love you more 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FejoseLopes
    @FejoseLopes Місяць тому +2

    Loving this song,well arranged in everthing,the soloist oh he knows what he does,the whole choir oh jesus,more anoiting servants

  • @user-pg5yk9oz1u
    @user-pg5yk9oz1u 5 днів тому

    Nice song

  • @barakamgira9206
    @barakamgira9206 22 дні тому +1

    Hapahapa nyumbani Tz🇹🇿

  • @ElisabathMuzungufu-tt4zx
    @ElisabathMuzungufu-tt4zx 3 місяці тому +2

    Je vous aime énormement ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ ❤️ depuis Congo kinshasa 🇨🇩 🇨🇩. Much love ❤️

  • @2003wis
    @2003wis 3 місяці тому +5

    Bassist is going to heaven 😅😅❤❤❤

  • @daudichande9756
    @daudichande9756 3 місяці тому +3

    Itoshe kusema Neema gospel choir Ur the best in Tz, East Africa na afrika Kwa ujumla. bassist apewe Maua yake jamaniii He did his best

  • @EveAlfred
    @EveAlfred 3 місяці тому +3

    Jaman barikiwa sana neema gospel wimbo mzrrrr

  • @gracemfangavo4824
    @gracemfangavo4824 3 місяці тому +2

    Viwango vyenu ni vya Juu sanaa atukuzwe Mungu kwaajili ya utumishi huu uliotukuka🥰🥰🥰🥰🥰🙏

  • @miriummgema8342
    @miriummgema8342 3 місяці тому +2

    Aiaiaiii you peopleeeee❤❤❤❤❤❤❤Mungu azidii kuwainuaaa
    Nawapendaa❤❤

  • @collinssanga8009
    @collinssanga8009 3 місяці тому +2

    Just as Jacob struggled with the Angel he pushed and said he will not let Go until God blessed him may you hold onto God until He blesses you wholesomely and even after blessing you may you never let go strive to be in His Presence 🔥🔥🔥Neema you are always a blessing .

  • @victoredward6689
    @victoredward6689 3 місяці тому +3

    OMG the song is absolutely extraordinary and I'm so much blessed.🔥🔥🔥

  • @MosesMwachiroTU-BE-
    @MosesMwachiroTU-BE- 2 місяці тому +4

    2:02 Onwards wolololololo!!!

  • @Maestropinchez254
    @Maestropinchez254 3 місяці тому +3

    J'adore la touche compa. Un grand bravo au directeur musical... c'était du bon travail. Plus d'amour du Kenya

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 3 місяці тому +2

    I have been sent here by a friend to listen to this song. I'm now glued here playing it on a repeat mode.

  • @ireneevarist1428
    @ireneevarist1428 3 місяці тому +1

    Hallelujah ❤❤❤ utubariki leo am so proud kua ndani ya YESU na yeye kua ndani yangu JESUS THE KING✨

  • @sammykeyz57
    @sammykeyz57 3 місяці тому +3

    Kenyans let gather🇰🇪🇰🇪

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому

      As usual☺️, we love you guys ❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mariamuna4789
    @mariamuna4789 3 місяці тому +2

    Hatuna mashaka na wewe Mungu🔥🔥🔥be blessed Neema Gospel choir 🔥🔥

  • @dicksonduke1433
    @dicksonduke1433 2 місяці тому +3

    kila kitu ni kwaajili ya utukufu wako Mungu wetu.

  • @kelvinkimambo7534
    @kelvinkimambo7534 2 місяці тому +2

    Mungu awabariki sanaa daah siku yangu imekuwa njema baada ya kusikiliza hii nyimbo on repeat for the whole day🎉

  • @kimmy4823
    @kimmy4823 3 місяці тому +2

    I just love this choir so much... clothing on point , vocals and everything excellent 🎉

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому

      Wow thank you, Glory be to God 🙏🙏🙌🙌

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 3 місяці тому +5

    Wako wapi wale wanaosema gospel music inaboa😅😅😅

  • @maruramjomba1718
    @maruramjomba1718 3 місяці тому +7

    Who is this soloist?! Respectfully 😊
    His style is on point!
    His way of his singing and pronunciation of words is unique, nuanced. Uhuru wa mshairi umetumika vyema hapa.
    The backing, the instrumentalists, the sound, the dancing, the outfits. Everything is to perfection and all for the glory of God.

    • @Maestropinchez254
      @Maestropinchez254 3 місяці тому +1

      Pronunciation is just on another level 🎉

    • @maruramjomba1718
      @maruramjomba1718 3 місяці тому +1

      @@Maestropinchez254 kabisa. Adds flavor to the song

  • @kalobeflix
    @kalobeflix 3 місяці тому +2

    Sifa na utukufu vimrudie Mungu...nyie watumishi mnajua sana .....Jamani mkianza Upcountry tour muanze na Jamhuri ya Muungano wa watu wa Mbeya.....tuna barikiwa saaaaana na huduma yenu njema... ni maombi yangu na dua Mungu azidi kuitanuia mipaka yenu mtoke utukufu kwenda utukufu... .

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 місяці тому +1

      ☺️☺️☺️Tutazingatia hili, ubarikiwe sana 🙏

    • @tikey382
      @tikey382 3 місяці тому

      😂

  • @zachbula624
    @zachbula624 3 місяці тому +2

    Kwangu mimi huu wimbo ni bora kuliko zote mlizotangulia kuzitoa.❤❤

  • @user-pp9ui8sv3k
    @user-pp9ui8sv3k 3 місяці тому +2

    Sina usemi na hii sauti ya mwanzishaji 🙌

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 3 місяці тому +2

    Hazitakawia twazingoja baraka zipo malango❤

  • @zachariahamis6736
    @zachariahamis6736 3 місяці тому +2

    One of my favorite song is out❤

  • @scholadaudi6278
    @scholadaudi6278 3 місяці тому +4

    Muimbishaji kaupiga mwingi,,, be blessed bro❤❤❤❤

  • @beblessedwithgospellyrics1
    @beblessedwithgospellyrics1 3 місяці тому +3

    Mungu awabariki ❤❤

  • @magrethalego9061
    @magrethalego9061 3 місяці тому +2

    Nyie nyie Mungu anatukuzwa asee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @dariuskoech2718
    @dariuskoech2718 3 місяці тому +3

    Timely song 😊 Nibariki Leo