Essence Of Worship - Sitaona Haya ( Official Live Music Video )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 559

  • @boazdanken
    @boazdanken Рік тому +82

    Sitaona Haya Kukusifu Mungu wangu God Bless you Essence team

    • @PetroMbugi
      @PetroMbugi 2 місяці тому +1

      Ndo mana nakupendaga kaka boaz una roho zuri sana

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki Місяць тому

      YEHOVAH AKUBARIKI MTUMISHI KWA KUONYESHA UPENDO KWA WATUMISHI WENZAKO.HUU NI UPENDO WA AJABU

  • @PraiseGodall
    @PraiseGodall Рік тому +172

    I was born in a Muslim family ...but the love that I have in my heart for Jesus Christ is huge ..I can proudly say that I am a Christian now and GOD has shown that he loves me too... God bless you! Have a blessed day!

    • @ianwhite1604
      @ianwhite1604 Рік тому +2

      wow,,,glory to God

    • @lwimikomwakibete6693
      @lwimikomwakibete6693 Рік тому +3

      Blessed more dear.

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall Рік тому

      Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you very much. Wishing you health, luck and happiness, God bless you 🙏
      @@lwimikomwakibete6693

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall Рік тому

      Amen .💓I'm so happy to hear this from you. Thank you very much. Wishing you health, luck and happiness, God bless you 🙏
      @@ianwhite1604

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall Рік тому

      Amen 🙏 God bless you! Have a blessed day! Thank you very much! 👍🏽🙋🏾‍♀💯✌🏾💓💓💓
      @@lwimikomwakibete6693

  • @bahatisanga2186
    @bahatisanga2186 8 місяців тому +12

    Eeeh YESU YESU YESU NINI NI NANI BASI NIACHE KUKUPENDA. AFYA,KIBALI, AMANI UMENIPA BURE HUJANIPIMIA MUNGU MIMI NI NANI YESU YESU UUUUUUUMALI YANGU😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @juliasgidion
    @juliasgidion Рік тому +40

    Tanzania imependelewa sana na kuwa na watumishi ambao MUNGU anawatumia tuzidi kuwaombea na kuiombea nchi Yetu Tanzania hongera sana Brother Gwamaka and Team 🙏🙏

  • @isackmashishanga.6067
    @isackmashishanga.6067 Рік тому +36

    need likes from Tanzanians here🇹🇿🇹🇿🇹🇿 the one blessed 😇

  • @AmazingJoy-v2m
    @AmazingJoy-v2m Рік тому +35

    Stanley Desmond from Nairobi Kenya any one listening to this song i pray that God may give you strength to spread the gospel ❤❤❤

  • @ireneChosen8193
    @ireneChosen8193 11 місяців тому +19

    Yaaani mimi najua Shetani anauguaga sana na tumbo la kuharaaa😂anapoona Watu wa Mungu wanafanya vizuri.Na badoooo…..😂!
    Mbarikiwe sana wapenzi wangu,yaani mmejua kujidai na Yesu wenuuu….💃💃🥳🥳🥳💋💋🔥🔥🔥🥂🥂🥂….ila huyu leader amenikosha sanaaa…style yake ya uimbaji yaani nimeona Mahaba hapoo…kwa Yesu wake…Chaiii…good job brother,very beautiful and Unique!Tena ulisema “ Nasema tenaa na teena “hatareeee 🎉👏👏.
    I am a worshipper too so I know what am saying 😁. Hongereni sana guys ❤

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 5 місяців тому +2

      Yan huu wimbo huiwa naupiga kwa redio yangu nafungulia hadi mwisho hahahaa yan napendaga pale Yesu nakupenda tena na tena na tena ... Majirani wananunajeee hahahahaha

  • @GraciousAmon
    @GraciousAmon 10 місяців тому +15

    Hii nyimbo n kama ile ebenezer ya spirit of praise🙏🙏❤️❤️❤️❤️

    • @jacksonmwalimo9275
      @jacksonmwalimo9275 8 місяців тому

      True

    • @elenzianjk5543
      @elenzianjk5543 8 місяців тому +2

      Yaani nilikua najiuliza hii melody nimeisikia wapi!! U mfuatiliaji mzuri sana. Same melody different tastes, so blessed! Thanks😊

    • @nancysnelima2960
      @nancysnelima2960 4 місяці тому

      Yes true

    • @alanpierrers
      @alanpierrers Місяць тому +1

      ​@@elenzianjk5543tunawaza same. Yaani comment ya huyu dada imenifungua macho

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 Рік тому +9

    Huu wimbo nimelia hadi unaisha aiseee nikakumbuka namna ni mdada nnavyoshikaga mic kumsifu Bwana YESU natukanwa lakini siachi kuhubiri wala kumsifu ..... Eeeeeeh Yesu eeeh nakupenda UMALI YANGU........
    AISEE SITAONA HAYA KAMWE

  • @witnessjuma9157
    @witnessjuma9157 Рік тому +15

    South Africans lets gather here🎉🎉❤❤

  • @jamesmelack9634
    @jamesmelack9634 Рік тому +150

    Gwamaka nakuombea maisha marefu sana bado dunia yote inahitaji huduma ya team yako huu wimbo i can't remember how times nimeurudia rudia ,na mwimbishaji aliutendea haki kwakwel nimeamini mlimwomba Mungu NIMEBADILISHWA😢

    • @TuseNtekigwa-dx3xh
      @TuseNtekigwa-dx3xh Рік тому +4

      Dah ..huu wimbo kila ninapousikiliza Kuna namna moyo wangu unakuwa..barikiwa gwama na team yako🙏🙏🤭

    • @pastorbarakangata606
      @pastorbarakangata606 Рік тому +3

      barikiwa sana katika jina la yesu

    • @neemampamba1578
      @neemampamba1578 10 місяців тому +2

      Eeeeh Yesu !! U mali yangu

    • @DeboraMpologomyi
      @DeboraMpologomyi 9 місяців тому +2

      ❤nasema tena natena nakupenda umali yangu

    • @NjambiNjeri
      @NjambiNjeri 5 місяців тому

      Amen..amen mungu aliituumba kumwabudu.b all blessed hallelluyah!

  • @marymonari
    @marymonari Рік тому +43

    Sitaona haya kumsifu Yesu!! Mwokozi wa maisha yangu 😭

  • @royalprinceke6337
    @royalprinceke6337 Рік тому +23

    Ebenezer oh ebenezer ebenezer usihole wasewala 💯🤗🙏🙏👐👐Amen it's a vibe for the kingdom ❤

  • @barakasteven5481
    @barakasteven5481 Рік тому +32

    Gwamaka and the team were really serious about this project. I mean everything has been perfect in the entire production. Tanzanian gospel music is surely going places 🔥

  • @HighlyFavoured2014
    @HighlyFavoured2014 Рік тому +49

    I fell in love with this song when you performed it at ICC Nairobi, last year.
    Since then I've searched for it in all platforms, with no success, untill now. 🥳🥳🥳
    Now I get to listen to it limitlessly.
    From Kenya, Icc Nairobi, with Love!!!

  • @josephallamano4753
    @josephallamano4753 Рік тому +19

    More grace to that Drummer uwa ana nibariki sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @queenmushi9804
    @queenmushi9804 Рік тому +7

    Huu wimbo ni Ibada kamili kabisa .....ukimaanisha unajikuta umeingia kwenye maombiii yasiyokoma na yaliuojaa machozii mbarikiwe mno 🙏🙏🙏🙏

    • @TuseNtekigwa-dx3xh
      @TuseNtekigwa-dx3xh Рік тому +1

      Amen😢

    • @CatherineNzeki
      @CatherineNzeki Місяць тому

      AMINA.NIMELIA KWA KWELI NIKIKUMBUKA ALIPONITOA NASEMA SITAONA HAYA KUKUSIFU,,,KWELI SITAONA AIBU KUKUTAJA

  • @rebeccacheyo
    @rebeccacheyo Рік тому +13

    Song Lyrics🔥👇🏽
    Chorus
    Sitaona haya
    Kukusifu kweli
    Sitaona aibu
    Kukutaja
    Refrain
    Eh Yesu eh
    Eh Yesu eh
    Eh Yesu eh
    Nakupenda, u mali yangu
    Verse:
    Si fedha wala, si mali wala
    Si magari ya kifahari
    Maana nitapata vyote
    Kwa mwenye vyote
    Maana nakuamini
    Bwana we ni wangu na
    Mimi ni wako
    U mali yangu Bwana
    Mimi ni mali yako
    Maana nakuamini…
    Chorus…. Refrain…
    Kipenzi cha moyo wangu
    Mfalme wa nchi yangu
    Mungu wa dunia yangu
    Mimi nakuamini
    Tangu nikuamini
    Sijawahi kua nilivyo
    Tangu nikuamini
    Wewe umenibadilisha
    Maisha yangu ni wewe
    Huduma yangu ni wewe
    Amani yangu ni wewe
    Yesu nakuamini
    Nasema tena na tena
    Na tena Bwana nakuamini
    Chorus…. Refrain…..
    Nakupenda, U mali yangu….
    Refrain…. ❤

  • @joshuamwasuluka1469
    @joshuamwasuluka1469 11 місяців тому +12

    My fav song in 2023/24. This is the most praising song I have mostly repeated hearing 2023. Thank you Godwin, thank you Gwamaka and team. Ila hao wapiga saxophone na solo gitaa wana viti vyao mbinguni aisee. They are unto next levels

  • @ElizabethElsa-gi8nf
    @ElizabethElsa-gi8nf 6 місяців тому +2

    Wow🎉🎉🎉 It's sweet like Joyous Celebration 😊. God bless you 🙏 so much ❤

  • @princeshafeen-official
    @princeshafeen-official Рік тому +24

    Kenya🇰🇪 appreciates you Brethren❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @nasrioriginele588
    @nasrioriginele588 Рік тому +5

    Sitaona aibu kukutaja yesu weeeeee umekuwa mwavuli wangu kila siku.wengi wanarudi kwenye jeneza bali umeniweka salama.ahsante yesu .team gulf nipe likes

  • @katherinefred2738
    @katherinefred2738 Рік тому +15

    Vijana wa Agape Lutheran Seminary apo nawaona @ patrick @Jonas and Kephas. Mungu awabariki katika utumishi wenu ninyi na team yenu nzim. The song is owsome🥰

    • @neemamsuya238
      @neemamsuya238 Рік тому

      Aisee Mch Mwakapi ametoa products🎉🎉

    • @taestudioz
      @taestudioz Рік тому

      Kabsa Mungu mwema ALJS 🎉🎉❤

    • @petermgawe8530
      @petermgawe8530 6 місяців тому

      Mwakapi hakuepo the time hawa wakubwa wakiwepo, Pastor Lyimo and wengine ndio wamehudumu na hawa mabwana, mbali na yote these guys are great​@@neemamsuya238

    • @elisantemushi249
      @elisantemushi249 6 місяців тому

      ❤❤

  • @bensolo8313
    @bensolo8313 Рік тому +3

    Nakubali sana watumishi wa Mungu🎤🥁🎹🎹🎹🎸🎸🎸🪘🎷🎺🎷🎷,Kaka Steve Bassistee🎸🔥Cephas Mndeme🎹🔥Joel🥁🔥Na ndugu yangu Andrew Michaelkan🎸🔥🎶Yesu awatunze sana

  • @consolatachikoti316
    @consolatachikoti316 4 місяці тому +4

    Bila Mungu sijui maisha yangu yangekuwaje., Asante Bwana Yesu.

  • @meshakimsacky4746
    @meshakimsacky4746 Рік тому +7

    @Amigo Johnson, what you did in 04:05 and 06:17 was amazing. Keep it up brother

  • @wambuamatheka216
    @wambuamatheka216 Рік тому +5

    Romans 1 [SWA]
    [ 16] Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.

  • @christinembuya4637
    @christinembuya4637 6 місяців тому +4

    May you exceed as you spread the Gospel of truth until the day of Jesus Christ..Sending you love from England 🇬🇧

  • @dottokabogolo2867
    @dottokabogolo2867 Рік тому +7

    Malibongwe from Spirit of praise 6 by Neyi & Omega.
    Good work on the message and improvisation, God bless you Brethren.

    • @ErickSimeonkahiga
      @ErickSimeonkahiga Рік тому

      it is this not malibongwe Spirit Of Praise 7 ft. Sipho Ngwenya - Ebenezer - Gospel Praise & Worship Song

  • @enocksirya9460
    @enocksirya9460 Рік тому +18

    Whoever came up with the whole music arrangement, the production and the entire team, this is what we mean by growth, a true inspiration on how essence has grown..God bless the leader, the instrumentalists, the whole team..going greater heights🎉

  • @mbulaja
    @mbulaja Рік тому +5

    Sitaona haya Wala aibu ntakusifu popote yesu Wangu mwokozi wa maisha yangu😭🎤

  • @mkapandwanga54
    @mkapandwanga54 4 місяці тому +3

    "I will not feel embarrassed to praise you Ooooh! Lord"

  • @stevenlevittt
    @stevenlevittt Рік тому +14

    Blessed Tanzania! Oh how I love my beautiful country.

  • @philemonkageleja3858
    @philemonkageleja3858 8 місяців тому

    Huu wimbo ni favorite kwangu sana! Aliyeimbisha namfurahia sana! God bless Gwamaka group!. ❤

  • @BettyGeorge-el1gb
    @BettyGeorge-el1gb Рік тому +12

    Woowoow niliusubiria sana huu wimbo 🔥🔥🔥💕 Mungu awabariki sana essence of worship

  • @nyashangoloma
    @nyashangoloma Рік тому +20

    This has taken me back to that room🥹🥹🥹💓💓💓!!! I love you Jesus🙌🏼🙌🏼!!

  • @BwikemoMwamgunda
    @BwikemoMwamgunda 3 місяці тому +2

    Nakupenda umali yangu, Nakupenda Yesu umali yangu

  • @ImmanS991
    @ImmanS991 Рік тому +15

    This whole arrangement is amazing...
    That chorus sounds like a song ya spirit of praise

    • @stephenochieng2672
      @stephenochieng2672 Рік тому +3

      I thought so too. Ebenezer

    • @sharonluvembe8605
      @sharonluvembe8605 Рік тому +2

      Same here...Ebenezer,,spirit of praise ft Sipho

    • @ImmanS991
      @ImmanS991 Рік тому +1

      ​@@sharonluvembe8605 Yess that one... It's beautiful though

    • @godblesshappiness7641
      @godblesshappiness7641 Рік тому +1

      Ebenezer

    • @BGHaule
      @BGHaule Рік тому +2

      Hakuna jambo jipya chini ya mbingu,Kila kitu kilikuwepo,Cha msingi unakiboreshaje kikaleta maana

  • @mwanaidimwanga21
    @mwanaidimwanga21 Місяць тому +1

    Hii nyimbo imeimbwaa🙏I can’t get enough of this Song. Glory to God.Yesu nakupenda……ahsante kwa kunipenda kwanza.

  • @marthakihade6200
    @marthakihade6200 9 місяців тому +1

    amen,be blessed Gwamaka &your team🙏🙏🙏

  • @jesusforlife.5072
    @jesusforlife.5072 4 місяці тому +2

    Siku imekuwa njema saaaana kwangu kuupata huu wimbo, nimekuwa nikisearch jina 'ee Yesu we nakupenda umali yangu' n.k tangu mwaka jana Nov bila mafanikio, ghafla nimeupata kumbe ni huu, naupita kila mara😢..Asante Yesu.

  • @JoyceS.Lutambi
    @JoyceS.Lutambi 5 місяців тому +2

    So wonderful Song, it's bless my heart, I love Jesus , my King

  • @annawilhelm300
    @annawilhelm300 6 місяців тому +4

    Sitaona haya mkukutaja wewe yesu
    Nakupenda uumali yangu

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 3 дні тому

    Its a hit song....Mungu awabariki Essence team

  • @JuliethNkya-nn9ms
    @JuliethNkya-nn9ms 5 місяців тому +3

    Can you imagine how I am blessed for this song oohh Lord you are the one to be praised my God♥️🙏

  • @christinekakai3903
    @christinekakai3903 Рік тому +11

    Am Ugandan but I enjoy your songs so much ur doing a great job in ma life may da lord continue blessing u 🙏

  • @naomilotti1882
    @naomilotti1882 5 місяців тому +2

    My favorite song GOD blessed ur team❤❤❤❤

  • @janeth_ntandu
    @janeth_ntandu Рік тому +1

    Kuna mwanamke hapo mwisho anapiga kigelegele.... Yuko gifted na hiko kitu.... Yaaan kigelegele

  • @BahatiKyabona
    @BahatiKyabona 5 місяців тому +4

    Nakupenda u Mali yangu Yesuu🙌🙌🙌🙌

  • @Judith-b2o
    @Judith-b2o 3 місяці тому +1

    NAKUPENDA SANA WEWE YESU U MALI YANGU SITAKUJA KUONA AIBU KULITAJA JINA LAKO

  • @joylela9794
    @joylela9794 Рік тому +2

    I think the worship medley was ushering in many goodies that essence of worship had in store for us...From Kenya🇰🇪 we are truly blessed...More grace and God bless you Essence of Worship 🤲

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 4 місяці тому +2

    Proudly Tanzanian🇹🇿💪💪

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 5 місяців тому +2

    Mungu naomba Jicho la tatu ... Au sio wewe ..? Hongera Sana kwa kumtumikia Mungu aliye HAI

  • @beatricejuma3609
    @beatricejuma3609 6 місяців тому +3

    Wimbo wangu wa wakati wote❤.

  • @HappinessSafari-o6u
    @HappinessSafari-o6u 24 дні тому

    This song deserves More than 1M views,

  • @loyceyahya2622
    @loyceyahya2622 10 місяців тому +2

    Sitaona haya kukusifu MUNGU wangu ni wewe pekee yako wasimama namimi katika nyakati zote sitaacha kulisifu Jina lako wewe uliye Mwaminifu.....Essence be blessed

  • @rachelmanasseh6942
    @rachelmanasseh6942 5 місяців тому +2

    A love song to my sweet Jesus every now and then❤

  • @evakatani636
    @evakatani636 Рік тому +3

    "Sitaona haya kukusifu kweli , sitaona aibu kukutaja" Mungu Kwa matendo makubwa unayonifanyia katika maisha yangu 🙏🙌

  • @lwitikojoel1466
    @lwitikojoel1466 Рік тому +2

    God bless you abundantly all essence of worship team for glorify Jesus Christ

  • @user-dismaskagoma
    @user-dismaskagoma Рік тому +1

    Sitaona haya kukutaja We Yesu wangu maana ananifanya mkuu katikat ya wakuu

  • @Dorcusmosha
    @Dorcusmosha 19 днів тому

    Wooow! Mungu azid kuwatunza kwa ajili ya kazi yake

  • @jacquelineselim4490
    @jacquelineselim4490 Рік тому +6

    Thank you Essence of Worship for allowing God to use you!

  • @heriethsabugo140
    @heriethsabugo140 Рік тому +1

    Eeh Yesu nakupenda u mali yangu,sitaona haya kukusifu, sitaona aibu kukutaja.

  • @peresmaige4464
    @peresmaige4464 Рік тому +3

    Was waiting ❤❤❤❤. Be blessed dears. Mnaweza na mnaweza sanaaa.❤❤ much love. ....
    Nakupenda Yesu wangu.

  • @innocenttuyisengegospel
    @innocenttuyisengegospel Рік тому +2

    From Rwanda mubarikiwe sana

  • @ananemaemanuel8751
    @ananemaemanuel8751 3 місяці тому

    MATHAYO 10:33 Ninakiri kwa kinywa Changu na kwa Moyo wangu naamini kuwa Sitaona haya Kulisifu Jina tamu la Yesu❤❤❤

  • @isaacmwangi5333
    @isaacmwangi5333 Рік тому +1

    Good excellence quality kingdom Gospel music, God honor you na mbarikiwe❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BarakaKimaroh
    @BarakaKimaroh Рік тому +1

    Bro over there your the vessel
    Honored vessel ..
    Kipenzi cha Moto wangu❤❤❤❤❤❤

  • @neemammbando938
    @neemammbando938 Рік тому +1

    Asante Yesu..sitakaa kukuonea haya wala aibu hata siku moja

  • @SiahMacha
    @SiahMacha 10 місяців тому +1

    Wow wow mmefanya vizuri sana ....well done God.

  • @JACKLINESELELI
    @JACKLINESELELI 4 місяці тому +2

    Mungu akubariki Sana kwa wimbo mzuri

  • @barakamawi
    @barakamawi 4 місяці тому +1

    My song 🎉
    Unanibariki sana hakika

  • @lilianjoseph1144
    @lilianjoseph1144 6 місяців тому +2

    Yesu nakupenda umenibariki

  • @densrono
    @densrono 8 місяців тому +2

    Lyrics:
    Sitaona, haya, kukusifu, kweli
    Sitaona, aibu, kukutaja
    Eee, Yesu we
    Nakupenda, U mali yangu
    Si fedha Bwana, wala si mali Bwana
    Si magari, ya kifahari
    Maana nitapata vyote kwa mwenye vyote,
    Maana nakuamini!
    Bwana, uhai wangu na mwili wako, u mali yangu Bwana
    Ni mali yako, maana nakuamini,
    Nakumini.
    Kipenzi cha moyo wangu, mfalmewa nchi yangu
    Mungu wa dunia, mimi nakuamini.
    Tangu nukuamini sijawahi kuwa nilivyo,
    Tangu nikuamini wewe umenibadilisha
    Maisha yangu ni wewe, huduma yangu ni wewe
    Amani yangu ni wewe, Yesu nakuamini!
    Nasema tena, na tena, na tena, Bwana nakuamini!

  • @DeborahMwalubalile
    @DeborahMwalubalile Місяць тому

    Namna navyosikia raha sasa nikimtaja huyu Yesu eeee u mali yangu mimi hapa

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl Рік тому

    Hakika sitaona haya au aibu kutaja jina Yesu kwan nijina amblo ukitaj na ukmuamini barak zinafurika maishan mwako🙏🙏

  • @leonidamichael2664
    @leonidamichael2664 2 місяці тому

    Eeh yesu am all in you and you in me

  • @mozzkamaru
    @mozzkamaru Рік тому +6

    Wow , sitaona haya , what A rendition . God bless the whole team . The Guy is so joyous 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 Рік тому +2

    4:51 nabarikiwa sana tena zaidi ya sana, Bwana Yesu nakuamini na nakupenda ❤❤❤, hongera sana muongoza nyimbo na team nzima, Upendo wa Mungu wetu aliye hai uwe pamoja nanyi nyote, Amen.

  • @JuliethNkya-nn9ms
    @JuliethNkya-nn9ms 5 місяців тому +2

    Be blessed guys this song is such a blessing 🙏

  • @rulebudodo2301
    @rulebudodo2301 2 місяці тому

    Excellent Essence of worship. Napenda sana Sollo la Andrew

  • @HalmaChris
    @HalmaChris 3 місяці тому

    Thank you God for beautifully song🙏🙏

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 5 місяців тому +1

    I really love you guys,i can not stop my tears,i am so Blessed,God is so good to us.Jesus i love you so much

  • @nguombagalarang3jfashioncl524

    una jua, Afu una Mungu, Afu una Fundisha Vijana kumujua Mungu zaid, Mungu aendelee kua na ww Pia Family yako, Mwambie Mke wako akuombeee sana, Gwamaka

  • @hellenmodash2444
    @hellenmodash2444 4 місяці тому

    Maisha yangu ni wewe...huduma yangu ni wewe...kipenzi cha moyo wangu...I love you Jesus with everything in me...🎉❤

  • @EmmanuelMwalembe-is4ln
    @EmmanuelMwalembe-is4ln Рік тому

    Barikiwa sana, Mungu azidi kuwainua my best worship team in the world

  • @sialema8500
    @sialema8500 9 місяців тому

    For heaven is filled with praises and worship than this... thus, I don't want to miss the chance to be there.🙌🙌🙌🙌

  • @kevinmremi6312
    @kevinmremi6312 Рік тому +3

    Godwin Mlambo, you are blessed. I was waiting for this song with awe. The annointing poured During the live recording of this song was massive. I still remember the might power of the Holy Ghost filled mightly in the room
    All Glory to you, Jesus

  • @EvahKyando-rl6ty
    @EvahKyando-rl6ty Рік тому

    Yaan Mungu azidi kuwahudumia na kuwainua, kila mara nausikiliza wimbo huu yaan najikuta nko uwepon, Mungu azidi kuwabarki Team work

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Рік тому

    Blessed song mbarikiwe mno ila big kaua sana bro Gwamaka mpe wimbo mwingine asolo.
    #SitaonaHaya

  • @jamesshammah1454
    @jamesshammah1454 Рік тому +3

    Hayayayaaaah❤️❤️ This is POWERFUL 🔥🔥🔥 you are a blessing Indeed Watumishi 🙏🙏.Nawapenda Sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏

  • @sonofyahweh5658
    @sonofyahweh5658 Рік тому +3

    Sometimes you just sit back and get ministered to as well...
    What a humility pastor Gwamaka...
    God bless the whole team

  • @phelgonaatieno9038
    @phelgonaatieno9038 3 місяці тому

    Boaz we appreciate you in Kenya too.

  • @Yoshuakikasiga-r3g
    @Yoshuakikasiga-r3g 6 місяців тому +1

    Amen🙌🙌🔥🔥🔥🔥

  • @elipidiussaimon1777
    @elipidiussaimon1777 Рік тому

    Nakuombea kaka angu gwamaka lkn ombi langu ni usiukose ufalme wa mbingu nakupenda sana

  • @princejey310
    @princejey310 Рік тому +1

    kazi kubwa hii neema zaidi watumishi

  • @ministermossesmungure
    @ministermossesmungure Рік тому

    Hallelujah Hallelujah Utukufu Kwa Yesu Aliye Hai. Nmebarikiwa Mno family 🔥🔥🙏💪💪🙇🙌🙇💪🙏🔥🔥🌎

  • @bertinailomo1230
    @bertinailomo1230 Рік тому +1

    Waaaaaaaoooooo so great 🙏🙏🙏 God bless you

  • @jessiechrissy8974
    @jessiechrissy8974 2 місяці тому

    An all-time Favorite worship melody! Glory to God, creator of Heavens and Earth.

  • @EdenKifungo-c2n
    @EdenKifungo-c2n 7 днів тому

    One of the my faviorate worship song ever