My father always says Kuna mahubiri huwezi fanyia a certain class of people ..sasa Diamond ukimwambia hello Mbinguni nataka Gari...Ako nazo...nataka nyumba..Ako nayoo...itabidi mseme nataka yesu..juu yeye ndie hana
Bibliya gani hunayo hisoma wewe ambayo inasema Mungu angaali mavazi? Hujasoma kuwa maandiko yanasema kuwa kilicho ndani ndicho huzirika inje? Kwani chupa likija maaji, mengine yakianza kumwagika siniyalele yanayo rowanisha inje ya chupa, Asomae naelewe
Yesu kristo alisema imeandikwa katika torati usizini lakini Yesu akasema amtazamaye mwanamke kwajicho lakumutamani tayari amezini naye moyoni, na chanzo chakutamani nikuona na mtu akiva kwa gisi inavyo sahili nivigumu kumtamani kwa hiyo kama siku ile ya hukumu watakao shitakiwa zambi ya uwasharati kwa kusharatika moyoni basi wavao vibiya wataikiya zambi hiyo kwakuangusha wengi kwasababu ya mavazi waliyo yava wakiwa haii
So many judges in the comment section. Usihukumu, usije ukahukumiwa. Acheni Mungu amhukumu Bella kama mwamwona hafai kumtukuza Mungu, the comment section isn't pleasing
Diamond anafanya nini na waimbaji wa gospel Halafu eti Diamond ameshangaa uimbaji wa Bella Who is Diamond by the way? Can you mix gospel with Diamond? Kama unataka kushuka Bella jimix ma Hao, Keisha habari yako,Wana wa Mungu hawajichanganyi ma ulimwengu.
Watakao ingia pale ktk mji wa jerusalem ni wachache mno.maana shetani hupenda kujificha na kuwa mwema ili hali aiharibu ata yamkini wale walio wateule wa mungu.mathayo 24:24.inahitaji sana moyo wa hekima na maarifa ili kujua watumishi wa uongo ufunuo 17:9.kwa maana wengi wanapenda midundo ya miziki na si injili tena.tokeni kwake na wala msishiriki ibada yake ufunuo 18:4
Ameitwa NaMungu mwenyewe mwenye enzi ndiomaana anatiisha Dunia na tunasifu, wee andika coment yako moja ya kuchafua Anazidi kushangazwa Kama anaota❤❤❤❤❤❤❤🎉
Sip wote wamwitao BWANA BWANA watakao muona YESU. This dressing and the songs being sung hear you can not different them with the worldly song. Bela too should change.. all of them!!!
Mungu haziakiwi wala haja kosa wa kumtukuza, ili nyinyi mumziaki kiasi hiki siku ina kuja tena ya kutisha mume chafua patakatifu pa patakatifu na kuiabudu miungu ya kuzimu na. Shetani ata wapa vyote ila hamuna uzima wa milele munao tarajia katika haya malaya na umalaya wenu ndio unao wa changanya
Watu wenye wanasema mung hatazami mavazi.angalisho kwenu.waimbaji wako wanafuramia watu .nanyiy waimbaj.musha ingiliwa nashetani.nakunena kwa ruga haimanishi kwenda mbiguni
Wanaotamani diamond aokoke Likes nyingi hapa
Shetani aliitengeza lini
Kwani hajaokoka😂
Ataokoka ni ishu ya muda 2..
Few days remaining.
Diamond will accept Jesus Christ as his saviour and Lord. Ameen from Kenya. We love you Tanzanians
That's what I see
Diamond will get born again very soon for the glory of God
Amen
Sure
That's our prayers.and it will come to pass
Bella you have a heavenly commanding voice,endelea dada.
Sure.. I always feel goose bumps listening to her songs
Huyu dada yaani nyimbo zake zinakusogeza sana karibu na mungu
*Mungu sio mungu😊
Lakini mavazi yake n tattoos apana
Heavenly father may you touch the heart of Diamond and humble him to bow b4 your Holy Name,He's one of your Servant's to your Kingdom, ohh! Lord.🙏🏻🙏🏻
She can really manage the stage very well, anachapa live kamili, hategemei iliyo kwenye rekodi, Good vibe. God bless you Bella Kombo
Bella Kombo anaimba standard!🎉❤ Yesu aendelee kukuinua!
❤❤❤❤❤❤❤
My father always says Kuna mahubiri huwezi fanyia a certain class of people ..sasa Diamond ukimwambia hello Mbinguni nataka Gari...Ako nazo...nataka nyumba..Ako nayoo...itabidi mseme nataka yesu..juu yeye ndie hana
❤
😂😂😂😂
On point
❤
On point😂😂😂❤
Diamond ataokoka sikitambo amen
Have been praying for Diamond to be saved it's just a matter of time.
I love you Bella,, I also like the way diamond socializes with other people!
From Kenya, love you Bella Kombo, God bless you
Naona Mercy masika na bella kombo wakifanya collabo
I love bellaa❤❤ the voiceee aweee
SIMBA SKUIZI ANACHEZA KARIBU NA DADA SHUSHO ANADAI SALVATION HUYU NDUGU ANYWEI NICE PERFORMANCE BELLA
Omg😯😯😯nice voice my best song ever
I love the outfit ❤❤❤
Napenda huu wimbo...nifinyage...
Jamani. Let us be careful when praising God. I fear that we are coping circular sana. Fear God in our dressing and even how we "dance " for God.
This Is not circular it is a congolist type ngugu
Hapo niyesu anatukuzwa❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mbona Diamond , ROHO yake ni safi ,sema tu hataki mwenyewe, lakin Yesu anampenda sana
Kapendezaaa bella
kwa ushauri wang diamond okoka
Diamond na Harmonize wote wanatakiwa kuokoka, maana nuru ya Mbinguni imewazukia
😂😂😂😂😂kbs
Masonic gang
I love the girl Kwa kweli!
Congratulations, young lady, Bella you're doing good, God's Grace sustain you
Kwani siku hizi light and darkeness are together. Juu wenye wameokoka na wenye hawajaokoka wanashida pamoja. My psalms 1:1
The devil is very cunning,
Love this so anointed woman of God.
uzuri Mungu wetu hatazami mavazi anatazama moyo wa mtu.keep on going bella
Bibliya gani hunayo hisoma wewe ambayo inasema Mungu angaali mavazi? Hujasoma kuwa maandiko yanasema kuwa kilicho ndani ndicho huzirika inje? Kwani chupa likija maaji, mengine yakianza kumwagika siniyalele yanayo rowanisha inje ya chupa, Asomae naelewe
Yesu kristo alisema imeandikwa katika torati usizini lakini Yesu akasema amtazamaye mwanamke kwajicho lakumutamani tayari amezini naye moyoni, na chanzo chakutamani nikuona na mtu akiva kwa gisi inavyo sahili nivigumu kumtamani kwa hiyo kama siku ile ya hukumu watakao shitakiwa zambi ya uwasharati kwa kusharatika moyoni basi wavao vibiya wataikiya zambi hiyo kwakuangusha wengi kwasababu ya mavazi waliyo yava wakiwa haii
Kabisaa mungu hutazama moyo
@@FideleLisha thank you my dear,hajui anachokisema huyo
Nani kakudanganya...hebu wote wavae nguo ndefu Yani free dress tuone kama diamond ataskika hapo
Kati ya wote...Bella Kombo imetendeka haki dakika zako ulizopewa ..big up
Huyu anajua kuimba live wengine wanabebwa na studio ila wote wapo katika kumtumia Mungu ,YESU awatunze🙏🙌
Safiiiiiiii utukufu kwa Mungu
Bella nakupenda usimuache Mungu
this is My favourite song🥰🥰🥰
I love Bella kombo from Kenya
You song's really blessed me❤❤, enjoying it from Kenya
Mungu awainue viwango waimbaji msitende dhambi
I love you bella kombo my lovely sister
Daa Yani mtoko wa pasaka ya mwaka huu Ni diamond tyu kwani wengine hawakuwepo alikuwepo diamond tyu jmn
😂😂😂
Amen. Praying for your salvation 🙏🏽
Wow praise be to God because his servant is amazing
Mungu ni umoja mubarikiwe sana❤❤
Huyu do ndo Wa bongo star search jaman dohhh amebadilika sana namkumbuka huyu Dada yaan
May the Lord save these artists... Following worldly ways...AMEN💯
This guy will One day sing for the KING OF KINGS
A lady has good voice ....mmwaah 🥰🥰
So many judges in the comment section. Usihukumu, usije ukahukumiwa. Acheni Mungu amhukumu Bella kama mwamwona hafai kumtukuza Mungu, the comment section isn't pleasing
Diamond anafanya nini na waimbaji wa gospel
Halafu eti Diamond ameshangaa uimbaji wa Bella
Who is Diamond by the way? Can you mix gospel with Diamond?
Kama unataka kushuka Bella jimix ma Hao, Keisha habari yako,Wana wa Mungu hawajichanganyi ma ulimwengu.
Vaa kwa heshima bella na utainuliwa zaidi na mungu.Anyway you have got the talent.Be blessed
barikiwa sana Bella. Daimondi Simba atakua mkristo hivi karibuni
Mungu aliye muokoa Paul (Paulo) atamukowa very soon.
The voice she gat...🥳🥳🥳
Aokoke maan yesu anampenda sana
Mbona sijaona ufupi wa hiyo sketi hivi watu wakoje endelea kuliinua jina la mungu dada
Watakao ingia pale ktk mji wa jerusalem ni wachache mno.maana shetani hupenda kujificha na kuwa mwema ili hali aiharibu ata yamkini wale walio wateule wa mungu.mathayo 24:24.inahitaji sana moyo wa hekima na maarifa ili kujua watumishi wa uongo ufunuo 17:9.kwa maana wengi wanapenda midundo ya miziki na si injili tena.tokeni kwake na wala msishiriki ibada yake ufunuo 18:4
Daaah I love this woman ❤❤❤❤
Lovely 🌹 song sana ubarikiwa
Ameitwa NaMungu mwenyewe mwenye enzi ndiomaana anatiisha Dunia na tunasifu, wee andika coment yako moja ya kuchafua Anazidi kushangazwa Kama anaota❤❤❤❤❤❤❤🎉
Iyo sketi Tena madhabahuni kwa Bwana sio sawa, Mungu atusaidie hatuna hata hofu ya Mungu
Mungu akubariki sana Bella,umemtukuza Mungu
My favorite song ❤❤❤
Diamond ni mpotovu Bella kombo usijidanganye akakupotosha kama shusho
Sip wote wamwitao BWANA BWANA watakao muona YESU. This dressing and the songs being sung hear you can not different them with the worldly song. Bela too should change.. all of them!!!
Thank you woman of God🎉
Mungu haziakiwi wala haja kosa wa kumtukuza, ili nyinyi mumziaki kiasi hiki siku ina kuja tena ya kutisha mume chafua patakatifu pa patakatifu na kuiabudu miungu ya kuzimu na. Shetani ata wapa vyote ila hamuna uzima wa milele munao tarajia katika haya malaya na umalaya wenu ndio unao wa changanya
MUNGU WA MBINGUNI AKUREHEMU, OMBEA UDHAIFU USIDHARAU MAFUTA YALIYO JUU YA MTU.
This is great heaven is celebrating🥳🥳🥳🥳🎺👍
Nouma sana Bella ❤❤ 1
Love you mamy ❤❤❤❤
Tujifunze kupitia Diamond Platnumz ni zaidi ya Jay-Z 👏👏👏
Tunajifunza nn kwake kupoteza umaa au maana sijaona jambo jema muislamu hutaki kushiriki skukuu ya kikafiri
Kafir wewe na ukoo wko,,mgaid nyny
Kichwa chako ni kizuri kweli
Sanaa naonahipsi wapo kibiashara kutataza soko kutamanisha tu wanaume
Abee
Mungu tusaidiye utupe roho ya utambuzi 😭
Mbona anavaa vizuri tuu siyo skirt fupi iyooo ndugu zangu
Kwa ujumla hapo hakuna ibada ya mungu ni shetani kajivika uungu
Ukiangalia kwa mbali utaona ukumbi ulivyo pambwa na rangi yake,kwa kweli someni kitabu cha danieli na ufunuo
Watu mara ooh mavazi mara sijui dance😂😂😂kwani nyinyi ….aaaii
Diamond ataokoka mtashangaa.
He better anaeza kua evangelist mpoa sana
I highly doubt
😂😂😂 so beautiful and sweet music
Na mshukuru mungu kwa Aliemualika uweponi mwa mwenyezi mungu
Well done Diamond🙏
😢 Jesus son of God help us may your compassion never fail.
Yuko vzr sanaa
Natamani siku Moja gershonis wafanye live parfomans alafu tumwalike na diamond platnum are aserebuke Kwa yesu.
Mungu ni mwema sana
Akiokoka itapendeza sana sana
Mungu atusaidie tusienende sawa na Dunia inavyoenenda Kwa stahili hii ni ngumu kuiyona mbingu
Nowadays young generation we have run to God.mambo ya dunia bila uwepo wa bwana hayasaidii
Bwana Yesu akuinue zaidi
Diamond bado around 60% aokoke
Diamond okoka kwa ushauli wangu
Favoured bella
Mungu akubariki sana
Watu wenye wanasema mung hatazami mavazi.angalisho kwenu.waimbaji wako wanafuramia watu .nanyiy waimbaj.musha ingiliwa nashetani.nakunena kwa ruga haimanishi kwenda mbiguni
Ameimba vizuri Sana mungu amubariki
Naona Kama wote Hawa ni matapeli tu
Vaa kawaida usi pambe mavazi sana
Naomb mungu anipe kipaji Kam chako mtumishi mm napnda San kuimba nyimbo za kuabudu bt Sina wa kunishauri kuhusu hicho kipaw
HALLELUJAH AMEN
Hapo hakuna Nuru ni Giza tupu
Mbarikiwe xana mungu awabariki
Diamond umkiriyesu ufanye Toba uokoke
Wonderful munipe likes nifurahie
Nice job
Amn ❤❤ gud s
Kila mwanadamu anamwitaji Mungu!