NAFSI YA MKE WANGU |FULL MOVIE|
Вставка
- Опубліковано 9 тра 2023
- #Bhailam#Rachel#mbwela
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Karibu kujiunga na group la What's app
BONYEZA LINK 👉👉chat.whatsapp.com/Jqzzxa1X8Qz...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.com/@ComedyPlustz...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : profile.php?... - Фільми й анімація
Karibu kujiunga na group la What's app
BONYEZA LINK 👉👉chat.whatsapp.com/Jqzzxa1X8Qz4r2GCUgyS1i
www.youtube.com/@binhomforever
iko fine
iko sawa
Reo nafika mapema naombeni hâta liké tanu From burundi 🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Eheeeeeee mzeeee bailam wewe ni Mwamba saaaaaanaaaaa❤
Tafadhali hiyi mui fanye Tamptiliya tena Ndefu sana ikiwa pendeza.
Mumefanya kanzinzurisana Sasa kwanini hamutakikufanyakazi nawarundi nzoni ukukwetu Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Sio km hatutaki kila kitu kina utaratibu wake ww andaa kazi kisha tualike tuje
Maskini 😢bt bhailam unatoa tahadhari kwa wanawake imeniuma sana 👌👌👌👌
Nimependa iyo. Kali ya mwaka
Wakwanza Leo naombeni like zangu 😀
Bhailam nilkumis kweli❤❤❤❤❤
Hongera sana familia tunafuatilia sana Kaz zako kula wakati
Hii Kali sana broth ina funzo sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉poke yako bhailam😂😂😂
bhailam nimeamua kukufollow Sababu sikuoni kwa kazi za clam... Cha ukweli unafanya maigizo mazuri na feeling... From kenya
Kazi nzil bailam
Ila Bairam nakuogopa sana
Kaka nna kipaji Cha kuigiza nawapataje
Bailamu the most
Nzuri sana
Nzuri sana hii mngeifany kua ndefu
Juyanini waislam kuwa wawacomenti kubitu bwa yesu ?najiwazaga sana nakosa jibu
Jmn mm nampenda sana bailam nafurahi kuona kazi zake nzur sana❤
Haise mungu awabaliki munafundisha nawakubali God bless ❤❤❤
Asante sana kwamafunzo yenu munayodupa❤
❤❤❤
Umeyatimba bwana mkubwa😂😂😂😂😂
Uyo alie mbuwa ni mzuri kuliko yule kimada
Kaz nzur ❤❤❤❤movie hii inamafunz
Aisee hii kitu nimeielewa sana
Nawahi kufika naomba like
Mwanaume mubaya sana unatiya Asira
Ukitendea mwenzako mabaya utahangaika milele Hadi atakapoamua kukusamehe
Tubia kwa allah hali itakaa sawa
Tamaa nimbaya kweri.
Muuwa
Kabis ❤❤❤❤😂😂😂
❤
EZILON MILINGA
Nipanguzeni machozi😢😢😢😢akika nimelia
🤣🤣🤣
😢😢😢
❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥
😂😂😂
🤝🏾🤝🏾🤝🏾🤝🏾
❤❤
Unyama mwingi uwache umwagike
Ssa mtu kafa afu anabadilisha nguo jmn ingetakiwa anapotikea avae nguo ile ile
Nguo ni ileile
😢
ina mafunzo sana hii
❤❤❤