MAMA YANGU CHIZI
Вставка
- Опубліковано 12 січ 2025
- #Bhailam#Khairat#Mbwela#Naomy#comedyplus#2023#
Unaipenda Filamu zetu na ungependa kutusapoti kwa chochote! Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kupitia M-PESA +255758515863. hii itatusaidia sana kupata nguvu ya kufanya filamu nyingine.
Tunashukuru kwa mchango wako.
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Khairat ni kabint karembo Sana MA Shaa Allah mwenye zimungu ampe Maisha marefu na yenye baraka tele katika kazi zetu
Ametoka kupiga kitu chaalush
Mambo
@@deoselcom9701 pw
Imenigusa muyoni mwangu😭, maisha ya huu mtoto yanafanana na ya kwangu wakati nilikuwa mdogo sana😭😭😭, ni funzo kwa binadamu wengine, kwa bahati nzuri mama yangu kapona , na pia nimemaliza shule, like kwenu❤️❤️❤️
Ivi wewe MBWELA una elimu gani???laaaah sina cha kusema zaidi ya kusema ahsant sana kwa jinsi unavyo tuelimisha!!!nazipenda filamu zako kwa sababu zi na elimu tosha!!!mbwela brother from an other mother big up sana na MUNGU akuzidishie mibalaka🤝🤝👏
Kazi nzuri sana hii
Asante kwa mafunzo .
Ulimwengu wa sasa huu na hiki kizazi kichanga cha hitaji sana usaidizi kimafikira
More love from +254 MNabishaaa!
Khayrat nakupenda buree habbty❤❤💓💞 yani uko vizur 👌👌
Kazi nzuri,hongereni sana! Uncle,mbinu ya kuonesha uhalisia itawasaidia wengi kutatua tatizo kuliko maneno na adhabu nyingi.Big up,nimeipenda hiyo.
Mbwela kazi nzuri unayo fanya maan kila movie unayo toa lazm uwe unatoa funzo kwa jamii
Mmenikumbusha mama angu jamani,nimelia upya ila nacho amini mgonjwa yoyote wa akili hamsahau mwanae,chakushukuru sikuwahi kuumwa chochote licha ya kula chakula kilichoharibika R.I.P mama.
Pole @antoniamtega495
Pole sana anton
@@antoniamtega495 pole sana
Mbwela kijana mwenye busara sana, kongole kakangu
Huyo mtoto amenitoa machozi kiukweli anajua kucheza na matukio nimempenda sana
Imeniliza nimekumbuka mbali hizi ndizo moves ❤❤
Mpo vizuri❤ mbarikiwe
Kazi nzuri sana hongeren
We mtoto n 🔥🔥🔥🔥🔥 unaweza adi basi unaweza 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dahhh mungu amlaze mahali pema peponi mama yangu hakika ni safar ya wote😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 dah Yani NAKUPENDA Sana mama angu japo sikuoni najuwa ni haadi yako ilishafika
Unamanisha nini
Munafunza nzuri mashallah
From tiktok much love from 🇰🇪
Nimependa sana inatufundisha sana mabinti zetu
Nimejifunza kitu kikubwa sana hongeren kwa kaz nzuri
Kazi nzuri inamafunzo mazuri jamani 😢
Uwa napenda sna maneno ya mafunzo ya mbla nawapenda sna team nzima❤❤❤
nikweli Kabisa good job and comedy and tanzania
Nimeipenda sanaaaaaa mkojuuuuuuuuuu
Daaaah nimependa kbx movie nzuri saaan
Respect Sana kazi nzuri Sana ❤️❤️
Chukueni maua yenu🌻🌹🌺🌸
Khairat nakupenda bure🥰🤣🤣🤣
Kaz nzuri sana,ila daaaah imenitoa machozi sanaaa ak,,😢😢
Funzo nzuri sana kw jamii.... mashallah 🥰🥰 mumeweza
😢nime lia mm😢 ... Wallahi mbwela I ❤ U ....yusra kutoka MSA ... mbwela I love ur Movies 😊 ...one ❤ brov😊
🙏🙏🙏
Khayrat...una kitu ....
Utafika mbali.lkn uvae ushungi
Nimeipenda inafunza vizuri Sana... Mungu awazidishie🙏🇰🇪
Yaani mungu akubariki na akuongezee zaidi sababu video zako zina elimu tunajifunza kutoka kwako bro Unajuwa 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Nimejfunza k2 broo nimependa iyo
This clip is awesome, touch my inner part of my heart
Kazi nzuri sana❤❤ hongereni sana
Kudos! Nice work,to be continued...waiting next
Nilikuwa sijamuon vizul chizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haki yamung lecho 😁😁😁😁
😂😂😂
Good job guy's ❤❤❤❤❤❤
Nampenda huyu kaka san t😊
Hongereni kwa kz nzr mashaallah ❤
Munaelimisha😢munafunga😢pia Asante😢 kwa kutuletea kaz mzuli kama iz👏😂
Much love from kenya❤❤hongeren kwa kaz nzur
Mm nimependa anavyo tamka upumbavuu
Wow very good actors
Inafunza nimeipenda
Amazing story ❤️ ♥️ 😍 👏 💕 💖 ❤️ ♥️ 😍 👏 💕
Airathi mzur bwan😅
Aisee bonge moja la contet na imekuwa more delivering mko vizuri huyo anko wa mwisho ni master sana wa short movies anajua had anakera alinifurahisha alipompa mimba dadayake bailam then akampga chini kulipa kisasi end of day anamwambia achague mawil aise ni fund in short wanajua sana hawa jamaa
Funzo zuri nimeipenda❤❤
Kazi nzuri sana❤
Mashaallah mbwela busara kakaangu umeweza 😢❤❤keep it up bro
Ongeren sana nimejikuta namwaga chozi😢 Kwa kipande anko anamtbulisha moto mama inasikitisha San ongereni
Kazi nzuri kaka angu😭😭
dah khairat nooomaaa hhhh
Nyiee mbwela Ako vizur❤❤much love mkaka🥰🥰
🙏🙏
Hii funzo kubwa kweli nime ikubali
Dada na aillat mko vizur sanaaaa
Nmeipenda sana hii 💛💛💛
Kazi nzuri❤❤❤🇰🇪🇰🇪
Lecho uyo chizi🤣🤣mama kijasho🤣🤣🤣
😂😂😂
Haya hizo hapo ❤❤❤
This is really the best comedy plus video I've ever seen! Congratulations, Great job homies.
Poleni sana jamani atana mm likuwa namzazi kamauyo
Nampenda naomi. Anajitahidi kujistiri
Mbwela na bailam nawakubali sana
Safi sana
Safi sana nmeikubali😍😍
Inatufunza mengi sana sana sana hii movie nimeipenda sana
❤❤❤Kaz kaz
Mbwela baby NAKUPENDA 💕💕💃
😂😂Ahsnte nakupenda pia
Sa mbona umeanza kucheka afu ndo Ahsnte jomon 😔😟
Hamna nimefurah kuona hisia tamu zikitamkwa
Aya pouw my
Kazi nzuri xana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Much love from kenya keep rocking
Ila jaman cjawai ona chiz anajua harufu ya ganja 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Nami nilicheka sana🤣🤣🤣🤣🤣
Chizi alokuwa teja dunga mawe
Nimeshindwa kuzuia machozi yangu wallah yaa Rab waponye wagonjwa wote wanaopitia kama haya
Huyu mtoto airat anakuja kwa kasu
Sanaaaa😘
Anakuja kwa kasi kama na wengine mmeona like zenu tafadhali
Woooow you make me cry 😢😢 respect for all members
Nawapenda kazi nawapenda
Haka katoto nimekapenda bure💛💛
Nice next please 😘😘😘
Khairat ni mzur sana jmn mashaallah
Daah inaumiza
Mwendelezo jmn
Nawapenda ❤kwa mafundisho yenu
Tunaomba muendelezo kujua zaidi
Uyu ndo baba ake mazazi uyu bint😂
Man this very deep and educative.😭😭
Kaz nzur
❤nime ipenda kinomanoma
Nawakubali
Khairat best actress all time
Ama kweli mama n mama❤❤❤
Jmn naomben like zangu♥️♥️
Like kwa kazi gani???
Ziko wapi
Ahsante uncle m2 kwa kutumia busara kumwelimisha mtoto by pL
Naon
Pp
Ashante sana hii no funzo
I almost cried when she met her mother for the first time! 😢😰 😭
Mambo
hata nimeshituka nalia kwa chozi kubwa mno😭😭
You just gained a new subscriber i love your content ❤
Imenigusa muyoni mwangu😭, maisha ya huu mtoto yanafanana na ya kwangu wakati nilikuwa mdogo sana😭😭😭, ni funzo kwa binadamu wengine, kwa bahati nzuri mama yangu kapona , na pia nimemaliza shule, like kwenu❤️❤️❤️
❤❤❤💪
Nimelia sana😢
Imeniliza hiii jamani😢😢😢
Very touching story 😢😢😢😢
Nimelia😭😭
Mafundisho mazuri kweli