Bravoooo, clam hili umeliweza kweli, nmeifatilia epsd 01 to 10 and I prove it done, hongera sana bro clam, its a great job keep it burning, hii bado cjachoka kuiangalia
Tunapenda movie nyengine kama hii ama mnasemaje mashabiki wa clam vevo....kusema kweli niko na asilimia mia moja watu wengi tumependa hii filamu...hongera kwa kaka na ndugu yetu clam na hakika filamu hii ameitendea haki na anahitaji pongezi kwa hiki alichokifanya maana haikuwa rahisi.
Nilivyona Clam yupo ndani nikaona niangalie. Mara zote huwa na view na kuenjoy lakini siachi comment. Kiukweli Wewe pamoja na wenzako Mpo vizuri naamini hii Movie inahitaji boost kidogo tuu ili intrend ila nawaona kwenye picha kubwa kwenye tasnia ya filamu. Mungu awalinde na kusimamia afya pamoja na kazi zenu. Mnastaili Pongezi 👏👏👏🙌
It was nice one Mr but ugepush iendelee Dio ufunze adabu hao wote waliofanya unyama kwa Ziduna ..na Dio tujifunze ubinadamu and kutafuta Mali polepole mbila kufikiria ushirikina
Hiii movies haichoshi kuangalia hatare sana kazi nzuri sana clam
Noma!! Kwa staili hii mtaifufua bongo movie. mm nlikuwa nsha acha kuangalia bongo movie. Mlio unda hii movie mna akiri sana mtatoboa.
Clam anaenda kuwa more popular than before like zangu jameni kwa kuwa I support this king of movies
Ilikuwa nzuri kaweli,,hongera sana kwa filmu mzri kaka
Bravoooo, clam hili umeliweza kweli, nmeifatilia epsd 01 to 10 and I prove it done, hongera sana bro clam, its a great job keep it burning, hii bado cjachoka kuiangalia
Dahhh uyo mwanamke aloigiza kama mzimu dahhh ni mzuri sana. Amenikosha kwel
Kama unamkubali my brother from Tanzania nipeeni likes Kwa wingi guys ata Kumi bana Juu sijawahi pata likes apa aki am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🗺️
Kwani kuna soko la kuuza likes mzee mbona unazitaka sana hizo likes
😂
@@cosmascastory9193😂😂
Q@@cosmascastory9193
Llpp😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
P❤
Hii movie mliianza viizur,lakn ilipoishia haikustahili iishe hivoo..
Nimekuwa wa kwanza fanya ulike basi ❤️love form Germany 🇩🇪
From. German wapi bana ww daaaaag
@@cosmascastory9193 na mimi from china 🤣🤣🤣
Bro ume fanya Sawa kwaku onganisha yote ni Sawa sana bro wewe sana una busara sana
Tunavyoiangalia ni km hatujawah kuiona...clam ndo ujue tunakupenda Kwa Hal na Mal...kutoka kucn Pemba Allaah akubaarik mahbuuubaah
Nc
Congratulations clam VEVO a gd. And educated comedy, much educated " yaani tusije tu kakata tamaa, na hakuna kizuri kisicho garamika,,,
First to comment..Mnipe likes juu nimependa vipindi zake sana🔥🔥From maasai land kenya
Uyu mwamb anatisha kama njaa👹👹👹👹👹👹👹👹
Duu! Kwamba ckupingi
Clam upo vizur best endelea kutupa burudani mashabik wako tunataka Raha tu
Tunapenda movie nyengine kama hii ama mnasemaje mashabiki wa clam vevo....kusema kweli niko na asilimia mia moja watu wengi tumependa hii filamu...hongera kwa kaka na ndugu yetu clam na hakika filamu hii ameitendea haki na anahitaji pongezi kwa hiki alichokifanya maana haikuwa rahisi.
😊😊😊😊
😊😊😊😊
😊😊😊😊
Hii kitu ingeendelea ni tamu sana
1st viewer here...thank for all and we're okay with it and we've watched all of it....thank you,Kuja na nyngne twasubiria..More Love from 254 🇰🇪
Kutoka niijue snake boy nmependa movie zako lakini hii imeweza hongera Clamvevo 👌👌👌
Hapa nimejua kuwa damu ni nzito kuliko maji❤️❤️much love from Kenya 🎉🎉
Kenya Nairobi twasema kazi nzuri💥💥
Nimefuatilia kutoka mwanzo Hadi mwisho🔥🔥yaani mpangilio ni sawa na mmefanya kazi safi sana ✨hongera kabisaa❤️👏👏
Wakwanza Leo au , oya msilike
Mko vzr sana!
Asantee sana kwa muunganiko huu wa episods
Uyu mganga tumepigwa🤣🤣 anyway ni moja ya burudani movie tamu na nzuri balaha nakufatilia sana clam
napenda kazi zako sana CLAM hii kazi safi #kenya nakuona
Fresh sana clam umefanya kazi kubwa sana 🔥🔥
Nilivyona Clam yupo ndani nikaona niangalie. Mara zote huwa na view na kuenjoy lakini siachi comment. Kiukweli Wewe pamoja na wenzako Mpo vizuri naamini hii Movie inahitaji boost kidogo tuu ili intrend ila nawaona kwenye picha kubwa kwenye tasnia ya filamu. Mungu awalinde na kusimamia afya pamoja na kazi zenu. Mnastaili Pongezi 👏👏👏🙌
Leo nimekuwa wakwanza nipen like zangu🥰🥰🥰
Mmeweza bongo movie mtafika mbali Sana du!
U r amazing clam nakukubali sana unajua ile ile lkn hpo kwa zinduna kubadilisha nywel mmetupiga
Sema sis ulo mchezesha hapa mzuri sn naowa 🫠😁
Sema zinduna mwenyewee mzuriiii hatariii😂😂😂
Penzi la mzimu nimekuwa nikifuatilia toka 1-10 final! Hatimaye imefika mwisho; kazi nzuri mno na nimejifunza mengi sana kwenye hii story.👏🙌🔥
Huyo math nampenda yupo kweny dunia na movie nyie❤❤❤
Shabiki wa kwanza wa clam huku youtube naomba like jmn nipo wa kwanza
Unatak upeleke wapi likes kwani kuna soko la likes
Shabikiwatatu
Ikosawa
Mm wakwanza nataka likes
Kufa uzikwe🚮🚮
Unataka likes uzipeleke wapi kuna soko la kuuza likes au
@@cosmascastory9193 wa nyka like Kwa furha zao Kama wewe auna furha Na wenzako ka mjoba
Tulio fatilia penz la mzimu kama Season Adi tumemaliza tupi like apa tujuane 🔥🔥
Likes za nn mjomba wewe Acha ushamba wa kuomba omba likes kwa watu wakati Kazi ya Clam Vevo wewe waomba likes zikusaidie nn wewe
@@cosmascastory9193 🤗🤗🤗🤗 Umeuaa
@@cosmascastory9193 mjomba achaushamba wew kama hutaki kupiga like pitatu achakuongea maneno mengi wanaonielewa watapiga like
em
Kuwa makin na madem wa dar
Kweli hii movie imeweza, you are the Greatest showman endelea hivo hivo brother
Kwakweli vipindi zenyu huni frahisha kwakweli ata nikiwa nimekasirika nafrahiya bd zinduna imenifunza kakitu kweli big up watu wanguvu mwendele ivyo ivyo
Konki sana
Leo nimewah🥰🥰🥰
Haiboi kuirudia tena kuitazama tena mwanzo mwisho nice work keep it up clam
Kazi njema Clama, Hilo ni fundisho katika maishani mwetu 😢
Nimeipenda hiyo ✌️🔥 I'm from Kenya 🇰🇪 Malindi
clam vevo na cluu yako mnajuwa mpaka mnakera mana kila kigongo kinamshinda mwenzie hongereni sana
Clam umefanya kazi nzuri sana 👍
Jaman movie kalii Sanaa nimeipenda sanaa jamn❤❤❤
Nimelipenda Sana ningependa watoe lingine Kama hilii 🔥🔥🔥🔥🔥
Nime ipenda hiii kazi ..😍😍😍
Wow nzuri sana hongera
Mbn n Giza jamani 😞😞😞😞😞🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Napenda movie clam, wah naenjoy huku tube to be 🤡
Good one!! I was interested about this movie!! From Burundi 🇧🇮 but now In Zambia🇿🇲
😅
Clam endelea hivo hivo.... Hizi za one hour plus ndio vitu vyenyewe..kazi njema...
Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Content nzuri Safi sana CLAM 🎉🎉
ila uyo Bro wako kacheza vizuri kinoma Uhalisia mule mule ani nimependa 💯💯❤️🔥
Jamani mganga akata mauno😂😂...Clam na team yako bana 🙌 🙌
Hii imeweza isay
Ipo sawa kabisa
Like zangu
Nime fulaiya sana movies. Niko Congo, nord-kivu.
Upo sawa kaka hongera sana endelea MUNGU atakusaidia
Mtipe mganga wa digital😁😜 nakpenda bure bro💕
It was nice one Mr but ugepush iendelee Dio ufunze adabu hao wote waliofanya unyama kwa Ziduna ..na Dio tujifunze ubinadamu and kutafuta Mali polepole mbila kufikiria ushirikina
Wa kwanza leo
Waliooukubali ujumbe mzigo uliomo ndani ya zinduna naombeni like hata 4
Halafu ukishapewa hizo likes unatak uzipeleke wapi
@@cosmascastory9193 hv kumbe na ww unajiulizaga
Movie ni nzuri sana Sema mganga anachekesha balaaa 😂😂😂
🔥🔥🔥 clam umetisha sana 💯 keep up the good work
Man roo tz nimekubali dogo endelea kua m bunifu sanaa ubunifu
Mko vizur sana kazen msuri namuona mrithi wa kanumba sasa
Love you more from kenya❤big up❤❤❤❤❤🎉
Wakwanza noeni likes za zinduna
Kwani kuna soko la kuuza likes mbona unazitaka likes kama mali unaenda kuuza wapi
❤❤❤❤
Clam malaya habari zako pôle sana tena asante sana kwa movie hii
Wenizaid ya waigizaji🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥ni nzuri sana 👏👏👏❤
Nimetazama Leo Nibonge La move Vevoo you're the best
Hi nimeipenda hii movie ni nzuri sana ubarikiwe
Asante Sana cram VEVO
Clam kaka Fundi sana hongera yako
Ila wagaga wa tz mmezidi mmetoka kwa aichukucha adi mko kwa alaji😂😂na jioni fali ipupa ndio jioni gani sasa 😂😂
Wow nice movie ❤nimeipenda
Imekaaa poaa sanaaa.kaz nzur
Congratulations...nice job anzeni ingine tuko pamoja
Dogo kweli umeweza,, kazi mzuri iyo..
Congratulations m'y dear 😂Vevo you are so great man , Can god add🎉🎉 your talent like was Kanumba❤
Great one. I like it 🤠
Congratulations 🎉🎉👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Congratulations to
Yaan hii move safi sana❤
Saniford mapunda ipo vizur Sana yani nami naitaji kuji unga na wewe tafazali yanj
Mm ndio wakwasa❤❤❤❤
Wow...
Bring onother one
Its so lit
Heee clam vevo nakufagilia sana Big up
Nakukubal clam ila uyu mganga sasa😂😂😂😂Nmecheka
hongera sana kaka mimi nakaa na furaha ju ya vichekesho vyako
jamani mungu akuzidishie talanta🥰🥰
Much love from Kenya
Hongera zako movie nzuri sana jaman
Congratulations clam vevo🤣❤❤❤
Hakika zle ndoto zako znaelekea kutimia congratulations 👏👏
One Love from Uganda
Hili la jini kujificha nyuma ya mti limekaaje kitaalamu 😂😂
Bongo movies bhana 😂
😅😅😅
wa 32 Leo naombeni like zenu
Likes unatak unizipeleke wapi
Unaniacha hoi kwa pacha zako vevo nakupendaje Redio na TV kwa sasa havina nafasi kwangu Movie za CLAM VEVO ndio hote 🎂
Kupenda ni poa lakini kuendelea matatizo ❤
Mzimu umejitahidi kubadilisha nywele