MUME WANGU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #Bhailam#Mbwela#naomi
    ⭐ Disclaimer
    This Content is Totally made by us, Don't use or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
    Karibu kujiunga na group la What's app
    BONYEZA LINK 👉👉chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : / @bhailamkhan
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : www.facebook.c...

КОМЕНТАРІ • 206

  • @Bhailamkhan
    @Bhailamkhan  Рік тому +51

    Karibu kujiunga na group la What's app
    BONYEZA LINK 👉👉chat.whatsapp.com/Jqzzxa1X8Qz4r2GCUgyS1i
    Subscribe hapa :
    / @bhailamkhan
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : facebook.com/profile.php?...

  • @clamvevo6472
    @clamvevo6472 Рік тому +119

    ANOTHER BANGER 🙌🏽🙌🏽

  • @doreennamakoye2915
    @doreennamakoye2915 Рік тому +43

    Kwa mandugu zangu ambao hawaja olewa wala kuoa tujifunzeni mengi sana kwenye kipindi hichi kabla ya kuingia katika ndoa yako hakikisha kama kuna machafu ambayo umeyatenda au unaendelea nayo naombeni muiwache kabla ya kuingia kwenye ndoa,haswa mm nikiwa mmoja wenyu nimejifunza mengi na ninazidi kujifunza mengi sana kabla niitwe mke wa mtu maana jina hilo ni jina la heshima sana,nawapongezeni sana tena sana Mr Bailam mungu aibariki kazi ya mikono yenyu,kipindi kitamu na bado ni mafunzo kwa binadam woote😍❤❤love you guys

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 6 місяців тому +2

    Nimejifunza kitu dugu zangu wa Tanzania much love from Kenya guys like back 😢❤

  • @hamisijongo5818
    @hamisijongo5818 Рік тому +18

    Tatizo la bhailam unatuletea movie nzuri afu muendelezo inachelewa sijui unakwama wapi mi nafatilia Sana season zako Ila unanikatisha tamaa muendelezo hamna

    • @nasrikhan4218
      @nasrikhan4218 Рік тому +1

      Sasa kama hii unaona unamuendelezo kaka si imeisha iyo

    • @hamisijongo5818
      @hamisijongo5818 Рік тому

      Sawa imeisha Ila Kuna season nyingi mama mkwe bi tausi namchukia mke wangu Hadi leo muendelezo hamna

    • @jamesgaitho4349
      @jamesgaitho4349 Рік тому

      @@hamisijongo5818 tunaogoja sana part five watching from Qatar 🇧🇭🇧🇭

  • @rajabsaid-dp2zh
    @rajabsaid-dp2zh Рік тому +16

    Daaaah kaka mnajuwa mpaka mnajuwa tena hii cinema kali sana bonge la funzo Kwa walawitiji big up

    • @yeyaboy8045
      @yeyaboy8045 Рік тому

      Mmh! Tena kinyume na maumbile aiseee! Inauma

  • @abuuvanlampard2564
    @abuuvanlampard2564 Рік тому +5

    Mbwela unajua sana

  • @munasaid1429
    @munasaid1429 Рік тому +9

    Kazi nzur na inafundisha sana hongereni

  • @BJOKER-ef7zi
    @BJOKER-ef7zi Рік тому +6

    Nakukubali sana BAHILAM

  • @edithaevarista-ou6yx
    @edithaevarista-ou6yx Рік тому +8

    Bhailam hongera sana unatupa funzo wanandoa , Mungu akupe uzima na afya tele na kipaji chako kiendelee 🙏🙏🙏🙏

  • @Anithabeniaa
    @Anithabeniaa Рік тому +12

    Mungu awasamehe BHAILAM $ ANITHA

  • @fahadnasri3855
    @fahadnasri3855 Рік тому +13

    Bhailam na timu yako you are the best.

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 Рік тому +16

    Kaka yangu hongera sana,
    Kazi nzuri,
    Sio vizuri kumuumiza mwenzio.
    Mungu akikupa mwanamke haukusaliti kwa nyakati tunao ishi kwa sasa, muheshimu.
    Mpe heshima yake, mpende na umubembeleze.
    Kuwa karibu nae kwa hali na Mali.
    Mungu awabariki.

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Рік тому +11

    Nimependa hisia mlizo Nazo kwenye hii muvi , kazi nzuri sana sana

  • @yussuphmao7032
    @yussuphmao7032 Рік тому +5

    Bro baylam e ase mko pw San huyo jamaa rasi nimuigizaji mzur San Yan kiujumla mko pw San especially mm nakukubali San bro👊from arush tunawakubal San

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 Рік тому +20

    High performance, chemistry balanced.

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 Рік тому +5

    Mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.... sio mwanamke hivunja ndoa yake🥂

  • @MaryamsaidMarymsaid49
    @MaryamsaidMarymsaid49 Рік тому +7

    Kazi nzuri comedy zenu zinatufunza kitu

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому +5

    Kazi. Mnzuri sana.ongera washiri wote

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому +4

    Mashaailaa.kazi mnzuri.sana.ongereni.sana.nankipenda iko kitanda

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Рік тому +4

    Kazi inamafundisho
    Mengi.mazuri

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 Рік тому +4

    Imeisha vizuri bhailam iendelee ❤🥰🥰🥰👌👌👌👌💯congratulation

  • @dianadaniel1261
    @dianadaniel1261 Рік тому +3

    Nimekufuatilia sana mzee baba Bhailam unajua mno na unahusika kila mahala ipasavyo na unauvaa uhusika kiasi kwamba naona tuzo inakufaa kabisa ya MUIGIZAJI BORA WA KIUME UPANDE WA TIKTOK

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 Рік тому +3

    Nmejifunza k2 kwenye hii movie ya bailamu kuwa c wanawake Wenyewe watukutu hata sisi wanaume pia n wasumbufu! Huyu dada alikuwa anampenda sana baila! Na pia alitaka kuolewa lakn baila alikuwa hajitambui kwenye hii movie!! Hongera sana baila umen2funza wanaume kuwa uc2mie mwanamke kinyume na maumbile!

  • @zebedayodiganyeck2046
    @zebedayodiganyeck2046 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana inafunza sana

  • @abdillahijumamzee4579
    @abdillahijumamzee4579 Рік тому +8

    bailam rudi kwa yule jamaa umuombe msamaha. Kuna kesho kwa mungu

    • @AMREAL_KE
      @AMREAL_KE Рік тому

      Atarudi vipi na wanaigiza hili ni funzo kwetu sisi watazamaji na pia ni mambo ambayo yako kwenye hii jamii na kizazi cha sasa kwa ujumla 💯💯💯

    • @aureusnchimbi7243
      @aureusnchimbi7243 Рік тому

      🤣🤣🤣kjn unahisia qali sana

  • @dnx_Gr
    @dnx_Gr Рік тому +9

    Master of feeling movie keep it up ✌️✌️

    • @rich_wasparner9233
      @rich_wasparner9233 Рік тому +1

      Huyu huwa anateka kabisa hisia za mtazamaji wapo vizuri funzo zuri

  • @DayanaAkeke-bh8gt
    @DayanaAkeke-bh8gt Рік тому +4

    Kazi mzur M/ mung azid kuwatia nguv kipaj kinaonekan

  • @roseramadhana5951
    @roseramadhana5951 Рік тому +5

    Kaz nzur wote🔥

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 Рік тому +6

    Bairam huyo ni mwamba utapingwa 😅😅😅😅 umewazowea wale wengine..........ama uongo mashabiki wenzangu

  • @rosinenishimwe6864
    @rosinenishimwe6864 Рік тому +3

    Bhailam unajuw cheza san 👌👌👌

  • @hajiomary3766
    @hajiomary3766 Рік тому +5

    Team bhailam nawakubali sana 👍

  • @wesleybravins2553
    @wesleybravins2553 Рік тому +3

    Katika waigizaji...Bhailam you're crowned to be my mentor,, if this is how I feel commenting,,its beyond explanation meeting you live

  • @mohdleyla-sd3dr
    @mohdleyla-sd3dr Рік тому +6

    😂😂😂 duuu atar dada angu Kaz nzur

  • @naumi2302
    @naumi2302 Рік тому +9

    Weeh imenikumbusha ushungu sana nliopitia😢😢

  • @dogojahman9381
    @dogojahman9381 Рік тому +6

    Mwamba anajua kulia saaan kuna yeye na malaya ndoige lol they are the best kwa mambo ya kulia anyway did u kill it bruh one u hav to do is just to keep up I bet god shall raised ur job up

  • @abouclasic8939
    @abouclasic8939 Рік тому

    Nice kazi nzuri sana inafunza

  • @ElphasBett-ui1by
    @ElphasBett-ui1by Рік тому +3

    God bless the work of your hands..mnatufundisha sana

  • @karimniyo1909
    @karimniyo1909 Рік тому +4

    bint katisha saana,,, Allah umuongoz

  • @onesmongulo3770
    @onesmongulo3770 Рік тому +4

    Kuna muda bailam nakuona kama kanumba ila daaah unajua mwamba

  • @georgekaila6193
    @georgekaila6193 Рік тому +6

    Mombasa 001 Kenya likes apa

  • @user-sy9jp5tk8r
    @user-sy9jp5tk8r 7 місяців тому

    Bailam have people who knows to act and they have points on there work i love u bailam really u make me to forget who i am in my life but u increase my capacity ❤❤❤

  • @alfrednzilu2880
    @alfrednzilu2880 Рік тому +3

    Somo zuri sana kwa wanandoa wote thanks bhailam so keep it up broo

  • @bosmony
    @bosmony Рік тому +4

    Another big content

  • @christophedayance-so6db
    @christophedayance-so6db 11 місяців тому +1

    hongera saana bro ni Christophe dayance of Congo Lubumbashi

  • @directorgozi5509
    @directorgozi5509 Рік тому +8

    Atali na nusu

  • @muisakitsa5436
    @muisakitsa5436 Рік тому +1

    Bhailam hakika movies zako zaelimisha, asante sana kwa kazi Mzee 🙏.

  • @FarajiKiberiti
    @FarajiKiberiti Рік тому +5

    Good job my brother Bhailam 💪💪💪

  • @user-gl3nr9vg6r
    @user-gl3nr9vg6r 5 місяців тому

    Napendezwa sana na movie zako from Kenya 🇰🇪

  • @JoshuaSanga-uj5ed
    @JoshuaSanga-uj5ed Рік тому +2

    Anitha kwa mda mfupi umeanza kuja juu pafomance Yako Sasa hivi na kwenye msela kapenda kuna tofauti kubwa sana pambana

  • @darcyke
    @darcyke Рік тому +1

    Great bhailam from Kenya

  • @nancykatana7202
    @nancykatana7202 Рік тому +4

    Bailam unajua kulia sana ❤❤😂😂

  • @amosshija5305
    @amosshija5305 Рік тому +1

    Bairam kaz zako nzur babu endelea kutupa comedy

  • @chabitejamaljamal2082
    @chabitejamaljamal2082 Рік тому +2

    Kazi nzuri sana kaka Allah akulinde🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @rahemh1234
    @rahemh1234 Рік тому +6

    😂😂😂😂 et nilkuwa nanana nakucheat 😂😂 mbwa bhailam😂😂

  • @DayanaAkeke-bh8gt
    @DayanaAkeke-bh8gt Рік тому +4

    Big up ✌️✌️

  • @danielgadiye7983
    @danielgadiye7983 Рік тому +3

    Bro hongera Sana kwa kupitia njia ya vumbi Naya lami

  • @CleverGidion-ok6ub
    @CleverGidion-ok6ub Рік тому +4

    Hakika mnajua jamani

  • @Jodrey1
    @Jodrey1 Рік тому +3

    Nakubali sana kazi yako Bhailam 🎉

  • @falmaliciousfoods4638
    @falmaliciousfoods4638 Рік тому +7

    Good job ❤❤❤ we love you all ❤❤❤ keep it up guys 🎉🎉🎉

  • @DioufMouhammed-hm1rr
    @DioufMouhammed-hm1rr 11 місяців тому +1

    Bhailam very serious man daah! Big up sana brother pamoja.

  • @dogbydangotebabalao7908
    @dogbydangotebabalao7908 Рік тому +3

    This guy this guy, bhailam

  • @dephrosekahambu2914
    @dephrosekahambu2914 Рік тому +3

    Courage vraiment

  • @khadijaqatar7837
    @khadijaqatar7837 Рік тому

    Hebu shika talaka nendaa,nendaa!mambo uliotenda kuyavumilia nimeshindwa,oo nendaa!nendaa hata kama zamani nilipenda😂

  • @robertsalum1968
    @robertsalum1968 Рік тому +3

    Duuh bhailam punguza ukali mwamba

  • @kassimdadi5406
    @kassimdadi5406 Рік тому +5

    Bhailam at it again 🎶

  • @ramsaybjembe8561
    @ramsaybjembe8561 Рік тому +5

    Mbwela nibalaaa iyongoma atamadebe hasogei bro mimi nimsanii kama ww alafu nishabik yako burundi tunafuatilia san kaz zako

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому +3

    Nice Work 👏🏻👏🏻👏🏻

  • @usumanezana1775
    @usumanezana1775 Рік тому +1

    Nakubali kazi kaka

  • @irenebenety921
    @irenebenety921 Рік тому +3

    Dah unaweza kutoa machozi

  • @chekakidogo8531
    @chekakidogo8531 Рік тому +1

    Mke mwenyewe malaya😂😂 Kwani hajui km ameolewa

  • @docine976
    @docine976 Рік тому +1

    Kazi nzuri comedy zenu zinatufunza kitu! Hongera Sana! On vous regarde depuis Mayotte.

  • @clarisraha6871
    @clarisraha6871 Рік тому +2

    Mko sawa

  • @neemaalphoince1209
    @neemaalphoince1209 Рік тому +1

    Naomi naww unakuj moto wakuotea mbali safi sana

  • @EzzySure
    @EzzySure Рік тому +3

    Mmetisha sana❤

  • @zamdauseni9787
    @zamdauseni9787 7 місяців тому

    Nikweli
    Mupe usiya
    Unamwambiya
    Amuogope
    Mungu usiya muzuri unapa
    Mafuzo ayo

  • @ekaristevans7303
    @ekaristevans7303 Рік тому +13

    Anita na wewe humo unamtesa mwezako tulia na mwezako piga hata mguu mmoja basi ila mnajua hongereni mtafika mbali sana

    • @bettynyaboke4793
      @bettynyaboke4793 Рік тому

      Mwenye makosa ni mwaume wakati akienda kuhanya akuwabia mke wake akishapata shinda najifanya mgojuwa me nakuacha ukiumia naenda nikiebdaga

  • @julliuzzkyallo-mf9db
    @julliuzzkyallo-mf9db Рік тому +3

    Fuzo kamili hili 🔥💖

  • @ashaamran4879
    @ashaamran4879 Рік тому +2

    Hap kwenu action 😂😂mmezidunda kweli nyie mbwa

  • @KamuranJoshua
    @KamuranJoshua 9 місяців тому

    Nice work Mr.bhailan

  • @anjelinakaniki9162
    @anjelinakaniki9162 Рік тому +1

    Mashallah kazi nzur

  • @mmalecmz4062
    @mmalecmz4062 Рік тому +3

    Nice

  • @richardmagesa800
    @richardmagesa800 Рік тому +1

    Imekaa powa big up mnoooooo!!

  • @josephmirambo
    @josephmirambo Рік тому +5

    Chombo Kwa hewa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nellychamba1507
    @nellychamba1507 Рік тому

    Bombastic movie, I wartch

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV Рік тому +1

    Yaani mmeanza kutisha sasa,kumbe Naomi naye anayaweza sasa,kabisa.

  • @agreygervase9781
    @agreygervase9781 Рік тому +9

    Am fifth to comment I appreciate you Bhailam . Please comment if u like It❤

  • @rubamborocky237
    @rubamborocky237 Рік тому +3

    iyi nikali, tatizo uyu jama mukonapupa nafasi ya kuongea sana kamamuvi nanikomedi apunguze kuhongeya

  • @gracealfonce3795
    @gracealfonce3795 Рік тому +4

    Walah nimelia 😭😭

  • @kennedykipngetich7523
    @kennedykipngetich7523 Рік тому +1

    Nyinyi mwatosha kutoa movie sasa kama zile za 🇳🇬

  • @witnesslaurent4817
    @witnesslaurent4817 Рік тому

    Kazi nzuri hongereni

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 24 дні тому

    Kazi safi ❤❤❤❤

  • @aliyshemweta9753
    @aliyshemweta9753 Рік тому +3

    Better

  • @mohdleyla-sd3dr
    @mohdleyla-sd3dr Рік тому +3

    Atar na nusu naomy aikuwez 😂

  • @JohaSalum
    @JohaSalum Рік тому +3

    Part 2 tunaomba baada ya kuachwa uliishije

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Рік тому +1

    Kazi MZURI Sana.

  • @lindagrace1597
    @lindagrace1597 10 місяців тому

    Tunawapenda sana

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 Рік тому +2

    Mke wa mtu ni zumu 😭

  • @HDZOKipepeo-qv2du
    @HDZOKipepeo-qv2du Рік тому

    Nakubar wewe namba 1🎉

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому +2

    Inauma 😢❤❤❤