EXCLUSIVE: MASTER JAY - kwa mara ya kwanza afunguka kuvunjika kwa Ndoa yake/ mahusiano yake na SHAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Hii ni sehemu ya kwanza ya Interview yetu ambayo ameongea mambo mengi sana sana kuhusiana na maisha yake binafsi ambayo hakuwahi kuyaongea popote na mengineyo, uchaguzi alioshiriki wa ubunge na mengi mengineyo
    kuna sehemu ya pili ambayo ameongelea mengi itakayokujia hivi punde

КОМЕНТАРІ • 232

  • @julietnderio5887
    @julietnderio5887 4 роки тому +113

    Kwa nini master j asiwe mwenyekit wa basata embu nipen like zangu

  • @amneyhassain6356
    @amneyhassain6356 4 роки тому +39

    Unasikiliza Interview had unatamani isiishe siyo wale wengine.......

  • @mmn7480
    @mmn7480 3 роки тому +2

    cheeefu kukunja nne iyo vpi mnakera

  • @livingforgod2705
    @livingforgod2705 4 роки тому +16

    I think mtu akiongea kwa utulivu anakuwa real na unamjua mwenyewe halisi.Master ur a gentleman.

  • @itshaluastyle
    @itshaluastyle 4 роки тому

    Mishono ya vitenge MAHARUSI nk
    Bonyeza link pia usisahau kusubscribe
    ua-cam.com/video/XJhHfxDpRdQ/v-deo.html

  • @aminaabdulrahman2193
    @aminaabdulrahman2193 4 роки тому +31

    Zama pls huyu aliyokuremba ndio kaupatia haswa mshikilie huyo awe anakutemba kila siku,

  • @moureenngowi8712
    @moureenngowi8712 4 роки тому +12

    MJ is such a gentleman. Natamani wanaume wote wawe kama yeye. You just love your family a lot na hujataka ugomvi wenu na your ex wife watoto waathirike psychologically may God bless you for that

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 4 роки тому +13

    Master J umezidi kua young en handsome. BG up Mtu wangu .

  • @zainabramadhan2109
    @zainabramadhan2109 4 роки тому +14

    Wewe ni baba bora Wa kwanza nimekuona hasa kujali familiya

  • @johariwalii4109
    @johariwalii4109 4 роки тому +22

    Zama uwashe hata feni basi ama sehem iwe na AC au kaupepo..... Wageni wako wanajifuta sana jasho, na kaglas kamaji kawepo piaa

    • @janemhagama1925
      @janemhagama1925 4 роки тому

      Kabisa.. maana Master J anaonekana kuteseka kila saa anajifuta uso sjui ndo mapoz yake ya kuongea

    • @johariwalii4109
      @johariwalii4109 4 роки тому +1

      @@janemhagama1925 sio mapozi yake hata, angalia hata interview ya Lukamba atlist alikua na tissue anajifuta jasho. Nadhan Zama aliangalie hilo kwa wageni wajao....

    • @adelmarcymallya772
      @adelmarcymallya772 4 роки тому +1

      Hasomagi comments naona

    • @vivianlucas6389
      @vivianlucas6389 4 роки тому

      Labda ipo

    • @pendokissatu937
      @pendokissatu937 4 роки тому +2

      Yanii kuhusuu maji tissue kashauriwa sana sjui hasomi comment

  • @gracenanyaro4793
    @gracenanyaro4793 4 роки тому +6

    Boresha kipindi chako sana, yaani najikuta nafoward
    Sauti,sijui na camera man wako...mara tunaona miguu tu...

  • @jamilaabas9596
    @jamilaabas9596 4 роки тому +26

    Yani kipindi kizuri sana ila zamaradi unanong'ona sana unae muoji anatoa sauti wew upo chini sana

  • @najmakikula4929
    @najmakikula4929 4 роки тому +22

    Hay ndio mamb tunayatak unawalet wakin uchebe hawajuw hat kujibu maswali ila hap tunaenjoy kabisa

    • @beatricetenywa4367
      @beatricetenywa4367 4 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣

    • @najmakikula4929
      @najmakikula4929 4 роки тому +3

      @@beatricetenywa4367 si kweli ila kitu anamuaachia allah sasa alikuja kufanya nin

    • @najmakikula4929
      @najmakikula4929 4 роки тому +2

      @@beatricetenywa4367 si kweli ila kitu anamuaachia allah sasa alikuja kufanya nin

    • @ChrisJG
      @ChrisJG 4 роки тому

      @@najmakikula4929 😂😂😂😂dah

    • @azzamahamdu7039
      @azzamahamdu7039 4 роки тому

      UtasemA hana mdomo

  • @julianamushi3392
    @julianamushi3392 4 роки тому +22

    Zama watu kaa uchebe usituletee ten tunapenda watu wanaojielewa maan ya intev

  • @globallpublishers8448
    @globallpublishers8448 4 роки тому +13

    Interview ni nzuri, japo sauti ya host Zamaradi ipo chini, ni kama unanong'oneza, kuna mpishano mkubwa kati ya mtangazaji na Master Jay.

  • @catyedokigutu7366
    @catyedokigutu7366 4 роки тому +1

    Yani master j kama gadner... Yani kabla ajajibu anatafakari... MaJibu yake ndio maana point tupu

  • @DorisM255
    @DorisM255 4 роки тому +7

    Master your so Genius 🙌 Maproducer wanamaisha magumu sanaa fanya Uwasaidie maana master wewe ni msomii najua Unawezaa

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 роки тому +13

    Nakukubali Sana Kaka kuna mijanaume ikiachana na mkewe anamfukuza na watoto anawatelekexa yeye anabaki ndani na mke mwingine watoto wanabki wanaangaik

  • @neemakaluwa2089
    @neemakaluwa2089 4 роки тому +8

    Enterview km hizi ndo tunataka sio zakina harmorapa iseee.

  • @beatricerajabu7234
    @beatricerajabu7234 4 роки тому +14

    Hahaha Master umenifurahisha sana et nimebaki na kipara changu dah hahahah

  • @aishamukandanga272
    @aishamukandanga272 4 роки тому +14

    Zama jitahidi kua unapandisha sauti yako kidogo

    • @noorkhamisi2490
      @noorkhamisi2490 4 роки тому +1

      Kweli kabisa zama kwenye Sauti unaboa sana my jitahidi kwahilo ukitaka kumckia vizur uvae foni

    • @vivianrobert7136
      @vivianrobert7136 4 роки тому +1

      Nikadhani labda simu yangu

    • @Randm-
      @Randm- 4 роки тому

      Madai yake.. yuko sex and romantic.. mxiuuu

  • @petertarimo839
    @petertarimo839 4 роки тому +13

    umependaza sana zile rasta zilikua zinakuzeesha

  • @kelvinsauveur6264
    @kelvinsauveur6264 3 роки тому

    Nu Zamaradi Mukatema? Awo ni Zamaradi Mukashema. According to your relative u have Rwandese blood. Yr real name is Rwandese name Mukashema . Jinaclako halisi Zamaradi Mukashema unchanged to be Tanzania name Zamaradi Mukatema. Ni kweli .

  • @florayoram9563
    @florayoram9563 2 місяці тому

    😅😅😅😅😅😅 shaaaa ni mpumbavu unakubali kuwekwa kimada miaka 15 na mkewewe wa ndowa yupo hai loooo😅😅😅😅😅

  • @DorisM255
    @DorisM255 4 роки тому +7

    ila we ni Mwanaume 🙌

  • @melch3097
    @melch3097 Місяць тому

    Jamani naweza kupata number ya master j, for construction business

  • @shellamduba3066
    @shellamduba3066 4 роки тому +3

    Katika watu niliowahi kuwaona wana rasta Master J pekee zilikuwa zinampendeza wengine naonaga vituko tu. Nimesikitika alivyozikata jamani

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 4 роки тому +13

    🔥😂😂🔥huyo mwanamke anakupenda bdo ndo maana alikuwa atak umpe talaka leo ndo nimepata jibu kwann mmekaa na shaaa mda mrefu kwenye mahusiano usingeweza kumuoq shaaa wakat hujampa talaka mke wako

  • @DorisM255
    @DorisM255 4 роки тому +5

    Master daah hakika Mungu ndio kila kituuuu

    • @nitikealinani4681
      @nitikealinani4681 4 роки тому

      Pole poppppppplopppppppppppppppppppppppppppppppppppp

  • @ashasiaga3197
    @ashasiaga3197 4 роки тому +3

    Hongera sana master J kua na msimamo kwenye mahusiano yako Shaah ndie mkeo halisi mungu awasimamie muweze kufunga ndoa hongera yake shaa kwa uvumilivu mkubwa mungu mungu awasimamie inshaallah

  • @bettymassanja881
    @bettymassanja881 4 роки тому +2

    Aliyemsikia Master J anasema amebaki tu na KIPARA CHAKE, agonge "like" hapa. Hahahaaaa.

  • @grancebeuty2443
    @grancebeuty2443 4 роки тому +3

    Zamaradi ongeza sauti kwenye interview zako

  • @riikostar5950
    @riikostar5950 4 роки тому +1

    sijui kwanini, vipindi vyote vya TV afrika havina sauti ya kutosha, wamelogwa??

  • @joycebosire3434
    @joycebosire3434 4 роки тому +2

    Hongera sana Zama hasa kutoa ile back sound ilokuwa inapugwa yani ilikuwa inaharibu sana maana interview ilikuwa hasikiki kabisa, sasa hivi tunakia mazungumzo yenu vizuri sana kama tuko sitting room wow. Good job

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 4 роки тому +4

    Bravoooo...ucfe moyo penye uhai mbele ya safari naamini utawakilisha InshaAllah

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 роки тому +6

    Yani zama sikuizi interview zako ata siangalii kwajili ya sauti jaribu kurekebisha hilo jamani 😢

    • @hawajamal8987
      @hawajamal8987 4 роки тому

      Inaonekana chumba anachofanyia interview hakina vitu vingi sauti inajirudi ndani

    • @rukiamohammed5494
      @rukiamohammed5494 4 роки тому

      anaboa kweli sauti anabana

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 роки тому +1

      Master saut inasikika lkn huyo zama kam anatongozwa vile kisaut cha hiniiiiii

  • @ksnjos001
    @ksnjos001 4 роки тому +1

    Body language mikono imefungwa Zamaradi...` open yourself up watu wa nchi za nje wana angalia hii shoo sio wabongo tu

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 4 роки тому +5

    zama punguza pozi pandisha sauti hatukusikii

  • @مارثاتنزانيا
    @مارثاتنزانيا 4 роки тому +1

    Kumbe master j,unaekima ivyo

  • @diana_james9269
    @diana_james9269 4 роки тому +6

    Excellence interview, I like the way the man is answering the question, it is professional

  • @rehemalameck7014
    @rehemalameck7014 4 роки тому +6

    Dada zama tunaomba , interview nyingine uongeze sauti yako ,ni ndogo Sana hatusikii

    • @joycebosire3434
      @joycebosire3434 4 роки тому

      Yani hapo umeongea, na tushukuru hata ametoa ile back sound walokuwa wanapiga wakati wanaongea

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 4 роки тому +7

    Zamarad umependeza sana sana.naomba uwe hv kila cku..sio yale mapodoz ya cku za nyuma kw kweli hapana .Wewe ni mrembo sana Chunga sana uvaaji wako..na huyu aliekupamba Leo shkamoo yke ,hongera sana.sisi mashabik wako tunakupenda tukuone hvi kila cku hutuangush.

  • @siamoye4549
    @siamoye4549 2 роки тому +1

    Wanaume wa kichaga ni kaka zang na baba zangu wanajua kupenda sana especially familia zao sisem wengine hawajui sijui upande wa wengine lakin wanaume wa kichaga kweny familia zao

  • @catyedokigutu7366
    @catyedokigutu7366 4 роки тому +1

    Yani anaakili uyu interview hadi raha

  • @nurujulius1920
    @nurujulius1920 4 роки тому +5

    Sauti ya tangazo iko good ila ya kwako sasa hm?!

  • @lalyilaoman5800
    @lalyilaoman5800 4 роки тому +6

    Dd zama (dada wakazi vp mbona kimny

  • @DarKopo
    @DarKopo 2 місяці тому

    Dread na Rasta wht is different?

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +1

    Furaha ya mtu ndio muhimu Leo hii nashangaa kina chuchu Hans wadhalilika kwaajili ya kitoto kimoja tu

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +1

    Nimependa Sana ulivyomtaja mungu kuwa nguzo wengine wangetaja RICKROSE, DAVIDO, NICKMINAJ

  • @aurelialema3945
    @aurelialema3945 4 роки тому +1

    Umeongea point. Ndoa ikiwa na ugomvi ni bora mmoja aondoke.. Inaharibu hata watoto

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 роки тому +1

    Nice interview. Sasa hawa ndio watu wa kuwahoji...ukimalza kuona una gained MADINI

  • @ZAINABUYAGURUVA
    @ZAINABUYAGURUVA 11 місяців тому

    nimejifunza

  • @hiramakhamis2830
    @hiramakhamis2830 4 роки тому +2

    Wow shaa umebahatika masha Allah mufunge ndoa tu ndio nawaombea

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +2

    Tume enjoy na *Master J* c haba one love 👍

  • @erastomwakalukwa3946
    @erastomwakalukwa3946 Рік тому

    Ubunge I guess 🙋🙋🙋

  • @janeschurmanns7364
    @janeschurmanns7364 4 роки тому +3

    Kwa kweli Zama wewe husikikikabisa sauti ndogo

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 4 роки тому +2

    Fanya kinachokupa Raha shaaaa ndyo fulaha yako asntee Sanaa

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 роки тому +4

    Mama works with the UNDP

  • @nurujulius1920
    @nurujulius1920 4 роки тому +4

    Sauti da zama,sauti ndogo sana

  • @floridawenceslaus3253
    @floridawenceslaus3253 4 роки тому +21

    Zama ur voice is too low jmn , Master J anasikika vzr sn

  • @Aidenkuye
    @Aidenkuye 4 роки тому +1

    ...duh Zamaradi toa sauti tafadhali, sauti kama ya kitandani bana😬

  • @callmesubra5472
    @callmesubra5472 4 роки тому +4

    Wow, interview nzuri kama kawa

  • @pudencianamlewa6486
    @pudencianamlewa6486 4 роки тому +5

    Master Jay

  • @agnesmkanga4617
    @agnesmkanga4617 4 роки тому +1

    Master J amependeza sn,Grey Suit with Raba,so smart,

  • @aishamukandanga272
    @aishamukandanga272 4 роки тому +3

    Dhuuuh Zama kama ipo chumbani

  • @berthashoka6076
    @berthashoka6076 4 роки тому +2

    Sauti yako Zama ipo chini sanaaaa

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 роки тому +4

    🔥🔥🔥🔥🇬🇧🇬🇧🇬🇧 master J ❤️

  • @pendopeter1790
    @pendopeter1790 4 роки тому +1

    Exactly umoja ni nguvu, powerful words Master J

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 4 роки тому +1

    Zama unaboa kipenzi changu sauti yako ndogo mtu simu ashike tu anasikika mmoja wewe usikiki

  • @josephinepatrick6026
    @josephinepatrick6026 4 роки тому +2

    Master J big up bro🥂👏🏽👏🏽

  • @merryrau8879
    @merryrau8879 4 роки тому +1

    Zamarad saut yako ipo chini Sana unaongeya kidogokidogo kama upochumbani na mmewako bahn

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 4 роки тому +7

    Kosa sana kuachana, na MUNGU BABA hapendi na hajawahi kupenda, kunakutolea hesabu. Hakuna jambo lisilokuwa na toba au msamaha! Kuweni makini.

  • @kelvinsauveur6264
    @kelvinsauveur6264 3 роки тому

    Ni Zamaradi Mukatema? Awo ni Zamaradi Mukashema?.According to one of your relative he told me you u have Rwandese blood . Jinalako kawaida ni Mukashema imegeuzwa Mukatema to sound Tanzanian name: ni kweli ? Awo amenidanganya? But I can Rwandese blood on u ( zura)

  • @tumakassim6286
    @tumakassim6286 4 роки тому +2

    Wajumbe wabaya sana 🤣🤣

  • @veronicafelisian3459
    @veronicafelisian3459 4 роки тому +4

    Dada jamani sauti inasumbua hebu jaribu kulifanyia kazi Dada, I'm watching you from Reunion island, Amejielezea vizuri sana kuna mengi ya kujifunza ila sauti yako iko chini na sauti ya upande wa pili iko juu sana❤

  • @aminamuhozaa7090
    @aminamuhozaa7090 4 роки тому +3

    Nakupenda dada zamarad

  • @suzanpatrick9380
    @suzanpatrick9380 4 роки тому +1

    Hahaha kanitajaa

  • @gemmaaugustino8087
    @gemmaaugustino8087 4 роки тому +3

    Woooow

  • @kijeneema4527
    @kijeneema4527 4 роки тому +2

    Nasubiri sehemu ya pili

  • @onesmoakwilini6254
    @onesmoakwilini6254 3 роки тому

    Bora uliambulia kura 2., Unaonekana unazarau ETI CROWN sio gar.? Ni baiskeli au.?

  • @annanassari6384
    @annanassari6384 4 роки тому +1

    Yn dd zama hatukuckii kbs improve mice zko plzzz

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 роки тому +1

    Grate father hongera Sana

  • @mariasamwel9461
    @mariasamwel9461 4 роки тому +1

    Crown ya WCB

  • @raziankwassa9221
    @raziankwassa9221 4 роки тому +1

    Da zama fen pls,sio kwa kujifuta jasho

  • @anitababy268
    @anitababy268 4 роки тому +1

    Anafunguka mpaka raha

  • @elizaalony2231
    @elizaalony2231 4 роки тому +1

    Zama huyo sound nn sijui yupoje ina maana yeye hasikii km ww husikikii

  • @ruthmoshi2620
    @ruthmoshi2620 4 роки тому +2

    Interview tamu hii jamani

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 3 роки тому

    Wewe ni kweli ulitaka kumsapoti mwenyekiti wa Chama chako tunajuwa.!!

  • @upendozahaki304
    @upendozahaki304 4 роки тому +1

    Interview hadi laha so wale kina uchebe kujieleza hawajui

  • @hamadyassin7220
    @hamadyassin7220 4 роки тому +3

    Sauti ndogo sana zama

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 4 роки тому +2

      Mmh leo namtetea sauti ilikuwaga ndogo kwenye other interview...but now sauti ipo poa.

  • @lilymsophe4405
    @lilymsophe4405 4 роки тому +8

    Zama sauti yako ndogo sana ,uwe unaongeza sauti

  • @moudymachimbo1396
    @moudymachimbo1396 3 роки тому

    Duh Yan zamarad anaongea sauti ya mahaba Sana duh unazingua sister toa saut sister utasema kipind Cha mahaba.

  • @enzellnally6104
    @enzellnally6104 4 роки тому +1

    Zama sauti yako inakua ndogo sanaa...Jitahidi uongeze saut.

  • @alicethobias932
    @alicethobias932 4 роки тому +1

    Zama una host vizuri Sana dia

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому +2

    Ila zama unaboa bwan, ww saut kila cku iko chin why yan husikik jmn, mbona hao unawahoj wanatoa saut

    • @sarahtony3937
      @sarahtony3937 4 роки тому

      Mbona minamsikia au ww kiziwi

    • @tausingomeni2568
      @tausingomeni2568 4 роки тому +1

      @@sarahtony3937 kama ww unamsikia bac kama ulivyo sema itakuw mie kiziwi kwel

  • @farajachengula9227
    @farajachengula9227 3 роки тому

    Master j kafanan na salim kikeke wa bbc

  • @agnesmndala1335
    @agnesmndala1335 Рік тому

    Dah.....upo vizurii jamanii unamuamini Mungu safi sana!!

  • @deogratiusndunguru7636
    @deogratiusndunguru7636 4 роки тому +1

    Master you talk madiniii

  • @peninaancon1256
    @peninaancon1256 4 роки тому +6

    Nampenda Master Jay sana na huyo Shaa.
    Anaongea vizuri, Interview iko poa sana.
    Fanya namna umhoji Salama na Lea Mwendamseke plse!.

  • @fedamaino3650
    @fedamaino3650 4 роки тому +1

    Ila zama sauti ipo chini