Kenyan guy in the states here: TID is one of the best interview ever. He's so funny, so naturally confident, so allergic to bullshit. Respect to the legend!
TID is a natural comedian wallah, nadhan akipewa kipindi kwenye media Fulani atashine vizuri Sana. Ni content creator na pia anaweza kuweka trends za maneno mtaani
Alipewa kipindi DStv, Maisha Magic Poa, alikuwa na Chid Benz, hawakufanya poa. Nadhani yuko vizuri iwapo akihojiwa aina fulani ya maswali, hapo ndiyo anaweza kuchekesha.
SNS mmetumia nini Hadi Hawa jamaa wamekuwa na utulivu kiasi hiiki kwenye interview!😂 safi sana hii ni Kwa sababu ya respect yenu media au watanagazaji wakiwa serious na smart basi hata interview inakuwa smart. blessings
Mnajua mpaka mnajua tena kiukweli ndio maana wasanii wa studio wanawafanyia figisu msisikike Ila kila hatua dua mungu atawaleta kwenye muda sahihi mtasikika mtavuma tens sana sana zaidi ya sana
These two Gentlemen.. musician by birth. 1.Now its time to open a music academy for their legacy(tafuteni investors) 2. Do a life band,well branded as you enjoy ur life ya uzeeni. ..much love 💙 brothers.
Nyie kenge mna sauti melody na knowledge but the only thing makes u to be down by now is ... Muache chuki ubinafsi na wivu wa maendeleo... Mkae mtambue kuwa mlikosea na kucheza wakati wenu but stil mnaweza kurud na kuwa something else again ... Waswahili wanasema funika kombe mwanaharam apite
Niliangalia mwanzoni nikakoment wameongea kwa busara mpaka wanaweza pata ubunge, nilivyomalizia mpaka mwisho nikagundua i was wrong, awa jamaa wapewe kipindi kiitwe The interviewers😅
Tid,q chief are such a vibe much love frm the 254
Kenyan guy in the states here: TID is one of the best interview ever. He's so funny, so naturally confident, so allergic to bullshit. Respect to the legend!
TID is a natural comedian wallah, nadhan akipewa kipindi kwenye media Fulani atashine vizuri Sana. Ni content creator na pia anaweza kuweka trends za maneno mtaani
Alipewa kipindi DStv, Maisha Magic Poa, alikuwa na Chid Benz, hawakufanya poa. Nadhani yuko vizuri iwapo akihojiwa aina fulani ya maswali, hapo ndiyo anaweza kuchekesha.
Uko sawa na namkubali sana
Nahisi vhila alikua anajidai sana kipindi
@@CreatedByTJ Wee kumbe aliwahi
The way TID talks about GOD 🥹❤️ binadamu kosa vyote ila usikose hofu ya mungu wallah 😢
Sahihi
Katika interviews ambazo mzee kigogo ametulia na ameachana na zile wenge basi ni hii moja wapo,,gonga like kama umeligundua hilo
Sisi wenge zake huwa zinatufanya tucheke kabla ya kuhojiwa tu lazima ucheke😅 big up kigogo
Kabisa mzee! Tid kapoa Sana humu! Ila wametisha Sana
Kwakweli, tena wote wawili 😂😂😂
SNS mmetumia nini Hadi Hawa jamaa wamekuwa na utulivu kiasi hiiki kwenye interview!😂 safi sana hii ni Kwa sababu ya respect yenu media au watanagazaji wakiwa serious na smart basi hata interview inakuwa smart. blessings
Mwezi wa Ramadhan huu hawajalewa.
We ujaangalia mpk mwisho
Naangalia nikiwa Qatar 🇶🇦 hao jamaa nawakubali sana TID and Q CHIEL The Greatest all time GOAT 🐐
SNS mi naomba like zenu mana nawafuatelien sna
Mnajua mpaka mnajua tena kiukweli ndio maana wasanii wa studio wanawafanyia figisu msisikike Ila kila hatua dua mungu atawaleta kwenye muda sahihi mtasikika mtavuma tens sana sana zaidi ya sana
Tangu ni subscribe iyi channel hiyi ndio interview yakwanza inayonikosha roho.the legend's on the top
Kunamadini nimeyachukua na nimejifunza kupitia nyinyi point sanaaaa hasa upande WA marezi Kwa watoto❤❤❤❤
Mwenyezi Mungu awape umri mrefu
TID is great comedian😂😂😂
From Rwanda
Hao weshimiwa tunawapenda
Hiii combination mkimchkua na chid benz mmemaliza
Guys are funny, I love the whole interview 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼😍😍😍
I love your English TID sijui mbna watanzania wengine hawashiki kiingereza kabsa
Sio ila hawapend kuuzungumzia
These two Gentlemen.. musician by birth. 1.Now its time to open a music academy for their legacy(tafuteni investors) 2. Do a life band,well branded as you enjoy ur life ya uzeeni. ..much love 💙 brothers.
Bros are actually smart, just clearly been through a lot!
TID ,Q CHIEF&CHID BENZ .These guys 😂😂😂😂😂😂 i wish wangefanya podcast pamoja
Nimependa sana 🇲🇿
Mungu awabariki
Love this two man for real ❤
TID mnyama! Napenda Sana life style yake🔥🔥
Nyie mnachekesha sana heshima kwenu mmetisha sana nimependa
Actually These Guys are naturally powerful and experienced on the mic 🔥🔥🔥💝🙌😊
Nilikuwa nasubilia sana hii enterview kaka sky umetisha mnyama na Qchilla wanajua sana OLD SKULL YA BONGO! Nimecheka sana mnyama yupo funny sana.
Apo TID kama sio yeye vile subili Kichaa Kipande 😂😂😂😂 sasa
Hawa jamaa ni hatarii sana Mungu awalinde wanajuwaaaaaaa❤❤❤❤❤
Hiii interview ikaekwe makumbusho for sure 😂😂😂
Bonge ya interview sizani kama itakuja kutokea.
Hawa jamaa ni nomaa sana .
Sns akuna Bongo kama ww kwenye swala la interview saluti kwako Mzee.
Undisputed LEGENDS 🤝
Tid Legend✊✊✊💪💪
Na kama kuna mtu anamchukia TID de way his funny aisee huyo mtu anahitaj maombi tena makubwa 🤌
Qchief anavyoongea kwa busara na bashasha, angestuka mapemaaaa kwenye siasa angekuwa mbunge ka professor😅😅
Nimejua kucheka walh😅😅😅😅😅😅😅
TID NA Q MPEWE KAZI CROWN FM
Idea nzuri sana inabidi waifanyie kazi. Jawa jamaa wana content wakipata media kama hio itakuwa poa sana
Kabisa wako na kitu hawa jamaa
mmh
Nzuri sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🙏🙌
Tid ni comedian mbaya sana
Nyie kenge mna sauti melody na knowledge but the only thing makes u to be down by now is ... Muache chuki ubinafsi na wivu wa maendeleo... Mkae mtambue kuwa mlikosea na kucheza wakati wenu but stil mnaweza kurud na kuwa something else again ... Waswahili wanasema funika kombe mwanaharam apite
I like dat.comment big up brother kwa good opinion
Interview mature sana !
Interview imeanza from 0-100 real quick
I love you guys back please thank you is OG US
Think the best interview
Good work brother's
Hofu ya mungu nan amegundua kwa kigogo🎉
The students of SHABANI ROBERT HIM SELF
wakali waburudani ❤
Umenikumbusha song la q chillah nilipokuona more fire
SnS Watafute Ramadhan Brothers Tuna Iman Wana Kitu Cha Kutueleza Lkn Uko Wanapopita Hawatuwaelew Kabsa Kwa Maswal Wanayoulizwa
Walisha hojiwa ingia UA-cam
Ila TID kanichekesha jaman 😂😂😂
Daaaaah nimecheka sana aisee
daah hawa watu ni watu smart sana ukiwaskiliza utacheka na hapo hapo unapata elimu kubwa ya mtaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅 mmetisha sana mkipata kipindi crown tv mtapata mashabiki sana
Nilikuwa natafuta comments za ndugu zetu wakenya 🇰🇪 vp hawajapita huku 😂😂😂 (NO HARD FEELINGS)
😈😈Réal talk show 🙌🏾🙌🏾💯💯
Noma sana wazee 😂😂😂😂
Kuna mahala q chillah kakuita fred waaa kama umemsikia hahahahah!! Gonga like mwenzangu ulosikia q chilla akimuita sky walker fredwaa!
Untambua kama Sky anaitwa Fred?
❤❤❤❤ NAMPENDA SANA T I D JAMANI ❤❤❤
Brother sky is trying hard to go with the flow of these 2 fools. Yaani they are now the ones asking questions 😂😂😂
This guys made our 2000's vigorous, heshima
Tunawapenda bado
Please kama utojari naomba number yako mm naitaji kuwa rafk yako
TID nakutambua broo since day 1 mzee wa girlfriends
From IG to here because of TID woii 😂😂😂😂
Umeskia kazi hyo 😂😂😂😂
😂😂...mwanzoni mwa interview walikuwa wapole had nkashangaa but kadil mda unavyoenda mashetan yanapanda kichwan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hawa wazee funny kishenzi nilitaka nishangae
😂
Awa ni kama aki na paw paw
😂😂😂😂😂
Niliangalia mwanzoni nikakoment wameongea kwa busara mpaka wanaweza pata ubunge, nilivyomalizia mpaka mwisho nikagundua i was wrong, awa jamaa wapewe kipindi kiitwe The interviewers😅
Nimenjoy sana hii interview
Best ever interview
hatimae brother umepambana mpaka ile quality ya video ambayo tuliyokuwa tukiiona miaka kadhaa nyuma imerudi tena,Big UP Sana
I love your Reasoning Tid man
Chiler amekufaaaaaaaaaaaa yeeeeeyeyeeeee😂😂😂😂😂😂
Kosa lilianzia pale alipowauliza eti mbona wapole sana leo😂😂😂😂😂
Wanyama wawili Hatar Nawakubal kinoma
Legends 🔥 🔥
Versace ya qchief ni matokeo ya kumuagiza vitu bodaboda...😂
Hawa wafungue media jamani😂😂😂😂
Ila interview za kigogo lazima ufurah
Ni vzr kua na hofu ya Mungu bro bt plz Herini vua kkangu duh😢Kisha yuko kwenye mwezi mtukufu
Nouma sanaa 🔥🔥
Good interview sns
Hello from the other side 👀🇺🇸💁🏾♀️
😂😂😂😂😂😂😂😂interview kali yaan hutamani hiishe😂😂
😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana aiseeee😂😂😂😂😂
Mbona sijda ya brother tidi iko juu pale utosini 👀
hapa vocals ziko very powerful
TID is a big thing
😂😂😂😂😂😂😂😂 Mnyamaaaaa TID
26:27 comedy gold
I enjoyed this interview
Nyoko kabisa🙌🙌🙌🙌
very funny interview😛😛😛😛
salute kwa chilla na versage ya k koo😂
😂😂😂😂 bro please, please ilikuwa necessary kutaja location eti k koo😂😂😂😂
These guys should have a podcast
Hawa ndie wasanii wanajua kizungu nice
Pure grammar ya mkoloni
😂😂😂😂😂😂 eti nimekupendaaaa
Ma legendary 😂😂😂
awa jamaaaa nikipindi toshaa alaf wenyewee tu nipesaa toshaaa ❤❤ wakiongeaaa tu
😂😂😂😂 Hawa watu shida kabisa
One of the best funy guy#Tid
God bless you bros