MWILI WA MAREHEMU WAGOMBANIWA ZANZIBAR, AZIKWE KIISLAMU AU KIKRISTO?, "MZOZO SIKU 5"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 72

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 4 місяці тому +2

    Kwa nini ubaguzi wa imani..waislamu kwa nini hakuna uhuru wa mtu kubadili imani.. tatizo ni nini.. tusilazimishane imani

    • @SalumJohn-h2s
      @SalumJohn-h2s 2 місяці тому +1

      Hawa ndugu zangu wa zanzibar hakili kisoda

    • @MahmoudDouch-o6t
      @MahmoudDouch-o6t 12 днів тому

      ​@@SalumJohn-h2sakili zako wewe za Nini

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 2 місяці тому

    Christianity,Islam,Buddhism,Taoism,Shinto, Hinduism,Sikhism,Confuciasm, Jainism,Judaism &Zoroastriansm,Dini zote hizi zina mwabudu mung kwa namna yake,Lakin hawa kumanina ndo wanaon wao uislam2 ndo dini ya mungu,utafikir dunia imetengenezwa na mtume mhamad

  • @mussamhando22
    @mussamhando22 9 місяців тому +2

    MwandishI jifunze kubalance habari mbona hukuwahoji upande wa pili, kwa maelezo tu amesema documents zilichelewa kuletwa lkn badae zilipelekwa police ulipaswa kumuhoji mke wake, huyo mtoto liyetoa taarifa na kanisa ndio ungetuletea taarifa iliyokamilika, lkn kwa Zanzibar tunayoijua huyo jamaa ana dalili kubwa kuwa alibadili dini, Wakristo wa Zanzibar hawana nguvu hiyo ya kupambania kitu kama hawana Evidence, take note.

  • @EliatoshaLema-rw5hm
    @EliatoshaLema-rw5hm Рік тому +4

    Yaani azikwe kwa Imani yeyote Ile .Mungu Ndiye atakayejua kuwa marehemu moyoni mwake alikuwa anamwamini nani.maana yeye mwendo amemaliza hukumu ni juu ya mola.

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 2 місяці тому

    Kuna baadhi ya waumin wa kiislam ni waungwana kishenzi lakin kuna hawa watoto wa nje ya ndoa loooh,wanajifany waislam wakati wazazi wao walitombana pasipo kusema BismilaHh

  • @aminaalabri4170
    @aminaalabri4170 Рік тому +8

    Mtihan wallah allah atuvushe tukiwa waislam 😢😢

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Рік тому

      Mmmh kujishaua kwahyo waliowavusha wakiwa kristo watafanyaje udin tu

    • @SeluSelu-lc8rp
      @SeluSelu-lc8rp Рік тому +1

      @@faithmapondo7370 din ndio kla ktu na kila mtu anapenda din yke kma ww hupend uo udin hauko sawa

    • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar
      @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar Рік тому

      Allah, tujitahidi tukiandika Allah basi tuanze kwa Spelling kubwa

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 Рік тому

      Unajifanya ujuaj na lolote hujui mdomo unakuzid mwendawazim wewe, unwandikaje kwa herufi ndogo

    • @faithmapondo7370
      @faithmapondo7370 Рік тому +1

      😁😂😄 embu toen upuuz wetu kujifanya ujuaj halaf Jna la Mung mnaandka tu kwa heruf ndogo

  • @nourannouuran3514
    @nourannouuran3514 Рік тому +1

    HUSN LKHAATMA YAA RABBY

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo Рік тому

    Subhana Allah huu ni mtihani

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Рік тому +8

    Kama alionekana kujitenga na family inawezekana alibadilisha dini mwacheni tuu azikwe na wenzie

    • @neemambotola1139
      @neemambotola1139 Рік тому +2

      Inaelekea alibadikisha din wakamtenga na yy akaamua Aishi maisha yake..ndio maana imekua ngumu hao kujua Kama amefariki ..sasa Kama walimtenga Yu hai why wamgombanie akiwa amefariki?? Wamuache tu..

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Рік тому +1

    kwani km alibadilisha dini ni pow si atazikwa huko kwani shida iko wapi? mbele ya safari ni mungu.pekee ndo anajua dini aliyopenda ni ipi hukumu.anayo mungu pekee na siyo dini

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj Рік тому

    Km karitad hiar yke Allah atupe mwisho mwema 🙂

  • @Neema-c3r
    @Neema-c3r Рік тому +2

    Ata mkizika kipagan ni sawa maana roho yake na nafsi yake havipo nili mwili tu ndo mnayo hapo ikisha waozea ndo mtajua kuwa hiyo mwili haikuwa na kazi amebaki anawashangaa mnavyo teseka nafsi zenu

  • @Muslim-gs6rn
    @Muslim-gs6rn Рік тому +1

    Innalillah wainnaillayhi rajiuun 😢

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 2 місяці тому

    Yaan mie huwa wana nikera baadhi ya hawa makafiri wa kiislam

  • @aminaadam9914
    @aminaadam9914 Рік тому +4

    Bin adamu twaishi vibaya. Tunakata kizazi kisha majuto. Allah atujaalie mwisho mwema indal maut 🤲🏾

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 Рік тому +2

    Mtu hujitaabisha mwenyewe dunia sijui huko akhera

  • @shersaid7988
    @shersaid7988 Рік тому

    Hatari

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 4 місяці тому

    Nilikutana na jamaa mzanzibar anasema yeye alishaondoka kwenye dini ya kiislamu ila anagopa kujitangaza kwasababu ya usalama wake.Kama unavyojua mtu akiacha uislam anatakiwa kuuwawa

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому +1

    Mtihani kwakweli saivi watu wanachanganya dini hiyo ndio shida sasa lakini mtu azikwe na familia yake wakati wapo hai

  • @fatmaissa5685
    @fatmaissa5685 Рік тому +1

    Kaka yangu kama mwenyewe alijikataa mwacheni akazikwe huko

  • @emmamga5495
    @emmamga5495 Рік тому +3

    Hizi dini mbili zimekua Tatzo Zina tugawa sana katka jamii zetu

    • @svt3
      @svt3 Рік тому +1

      Emma Mga: tatizo dini zenyewe zililetwa na wageni mababu zetu wakalazimishwa wazikubali,walio zipinga waliuwawa kikatili, ila mpaka leo sababu ya ujinga ya mtu mweusi na Akili ni nyeusi bado tunachukiana kwa dini za wageni

    • @kipupwefedede7130
      @kipupwefedede7130 Рік тому +1

      ​@@svt3 nimekupenda bure una akili sana na nataman niwe pamoja na wewe

    • @svt3
      @svt3 Рік тому

      @@kipupwefedede7130 asante ila ki ukweli tunasahau kwamba mu china na mjapani wangekuja mbele ya mzungu na Mwarabu kama saa hizi dini ni Buddha na Shinto

    • @halimahbwelele694
      @halimahbwelele694 Рік тому

      Somen maandiko

    • @kipupwefedede7130
      @kipupwefedede7130 Рік тому

      @@halimahbwelele694 umetosomesha wewe?

  • @princechriss3654
    @princechriss3654 Рік тому

    Nyie mnataabika tu ebu zikeni atajuana yeye na mungu wake

  • @SalumJohn-h2s
    @SalumJohn-h2s 2 місяці тому

    Ubishi2 q'uran yenyew kinahua Alfu2

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +2

    Kama kabadili dini mwacheni azikwe huko

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +3

    Nilijua mtoto kumbe zee zima acha acheni akazikwe na wenzie

  • @khadijayusuph2634
    @khadijayusuph2634 Рік тому

    Mwandishi kwa nini usiulize kwa nini mkristu na mwislam ilikuwaje"??mbona uulizi swali la msingi?

  • @raiyansaleh9255
    @raiyansaleh9255 Рік тому +2

    Dunia hiii unaona familia jamani familia tushikamane tusibaguane conflict inatokea Sasa wakati mtu amefariki aibu gani hii

  • @MwajumaOmary-l3u
    @MwajumaOmary-l3u Рік тому

    Innalilah wainna ilaihi raajiun

    • @neemambotola1139
      @neemambotola1139 Рік тому

      Maisha yanaumiza sana dia ..alafu mungu Wala SI wa hayo ...hayo ni ya kwetu sisi binadamu mungu hana ubaguzi mungu wetu ni WA wote

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 Рік тому

    Utazika mtu vipi bila kuwajuulisha ndugu zake ?

  • @reginalongwe8701
    @reginalongwe8701 Рік тому

    Alikuwa mu Khristo huyo mzee na alitengwa azikwe tu finish

  • @neemambotola1139
    @neemambotola1139 Рік тому +2

    Jamani habari kwanza...me naona hapo uyo marehemu alibadilisha dini ila familia ilimtenga ndio maana na yy alijitenga kwa maana huyo ni mtu mzima kwann ajitenge na hao kwann wasijue ina maana walimtenga huyo i know Muslim din mimi jaman yalishawahi kutikea kwa mtu wa karibu sana kabadirisha dini kaolewa ..akafariki mume analeta msiba kwa baba mkwe akasema sina mtoto kafil kama huyo huwez amin .yule marehemu kazikwa na mumewe kaacha watoto wadogo wote wametengwa nao nimakafiri so sad jamni usikie tu ..

    • @sagboison6297
      @sagboison6297 Рік тому

      Mmh inauma wanaumri gani hao watoto

    • @reginalongwe8701
      @reginalongwe8701 Рік тому

      Jamani sio vzr kwakweli

    • @neemambotola1139
      @neemambotola1139 Рік тому

      @@sagboison6297 mi 5,2 inauma San Yani ..

    • @sagboison6297
      @sagboison6297 Рік тому

      @@neemambotola1139 daaah nimeumia sana

    • @bintyk5149
      @bintyk5149 Рік тому

      Jaman jaman watoto wanakua hawana makosa kuna wazazi wengine inakua hawajui dini kiundan. Apo wakukataliwa ni uyo aloritad tu😢 sio watoto lakini😢

  • @dppd4219
    @dppd4219 Рік тому +2

    Sasa kumbe ni mtu mzima sasa mnagombania nn ikiwa ana family yake

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    😲🤦🏿‍♀️

  • @jambo3751
    @jambo3751 Рік тому

    Mwacheni akazikwe na wakristo
    Ameritadi huyo.Halafu unasema Kule kuna shemegi wenu..amemuoa kwa dini gani?!

  • @mohdchuma78
    @mohdchuma78 Рік тому

    Sasa uyo unaesema mkewe je kamuowa kw dini ipi?

  • @theafricaiknow6615
    @theafricaiknow6615 Рік тому

    Sasa kumbe ni mtu mzima na familia yake inakuwaje mnamgombea?

  • @mariamdullazy8166
    @mariamdullazy8166 Рік тому

    Muna mumiza marehemu zikeni bana

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 Рік тому

    Mtihan wallah unazaliwa MUISLAMU halafu unartadi jmn

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 Рік тому

      Yaani niuzuni kwakweli

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 4 місяці тому

      ​​@@hanifaomar7438Ukiwa giza unaweza kudhani dini inakupeka mbinguni kumbe ni uchafu mtupu, Mungu anahitaji watakatifu tu siyo wanaabudu dini