MSWAHILI : HII NDIO MAANA HALISI YA MJI KIBANDA MAITI HUKO ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 104

  • @chancytherapper1006
    @chancytherapper1006 3 роки тому +15

    Hiki ndicho kipindi tulichokitaka km enzi zile za uswazi umetisha sanaaa👏

  • @shareefap8741
    @shareefap8741 3 роки тому +12

    Zembwela upo juu kabisa nakukubali vipindi vyako home sweet home Zanzibar

  • @SaidShkel
    @SaidShkel 7 місяців тому

    Big up brother Salum yaan huyo jamaa maashallah kichwa sana yuko vizuri bab salum

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 3 роки тому +5

    Mashaallah wazanzibar wastaarabu hawataki wali na mchuzi juu wana desturi na adabu mashaallah 😘😘😘

  • @emmanuelgabagendi3169
    @emmanuelgabagendi3169 3 роки тому +5

    Xaf xan my brother zebwela mungu akubaliki xan tu my brother ahsante

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 роки тому +6

    Big up mswahili zembera 🇹🇿.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Рік тому

    Mtangazaji Zembwera juu juu zaidi❤❤❤👍👍👍

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 роки тому +7

    Zembela babu unamopita huko Zanzibar tafta watu wa zamani wa maeneo husika ndo utapata maana halisi ya maeneo husika

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 3 роки тому +1

    Mwenyeji yuko vizuri sana 🙏🙏

  • @kassimkandulu2573
    @kassimkandulu2573 3 роки тому +11

    Gonga like hapa tuone team WCB

  • @princelloris1705
    @princelloris1705 3 роки тому +1

    Dahhh!!!! Ni mdaa sana yaani tangu ata soko bado halijajengwa

  • @ifahbae4782
    @ifahbae4782 3 роки тому +4

    Wazanzibari wnyw nd tuncklz hapa

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 3 роки тому +2

    Hizi tawala zetu zimetudumuza kweli yaani huyu dada anasemea shida ya maji mpaka kaona noma kasema siku hizi yanatoka lkn ukiuliza yanatoka ktk bomba nje sio majumbani mwa watu. Kama maendeleo ni kuongopea wananchi basi hapa zanzibar kwetu hakuna anaetupata.

  • @allybaru
    @allybaru 3 роки тому +2

    Shoo Kali baba

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +5

    Makaburi msafa maana yake makaburi anaezikwa kila mtu asiekuwa na shamba yao ya makaburi yaani wageni na wasiokua na kwao pa kuzikia ndio pale wahenga walisema ukatae makaburi msafa Baba ako ana shamba??

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 3 роки тому

    Asante.sanaa

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +1

    Mitaa ya kwetu iyo asanteni Wasafi Tv

  • @chisaid3999
    @chisaid3999 3 роки тому +2

    even their accent is like that of mombasa kenya 100%

    • @mohamedfaris3000
      @mohamedfaris3000 3 роки тому

      Uyo mzee anaongea lahaja ya kusini na sio Zanzibar Mjini

  • @zahraalhabsi7931
    @zahraalhabsi7931 3 роки тому +2

    Hahaaa bega moja nimelipenda neno 🤣🤣😆😆😆

  • @yusufmwash6299
    @yusufmwash6299 3 роки тому +4

    Jamani napenda hichi kipindi, nahisi kama nshafika Zanzibari

  • @johnjoseph763
    @johnjoseph763 3 роки тому +1

    Mzee anafanana na mwinyi

  • @princelloris1705
    @princelloris1705 3 роки тому +5

    Pamoja Wasafi tv kwa kuja kutembelea kitaa chetu cha Kibanda Maiti(Muungano) ndan ya Unguja Zanzibar

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 3 роки тому +1

    Sijapoteza data leo hata kidogo,mutu akizikwa na ikafika miaka 40 sehemu inaweza kutumiwa kwa kazi nyingine.

  • @rahmaabdulla4949
    @rahmaabdulla4949 3 роки тому +4

    Yaani nimefurahi kweli leo nyumbani kabisa alipokuwa akiwahoji hao akina mama na dadaangu pia yupo hapo

    • @sleymohamed3825
      @sleymohamed3825 3 роки тому

      jirani yangu

    • @omarymnuru8746
      @omarymnuru8746 3 роки тому

      Rahma kumbe majirani eeh, Naomba unitafute Facebook kwa Jina la Omary Mnuru, hapa Siwezi kuweka mawasiliano yangu

  • @kassimkasi846
    @kassimkasi846 Рік тому

    Dah kitaani kwetu kabisa hapa

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 3 роки тому +1

    Good zembwela

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    Ananikumbusha enzi ya chalinze watu wanaweka pumba kwenye maji unakuta pumba zinaelea wanaitanushwa unaambiwa maji hakuna mitungi imejaa ushwa.

  • @vitumbawakayanda5988
    @vitumbawakayanda5988 3 роки тому

    Babuuu 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🏻

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 3 роки тому +2

    Huyo mama mwenye nguo nyeusi kabeba nini nyuma?

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 7 місяців тому

    😂mitaa yangu iyo

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 5 місяців тому

    Kwaio watu wamejenga juu ya makaburi

  • @kenedelia1419
    @kenedelia1419 3 роки тому +1

    Nomaa

  • @mkadayotv2128
    @mkadayotv2128 3 роки тому

    Nakubali

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 роки тому

    Big up chuma cha pua

  • @wakaredpower4165
    @wakaredpower4165 3 роки тому

    Habari

  • @mrmelody255
    @mrmelody255 3 роки тому +2

    🔥 🔥 🔥

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 3 роки тому +4

    Kipindi kizur Sana njoo na Pemba

  • @FatimaAo-r9p
    @FatimaAo-r9p 5 місяців тому

    Wale tunaosikiliza tukiwa omani tujuane

  • @mubaraknassor4272
    @mubaraknassor4272 3 роки тому

    Pana zikwa w2 au maiti duh!!

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 2 роки тому

    Pindi li kijanja uswaz ndiyo kwetu

  • @princebabu6977
    @princebabu6977 3 роки тому +1

    Nyumbani raha sana uende na mkele na shaurimoyo

  • @suleiphwaupendo1030
    @suleiphwaupendo1030 Рік тому

    Njoo kununi zembwela

  • @aliyahyaissaissa7423
    @aliyahyaissaissa7423 2 роки тому

    Nimefaidkika san n hiki kipindi

  • @fatumafatuma1459
    @fatumafatuma1459 3 роки тому

    Salum ushaowa

  • @marthageorge559
    @marthageorge559 3 роки тому

    Napenda iki kipindi

  • @abisahkassimu1073
    @abisahkassimu1073 3 роки тому

    Daha

  • @masudigatoto6494
    @masudigatoto6494 3 роки тому

    🔥🔥🔥🔥

  • @florakabadoelkana6764
    @florakabadoelkana6764 3 роки тому

    Kazi nzuri sana

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 роки тому +1

    Maisha yetu ya uswazi

  • @ulipoulipotupo7564
    @ulipoulipotupo7564 3 роки тому

    Nyumbani zanzibar

  • @gabrielbyaese631
    @gabrielbyaese631 3 роки тому

    nice kipindi

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 3 роки тому +1

    Kibanda maiti palikua na kibanda waakoshwa maiti

  • @babually2302
    @babually2302 3 роки тому

    wali na mchuzi wa chaza hapo dah!ni hatarii

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 роки тому +1

    Bongo wanaita matarumbeta

  • @yusufudongote6440
    @yusufudongote6440 3 роки тому

    Zembwela hapendi asili yake hapo bara kila mtu anatoka Dsm sijui kwnn hawapendi kutaja makwao

    • @stn4873
      @stn4873 2 роки тому

      Sasa kama ndio kazaliwa Dar mpaka uzee wake unataka asili yake iwe wapi?

  • @amourhassan5218
    @amourhassan5218 3 роки тому

    Kibanda maiti picha ni mitaa y jang'ombe

  • @davicekombe9021
    @davicekombe9021 3 роки тому +2

    Zebweeeeeeeeeeeeeeee

  • @dilipdab3714
    @dilipdab3714 3 роки тому

    Zembwela.njoo.kwetu.tulisoma.dole.skul.njoo.dole

  • @samwelirobert2576
    @samwelirobert2576 3 роки тому

    HII NI YETU SOTE

  • @ramshboy6218
    @ramshboy6218 3 роки тому +1

    Zembela mtu mbay

  • @adaboychibu1659
    @adaboychibu1659 3 роки тому

    Wazenji hawapendi kumwagiwa juu😂😂😂😂

  • @mudolyomanziri5955
    @mudolyomanziri5955 3 роки тому +1

    Elimu ya bure kabisa tunapata

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 3 роки тому

    Zanzibar brutality islands of Africa

  • @ibrahimkhatibu4561
    @ibrahimkhatibu4561 3 роки тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥