UTATA KIFO CHA MFANYA USAFI WA HOSPITALI ZNZ ASKARI WATANO WAHUSISHWA, MJOMBA ASIMULIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 чер 2024

КОМЕНТАРІ • 82

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu Місяць тому +8

    Wanalaana hao Askar wameshazowea kuuwa kwahio dam inawachemka laanatu llahi

  • @user-qg7wx1ou5b
    @user-qg7wx1ou5b Місяць тому +1

    Dah yani imeniuma kama kaka yangu namjua vizur said shine mungu akuifazi maharishi pema ishallah

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji Місяць тому +21

    Askari wa Zanzibar wanapenda sana kuua washasnza mazoezi ya uchaguzi ujao 25

  • @rahiyayousaf3093
    @rahiyayousaf3093 Місяць тому +14

    Inallillhi wainaillhi rojouni saidi shineni 😢

  • @CalmGlassRose-oy3qv
    @CalmGlassRose-oy3qv Місяць тому +18

    Dah nikifikiria jinsi mwili unavyofanyiwa uchunguzi 🤔 aisee ni zaidi ya maumivu kwa marehem, ndugu bora mushukuru tu chukueni ndugu mkamstiri haki ataitoa Mungu ndo mwenye kuona ya sirini

    • @Official83640
      @Official83640 Місяць тому +1

      Unafanywaje?

    • @CalmGlassRose-oy3qv
      @CalmGlassRose-oy3qv Місяць тому +1

      @@Official83640 huwa wanapaupasua ili kuona vitu vya ndani wanakata na fuvu la kichwa kwa msumeno ule mdogo

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt Місяць тому

      SubhanaAllah​@@CalmGlassRose-oy3qv

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 Місяць тому

      ​@@CalmGlassRose-oy3qvsubhanaallah bora wakachukua t nakumzika jmn

    • @CalmGlassRose-oy3qv
      @CalmGlassRose-oy3qv Місяць тому

      @@busnaoman9981 yaan ni simanzi kwakweli

  • @hamicpina1151
    @hamicpina1151 Місяць тому +8

    Namshukuru ALLAH xkupata kazi za kishenzi hakika kumuuwa muumini mmojani xawa kuuwa watu wote mtihani

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 Місяць тому +12

    Inaalillaahi wainaailayhi raajiuun mungu amlaze mahala pema peponi amin

  • @salmaabdu5011
    @salmaabdu5011 Місяць тому +5

    Haya mambo zanzibar yapo sana tu kunawatu wameuliwa na hakuna hatuwa yoyote ilochukuliwa kama kafa panya tu hii zanzibar inatisha kwa uhalifu na zaidi wanaofanya hayo ndohaohao wanaojiona wana madaraka

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b Місяць тому +15

    Tz hakuna haki si bara wara Zanzibar ni shida tu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 Місяць тому +8

      Kwel kabisaa ila Allah yupo tumshitakie yeye peke yakee ndo mfalme wa wafalme .

    • @user-zk5tq2ni6b
      @user-zk5tq2ni6b Місяць тому

      Ni kwwli

  • @nyulaseptember5573
    @nyulaseptember5573 Місяць тому +4

    Hii ni michongo ya kuuza viungo vya binadam. Kwa kuuza figo moyo nk. Ndiomaa hawataki kuonyesha mwili wake. Washampasua tumbo na kutoa kila kitu. Watu washapewa mamilion yao..

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8n Місяць тому +13

    Zambi kubwa 3.Allah amsamehi mja wake.1.SHIRKI 2.KUUA 3.ZINAA.TUWE NA HOFU YA MUNGU DUNIA TUNAPITA.

  • @ZainaJambo
    @ZainaJambo Місяць тому +8

    Hao asikari huwa wanataka sifa hata mimi walitaka kuniuwa heti niwe mfano kwa wengine wakaamua kunivunjia simu yangu na kuitupa

  • @DuuSaid
    @DuuSaid Місяць тому

    Poleni sana kwa kuondokewa .kama ingekua anatabia hio ripoti japo moja au zaidi ingekuepo kituo cha polisi bila ya kuepo haiaminiki ila wachunguze zaidi .hata hivo haipendezi mtu kuchuku hatua mkononi mwake kumzuru wela kumuua raia

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim Місяць тому +2

    Hii ndo shida ya mpumbavu kumpa fimbo, vikosi vya SMZ havina nidhamu.Ushauri wngu Kwa serekali kwenye kuajir wajitahid kuwaajiri watu waliosoma sio kuchukua watu maskani,Elimu inamzuia mtu kufanya upuuzi. Jengine naweza kusema ulevi Zanzibar umekua mama wa maasi, mungu kaharamisha nyinyi mumehalalisha, then munajipa sifa ya uislaam, ipo siku Utajuta Kwa nn ulizaliwa.

  • @user-xc5mk4ro2z
    @user-xc5mk4ro2z Місяць тому +3

    Askari wa smz ndo wanaongoza kwa kuuwa then wanakundwa ila M/mungu hawalindi madhwalim IPO sku Moja watajuwa

  • @modricseif1018
    @modricseif1018 Місяць тому +3

    Allah hakeem 🙏

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 Місяць тому +3

    Hawa watu wanadhani wana haki ya kutoa Roho za watu.

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz Місяць тому +3

    Hiyo ndio kazi za vikosi vyetu kazi iendelee hata bado kampeni bado mambo yameanza mapema ikifika uchaguzi je kumenuka

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 Місяць тому +7

    Mtihan

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Місяць тому +2

    2025 tuta ona mengi zaidi vifo vitakua vingi zaidi 😢😢

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 Місяць тому +3

    Hiyo ndio serikali ya kidhalimu wangapi wanauwawa kituo cha polisi na wanajeshi wanachukua sheria mikononi mwao na serikali iko kimnya

    • @staanstaan8722
      @staanstaan8722 Місяць тому +1

      Acha upuuzoi sio pahala pale hapa kwanini kila mara serikali ya kidhalimu viongoz wenu hawamo humo?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Місяць тому

      ​@@staanstaan8722Hao viongozi wenyewe nao hupigwa, wakati ukifika nao hupigwa barabara haswa, wakafichwa kusikojulikana, muulize Jusa na Mazrui, na Duni wana majibu.
      Tena wawe na ubavu gani kuzuiya maovu ya kauli mbiu yajayo yametimia.

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l Місяць тому +2

    Sawa tuseme kaiba police ndo wamuuwe inamana police hao vikos wanawafundisja nn raiya .haya hatakama kalewa sindikabisa unampiga mlevi mm usjauri wangu aloporwa mkoba atafutwe aje hazaran akiri.akipangwa mtu sisi tutamsubiri kwa ALLAH. unyama

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 Місяць тому +3

    Poleni sana

  • @ChaoticcYT
    @ChaoticcYT Місяць тому

    Alllah mpe kauli thabit said shineni

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 Місяць тому +3

    Duuuu masikini dunia kunavifu bingine unasabsbisha niwatu

  • @user-gy5ii3ig1d
    @user-gy5ii3ig1d Місяць тому +10

    Smz dhulma kwenda mbele

  • @user-chichi1993
    @user-chichi1993 Місяць тому +1

    Lazima tufahamu kuwa hii ni serikali ya wakwezi na wakulima

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 Місяць тому +2

    Hio kwanza Ni Coronas Court

  • @omanmct135
    @omanmct135 Місяць тому +1

    Subhaanallllah

  • @Allybinamour
    @Allybinamour Місяць тому

    Hao ndo askar wetu wa smz kupiga ni fahar kwao na ndo kipao mbele chao.polen wafiwa allah akupeni subra.
    na hao walofanya hivo watakua washafurahi roho zao.

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf Місяць тому +2

    Innalillah

  • @mzenj72
    @mzenj72 Місяць тому

    Siku chache tu kule Arusha kwenye kikao cha Tume ya Raisi ya uchunguzi wa mambo ya haki jinai, Zanzibar na vikosi vyake ilitajwa. Matukio mabaya ya watu kutekwa na kupigwa yamekithiri. Tukimbilie wapi!? Serikali hii ya watu isimame imara kutulinda. Mungu atusaidie.

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf Місяць тому +3

    Saidi Kuna kijana wa bububu kigamboni ameuliwa bububu skuli juzi ijumaa ugomvi wa vijna

    • @salwamohammed4787
      @salwamohammed4787 Місяць тому

      Jaman nnani alieuliwa huko kigambon nambie Mimi nipo mbali ya Tanzania kwangu hapo kigambon

    • @DelightfulMacawBird-tl5hf
      @DelightfulMacawBird-tl5hf Місяць тому

      Kigamboni ukimaliza daraja kwa bamgana mwanawe anaitwa rama

  • @omanmct135
    @omanmct135 Місяць тому +1

    Inalilah wainailahirajun

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Місяць тому +1

    Mwisho wa siku utaambiwa kifo cha kawaida tuu

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Місяць тому +7

    Kwa utawala wa samia mtaonewa sana

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому +3

      Kwani samia ndiyo kawatuma waiwe hao wanaousika na kifo cha huyomtu. Acheni chuki

    • @user-bl3rp5tk5f
      @user-bl3rp5tk5f Місяць тому +1

      mbona wanaomfaham wanasema kweli ni mwizi

    • @Mohamed-sc6bk
      @Mohamed-sc6bk Місяць тому +2

      Wacha uhuni wewe sasa samia anahusika na nini hapo

    • @fatmaabdalla1641
      @fatmaabdalla1641 Місяць тому +2

      Kwa iyo ndo adhabu yake kifo au hebu tueleze tufaham labda hatujui

    • @luganostewart8320
      @luganostewart8320 Місяць тому

      ​@@user-bl3rp5tk5fSasa kama ni mwizi ndo anastahili kuuwawa?

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube Місяць тому +3

    Kafa akiwa amelewa jaman kuna kifo

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl Місяць тому +2

      Mtihani kifo ni ulevi na yeye kalewahaliilikuaje. Mtihani

  • @haryanyawu640
    @haryanyawu640 Місяць тому +5

    😢jamani

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Місяць тому

    C walikuwepo private security wamewaondoa wakaona bora waweke Vikosi ili wauwe

  • @barakaalbert8987
    @barakaalbert8987 Місяць тому +2

    Wamezoea wavuta bangi wanaonea watu

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Місяць тому

    Innalillaih wainnaillaih rajiuun😭😭😭😭😭

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb Місяць тому

    Hao ni kawaida tu kwao kuua na wao ndio watapewa haki,kwani mlevi anauliwa? hao viongozi wengi si wanalewa mbona hawauliwi?

  • @MvitaOmar-hn7mf
    @MvitaOmar-hn7mf Місяць тому +1

    Unatumalizia bando halafu hatulipi acheni

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 Місяць тому

    Wauaji ao

  • @omanmct135
    @omanmct135 Місяць тому

    💔💔💔🤲😭

  • @stonetown578
    @stonetown578 Місяць тому

    Nchi ngumu hii

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu Місяць тому +4

    Mkiambiwa mwanamke hafai kuongoza muwe mnaelewa punguzeni kujipendekeza kwa samia

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 Місяць тому +3

      Kwani raisi wa Zanziba ni mwanamke?

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 Місяць тому +3

      Kwani Rais kawatuma hao askali vituvingine mtukabla hujafungua mdomo unatakiwa utumie kichwa kifikilia kwanza maana huu niujinga unao zungumza kwani kipindi cha Marais wakiume watu hawajauwawa au ukichaguliwa wewe uwe Rais watu hawatauwawa???

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 Місяць тому +2

      Anachuki tu na Samia. Samia anaijenga Tanganyika ni hatariii hana baya mama.

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 Місяць тому +1

      ​@@awadhsalim2680Tanganyika anajenga nn?

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 Місяць тому

      @@lakasid3860 wewe wakaa wapi au mwisho wa reli ?
      Njoo uone kariakoo,,,ilala na miji mengine magorofa yanavo mwagika. Kipindi cha magu kaua kila kitu mpaka leo nchi haijakaa sawa. Yeye tunaona ndege na barabara za juu tu. Ndege atapanda muuza nyanya ? Xi bora nchi ikijengeka atabeba japo zege mambo yaendelee. Magu alikuwa na vita na wafanya biashara tu bc.

  • @salimaziz9858
    @salimaziz9858 Місяць тому

    Smz