Binafs nipo kwenye ndoa na nimezaa watoto wanne kwenye ndoa yngu,,,,,lkn kumuamin mwanaume juu ya watoto wang hapana,,nipo makin sanaaa😢😢Mungu atusaidie kizaz hiki kinapoelekea Mungu mwenyewe anajua
Hongera dada bora ungelikuwa askari wangenyooka hao wabakaji maana usingeliwaacha au ungelikuwa jaji nna imani haki ingetendekaaana wangenyooka tu hao hongera sana kwa kuwatiy moyo familiya Allah akufanyie wepesi ili haki itendeke na mtoto apate huduma nzuri ili arudi ktk hali yake ya kawaida inshaallah
Ya Allah😢 Inauma Sana Pole sana Dada Allah Akupe Subra Allah Atakusaidia Na Amlinde mtoto wako kila Dakika Allah ndie Hakim Ndie atamuhukumu Aliemfanyia mtoto Kitendo hicho Cha ukatili. Yaa Rabbi Walinde Watoto wote Yaa Rabbi 🤲😢
Subhana llah 😢😢yaa Rabbi tunusuru na vizazi vyetu 😢tulindie watoto wetu yaa Allah 😢😢😢😢dunia imefika ukingoni hata wanyama niafadhali kuliko binadamu uwiiiii poleni sana jamani
Mungu akubariki sana Waziri na waandishi wa Habari kufuatilia jambo hili. Tunawasihi sana mwende nalo sambamba mpaka haki itendeke. Sheria ifuate mkondo wake. Kiatu cha huyu mama ni kizito mno. Mtoto pia anahitaji matibabu ya ki mwili na ya kisaikolojia. Kiatu cha huyu mama ni kizito mno. Mungu tusaidie haki itendeke sheria ifuate mkondo wake.
Ee Mungu wangu😭😭mzazi unamfanyia hivi mwanao na bado umeoa una mke ndani ni tamaa ya namna gani inakufanya umuingilie mtoto hivi 😭😭😭😭ee Mungu walinde watoto wetu jaman,hili ni pepo la aina gani😭😭😭😭😭😭😭😭nimelia mpaka basi😢😢😢😢😢
Asante sana da madina silima, mm nnaumia sana nikisikia km ivo kwani ata mm bado kdg nikutane naukatili km uwo😢😢😢😢 ila kwauwezo wa mungu nashukuru nitauwepuka japokuwa hadi leo hii nakosa maelewano mazuri namama angu mzazi😢😢😢😢😢😢😢😢😢kwani mama angu alinambia anahiyari kuliko mm mtt wake na akaamuwa kunifukuza nyumbani kwake😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Yan uyo baba inatakiw anyongwe kabla hajanyongwa atiwe chupa 1 mkunduni aongezew n mskumio w chapat ili kabla hajafa aone utam wake n yeye msenge sana uyo baba
Weeeeeh utalalaje usingizi gani huo.juuuu kama ni mtoto wa miaka 6 akibakwa lazima kuna nduru haswa mbele na nyuma weeeh huyo bwana aende jela for life.
Kweli serekali iko wap mpk saiv wanafanyq ivo mambo ya maana hawayachukuli mkazo ingekuwa wamefanyiwa watt wao kweli wengewatowa ndani au uyo mnyonge ndio mana. Mthn wallah
Subhana Allah huu mtihan mzito infection kubwa kapata baby sijapata kuona ivi Allah awahifadhi watoto wote yaraby inaliza mno. Milard Ayo Inshaa Allah tupe mrejesho mpaka mahakani wafungwe huko 30 miaka inamuhusu uyu baba bila pingamizi apo
Pole sana dada,huyo mume uachane nae,kabisa wala usitake ndoa tena wanaume hawaaminiki hata kidogo usimuamini mtu yoyote na mtoto wako kaa na wanao rizik anatoa allah haitoki kwa mwanaume
Pole dad allh Bab mzz shetn na wt w njee je watafnyje juu y wtt wt serekali itoe maamuzi Kam waliyopewa wale waliyombaak bint kule dadoma uyoo c bb Bali ni muaji mbwa mkubw wazz tuw makn n wtt wt n tuwafundish mtu yyt akukufnyie ukatili usiogp kusema
Tukio imefanyika zanzibar...Jee una uhakika gani kama ni mzanzibar aliefanya hivyo maana hapa zanzibar panaishi jamii kutoka sehemu tofauti tofauti na wengine hata kuongea wanaongea kama wazanzibar
Yani ww,, ndomana @claudianhowi9628 anasema mnabebana,,hao wote ni wa znz isingekuwa hvyo wangesema watu kutoka sehem Fulani ila niwakaazi wa znz lkn hao ni waznz na waziri kathibitisha tatatzo wa znz mmezoea kubebana na kusema wenzenu tuu yakwenu aaah@@jumahamadomar9124
Pole sana Mungu asimamie hili yani mume mkubwa akili ndogo😢 hapo ndiyo ninapo sema proud matendo tuu na siyo dini utalikuta linasari sara tano inauma sana imani jaman Mungu atusaidie
Tuseme mama, mtoto akifanywa hta hapigi kelele,au tuseme wewe kma mama hatua ya kwenda kushtaki ndio ilikua suluhu tu,Innalli llahi waina illehi rajiun,kenya angekua maiti hyo baba
Aisee kuna vitu ukisikiliza vinaumiza sana,kweli mtoto wa Miaka 6 asiyejua hata kujitetea,inaumiza jamani,hawa wabakaji wasiwe wanapewa dhamana jamani,😢😢😢😢
Yaani kusema kweli sheria za ubakaji zikerebishwe kwanza adhabu ndogo ukilinganisha na ukubwa wa kosa, pili hukumu zinacheleweshwa sana kutoka, tunakua na hasira mwisho sasa tutawamaliza wenyewe km wafanyavo wizi
Uwezekano wakuisha haya mambo ya ubakaji upo selikali ebu ingezeni nguvu katika haya mambo, maana mkichukulia powa ndio yanazidi jamani watu hawa wakibainika wamefanya ivo yani afungwe kabisa bila kuchukuwa muda sana kusikiliza kesi kama izi za kuumiza ivi.
Jamani nyie wazazi wa kiume Mungu awalaani milele mfanyao vtendo vya namna hii kwani cc wamama hatuishi na watotto wa kiume kwenye nyumba zetu jamani serikali yetu sikivu haya manaume majinga yahasiwe jamani tusiyanyamazie haya majitu maovu
Sasa ndio muda wa kutubu mbele ya ufalme wa mungu maana hii dunia inaendeshwa na shetani ndio maana hatuna hata huruma Kwa umri wa huyo mzee afungwe maisha na atafutiwe p ddy maisha yake yote
Subhallah Maskini anatumia dawa za mental huyo mama inamana Kuna wakati anaumwa huyo mama kasema ndomana hajawahi kugundua haraka maskini nyie mtu mzima mshenzi
Binafs nipo kwenye ndoa na nimezaa watoto wanne kwenye ndoa yngu,,,,,lkn kumuamin mwanaume juu ya watoto wang hapana,,nipo makin sanaaa😢😢Mungu atusaidie kizaz hiki kinapoelekea Mungu mwenyewe anajua
Acha uongo ww hizo ni Imani za kishirikina sasa ww unasema umwamini mbona pesa za matumiz unapokea usitudanganye mbona unampa uchi umwamini vp??
@@JohnOmossowewe sasa hapo kakuongopea nini stupid kabisa unataka kubisha unanlala nao hapo nyumbani kwao au
Hao watoto ni wenu wote mumeo na wewe na SI watoto wako pekee, halafu matukio kama haya siyo baba zote wanaweza Fanya ujinga kama huu,
Hongera dada bora ungelikuwa askari wangenyooka hao wabakaji maana usingeliwaacha au ungelikuwa jaji nna imani haki ingetendekaaana wangenyooka tu hao hongera sana kwa kuwatiy moyo familiya Allah akufanyie wepesi ili haki itendeke na mtoto apate huduma nzuri ili arudi ktk hali yake ya kawaida inshaallah
Allah atulindie watoto wetu, mtoto mdogo wa kufanywa mbele na nyuma tena na baba mzazi,,, dah Mungu atusimamie Allah
Alifanyiwa nyuma pekeake
Maelezo ya mama kasema kafanyiwa kotekote
Ila huyo mama kasema mbele na nyuma.
Ya Allah😢
Inauma Sana
Pole sana Dada
Allah Akupe Subra
Allah Atakusaidia
Na Amlinde mtoto
wako kila Dakika
Allah ndie Hakim
Ndie atamuhukumu
Aliemfanyia mtoto
Kitendo hicho
Cha ukatili.
Yaa Rabbi Walinde
Watoto wote
Yaa Rabbi 🤲😢
Allaahu Akbar.., inaumiza sana jamani pole mamy.... Allaah amlipe stahiki ya unyama aliufanya kwa mtoto.
Mungu akubariki mhe Riziki Pembe🙏❣️pole sana mama kwa mitihani uyo baba Mungu amlaani duniani hadi haela
Wababa wa zama izi baadhi yenu ivi mnakuaga mmevuta bangi ama mnakuagaje weh subhana Allah mngu atusamehe huu ni mtihani Mzito😢😢
Subhana llah 😢😢yaa Rabbi tunusuru na vizazi vyetu 😢tulindie watoto wetu yaa Allah 😢😢😢😢dunia imefika ukingoni hata wanyama niafadhali kuliko binadamu uwiiiii poleni sana jamani
Jamaniiiiii 😭😭😭 tumuamini nani ikiwa baba mzazi anaweza kufanya ukatili kama huu kwa mtoto wake wa kumzaa tuwafiche wapi watoto wetu?:
Sijui yaani sijui. Dinadamu tumelaanika baba analala mtoto wake mama analalwa na mtoto wake Dunia hii
Yaan tuyasikie tu km hivi inaumiza sana ,sijui wachawi hawa😢
Wanaume wamekua wahovyo
Achana nae ni mchawi nn
Very sad story maý Allah protect us all amin
Mungu akubariki sana Waziri na waandishi wa Habari kufuatilia jambo hili. Tunawasihi sana mwende nalo sambamba mpaka haki itendeke. Sheria ifuate mkondo wake. Kiatu cha huyu mama ni kizito mno. Mtoto pia anahitaji matibabu ya ki mwili na ya kisaikolojia. Kiatu cha huyu mama ni kizito mno. Mungu tusaidie haki itendeke sheria ifuate mkondo wake.
Ee Mungu wangu😭😭mzazi unamfanyia hivi mwanao na bado umeoa una mke ndani ni tamaa ya namna gani inakufanya umuingilie mtoto hivi 😭😭😭😭ee Mungu walinde watoto wetu jaman,hili ni pepo la aina gani😭😭😭😭😭😭😭😭nimelia mpaka basi😢😢😢😢😢
subhanallah,
ewe allah tuhifadhi waja wako na ushetani huu yarabbi
Allahuma Aameen 🤲
Aly Allah Andika kwa heru kubwa "Allah" Shukran
YESUUUUUUUUUUUU..........RUDI SASA UWIIIIII 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Eeeh mwenyezi mungu ....tuepushe na haya majaribu ya Dunia ya Sasa jamn...tujifiche wapi au tufiche wapi watoto wetu
😭😭😭Jamani eeeéeeh wanaume mnapo fikiya inatosha Kwakweli kiyama kimeingiya Allah Atunusuru namambo Ayo kwa watoto wetu 😭😭😭
Mimi hpa nasema mwanaume yoyote atakae nifanyie mwanangu ushenzi kma huu ntamuua kwa mikono yng mwenyew kma jela Bora niende mm lkn mshenzi atakuwa kashakufa ☹️☹️☹️
👏👏👏👏❤️🔥❤️🔥
Uko sahihi ndugu tujisaidie wenyewe .
Wallah hata mimi bora nifie jela
wewe nimimi kabisa
Du jamn
Subhanallah 😢sintokaaga nikamuamini mtu dunia ipo kasi saana imagine baba mzazi je mtu baki??
Hivi hakuona Malaya waliojaa mpk afanye hivi kwa mtot wake alifaa auliwe au jela maisha
Taman haki itendekee mana inauma Sana
Asante sana da madina silima, mm nnaumia sana nikisikia km ivo kwani ata mm bado kdg nikutane naukatili km uwo😢😢😢😢 ila kwauwezo wa mungu nashukuru nitauwepuka japokuwa hadi leo hii nakosa maelewano mazuri namama angu mzazi😢😢😢😢😢😢😢😢😢kwani mama angu alinambia anahiyari kuliko mm mtt wake na akaamuwa kunifukuza nyumbani kwake😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Pole sana 😢
@@JennyMdaki asante sana
Pole sana
😢😢
Uyo so mama mshenzi kama una ndugu nitafute ata mm niwe ndugu yako
Huyo baba afungwe maisha😢😢
Ee mwenyezi mungu naomba nipe mwisho mwema dunia imefika mwisho mungu tetea watoto wako😭😭
Tobaaaa yarab nashidwa hata yarab sio ww tu uloumia mm pia huyo ni mnyama jamani roho yaniumaaa
Yan uyo baba inatakiw anyongwe kabla hajanyongwa atiwe chupa 1 mkunduni aongezew n mskumio w chapat ili kabla hajafa aone utam wake n yeye msenge sana uyo baba
Pole sana ndugu..,muuguze Mtoto huyo Mwanaume SHERIA ichukue mkondo
Weeeeeh utalalaje usingizi gani huo.juuuu kama ni mtoto wa miaka 6 akibakwa lazima kuna nduru haswa mbele na nyuma weeeh huyo bwana aende jela for life.
Allah amfanyie wepesi huyo mtoto , na mjaalie baba huyu aliomfanyia mwannawe hivi aekwe jele maisha, msheziiiii huyu
Mwenyezi MUNGU atulindie watoto wetu.Mtihani kweli dunia ya leo
Hizi ni sikuuu za mwisho YESU tusaidiee 😢😢
UTAKUTA JITU KAMA HILO LINASTAKIWA SII LINYONGWE TU 😢😢
Wallahi nimeshindwa cha kuandika😭😭😭😭😭ee Mungu tusaidie
😢😢nyieeeeeeeeee😢😢😢 tutubie jmn dunia isha isha hii😢😢 jmn jmn jmn eeeh Allah eeeh tusamehe Yaa Rabbi eeeh tustir Maulana weeeeh!! Wastir watt wetuuuu ....tutawaficha wapi?!!😢😢 yaan hapo hakuna mjadala mm huyo baba naomba apigwe mpk afe wallah HAPANA HAPANA HAPANA JMN KWANN HATUANDAMANI KUKEMEA HAYA?!!!😢😢😢😢 NAUMIA MM JMN HUKU MAMBO YA ULAWITI ,HUKU MAUAJI YA WATT,HUKU BABA WAZAZ WANAWAINGILIA WATT WAO.. EEH MOLA WEEH TULINDIE WATT WETU SIE WENYEW HATUWEZIII EEH MOLA EEEH.😢😢😢😢
Mungu tusaidie tumuamini nani katika hii Dunia hakika tunaanza kuogopana ee Mwenyezi Mungu tunaomba utusaidie
Kweli serekali iko wap mpk saiv wanafanyq ivo mambo ya maana hawayachukuli mkazo ingekuwa wamefanyiwa watt wao kweli wengewatowa ndani au uyo mnyonge ndio mana. Mthn wallah
Utasikia ni wabara maana kila baya wanalo wafanya wazanzibar wanasema yamepelekwq ni wabara dah Mungu atusamehe
Jamani kwann wanaume mmefikia hukuuu wallah inaumiza mnataka tuwarudishe watoto kwenye matumbo😢😢😢
Yaan unamfanyia mtoto wake wa kumzaa mbele na nyuma😢😢😢😢😢Mungu baba tusamehe
Subhana Allah huu mtihan mzito infection kubwa kapata baby sijapata kuona ivi Allah awahifadhi watoto wote yaraby inaliza mno. Milard Ayo Inshaa Allah tupe mrejesho mpaka mahakani wafungwe huko 30 miaka inamuhusu uyu baba bila pingamizi apo
Mmmh aisee usingizi gan mtt anabakwa mko kwa godoro mmoja ata ushtuki
Jamani tumchangie mtoto apewe dawa please 😭😭😭😭😭
Kwa nn hawajamresha hospital izo huduma n free
Tuwafiche wali watot wetu jmn km Adi Bab mzazi anafanya hivy😭😭
Hongera kiongozi mu.ngu akusimamie mama samia msaidizi wake unatosha piga kazi
Zanzibar ayo mambo yapo sana tu na mtu akienda jela chapu analudi
Pole sana dada,huyo mume uachane nae,kabisa wala usitake ndoa tena wanaume hawaaminiki hata kidogo usimuamini mtu yoyote na mtoto wako kaa na wanao rizik anatoa allah haitoki kwa mwanaume
Pole dad allh Bab mzz shetn na wt w njee je watafnyje juu y wtt wt serekali itoe maamuzi Kam waliyopewa wale waliyombaak bint kule dadoma uyoo c bb Bali ni muaji mbwa mkubw wazz tuw makn n wtt wt n tuwafundish mtu yyt akukufnyie ukatili usiogp kusema
Da emungu smama nass katma maishayetu maana hatunahata watuwakarbu wakutusaidia kabsa
Inauma MTT mdogo sana sehemu zote mbili kamharibu kaa tena baba
Kuna mambo ukiyasikia utajuta kuzaliwa kwa kweli 😭😭😭😭😭
Pole sana dada kweri hii dunia imeharika sana kama baba mzazi anamfanyia hv mtoto duh
Wazanzibar wanabebana Sana, Mungu amsaidie apate haki yake. Pole Sana mama 🙏
Tukio imefanyika zanzibar...Jee una uhakika gani kama ni mzanzibar aliefanya hivyo maana hapa zanzibar panaishi jamii kutoka sehemu tofauti tofauti na wengine hata kuongea wanaongea kama wazanzibar
Sana wanamuhari Sana, eti tuyamalize! Upumbavu Sana huu😢
Yani ww,, ndomana @claudianhowi9628 anasema mnabebana,,hao wote ni wa znz isingekuwa hvyo wangesema watu kutoka sehem Fulani ila niwakaazi wa znz lkn hao ni waznz na waziri kathibitisha tatatzo wa znz mmezoea kubebana na kusema wenzenu tuu yakwenu aaah@@jumahamadomar9124
Mm upande wa mama yangu ni wanzanzibar na ninapajua vizur nimeishi pia ni kweri znz watu wanabebana sana
@@faridanurdin9635 wanamuhari...muhari ndio nini dada farida maana sidhani kwenye kiswahili kama kuna neno Muhari ebu nijuze
Naitaji kuona wale WA I'm proud to be Muslim mko wapi
am here
@@mrsmussa115 its very shame
@@LisaKavura to you kafiri
Msio makafili mnakula watoto wenu Bora kua kafiri Kuliko Ku be proud alafu nifedheha yaani aibu
Mimi mkristo,hapo usiwashirikishe wengine...huo ni ufirauni wa watu wachache...inauma.
Jamani jamani nini kimebaki, mwisho wa dunia ufike? Jehova tusaidie
Pole sana Mungu asimamie hili yani mume mkubwa akili ndogo😢 hapo ndiyo ninapo sema proud matendo tuu na siyo dini utalikuta linasari sara tano inauma sana imani jaman Mungu atusaidie
Mtoto huwa hasemi uwongo. Amejeruhiwa mtoto kisaikolojia. Hilo libaba kweli 6 yrs mbele na nyuma na anamfanyia kila siku mpaka wadudu???
Baba mzazi kweli unamfanyie bint yako hivyo. Na wewe utoke funza chini
Si mtu wewe
Afungwe huyo milele
Huyo baba anyongwe kabisa hafai katika jamii
Tuseme mama, mtoto akifanywa hta hapigi kelele,au tuseme wewe kma mama hatua ya kwenda kushtaki ndio ilikua suluhu tu,Innalli llahi waina illehi rajiun,kenya angekua maiti hyo baba
Kasema yeye mama anatumia dawa za mental kwahiyo huwenda anamfanyia wakat mama kashakunywa dawa na ukinywa dawa za mental unakuwa na usingiz mzto san
Ina lilah waina ilah rajiun subhana allah mtt mdogo
Wallah huu ni msiba
Aisee kuna vitu ukisikiliza vinaumiza sana,kweli mtoto wa Miaka 6 asiyejua hata kujitetea,inaumiza jamani,hawa wabakaji wasiwe wanapewa dhamana jamani,😢😢😢😢
Mungu Wang😭😭😭😭 walinde watoto wetu uwiiiii mke unae unafata Nini kwa mtt we baba aaa jmn
Sasa kweli mtoto miaka SITA mmmmm hii Dunia jalala jina la rafiki yangu
Innalillah wainna illah rajuun 😭😭 mwenyz mungu atunusuru na majanga haya ya kila siku
Allah atupe subra lakini inaumiza sana namaumivu yake hayana mfano na mimi pia nimuhanga juu ya mtto wangu 😢😢😢
Duu Pole cn mshenzi huyo baba yaani wanaume ss hv hawaaminiki ss hv wanaume kuwaachia mtt ht baba
Zanzibar hakunaga sheria Ata kidogo😢
Bora umeliona hilo
Yaani kusema kweli sheria za ubakaji zikerebishwe kwanza adhabu ndogo ukilinganisha na ukubwa wa kosa, pili hukumu zinacheleweshwa sana kutoka, tunakua na hasira mwisho sasa tutawamaliza wenyewe km wafanyavo wizi
Nyie wapemba mnazingua sanaa hamtaki Zanzibar iwe kama bongo bongo raha
Subhanallllah duniya imeisha jamani😢😢😢
Hongera waziri yuko pamoja na wanyonge .
Dada Mungu akupe nguvu pole sana
Uwezekano wakuisha haya mambo ya ubakaji upo selikali ebu ingezeni nguvu katika haya mambo, maana mkichukulia powa ndio yanazidi jamani watu hawa wakibainika wamefanya ivo yani afungwe kabisa bila kuchukuwa muda sana kusikiliza kesi kama izi za kuumiza ivi.
Inna rerah waina Lilah rajuun pole sana Dada
Tusali sana jamani
Innalillah wainan lillah rajoun pole mzazi
Jamani nyie wazazi wa kiume Mungu awalaani milele mfanyao vtendo vya namna hii kwani cc wamama hatuishi na watotto wa kiume kwenye nyumba zetu jamani serikali yetu sikivu haya manaume majinga yahasiwe jamani tusiyanyamazie haya majitu maovu
Anaslahili kifo uyo mtoto bora amkose uyo baba awe yatima tuu
Pole dd allah amjalie apone daa kaka muaji anaata aibu
Pengine huyo mtoto ana matatizo ya kiafya tu ilikuwa mumpeleke hospitali akatibiwe
Pole mwanangu huyo usimsamehe ni adui km kaweza kufaya hivyo kwa mwanae nawe iko siku atakufira wakati umeshameza dawa zako za mental
Sasa ndio muda wa kutubu mbele ya ufalme wa mungu maana hii dunia inaendeshwa na shetani ndio maana hatuna hata huruma
Kwa umri wa huyo mzee afungwe maisha na atafutiwe p ddy maisha yake yote
Subhallah Maskini anatumia dawa za mental huyo mama inamana Kuna wakati anaumwa huyo mama kasema ndomana hajawahi kugundua haraka maskini nyie mtu mzima mshenzi
Baba unabaka na kulawiti mtoto wako uliyemzaa mhh halafu usingizie shetani baba mwenye miaka 50😮
Dadangu pole sana,inatakiwa anyongwe hadharani ili iwe fundisho kwa wengine
Yani yani sijui jmn maana ninaweza nikamuua mwenyewe jmn
Ntanzaniya vitu vyamajabu aaalllah atustiri yarab
Ila zanzibar daa😭
Mungu awalinde watoto wetu Dunia ipo mwishoni
Hata hakuna wa kumuamini jamani 😢 kila mtu ni mby
Serikali ya kiwakeeee mtuu anabaka na anaaachiliwaaaaa daaa
wamama tusiamini yoyote hata awe baba
Huyo ni baba asiejielewa
Nasema hivi hao wabakaji na walawiti WAUAWE kwa kupigwa mawe hadharani. Huu uharamia umeshika kasi mno mpaka inatisha
Hizi media nazo ishakuwa mtihani
Hee wewe dada jamani mna lala je au mnakufa yaniiii mtito anafa yiwa hapo hapo wewe upo????????
Jamani tunaomba serekali ichukue mkazo saana ikiwa kaweza kuharibu mwanae mwana wa mwenzie atamfanya nini si atamuua kabisa..jamani serialised ichukue hatua kali saana
dunia imeisha😢😢😢
Woyiiii dunia inaeleakea wapi jamani😭😭😭😭😭
Mm namkata huo mzee wakazi
Huyo mkuu wa kituo anacha kujib coz kosa kama hilo linakuwaje na dhamana jàman Mungu aingilie kat uharibifu unàzid ndan ya taifa hil
Innalilah wainnahilah rajiun Hy baba kitangi anyongwe
Watu wenye unyama kama huu wanafaa kunyongwa na sio kugungwa jamani
Sasa nyinyi millard mnashindwa kumpigia mkuu wa polisi wa mkoa husika