"MIMI NIMEWAHI KUKUTANA NA SHETANI, NILITIMKA MBIO!" | SIKIA USHUHUDA HUU WA AJABU WA ASKOFU GWAJIMA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Asante sana kwa huo ujumbe umenisaidia kama mchungaji, sasa nimeelewa
Amen' Bila nguvu za Mungu akuna anaye muweza shetani
Amen naombeni no ya mtumishi wa Mungu Gwajima nina shida naomba maombi
Kama upo dar nenda ubungo maji pale kanisan kwake
Courage mon pasta révélatione drc tunakufata kila Léo👍
Asante gwajima wanaoropoka hawajawahi kukufatilia,simama baba wanaokuponda Wana misukule ndani au wao wenyewe nimisukule Waite baba njooo kwajina la Yesu
wewe nikenge maji
😂😂😂@@ScopionScopion-zj9cd
Ameen Ameen
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ,baba amepitia mengi huyu 😊
Hatari sana, uko vizuri sana Mchungaji
Ahaa 😁😁 Glory be to God.
Gwajima😢😢Unapiga watu wa Mungu kitu kzito hzihzii tunaon😂😂,Uongo mreeeeefu, Acha Hzo ww.
😂😂😂😂 huyu mshenzi 😂😂😂 kuwalisha watu wa Mungu matango pori😂😂😂😂😂
Kama kitu hujui tulia au we mchawi
Aaah !Kwa Sisi MaJasusi Tunaelewaaa 😅
Kufanya Kazi Ya MUNGU katika Kweri Aaah Siii Mzaa Mzaaa VITA NI KUBWA
Sasa uongo uko wapo sikiliza mwisho utajua kuwa ni uingo au ukweli
AMINA KUBBWA
"BILA NGUVU ZA MUNGU HAKUNA ANAEMUWEZA SHETANI".
Amen nakupenda askofu
Ahaahaaaaa asante sana Baba yangu umenipa kitu kikubwa sana
An international revivalist 🎉🎉❤❤❤
True man of GOD
Ameen Mtu wa Mungu
Barikiwa sana
Very powerfuly
Amen🙏
Yaan mtumishi wa Mungu unanibariki sana kwa shughuda zako ilike sana
Gwajima ni mlevi
Wewe ndio mlevi
Mchungaji unibariki sana
GOD IS💪💪💪💪
Huwezi kufufua uwongo 😢😢
Kufufua kiroho siyo kimwili hata wewe waweza
Naomba kujua ilikua ni somo la lini maana najaribu kuangalia nakosa
Aliangalia mov ya kibongo
Jamen wapendwa naombeni no ya mtumishi wa Mungu Gwajima
Gwajima unayo nguvu nilikuota ulikuja kunisaidia ila ulikua huna fimbo Kali nkakupa ya kwangu ukawaadabisha wale adui zangu. So don't tell me ur weak in tha spiritual u are fierce and powerful
USHUHUDA HUU UENDELEE...TUONE WALE WATU ILIKUAJE MWISHONI...
Amen
❤
😍 we love u Dady
He is really
Jozeee gwash
Dah😊
Iyo nivu au stori ya sungula na fisi😂😂😂😂😂
Mungu akubariki by pastor erick
Dah nimecheka sana bila MUNGU sis atuwez kitu
Kweli pasipo Yesu Kristo mwanadamu hatuwezi jambo lolote
AYA MAMBO UYAKUTI KWENYE UISLAMU ,,SIJUI NIMEMUONA MTUME MUHAMMADI NIMEMUONA MUNGU SIJUI SHEKHE ANAFUFUA WAFU ,AMNA UJINGA UO
Mwenye uwezo wa kukufua n yesu mwenyw wengn n michongo
huyo Yesu mwenyewe sasa ndo anakaa ndani yangu kwa hiyo anae fufua watu sio Mimi ni Yesu mwenyewe aliye ndani yangu
😮😮😮 aisee inatisha
Baba nakupenda,
CHAKULA CHA NGURUY
Askof mvuvua Watu unaingilia Kazi ya Mungu
Kazi ipi hiyo
Soma biblia
Kufa na Wewe tukufufue
Mungu ni roho ili kumsaidia mtu anamtumia mtu
Soma mathayo 10: 8. Iko wazi kabisa fufueni wafu. Toeni pepo. Takaseni wenye ukoma.
Ameen Baba
Mijusi🔥🔥😄😄😄😄
Hahaahaha Mungu akubariki sana dah
Najiuriza hii dini yakiyahudi au niukristo
Itakuwa ni mixer !!
@@richardnganya2311😂😂😂😂😂😂😂
Hauna haja ya kujiuliza unapoteza muda bure
Yaani Ukweli Mtupu
Duh!
ila wew hee kweli unawezo wa kufufuwa basi magufuli tufufulie mjomba mbonda vichekesho hivi
Hawa ni matapeli tu. Na waumini wao ni makondoo tu. Kwanza askofu mwanasiasa? Wapi na wapi!
@@greydonalds4286wanalisha watu wa Mungu matango pori
Kwanza umeshajivuna kwamba wewe ndiye unayefufua wafu kuliko mungu ndiomaana umeshashushwa na mungu anayeponya ni mungu wewe nichombo chake tu utahukumiwa askofu gwajima kwa maneno ya kinywa chake
Nafurahai ivyo kweli kuhakakisha kama amekufa kwa mapenzi ya Mungu kabla ya kuzika maana shetani anachezeya watu sana
Imeandikwa mpingeni shetani naye atawakimbia pia Yesu alisema ukiwa na imani ndogo kama ya mbegu ya haladali ukiuambia mlima ngo'ka na ukatupwe baharini nao utang'oka. Hapo mchungaji uliingia hofu unapomuogopa shetani ndivyo anapata nguvu juu yako
Kuelekeza ni rahisi kuliko kufanya ni rahisi kujiona unalijua Neno ila sisi tunaomba yakukute ili tuone ukilitumia Hilo Neno
Niliwahi kuona mtumishi akihubiri kwa ujasiri mkubwa sana kuhusu tabia za Imani lakini lilikuja jaribu akawa wa kwanza Kushindwa mtihani huo ila sisi aliotufundisha ndio tulishinda
Mungu wa mulindwa akukumbuke,unakumbuka shetani?Marko 16_17.soma
CHAKULA CHA NGURUWE HICHO UNAWALISHA WATU
Halafu na hao mafala wanaokwenda kwenye kanisa lake hawazindukagi tu.?kahh kulogwa gani huko?
@@simonzakaria4770mapumbafu hayo kama wanawake wanamuamini kuliko waume zao ni huzuni
😂😂😂😂 Huwa namfatilia sana mchungaji ngwajima
Shetani ni kitu tofauti sana. Huwezi kumkimbia kwa miguu hii miwili maana shetani haitaji miguu kutembea.
kuna dada mmoja alikuwa anatokwa na hedhi bila mpangilio akawa anatumia mafuta ya upako akaenda hospal hawakuona ugonjwa
hakupona kumbe shida alikuwa anapenda kula chakula chenye tangawizi na kitunguu swaumu wakati wa hedhi hakujua kuwa viungo hivyo hupanuwa milija ya damu alivyo acha alipona hapo hapo mpaka leo usiombe mkeo awe na imani za kinabii atakusumbua mpaka utakimbia
Chichi unacho kishirikisha Muulize Roho mtakatifu ujue nikweli hii shuhuda au siikweri na pia mambo ni mengi tumuamin Mungu
@ sasa kama hata hakili ya kujua kuwa hakuna ufufuo au upako ni mikwara utampokea aje huyo roho yaani huyo nabi wenu anakwambia alikutana na shetani akiwa anaenda kumfufua mtu 🤣
Waçhawi tunakuwaga nao makanisani na mpk unadondoshwa jiulize una nguvu ya Mungu
Unakimbia wachawi huna nguvu ya kweli ya Mungu mchawi hakimbiwi
Kondoo walopotea bwana Kwa stor Zao bifsi kuliko kuwafundisha watu Imani ilokuepo mwenye vitabu 😂😂😂
GWAJIMA KANISANI HAKUNA SHEKHE WAKO HUMO
Soma bibilia wewe Acha ubishi
@selegioelias9076 usichokijua ni usiku wa giza
This man is very comedian 😅😅
Uongo
Aliotaaa...
Anasimulia ndoto yake.😂
🙏🙏🙏 nahitaji msaada wa uponyaji naomba namba ya mtumishi huyu wa MUNGU
*Omba* Endelea kuomba usikate tamàa.
Kuomba mwenyewe ni vyema zaidi
Mhh..... huwezi kuipata kirahisi. Labda uende kanisani kwake
Asante naomba kamwe sitaacha kuomba MUNGU anionyeshe njia ya kutoka katika hili
Naamini MUNGU atatenda na nitayasimlia matendo yake
@@NoelaTembe-x5i pole sana kama utakuwa tayari tuzungumze nikupe namba yangu,,, Naitwa mtumishi wa Mungu Lucas
Iv nyny watu mnafikilia kweli hilo jambo lilimtokea lini hadi anakuja kukumbuka siku hizi kama sio kutunga ni nn jambo kama hilo kweli tumieni akili zenu vzr nyny 😅
Daa nimejikuta nimecheka
Gwajima sometimes anajua kuuza watuu😂😂😂😂
Ukiona unauzwa si usisikilize Kwan umelazimishwa
Hii ni kweli Yesu ni ufufuo na uzima.
Hahahaha sanaa alikua anafufua watu aisee
@@ImaniAlphonce-n3ekwaiyo jamaa alikua anafufua watu?
@@mgogowacanadahii ngumu kumeza😅😅😅😅
Tufufulie Magufuli na lowasa Baba.Amina chifupa ulisema utamfufua tunakukumbusha bado hajafufuka.huenda umesahau baba
mzee unakitukizitoo
Jamani kwan azam TV mnapatikana chanel gan
Niseme Kama mama angu"hamjui vita vya kanaani" ndio,naongea na wote ambao hawamuelew mzee wa watu.
Kweli watumishi wanapitiamajaribu
Mbona apo dar bana makabuli mengi kaka unge fufua wengi acha kudanganya watu eti shetani utani huu mabumbavu eti yana amini anachokisema poleni
kunasiku utakutana nae usijali KRISTO YESU NI MUNGU
Wewe askofu acha kudanganya waumini,,acha kuhubiri injiri ya ndotoni,,
Jmn jmn yupi aliwahi kufufuliwa😂😂😂😂😂
Ila walokole ni wapuuzi bora mm ni mganga wakienyeji nimefungua kanisa la mizimu kalibuni sana
😂😂😂😂😂😂 nimeipenda hiyo😂😂😂😂😂 niambie uko wapi niwe muumini wako😂😂😂
Jamani tusicheke tusicheke Kuna watumishi wenzake uku wanache jama mimi naomba aunijibu Kwa kummwogopa mungu gwajima unaongea kweri ujuwe alifika kwetu akawatowa misukile kama 7 yakijijini kwetu chaajabu sasa akuna ata Mmoja anae mjuwa kijijini kwetu naata alivyo ondoka ayuwaoni wale watu walio tolewa misukule ujuwa awa wanao jiita manabii wa miaka ii sijuwi kama yupa mkweli kwenye stori au maajabi ww utasikia aliniita mungu akanimbia nije kuwafufuwa acha uwongoo mwana😂😂😂😂😂😂😂😂eeeeew
Siku za mwisho hizi tutaona mengi kusikia mengi Jo dev arisema aripewa funguo na yesu Zumaridi aka muona MUNGU huyu nae amemuona shetani jamani
We kibabu kiongo 😂
Ninahitaji maombi naumwa kwa miaka 5 kitandani sitembei
Story zauwongo kama za shakahola
😂😂😂😂😂😂
uongo mwingine bn!!!!
Jaman tusijisahau kunao wale watu waliochoma chanjo ya COVID soon watageuka cjui vitugani
Washa geuka, saivi kuna ma zombie kibao
@@emanuelmoshama3899😂😂😂😂😂😂tunayajua kutokana na matendo yao😂😂😂😂
Na mie niliisha kutuna nae live huyo wa mionzi liikuwa hatare sana, ilijuwa usiku
Tupe sasa ushuhuda ilikuwaje
Mnaosoma comment nisaidieni no ya huyu mtumishi
Duh
Sasa hao walikua mashetani au wachawi?
Kuna watumishi wanacheeeeka wanajionea ajabu 😂😂😂
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽😂😂😂😂😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂❤
Uongo😂
Kwa hiyo wale kina husein bolt au wakenya wanaokimbia riadha wanaweza kumkimbia shetani
Ni ngumu kumjua shetani kama una shetani
Shida sisi tunapinga kila kitu ata tusichokifahamu ndo mana tupo nyuma kila kitu.
shekh maana yake ni mzee
Gwajima kama gwajima naona unawapa hadithi kondoo zako 😂😂😂😂😂 wenyewe wametuliia kwama kini wanakusikiliza 😂😂😂😂
SASA BENDERA YA ISRAELI NA NYIE MNA MUABUDU YESU NA HAO HAWA MKUBALI YESU INA KUAJE