AWASHIWA TAA ZOTE | TAZAMA WAREMBO WALIVYOMGOMBANIA | ANA UZURI WA KIUME PESA IPO | HELLO MR RIGHT

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 399

  • @sethjohnson7266
    @sethjohnson7266 9 місяців тому +16

    Wanaume wanaopenda hapo ni domo zege. Kwamba wanakosa jinsi ya kutafuta wadada na kuwashawishi mpaka waende kujiuza hapo!! Eti Mr Right, 😄😄😄 uhuni mtupu

    • @AbdulSaleh-t4d
      @AbdulSaleh-t4d 8 місяців тому

      Maigizo haya

    • @scolas3134
      @scolas3134 2 місяці тому

      Usiseme hivo kosho unaweza ukamuona kakako hapo😂😂😂😂

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 місяці тому

      😂😂😂😂😂mm najiuliza mbona hawajielewi hata kidogo 😂😂

    • @erickkamala
      @erickkamala Місяць тому

      hiv kweli Mr right unapata mtu wa kuishi nae !!jama tunaenda wap?lkn m nawashauri wanaume wenzngu acha tabia hii s nzur mtu unamuona Leo eti mnaoana Leo kiukweli tbia hii s nzur ningekuwa kiongozi wa serikali hili jukwaa ningelifungia maana halina Mila na destuli

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 2 місяці тому +3

    Duh bwana kipara misifa imemzidi mpaka kaharibu mchuzi... ivi mnaijua white dry wine?😂😂😂?
    Yaani Wine kavu nyeupe😂😂😂

  • @VictorBugobola
    @VictorBugobola 11 місяців тому +14

    Hiiioo nayo n aina ya umalaya tu😂😂😂

  • @ElizabethBrown-z4g
    @ElizabethBrown-z4g 11 місяців тому +4

    Duuuuu ila akina Lizzy Mungu atusaidie🏃

  • @OmarAhmed-s3k
    @OmarAhmed-s3k 9 місяців тому +21

    Allah mstahamilivu sana ila kama si hvyo ana uwezo wa kutoa adhbu yoyote aitakayo muda wowote Allah tunusuru waja wako hakika ss ni wadhaifu

  • @faudhiaramadhani2308
    @faudhiaramadhani2308 9 місяців тому +2

    😂😂 nikikumbuka ya Ciara na yule kaka Sina Hali nabakigi kucheka tuu

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 10 місяців тому +4

    Hatarii na nusu

  • @KhalfanSaid-mo9jh
    @KhalfanSaid-mo9jh 11 місяців тому +88

    Nyinyi mnaoendesha Mr Right nahao Wanawake wanaojiuza hadharani,mnamkera Allah nadalili zakiama, niwanawake kujaa masokoni.. Allah akbaru

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 11 місяців тому +2

      Kabisa

    • @jamesraphaelmdima4729
      @jamesraphaelmdima4729 11 місяців тому +1

      Mcheni Mungu na kumtukuza,siku ya Bwana inakuja!

    • @jamesraphaelmdima4729
      @jamesraphaelmdima4729 11 місяців тому +2

      Yalekebisheni mapito yenu,msienende namna ya ulimwengu huu!

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 11 місяців тому +2

      Hakika hujakosea.qiyam hakiko mbali tufanye ibada kumrudia mungu naumala unawasupuw

    • @wizdady4727
      @wizdady4727 11 місяців тому +1

      Mbona unateseka ww

  • @MwileMkangwa-y1n
    @MwileMkangwa-y1n 9 місяців тому +1

    Eliza mimi nakapendaga bureeee😂😂😂

  • @gasperrobert7036
    @gasperrobert7036 11 місяців тому +74

    Huyu Mr Right ni schoolmate wangu wa advance pale Bagamoyo Sec ,ama kweli miaka inaenda leo Oscar anatafta Mchumba apa 😂

    • @westcijosh
      @westcijosh 10 місяців тому +1

      Hapana hatafuti ni scripted

    • @JastinaRuguma
      @JastinaRuguma 10 місяців тому

      😂

    • @venacyibrahim5056
      @venacyibrahim5056 10 місяців тому +4

      Yaani na yeye na elimu yake amekosa mtu huko anakuja hapa??!, kweli pesa zake na elim yake havimsaidiii chochote. Ebu fikilia hao warembo profile zao mbona hazitajwi????, ukijiuliza hilo swali na ukapata jibu. Utaona wanaume wanaoenda kutafuta wanawake hapo wanashida hawako sawa

    • @MwileMkangwa-y1n
      @MwileMkangwa-y1n 9 місяців тому +1

      Na osca kapendwa kwa umoja wa wadada😂😂😂😂❤

    • @MwileMkangwa-y1n
      @MwileMkangwa-y1n 9 місяців тому

      ​@@venacyibrahim5056agiza soda I will pay it 👍

  • @JonathanNelson-l8h
    @JonathanNelson-l8h 11 місяців тому +22

    Mwanaume kama mimi siwezi kutafuta mwanamke hapo😂😂

    • @musajackison5965
      @musajackison5965 11 місяців тому +1

      Ww jamaa usiogope kachukue vyuma hivyo

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 11 місяців тому

      @@musajackison5965 🤣🤣🤣🤣

    • @MaryamaAlly
      @MaryamaAlly 11 місяців тому

      kwan unanini bwana weeh 😅😅 kwenda

    • @MwileMkangwa-y1n
      @MwileMkangwa-y1n 9 місяців тому

      Njooo mkuuu untie Niko hapa😂😂😂😂

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 9 місяців тому

      @@MaryamaAlly Nina hela na nina nguvu. za kiume

  • @Damz240
    @Damz240 11 місяців тому +4

    Atakae chaguliwa asije umiza moyo wa kijana maana hawachelewi kujinyonga hawa

  • @SamwelOgonyo
    @SamwelOgonyo 10 місяців тому +11

    Pia mm ntawatembelea am from Kenya 🇰🇪 warembo wapo

  • @HappyJovinary
    @HappyJovinary 9 місяців тому +23

    Mwanaume anaejielewa hawezi kwenda sehem kama hizi kutafta hao makahaba

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 11 місяців тому +13

    Ndio mana ndoa hazidumu sikuizi hamuezi vumulia mashida kwasababu mmepatana katika mazingira ya kiuni uni😂

  • @MamySuheil
    @MamySuheil 9 місяців тому +9

    Allah tusamehe maana pesa inasababisha tunafanya kila tu Cha kumfurahisha shetani ila nakuomba usimsamehe yoyote anaekuza zinaa allahu akbar allahu akbar allahu akbar

  • @Happinesabella3654
    @Happinesabella3654 11 місяців тому +7

    Niwasaidie wakongwe Kama Eliza na zarish na wengine watu wanawaona kila siku mpo na mna nyodo Sana ndo maana hamchaguliwi wanaotaka wapya nenden mkatafute wenza mtaan acheni kujianika

  • @bettykarume5619
    @bettykarume5619 11 місяців тому +6

    Mkulima makini sana huyu af anajielewa mnooooo big up sanaaaaaa😊

  • @rehemawaweru5373
    @rehemawaweru5373 2 місяці тому

    Wow and wow your such a man Oscar 😍😍

  • @aloyceisdory7855
    @aloyceisdory7855 Місяць тому +1

    Leo ndo nimeamin hizi mambo wanapangwaga yaani huyo Oscar schoolmate wangu bagamoyo afu kama ni kumaliza chuo ni mwaka huu afu afu eti nana degree na maisha taari 😂😂😂😂

  • @faithkaganda-k3s
    @faithkaganda-k3s 11 місяців тому +7

    Please naomba no ya huyo kaka ili anifanye nione dunia ni mahali salama pakuishi❤❤🎉🎉😂😂😂nyie wakaka huwa wanamaneno yakutuaminisha😅😅😅

    • @Swabrah-fey
      @Swabrah-fey 11 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @mcback4384
      @mcback4384 11 місяців тому +2

      Unaweza kuta mfukoni hata nauli hana, simu imeharibika charging system mwezi wa 3 sasa

    • @faithkaganda-k3s
      @faithkaganda-k3s 11 місяців тому

      @@mcback4384 ila ww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niache kdgo🙌🙌🙌🙌😂😂😂

    • @ladislauskostantin3006
      @ladislauskostantin3006 2 місяці тому

      @@faithkaganda-k3s niko hapa

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂

  • @deniusjohnbosco3527
    @deniusjohnbosco3527 Місяць тому

    Apo Leo ngekua Mr right nsingetoa mke apo ngerudi next Day 😂

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 11 місяців тому +4

    Mr right Mrs right wako niko hapa acha kujichelewesha na zinaa hizo

  • @Abdul-rn5zj
    @Abdul-rn5zj 11 місяців тому +31

    zinaaaaa matangazo

    • @Abdul-rn5zj
      @Abdul-rn5zj 11 місяців тому

      fact

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 10 місяців тому +1

      NJE YA POINT,JE HIVI NDIVYO MLIVYOAMBIWA MVAE NA RAIS??? SHAME TO YOU.HATA HIKI KIPINDI HAMFUNDISHI KITU ILA KUPOTEZAA😢

    • @MonkeyDLuffy-p4g
      @MonkeyDLuffy-p4g 2 місяці тому

      😮😮😮😢😮

  • @sospeterurassa9894
    @sospeterurassa9894 11 місяців тому +4

    Uzuri wa mtu sio hela wala muonekano mzuri au kawaida,
    Wapo zuri wa sura umbo na kinyume chake wapo ,hapa ni kuomba Mungu tu kila mwandamu ana mazuri na mapungufu yake bila kuishi au kufahamiana japo kidogo huwezi kujua
    Yaani hapo mtu siku moja tu unatangaza maisha ya pamoja kabla ya kufahamiana ni hatari tupu,

    • @dorahmushi-we6ts
      @dorahmushi-we6ts 11 місяців тому

      Tena ni ujinga mtupu...hujui historian yake japo kidogo jamaniiii😩

    • @Sakina-sk8rn
      @Sakina-sk8rn 10 місяців тому +1

      Yaani bola nimuombe Mungu wa Kuhani musa anisaidie tu nipate wangu kuliko uko

    • @Sakina-sk8rn
      @Sakina-sk8rn 10 місяців тому

      Ata kunusa kupo apo aya makubwa

  • @bienfaitnoah2942
    @bienfaitnoah2942 3 місяці тому +1

    Hongereni san

  • @renatuschina220
    @renatuschina220 11 місяців тому +4

    Duuh nomaaa😀😀

  • @PaulMaloveboy
    @PaulMaloveboy 2 місяці тому

    Eeee!! Mungu tusaidie maan siyo kwa sitair hii Dunia simama nishuke 😂😂😂

  • @AbdulSaleh-t4d
    @AbdulSaleh-t4d 8 місяців тому +4

    Wanawake wanapenda wanaume weusi wenye mng'aro,ambao hawana mambo mengi, smart kichwani,wasafi,wapambanaji na wakweli.ukiwa na sifa hizo hata kama masikini utapendwa na wengi

  • @hawababy120
    @hawababy120 11 місяців тому +4

    😂😂😂😂apokwanusa nimecheka san😂😂😂🇧🇮🔥🔥

  • @hamishamis179
    @hamishamis179 2 місяці тому +1

    Kwani hii ni kweli au ni mchezo tuu ivi kweli mke anapatikana hapo

  • @mudimkagila5252
    @mudimkagila5252 Місяць тому

    Kwa wale wote wa

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 11 місяців тому +3

    Wahehe hoyeeeeeeee! Tuko juu hatujawahi feli😂😂😂😂 utulivu ndio Hadi yetu tukiudhiwa hatuna muda wa kujishana...kamba Iko wapi kwa heri

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 11 місяців тому +11

    Zalishi na eliza mina wanamidomo n niwakongwe hapo😂😂😂n hamjachaguliwa

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 Місяць тому

    Ila wahehe mi nawakubali sana watulivu

  • @MussaAndongile
    @MussaAndongile 3 місяці тому +1

    Madanguro ay kaz tunayo hii inch Mungu aingilie kat

  • @mshewetv
    @mshewetv 11 місяців тому +6

    Kiindi kifungiwe ni upuuzi tu hapa

  • @ProspertRubura
    @ProspertRubura 11 місяців тому +1

    Mimi ni Prosper kutoka Bujumbura Burundi je awo wanawake wana tafuta mapenzi wala wanataka hela

  • @LadyyJemsii
    @LadyyJemsii Місяць тому

    Huku wanaenda wasiojua kutongoza😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 11 місяців тому +18

    Kwanza madem wenyewe wote wabaya 😂😂

  • @Nyamizi
    @Nyamizi Місяць тому

    Natamani sanaiki kipndi😊

  • @OscarJeremiah-r2h
    @OscarJeremiah-r2h 9 місяців тому

    Wajina huyo mhehe mwenzangu

  • @SylvesterManeno
    @SylvesterManeno 10 місяців тому +2

    Eliza anataka harufuu yakee😅😅

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 11 місяців тому +1

    Hivi ni kweli au maigizo? Mi siamini kama mume/ mke bora anachaguliwa kama nyanya sokoni! 🥺🥺
    Wanaangalia muonekano wa nje!!!
    Kama ni kweli basi dunia ina mambo na bado tutaona mengi...

  • @aysharamadan-j3l
    @aysharamadan-j3l 2 місяці тому

    Hv kumbeh saiv wanawake hakun aibu kabxaaa Yan ndo kam wamebeba nafac za wanaume jmn Allah tuhurumie mola wetu bila ww hauwez kabxaa

  • @MegaNasri-bv7tc
    @MegaNasri-bv7tc 6 місяців тому +1

    Sasa nimegundua wanaume wa iringa wanapendwa nimetoka kulizwa juzi tu mwezenu 😢wako na iyo bahati ya kupendwa na wanawake😂❤

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 10 місяців тому +1

    Uyu Eliza ana zarau sana

  • @WinifridaMbembe
    @WinifridaMbembe 8 місяців тому +2

    Huyu Eliza hana akili timamu huyu

  • @UstadhiMfinanga
    @UstadhiMfinanga 11 місяців тому +8

    Sidhani kua unaweza kumpta mke hapo stara ya mke hapo ipo wpi

  • @Dorcaskiwale-ir6ec
    @Dorcaskiwale-ir6ec 11 місяців тому +7

    Uyu Eliza sijampenda kwa kweli anawenge sanaa

    • @fatumomatano9752
      @fatumomatano9752 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂kwani Bado achapata mchumba anakiherehere sana

  • @IssakaMisholo-wy7mf
    @IssakaMisholo-wy7mf 6 місяців тому

    So good job

  • @FATUMACHIPYANGU
    @FATUMACHIPYANGU 11 місяців тому +13

    Awa wadada.wanajirahisisha mno kama makahABA DUUH😢😢

  • @Feisal712
    @Feisal712 2 місяці тому

    Wanajiuza hadharani hii dunia ya leo mungu atubariki tutaona

  • @DreyzOfficial-w7p
    @DreyzOfficial-w7p Місяць тому

    Kwaiyo hawa wanaotafuta wapenzi umu ni madomo zege 😅

  • @VailethSanga-n4i
    @VailethSanga-n4i 11 місяців тому +2

    Eliza bado yupo😅😅😅😅

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Місяць тому

    Hawa wadada ni njaa tuy nazinaa zinawasupuw wallah

  • @maryluhaga1589
    @maryluhaga1589 Місяць тому

    😂😂😂😂haliya😂😂😂

  • @ericbrunokalonndwa8590
    @ericbrunokalonndwa8590 Місяць тому

    Haha ni mtazamo tu sioni kosa kwenda ni maamuzi

  • @RahmaKasimbagu
    @RahmaKasimbagu 2 місяці тому

    Ila Oscar edger 😁😁😁

  • @GeorgeChitemo-kt8sw
    @GeorgeChitemo-kt8sw 11 місяців тому +10

    Hiii inadhaminiwa na freemason

  • @RobsonWisdom
    @RobsonWisdom 11 місяців тому +30

    Shetani Yuko kazini daaa saiz hawajiuzi vichochoroni wanakuja hadharani 😢😢😢😢😢😢

  • @ellymwampashe8927
    @ellymwampashe8927 11 місяців тому +7

    Wooow huyu mr right ni fire💥💥💥

    • @kamkubwa
      @kamkubwa 8 місяців тому

      Haujaniona mie

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 2 місяці тому

    Mwachie atafute bikra😂😂😂

  • @rahmamusa8548
    @rahmamusa8548 9 місяців тому

    Eliza kanywa soda. Sana kwenye stage atamaliza cret😮😮

  • @user-boss_ledy
    @user-boss_ledy 11 місяців тому +1

    Mbn wabay ndo wanajishaua😂😂😂

  • @JacqDaniels-hu5xj
    @JacqDaniels-hu5xj 10 місяців тому +4

    Ila huyu kaka jmn❤

  • @lydiahkerubo4985
    @lydiahkerubo4985 11 місяців тому +8

    Sa huko ni soko kweri😂😂😂 heri nitafute kwa strit😂

  • @AgnesBenedict-k4b
    @AgnesBenedict-k4b 2 місяці тому

    Mmmmh siyo pw jamn dunia imeisha

  • @grolykimario26
    @grolykimario26 10 місяців тому +2

    Mmmmm eliza bwana aibu naona mm😂😂

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 11 місяців тому +6

    Eliza kaumbuliwa et asogee aibu khaaa 😂😂😂😂

    • @JacklineMdolwa
      @JacklineMdolwa 10 місяців тому

      Yaan etu amnuse ili chiz lawapi hhhhh

  • @MwanaidiAbubakariMwanaidiAbuba
    @MwanaidiAbubakariMwanaidiAbuba 2 місяці тому

    Kipind kwaza kinaboa wamekua stori tu sasa hiv huyo doct kaw kiherehere san mnaboaaaaaaaa na stori san

  • @Godfrey-n7c
    @Godfrey-n7c 21 день тому

    Ahaaaweee

  • @FestoBalagaju
    @FestoBalagaju 4 місяці тому +1

    Nimekukubali mwamba

  • @YunusShelukanya
    @YunusShelukanya 8 місяців тому

    Mbona iko wazi tumekataa kutafutiwa wake na wazazi sasa tunachukua makahaba jukwaani mwanamke kweli mwenye maadili ya kua mk huwezi mkuta akijitangaza apo tunaomba rekodi zao hau mlio wapa wanawake wamewai kuoana kweli ama wana duu tu nakupitishana uku kweli unaweza mtambua mtu kwa kumtazama. MUOGOPENI MUNGU.

  • @AbdulaziziMohamed-n7q
    @AbdulaziziMohamed-n7q 2 місяці тому

    Dunia inaenda spidi 😂😂

  • @TWProducts-f4z
    @TWProducts-f4z 10 місяців тому

    Dada umepata huyo kaka tulia mambo ya pesa sogeza pemben tanguliza upendo dunia itakuwa mahala salama pako wew kuishi

  • @maryamconstantine2232
    @maryamconstantine2232 11 місяців тому +5

    Mr right na kipara chake cha jua kali

  • @ConsolathaKanosius
    @ConsolathaKanosius 3 місяці тому

    Jamani wadada tujitahidi kutafuta hela kwajasho na so kujiuza jamniii daaa

  • @NeemaKhamiss-k9i
    @NeemaKhamiss-k9i 11 місяців тому +14

    Wahehe eanajia kupenda pia wanawifu sana ukimsariti kukutoa roho sioshidazake

  • @ChriswaMaria
    @ChriswaMaria 4 місяці тому

    Hivi hizi insh ni kweli au kwamba wanatafuta wachumba

  • @AbdulIsmail-ie4hp
    @AbdulIsmail-ie4hp 2 місяці тому

    Hivi hawa watu wote wanaakili timamu..???? Yani kabisa wanachaguana hapo wakaanzishe familia

  • @danielndei5420
    @danielndei5420 9 місяців тому +1

    ufala ya hii show ni mziki kua so loud kushinda sauti ya watu ,..mziki background music inaboa sana na its too loud,.. ila LOLO mzuri

  • @LazaroAmos-x8k
    @LazaroAmos-x8k 5 місяців тому

    Lolo mzuri

  • @LindaMohamedi-h9e
    @LindaMohamedi-h9e 2 місяці тому

    Eee Mungu wasamehe maana hawajui walitendalo

  • @Huncho_taitan_breezy
    @Huncho_taitan_breezy 11 місяців тому +4

    Hatari 😅

  • @musondolirobert3922
    @musondolirobert3922 11 місяців тому +13

    Aliya leo nimevutwa na mivalio yako leo❤

  • @joykachwele2638
    @joykachwele2638 9 місяців тому

    Mataira watupuu😢😢

  • @saraissa9327
    @saraissa9327 11 місяців тому +2

    Oscar jamaniii..wife materials tupo hku tumekaa tunawasubiri 😢😂😂😂

    • @Brunoh90Tv
      @Brunoh90Tv 11 місяців тому +2

      Na husband material tupo huku tunawatak nyie wife materials😢😂

    • @Esters-zr6nl
      @Esters-zr6nl 11 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @saraissa9327
      @saraissa9327 11 місяців тому +1

      @@Brunoh90Tv au sio 😂😂😂

    • @Brunoh90Tv
      @Brunoh90Tv 11 місяців тому

      @@saraissa9327 Ndiooo😅

  • @ibrahimpengele6362
    @ibrahimpengele6362 5 місяців тому

    Kongole kwako mnyalu mwenzangu

  • @AngelLulambo
    @AngelLulambo 6 місяців тому

    Kazi ipo

  • @HappnessMiribo-jw8pb
    @HappnessMiribo-jw8pb 4 місяці тому

    Ilaatanamm nimependa uyokaka alie ongeaneno fulani hapjaman mwaaaa mauakwake

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 11 місяців тому +1

    Nouma sanaaaaaaa

  • @DoriceEdward-l6s
    @DoriceEdward-l6s Місяць тому

    Huyo kaka basi kichwa hichooo

  • @Bizmind472
    @Bizmind472 10 місяців тому +1

    I like mr right ya kibongo si kama ya kwetu

    • @fatumomatano9752
      @fatumomatano9752 9 місяців тому +1

      Ya kwetu inaboo ata siwatchingi simi fun

    • @Bizmind472
      @Bizmind472 8 місяців тому

      @@fatumomatano9752 kweli

    • @AbdulSaleh-t4d
      @AbdulSaleh-t4d 8 місяців тому

      Ya bongo hata na watoto unaangalia

  • @HamiduNumbi
    @HamiduNumbi 8 місяців тому

    Eliza anamdomo uyo dada😅

  • @johanesjofrey2105
    @johanesjofrey2105 Місяць тому

    Na Mungu mnamuhusisha ktk hii biashara yenu?

  • @aziziiddi
    @aziziiddi 11 місяців тому +5

    Afadhali LOLO kaondok maan nimempenda bure...

    • @aziziiddi
      @aziziiddi 11 місяців тому +1

      Yani hapa najifunza muonekano ndy chakwanz mwanamke anaangalia😊❤😂

  • @BekarmSamweliy
    @BekarmSamweliy 3 місяці тому

    Hahaaa na kunyonga kumo

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 9 місяців тому

    Wa hehe Wana vidada hatali

  • @DorcasAmos-mv8cy
    @DorcasAmos-mv8cy 8 місяців тому

    Mr right Ana akili sana