This is a real man I see the truth trust faithfulness humbleness honesty love in him he has chosen a humble simple girl at of those ladies salute to this man Blessings in your marriage
Sasa,my comment section ya IYibe ilikuwa na shida imerekenishwa Tu juzi..na hii ndio comment nasoma ya Kwanza..naona wakenya no walewale from tok you FB etc
😢😢 na mwangaliya sana huyu dada ushauri wangu kwake ahachane❤ na hayo mambo nikujiumiza bure na kujihona huna nyota ila tu hacha wakati wa Mungu hufike tu atashanga Mungu ajawahi kuwahacha walio wake na hiyo labda siyo njia sahihi kwake ila pole sana
But kuna kitu kinaitwa kadari mpango mwenyezimungu aliomkadiria mtu,asikate tamaa kama anaamini kunamipango ya mungu huenda kuna kilicho bora zaidi mbele yake😢DON’t give up😢
Mm pia nisingechagua majitako hayo🤣🤣🤣na kayabana Kila mwanaume anamtamani amchape🤣🤣🤣aroooo 1gb hoyeee.angalia eti anataka kumuhug bwana wa wawatu.hiki nacho eti unamruhusu utaibiwa 🤣🤣🤣
Naona umegeuka wa kuhukumu Tena nani kasema wanaringia maumbo kwani wanatofauti gani na hao flat ? Ni BAhati ya mtu tu mwingine uwnza mwingine uchelewa jamani wee
Hello Naitwa fatma naishi makumbusho dar es salaam nina 19years. Naomba kufahamu inapofanyikia mr right niwe nakuja kuangalia live au kushiriki kabisa namm naitaj mtu sahihi nimechoka kuumizwa
Boys Are After Skinny Girl For Marriage.Hawa Wenye Minyama Mingi Just Kwa Kivutio Tu That's Why mwanaume anadate Mwanamke Mzuri anaoa Wa Kawaida Girls Thinking curvy Shape Is Major Factor Man Needs Solely.
This is a real man I see the truth trust faithfulness humbleness honesty love in him he has chosen a humble simple girl at of those ladies salute to this man Blessings in your marriage
Huyu msichana ameangukia mume sahihi ❤❤❤
Am watching from Uganda. Woww 😍,my favorite show this is so lovely couple of the day
Oluwirila? Nze mpurilamu mwambuzi mwambuzi ate selabyeemu gwenyinza nokugamba nti ayina embuzi😂😂😂
Team u
Vicki Pol sana ipo siku utapata wako inshallah mamy nakupenda sana❤❤
The confidence I've gained from watching this!🎉❤
..you got evil confidence!!lol!
😂
I know .I didn’t expected that lol
Fahima has a good heart 😊❤❤all shows girls don't allow there man to hug a lady..... I love your character and heart you are a good woman indeed
Kuna wanaume hawaangalii shepu ndo nimeamini kl mwanamke anataka shepu lkn Kuna wanaume wanapenda Mchele wa basmati namaanisha wembamba
Kabisa
😂😂😂😂😂😂kabisa
Dada ametuwqkilisha tusio na mashepu👀🤣🤣
Kwel aise sisi ambao tunayo ya kwendaa chooni tu
Awa waongo wanapanga kabsa ao wanalipwa😂
@@aishamjema49😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Sasa,my comment section ya IYibe ilikuwa na shida imerekenishwa Tu juzi..na hii ndio comment nasoma ya Kwanza..naona wakenya no walewale from tok you FB etc
Vicky my dear don't worry,.. There's someone out there for everyone
😢😮...
Nice makalio sio kila kitu @
Vicky, never give up, good things always takes time, just belive in yourself and don't loose hope, God's timing is always the best. Hugs 😊
😮 don't mention God in this rubbish!
They don't understand English...use swahili
@@992_lions-vibes idiot!
In life try to be real
Nimekupenda bure we kaka wao walizani shape ndio kishawishi
😢😢 na mwangaliya sana huyu dada ushauri wangu kwake ahachane❤ na hayo mambo nikujiumiza bure na kujihona huna nyota ila tu hacha wakati wa Mungu hufike tu atashanga Mungu ajawahi kuwahacha walio wake na hiyo labda siyo njia sahihi kwake ila pole sana
Tatizo ni haga aliyo jiongeza na wanaume wa Sahi wanataka mrembo ambaye amerizika na mwili wake jinsi ulivyo
@@sharonkhayosa162 kajiongeza wapi jamani mdada kabarikiwa tu
Hajajiongeza jmn
Ukweli kabsa 😢😢😢
@@rosemahenge9071 Amna ilo si shepu lake kamili
Axante Mwijaku Kwa kutukumbisha maisha ya hapa Duniani kuwa tusiwanyoshee watu vidole
Siamini leo mwenye TAKO kakataliwa😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂
😂😂😂😂
Beautiful Vickie... Mchumba wako yupo. . nakutabiria ndoa nzuri sana. Harusi yako jamani usisahau kunialika
Hiv inakuwaga ya kwel? Kwamba wakipatana hapo wanenda kuanzisha mahusiano??
Vicky mzuri jmn daaah nipeni namba zake
Love doesn't say why it comes from anywhere wow a beautiful family ❤❤❤
Vicki's so beautiful ❤️
Jaman mm naomba nipeni vick ❤❤❤❤ i love her
Hivi ni kweli na Mimi nikatafute huko😂😂😂😂😂
Beautiful .. much love from kenya
This show looks superb and more decent than our in Kenya 🙄
Nimeipenda sana hii couple mkaka yupo cool daah
Yeah 👍
Nakuombea upate
Mwijaku kaingea point
Galabi jamboooo❤❤❤❤
Ila kua na mwili mdogo raha jamani unakumbatiwa wotewote 😂😂😂😂😂😂
😂😂
Ni kweli wanaoana au ni maigizo tu?
Vicky never give up your time will appear ❤❤❤
Mi nataka kujuwa naingiaje hapo jamani
Kwanza tako nalo kumbe silazima 😂😮
But kuna kitu kinaitwa kadari mpango mwenyezimungu aliomkadiria mtu,asikate tamaa kama anaamini kunamipango ya mungu huenda kuna kilicho bora zaidi mbele yake😢DON’t give up😢
Apo kweli bro umenena 👏👏👏
Wooo this nice though I don't understand the language
Good decision bro love the one you love you🇿🇦🇧🇮
Khaaaaaaa Vzr sanaaa kipnd cha mr right hongereni inanipa hamasa ya kuja kwenu nipate mwenza Jmn ad rahaaaa
Mwenza nipo hapaaa
Kweli ukipania kitu hukipati...Subra ndo njia pekee katika maisha..
I wanna try this I might be lucky too😢😢😢😢
I find this more respectable than the Drama I see in Kenya
The drama makes it so fun and addictive yo watch😝😝
Kenyan show is hosted by people who have failed in marriages and hoes.
Nimependa
Hapa ndio naelewa ile msemo usililie uzur, lilia bahati 😊
Kweli
Kwakweli
Kabisa
Kabisa
Uyu baba leo ataoya nao😅😅😅😅😅😅
Mahips yameshuka😅😅😅
Jamani nawapataje😅na mm nipo single😅😅😅😅
Hajui kuchagua😂😂😂
Nawewe mwijaku acha ujinga kuongea ujinga
Mm pia nisingechagua majitako hayo🤣🤣🤣na kayabana Kila mwanaume anamtamani amchape🤣🤣🤣aroooo 1gb hoyeee.angalia eti anataka kumuhug bwana wa wawatu.hiki nacho eti unamruhusu utaibiwa 🤣🤣🤣
Mwambieni vick nampenda xana na aje kwangu katika ulimwengu wa mahaba❤❤❤
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Kweli mujama huu umenifurahisha sana
Jaman maskin vick 😔😔 mpole hata hug kanyimwa huyu kaka kwel mgumu😂😂
😂😂😂 hii ni ukweli ama ni kipindi
Siyo mgumu ,limbukeni na wale wanaohikumu sana kumbe sivyo ,Yani hapo kamwona vick labda aje kumbe hapana
😂😂😂😂this life no balance 😢😢
@@liannsambu7264nimp pol
Wadada jifunzen apo, ufahar wa umbo haukup mume.. ondoeni mioyo yenu kwenye uzur mlio nao, jambo la msingi ni kumuamn Mungu mpaji!
Naona umegeuka wa kuhukumu Tena nani kasema wanaringia maumbo kwani wanatofauti gani na hao flat ? Ni BAhati ya mtu tu mwingine uwnza mwingine uchelewa jamani wee
😂❤mwijaku❤l kwa kuharibu
Mr Right mzuri jmn🥰
Sanaa aiseeeee...kwanza macho yake mashallah!😍❤
Mwambuzi mwambuzi nze sinalabamu ayina embuzi wano naye 😂😂😂😂thnk you guys for the show
Osesa dear 😂😂😂
Just a hug 😢..u this guy z heartless 💔
Wew ungekubal bwanako amhug demu anaetaman kuwa nae?
I need someone
Pole vick usikate tamaa utapata wako in nsha Alah
Si hako ni kadogo atakauwa huyo😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
BOYS WILL BE BOYS..YANI WANAUME TUHAKIKISHE WANAWAKE HAWAELEWI TUMATAKA NN😂
Kabisa😂😂😂
Wanaume siku hizi hatupendagi nyansh 😁
Sure mwanangu kwasbb wanaweng wameshajijengea kweny akili kua akiwa na shepu ama tako kubwa basi wanaume watamfatilia kumbe saivi atuangalii hayo
@@IdarousPossy Tuwavuruge
@@roddyfawaz6 Wana haufagilii nyama siku izi
Jamni sijaelewa hiii Inakuje Mr Right.....Kunapesa mnatoaa au walio single wanataftiwa wenzi au mm sijaelewa
Walio single wanataftiwa wenz wao
Vick 🎉 usjri me nipo I'm here for you
Natamani kujoin from Kenya 😂❤
MIMI pia❤❤❤❤
The real Mr right❤
Mwijaku nae haaa....😅😅😅
Ushauri kwa Vicky abadilishe mavazi
Ndio abadilishe anaweza akampata
Ila kweli umeongea point
Kweli kabisaaa
Ndio anyevaa kujistiri lkn mavaz ya ndan
Aisee APA kuna uchawii😂
Hello Naitwa fatma naishi makumbusho dar es salaam nina 19years. Naomba kufahamu inapofanyikia mr right niwe nakuja kuangalia live au kushiriki kabisa namm naitaj mtu sahihi nimechoka kuumizwa
🎉nitafute
@@keamaoli no yako ya wtsp nipe
Vicky u'r so beautiful,, never give up ❤❤❤
On my way to Tz to find my MR right 🚴♀️🚴♀️🚴♀️🚴♀️🚴♀️
hyo manz mbn unyama
🤣🤣🤣🤣🤣 ila mwijaku bhana mhmmmm
🎉🎉🎉 lovely 🌹 couple in town 😮🎉🎉😅
Wow 🎉🎉🎉
Naomba namba Vicky ❤
Jameni ❤❤❤❤❤wanaenda kabisa
Daaah hawaendani jmn
Jaman jamn mbona sielewi kwann vidume wanakwepa Shape hilooo?????😢😢😢😂🤣🤣🤣🤣🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
😂😂😂
Hata me sielewi kwanini wanakwepa mshepu huo
Hyo Shep chunguzen vizur inashida hyo
Hamna mtu anataka matatizo jamani sahz wanaume hatutaki stress kabisa
@@stevemwandambo587 sasa mbona wengine wanataman hizo mitako 🤣🤣🤣🤣itakuwaje sasa
Nywele ya kariakoo na pochi ya mbulaati😭😭😭😭😭😭
What's the problema??
😂😂😂😂
Kuna wanawake wa kuoa na wanawake wa kupiga nao picha Asante mwamba ungechagua umbo hilo ungepunguza hata miaka ya kuishi
Kivipi anaweza kupunguza miaka ya kuishi?
kwa wivu🤣🤣🤣
@@justinmbangukira7034 Siri ya kambi lkn stress nyingi mno kwa kweli
@@upendolema3323 😂😂😂
I adore that character in mr right ❤❤❤
Pole kipenzi usikate tamaa
Masha Allah ❤️❤️❤️
Kweli mapenzi kipofu
Vickie bado yupo😂❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
😄😄 hata me ningechagua ivoivo
New beautiful ❤❤❤
Iyo kazi ni ngumu jmn
Daaaah vky
Mwijaku anachekesha🤣🤣😂😂
Aibu 😂😂😂hata hug hakuna
Tamu saana
Mashaallah ❤❤🎉🎉🎉
Shape sio kila kitu, macho ya mtazamaji huona yanachokitaka. By the way Vick endelea kusubiri wa kwako anakuja.
Yani nikama kujiuza hapo yani ujeuchaguliwe kama mafungu ya nyanya niaibu sana unakataliwa kila mtu anaona🤣🤣😝
😂😂😂😂😂embu ngoja niulize lbd cjaielewa hii kwa hiyo hapa ukichaguliwa ndy unakuwa mke kabisaaa?🤣🤣🤣
Mm ningeluka nae
Nice
Huyu kaka ameharib kaz ya mloganzila 🤣🤣 Sa itakuaje Tupo huku kupambania mishepuuu
Sis wenye shepu zetu na tabia nzur tunazo tunaolewa na kina nai😥😥
Nipo mie uku
Huwa mnanyodo sana
Pole Vick
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwijaku msengee inaonekana uyu chui chui inaonekana alikuwa anaringa
😂😂😂😂Aki staki kunona tena wacha nijikubali so beautiful couple ❤❤❤❤😂😂😊
😂😂😂😂😂 mm nilkuwa nawaza kunenepa nimegahir haki
Boys Are After Skinny Girl For Marriage.Hawa Wenye Minyama Mingi Just Kwa Kivutio Tu
That's Why mwanaume anadate Mwanamke Mzuri anaoa Wa Kawaida
Girls Thinking curvy Shape Is Major Factor Man Needs Solely.
@@amourworldbeats weeee kumbe
@@consolatamedard6593that's true 😊
Si hua wanaamini kuwa tako ndio mpango!!
Kumbe watu hawataki mahangaiko mengi 😂😂
Nimeipenda hiyoooo duuh
😂😂😂😂
Acha kudanganya watu aya maigizo tu
@@g_eazmusic1329 maigizo wakati mwanangu G anakaa na demu kampata hapo mpaka sasa
Mh
Wadada we mbamba ndo kila kituuu
Shepu sio kigezo 😅😅😅😅
The smaller Girl Looks So Innocent