Hello everybody Jinalangu Mr Abdurah ni mzaliwa wa hapo tanzania D.S.M naishi South Africa Port Elizabeth nimemsikia Eliza apo akisema ana passport lakini haina miuli kama yupotayali kugonga muuli wa dizonga TIME IS NOW Let me know, It's 2024 things should move quickly
Jaman uyo eliza kaja kuchekesha watu sasa ndio tembea gani iyo kama bata anataka kupaaa ahaaa nimecheka sanaaaa😅😅😅😅😅
Eliza atazehekeya apo . Nituru yako kukataliwa 😃😃😃 kwanza hujuwi kutembeya unatembeya kama bata
Aaa wale aliowakataa kunamtukampiga Rana 😂😂😂😂😂Wanaume sio watu wazur akikupenda kweri
Anatembea kama ndama
@@irenemacha5661 🤣🤣🤣 kabisa
Eliza mi Niko hapa ❤
Huyo zarishi..pia anmaringo ele hamna kitu hap usumbufutu
Eliza atajutia wanaume alikuwa anawalingia anawakataa
Kazi ipo kweli mambo ni mengi
Mwingine ni Glory na Zarish hawa nao ni wagumu na visababu vya ajabu kwakweli wataondoka wote mmbaki wenyewe
Sema aliye dizaini hiyo kopa hapo kwenye steji inabidi alekebishe iwe KOPA nzuri.
Poleni sana
Me nampenda nei
Eliza anatak kipat hatak mume😂
Vp huyo eleza hapo anakwama wapi
😂😂😂😂🇧🇮🇰🇪
😢
eliza izo passport zako tembea nazo mbele io stage haikufai
Hello everybody Jinalangu Mr Abdurah ni mzaliwa wa hapo tanzania D.S.M naishi South Africa Port Elizabeth nimemsikia Eliza apo akisema ana passport lakini haina miuli kama yupotayali kugonga muuli wa dizonga TIME IS NOW Let me know, It's 2024 things should move quickly
Batul uko smrt dear
Eliza anmaringo n hani lolote
Si mzur kwel weupe unamlinda
Hakuna mwanamke mbaya my
Sema Kila mtu ana uzuri wake
Eliza na Zarishi wamezeeka hao wamedanga wamechoka
eliza izo passport zako tembea nazo mbele io stage haikufai